Тёмный

TAZAMA VIDEO MWILI WA MREMBO WANASULIWA UTURUKI |NDUGU WALALAMIKA PESA WALIYOCHANGIWA |INASIKITISHA 

HOME MEDIA
Подписаться 400 тыс.
Просмотров 8 тыс.
50% 1

KWA HABARI NA MATANGAZO
TUPIGIE SIMU MUDA HUU
-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
0753393036
0625466848
0679393030
ZOTE ZINAPATIKANA WHATSAPP
-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
INSTA; Homemediatz
TIKTOK; homemediatz
FACEBOOK; homemediatz

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 39   
@TridgeTanzania
@TridgeTanzania 2 месяца назад
Mungu atupe mwisho mwema
@habibasungur9375
@habibasungur9375 4 месяца назад
Innalilahi wainailahi rajiun shufaa allah akusamehe makosa yako maana hukumu ya mja ni kwa allah pekee binadamu huwezi kumhukumu mja mwenzio.mimi na wewe hatujui kesho yetu allah tujalie mwisho mwema inshaallah
@batashqiraa9936
@batashqiraa9936 5 месяцев назад
Liwe funzo kwa wakinamama ambao bado mnaishi na mridhike maumbile aliyokupeni Mwenyezi Mungu
@gaudenciamallya9779
@gaudenciamallya9779 5 месяцев назад
Jamani Marehemu ameshamaliza. Hawezi kuwajibu tena.Hukumu ni yeye na Alla/Mungu wake. Ongeeni na walio hai sasa. 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@AlHamra-k4u
@AlHamra-k4u 5 месяцев назад
Masikini shuu amefariki na kizibiti kabisa. Jamani tujikubali na umbo alilotuumba Mungu. Na bado endeleeni kwenda kumkosoa Mungu
@anodearsulusi7536
@anodearsulusi7536 5 месяцев назад
Mungu hadhihakiwi
@TridgeTanzania
@TridgeTanzania 2 месяца назад
Mungu huwa hapuuzwi
@Aiisha901
@Aiisha901 5 месяцев назад
mpuuzi kabisa ulivyo umbwa nihivo hivo huwezi kujibadilisha hata iweje unamchezea mungu ukidhani ndo utashinda
@MwanamkuluShabani
@MwanamkuluShabani 5 месяцев назад
Vizuri sana mwana kulitafuta mwana kulipata na akienda mwingine kufanya sajari ewe allah ondoa wanakudhiaki wanaona umewaumba vibaya
@TarikSaid-yx6gp
@TarikSaid-yx6gp 5 месяцев назад
Jaman hatuujui mwisho wetu utakuwa vipi mungu atustiri na atupe mwisho mwema
@KassimHanga-xr7rb
@KassimHanga-xr7rb 5 месяцев назад
Mkome. Kumkufuru Mungu sabab.Mungu anajua kuumba
@neeewmusiceverday217
@neeewmusiceverday217 Месяц назад
inalilai wainalilah rajiun .ila mbona picha hio ina fanana na dada wa kinaigeria anae itwa uche montana
@Shehaswaleh-e7d
@Shehaswaleh-e7d 5 месяцев назад
Tukubali venye Allah ametuumba yaraby 😭🙏😭
@mwanaibrahim2444
@mwanaibrahim2444 5 месяцев назад
Mukome kwa kiherehere
@UchebeZedon
@UchebeZedon 5 месяцев назад
Mtangazaji shufaa akuwa mkristo. Huyo ni shufaa kitwana Mohammed Soud katembo. Mi muislam kwa baba na Mama bi. Aisha
@mohamedmustafa2656
@mohamedmustafa2656 5 месяцев назад
Sawa kabisa
@mgongolwajoseph6901
@mgongolwajoseph6901 5 месяцев назад
Mungu anawa hukumunkisa kuwannamwonekano
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 5 месяцев назад
Acha afe tu kwasababu alimkosoa mungu
@rahema1992
@rahema1992 5 месяцев назад
Gilizia tembo utapasuka makalio alikuwa anamuigilizia wema sepetu na hilo litakuwa ni fundisho
@SaraBii_Tz
@SaraBii_Tz 5 месяцев назад
Rest In peace shuu😢 dah
@aminamzee-vv2bm
@aminamzee-vv2bm 5 месяцев назад
jamani mbona wahindi hawaendi na wanamakilio kama yaliyopigwa pasi
@Ayuminchasi
@Ayuminchasi 5 месяцев назад
Kwanza hata hao wanaochanga pesa zenu mngetoa kwenye nyumba za ibada au kusaidia watu wenye hali duni kwa sababu pesa ya kwenda kufanya kubadilisha mwili alikuwa anayo ila ya kuleta Tanzania hana family yake ingetoa yenyewe bila kuomba msaada kwa wananchi
@Amina-o8i
@Amina-o8i 5 месяцев назад
Ndugu wamekosea kwa kweli
@AshaMwamba-v2o
@AshaMwamba-v2o 5 месяцев назад
Kufa kufaa ana
@maximumtvonline
@maximumtvonline 5 месяцев назад
Duuh
@edithajohn9600
@edithajohn9600 5 месяцев назад
Tunatafuta nin jamn,,,Kwann tusijikubali na vishepu vyetu
@mudriqahmed3666
@mudriqahmed3666 5 месяцев назад
Hii ndio tanzania afe mtu ili wengine wanufaike
@rahmaabdallah2053
@rahmaabdallah2053 5 месяцев назад
Shuu ni muislam au alibadili tunajua ni muislam
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 5 месяцев назад
Ndugu mmefanya vxuri,hao tapeli wacjinufaishe kupitia ndugu yenu,hasa kale kajibwa kanalaximisha.
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 5 месяцев назад
Yani ukifa vibaya lazima uache ugonvi achandugu wawalaumu mliambiwa muachane na kuchangisha wagonjwa tz tunaowengi mahoospito hamuwachangii
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 5 месяцев назад
Kwanini wanape kufanya sajali zanini
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 5 месяцев назад
Wanaotoa michangu nao hawajielewi hao. .hivimtu katakamwenyewe .napesaanaxo mpakakujibadilisha maumbile na zawaniyake.kapewa anaenda nayo kaburini
@elinurukitomali6008
@elinurukitomali6008 5 месяцев назад
Hata waliomchangia pesa zake hazina kazi. Huko uturuki aliendaje km sio pesa zilikua zinamsumbua kwa maangaiko ya duniani kufa Tena hukumu yk nimbaya sana. Hiyo pesa ungeenda kuwapa watoto yatma, au ungezitoa kanisani,au mckitini .
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 5 месяцев назад
Umeonaee atamie nimesema hivyohivyo
@mudriqahmed3666
@mudriqahmed3666 5 месяцев назад
Walokosea hao walojitia hashuo kuchangisha
@mudriqahmed3666
@mudriqahmed3666 5 месяцев назад
Unazani kuna mtu ataanxa kuchangisha bure bure gomeni
@nathanlusulo-po2lj
@nathanlusulo-po2lj 5 месяцев назад
Mtu feki
@suleimankassim7523
@suleimankassim7523 5 месяцев назад
R I P
@faudhiasaidi3669
@faudhiasaidi3669 5 месяцев назад
Wanatuaibisha hao mwishowe ionekane watanzania tuna shepu bandia ebu acheni ujinga ni vizuri mkufie uko uko Watanzania tunashepu nzuri sasa kinachowafanya wakajiongeze ni nn
Далее
小丑调戏黑天使的后果#short #angel #clown
00:16
How many can you smash?🍫 IB : Florin
00:19
Просмотров 3,2 млн
BINTI NYOKA -EPISODE 11
17:51
Просмотров 311 тыс.
MWANAFUNZI WA AJABU Full episode 1
30:49
Просмотров 893 тыс.