Тёмный

TAZAMA: WAZIRI SILAA AMKABIDHI NYUMBA MJANE ALIYEDHULUMIWA, "HII NYUMBA INA MWENYEWE PISHA" 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 56 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 264   
@user-fi2im7bt5g
@user-fi2im7bt5g 4 месяца назад
Ila uyu mwambaa namkubali sana..Allah akuhifadh wazir wetu...Ameen❤
@SultanSaid-js9yj
@SultanSaid-js9yj 4 месяца назад
Allahuma amiiin
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 4 месяца назад
Amiin amiin amiin ya Rabialamin
@staanstaan8722
@staanstaan8722 4 месяца назад
Hr's good
@staanstaan8722
@staanstaan8722 4 месяца назад
He'sgood mashallah
@sabinaonline6575
@sabinaonline6575 4 месяца назад
Waziri Slam Baba tutakulinda kwa ghalama yoyote🎉❤Mungu akutunze akuhepushe na mabaya mwanetu Uendelee hivohivo
@josephpaul2103
@josephpaul2103 4 месяца назад
KATIKA WATU NINAO WAKUBALI NI HUYU WAZIRI KWANZA ANATATUA MIGOGORO KWA UZURI SANA MAMA SAMIA AHSANTE KUTULETEA HUYU WAZIRI .
@frankrobert9706
@frankrobert9706 4 месяца назад
Hii nchi ingekuwa na mawaziri kumi tu kama hawa tungefika mbali sana
@maswamills3161
@maswamills3161 3 месяца назад
Sanaaaa
@EZRA-b1c
@EZRA-b1c 4 месяца назад
Ushetani una mwisho wake.Waziri big up sana
@hamismasoud8306
@hamismasoud8306 3 месяца назад
Watu washadhurumiwa sana mjini hapa na hawa watu hongera waziri kwa kazi nzuri
@herberthatibu8439
@herberthatibu8439 4 месяца назад
Mhe. Slaa Mungu aendelee kukulinda na kukubariki kaka, endelea kuwapigania wanyonge kaka kwani matapeli wa ardhi ni wengi sana. Umeamua kujitoa mjhanga kwa ajili ya wanyonge. Nakukubali sana bro
@happinessvuriva922
@happinessvuriva922 4 месяца назад
Waziri nimekupenda sana Mungu akubariki na kukulinda
@digitalworld5577
@digitalworld5577 3 месяца назад
Wallahi machozi yananitoka napoangalia hii clip. Kuna watu ni majizi yanadhulumu mchana kweupe...Mungu amlinde Mh Slaa kwa baraka zake.
@kaaakwakutuliaa5179
@kaaakwakutuliaa5179 4 месяца назад
hawa maafisa arithi ndo wanachochea hii migogoro
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 4 месяца назад
Mnoo Na wanajua haya yote
@selector728
@selector728 3 месяца назад
Ardhi sio arithi
@bilid4128
@bilid4128 4 месяца назад
Huyu wa leo anahisi njaa ,,,yule wa juzi alikuwa analilia miguu imemuishia nguvu anaumwaaa😂😂😂
@user-ii6gs2jg4g
@user-ii6gs2jg4g 4 месяца назад
Wanamikwara mingi sana
@hassanhancha1413
@hassanhancha1413 4 месяца назад
😂😂😂ila wee jamaa bhana umesikia njaa tu sio
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 4 месяца назад
😂😂😂😂😂 we jamaa wewe
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 4 месяца назад
Waziri slaa weka namba tukuchangie 1000 buku tu watanzania wote uendelee na hilo zoezi
@joshuamuro9494
@joshuamuro9494 4 месяца назад
Kbsaa!!
@josephineokama2200
@josephineokama2200 4 месяца назад
haki ya mungu na Mimi nitamchangia yaani Aishi milele
@veronicamokiwa4315
@veronicamokiwa4315 3 месяца назад
Tumwombe Mungu ampe ulinzi wa Malaika zake kwa kuwa kuna wenye chuki wataleta wanayoyajua
@AshaHaruna-ie2iq
@AshaHaruna-ie2iq 3 месяца назад
Watamlogaa au wa mbambikie kesiii Tanzania hiii
@clementhiddi1486
@clementhiddi1486 4 месяца назад
Hongera waziri. Kuna familia nyingi na watoto yatima waliozulumiwa na mijitu kama huyu na vyombo vya haki asilimia kubwa ni hovyo sana
@user-ii6gs2jg4g
@user-ii6gs2jg4g 4 месяца назад
Ila pia mheshimiwa kua makini na watu wa dizain hii kuwapa nafasi kama kukusogelea kwa ukaribu kiasi hiki. Pia kuwapa nafasi ya kwenda ndani peke yao wanaweza kutoka na bunduki au bomu akaamua afe na wewe kua makini mheshimiwa
@user-uf6oe3qi6v
@user-uf6oe3qi6v 4 месяца назад
Wazo zuri
@Africanvillagecookingfood
@Africanvillagecookingfood 4 месяца назад
@@user-uf6oe3qi6v WELL SAID, Nilihisi angetoka na cha moto!
@Africanvillagecookingfood
@Africanvillagecookingfood 4 месяца назад
@@user-uf6oe3qi6v WELL SAID, Nilihisi angetoka na cha moto!
@user-ur7pw9ek6s
@user-ur7pw9ek6s 4 месяца назад
🎉🎉🎉🎉
@user-ur7pw9ek6s
@user-ur7pw9ek6s 4 месяца назад
Hata mie hua ninafiria kwakweli ni hatari sana hapo huyo mzee anaumwa uchungu hauelezeki 😂😂😂
@yusuphibrahim-yq9mv
@yusuphibrahim-yq9mv 4 месяца назад
Allahu akulinde waziri
@mbwanaabdallahbwadalizo8779
@mbwanaabdallahbwadalizo8779 4 месяца назад
Mungu akujalie maisha marefu kwa kazi nzuri unayoifanya
@AnethMushi-c3e
@AnethMushi-c3e Месяц назад
Mungu ampe jicho kubwa mama Samia akipanguapangua apate vifaa kama hiv
@athumanijuma3085
@athumanijuma3085 4 месяца назад
Huyu Mzee kwanza afungwe kwa kufanya kitu makusudi kabisa
@user-lm5fu5tu5z
@user-lm5fu5tu5z 2 месяца назад
Hiyo haitamsaidia Hawa watu hawatakiwi kusifiwa zaidi maana ni hatari kwao
@MichaelRobert-ot9zh
@MichaelRobert-ot9zh 4 дня назад
Safi Sana Waziri Wetu Mungu Akulinde
@CharlesElias-zh5hz
@CharlesElias-zh5hz 4 месяца назад
Hongera sana wazir. Manyang,au wanatuonaga paka tu wanyonge. Mfano mzur ili yeyote akiona clip hii afikirie siku ukifika kwake
@LeahMwalwis
@LeahMwalwis 4 месяца назад
Wewe ni kiongoz wa kuigwa safi sana
@inocentdenis4980
@inocentdenis4980 4 месяца назад
Mawazir wangekua na mahamuzi kama hayo ya kiume tungefika mbali Sana Sana hongera Sana kaka mkubwa .
@user-uh7to2kw2z
@user-uh7to2kw2z 4 месяца назад
Wazili mungu atakulipa 😢mtetezi WA wanyonge 🙏mungu akulinde kila shari nakupenda nakuombea kila siku😭🙏
@selector728
@selector728 3 месяца назад
Waziri sio Wazili
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 4 месяца назад
Allah akulinde kwa kazi unayo ifanya muheshimiwa Waziri. Utapata maadui wengi maadui wadhulumuji. Nakuombea ulinzi na zidisha Dua .
@sameeral-ghafri627
@sameeral-ghafri627 4 месяца назад
Simple and clear. Hadi raha tena kwa kinyonge “mpishe kwenye nyumba yake” 🤣🤣🤣
@mangiclaus
@mangiclaus 4 месяца назад
Waziri kwa namna yoyote Ile naomba nikuone ..Mimi ni mfuasi wako mpaka nakuota ndotoni . Nakukubali sana kazi yako. Waziri namba 1 mchapa kazi
@BibieMakame
@BibieMakame 4 месяца назад
Dhuluma mbaya malipo hapahapa duniani
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 4 месяца назад
Na kesho akhera
@SaidSaid-ef8md
@SaidSaid-ef8md 4 месяца назад
Huyu ndo waziri ambae ana sifa hata kua raisi wa nchi kudadadeki. Nyumba sio yako leave or more process see you later. Police inakuhusu ✔️🤷🏾
@husseinmkungu1166
@husseinmkungu1166 4 месяца назад
Sema anawakamata utamu mh waziri
@swahilifashion2206
@swahilifashion2206 4 месяца назад
Watanzania hatujui sheria tunatapatapa hasa kwakua dhulma imetushika kwenye nafsi zetu
@user-ml5tq8hj2x
@user-ml5tq8hj2x 4 месяца назад
Mheshimwa uwe unaenda na maaskari wenye chamoto wasije wakakudhuru hawa watu wenye ulaku wa ardhi hna hawajui vyote vinapita?
@TamuzaKale
@TamuzaKale 4 месяца назад
Wapo naye hapo. Haendi bila askari!
@user-ur7pw9ek6s
@user-ur7pw9ek6s 4 месяца назад
Tahadhari ni lazima.
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry 4 месяца назад
Kweli
@annajohn3377
@annajohn3377 4 месяца назад
Huyo mmas anamiliki nyumba nying hp tanga
@annajohn3377
@annajohn3377 4 месяца назад
Acha dhumuma ukifa utaenda wew nakipar chako tu
@goodluckkiget6359
@goodluckkiget6359 4 месяца назад
Safi sana! Mwisho wa dhuluma ni aibu.
@ecabelmwai3474
@ecabelmwai3474 4 месяца назад
Yaaani wazee wa kichaga sijui wana nini asilimia 90 wanapenda ardhi na dhuluma
@josephineokama2200
@josephineokama2200 4 месяца назад
ni matapeli wa kutupwa hata mashetani wanawajua ni Mimi ni mchaga siteti mbali wachaga ni matapeli alafu wanapenda dhuluma sanah akome mbwa huyu
@hadijaally5735
@hadijaally5735 3 месяца назад
❤safi wazir wangu kipenz
@DominicKani-ri9le
@DominicKani-ri9le 4 месяца назад
Desition with action.lkn Mkuu hawa maafisa wadogo na wakubwa ukimpeleleza mzee Massi utakuta kuna vinjema vimekula hela yake kupata nyumba hiyo ndo shida ya hela inawasha utatapeli swa lkn uongozi unabadilika ni swala la muda tuu ikifika thamani ya hela yko haipo tena.😂
@Kinabojokatv
@Kinabojokatv 4 месяца назад
Kazi nzuri unayofanya wewe kiongozi imara
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 4 месяца назад
Nakupenda sila
@hamisikwangaya1911
@hamisikwangaya1911 3 месяца назад
Asante mheshimiwa waziri mungu akupe afya njema
@gloriamwanjali9371
@gloriamwanjali9371 4 месяца назад
Hongera sana kiongozi.
@Kabwela776
@Kabwela776 4 месяца назад
Mungu amlinde Silaa anafanya mambo ya ibada
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 4 месяца назад
Nakupenda sana sila
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 4 месяца назад
Zee halina aibu,achia mchuma.
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 4 месяца назад
Wala huruma anatia hasira
@marthageorge5043
@marthageorge5043 4 месяца назад
😂😂😂😂Mzee mmasi kapatikana mzee ni jeuri uyu na nimkorofi,Mungu nimwema mama wawatu kapata haki yake,anasema ataenda wapi siande nguvumali kwenye nyumba ya mke mkubwa au aende kwenye gesti zake barabara ya 9😂😂😂
@user-ii6gs2jg4g
@user-ii6gs2jg4g 4 месяца назад
Kumbe unamjua vizuli
@marthageorge5043
@marthageorge5043 4 месяца назад
@@user-ii6gs2jg4g Namjua alikuwa bossy wangu nawajua familia yake yote,mzee mkorofi sana uyu🤣🤣
@marthageorge5043
@marthageorge5043 4 месяца назад
@@user-ii6gs2jg4g Kamsumbua mama wawatu kila wakati wanaenda mahakamani kwasababu yeye anazo hela uwa anashinda,ila Mungu nimwema mama wawatu ameshinda,kweli haki ya mtu haipotei
@FatumaMuya
@FatumaMuya 4 месяца назад
​@@marthageorge5043👍👍
@TunuAdam-gc9rc
@TunuAdam-gc9rc 3 месяца назад
Duuh kweli Mwenzi Mungu nimwema amepata haki yake.
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 4 месяца назад
Silaa tunakupenda sana tunakuombea kwamungu
@user-se6zb9ct7b
@user-se6zb9ct7b Месяц назад
Someni sheria iwasaidie ktk kuyatua migogoro🎉
@eddysuheil1402
@eddysuheil1402 Месяц назад
Uyuu mwamba mungu amuwekee sio nanna hii anavyojitoleaa😢
@drisayaambulatoryvetclinic1514
@drisayaambulatoryvetclinic1514 4 месяца назад
Mheshimiwa hongera kwa kazi nzuri ,inabidi uongezewe ulinzi na wewe mwenyewe tafuta fulana za kuzuia risasi hii kazi unafanya ni nzuri sana sana inabidi ulindwe kwa gharama zote ni watu wachache sana wasioweza waonea aibu wadhulumishi wa ardhi
@radjabudjuma5542
@radjabudjuma5542 3 месяца назад
Wao ndio watumishi wa Mungu Silaa na Makonda awo ndio maa nabii wa kweli
@festohaule9716
@festohaule9716 4 месяца назад
Duniani Kuna mapito.. Duniani Kuna Binadamu wanatamaa sana aiseeee!!!!
@elisantemrita9490
@elisantemrita9490 4 месяца назад
13:06 kuna kitu nimejifunza Nihivi Matapeli wengi wanajua utaratibu wakufatikia au wanawatu wao wanawapa maelekezo sahihi yakupata hati na tunao tapeliwa tunauelewa mdogo au uoga wataratibu zakupata hati
@user-ur7pw9ek6s
@user-ur7pw9ek6s 4 месяца назад
Mtu kwenda bank kuchukua hati ya marehemu bila woga na akajimilikisha kama vile yeye ataishi milele ogopa huyo anaeza kukuua kabisaaa 🎉🎉🎉
@mchellenmbunge55
@mchellenmbunge55 Месяц назад
Safi sana
@sambulugu9988
@sambulugu9988 4 месяца назад
Mangi kawekwa kati! Mamangi kaeni sawa na Slaa atawamaliza!😂😂😂
@awadhally1052
@awadhally1052 4 месяца назад
😂😂😂😂😂kwel kabisaa
@ChristianMboya-ye4qh
@ChristianMboya-ye4qh 4 месяца назад
Mungu atakulipa kharamaa yako mkuu. Unafanya hakiii pasipo kupendelea na wapuuzi kama huyu mzee ni wengi na wanakataa macho makavuu kabisa kana kwamba wao ndio wenye haki,Tungepata vijana 6 kama tu nchi hii kama silaa ingekuwa tumemsaidia mama sana. Hongera mno mheshimiwa.🙏🙏🙏
@user-sp4jr4vw6t
@user-sp4jr4vw6t 3 месяца назад
Ahsante mtetezi wa wanynge majitu yanakula na mijinga midhulumati mikbwa inapora nyumba za watu tena haina aibu linasema lina njaa si likale jeuri yake mshenzi mkuu
@SaidiMiraji-lk3vm
@SaidiMiraji-lk3vm 3 месяца назад
Ila we jamaa nikiboko akiamungu we tungepata watu kama kumi hiv aisee nchi ingenyooka
@user-jp9tf5nw9l
@user-jp9tf5nw9l 4 месяца назад
Jamaa jizi kweli
@MkangiHassan
@MkangiHassan 3 месяца назад
This is the way to go waziri big up
@MohamedMkota
@MohamedMkota 4 месяца назад
Safii sn
@josephminja7953
@josephminja7953 3 месяца назад
MUNGU akuepushie yote yashar MH silaa🙌💐
@swaumukadidi7124
@swaumukadidi7124 3 месяца назад
Hongera sana wazir tungepata viongozi wote kama hawaTanzania kungekua hakuna wezi kama hawa
@AMENMUSHI-wt4li
@AMENMUSHI-wt4li 2 месяца назад
Aridhi ni wasumbufu ? Mungu anaona njoo Morogoro
@user-xn8jh1yw1h
@user-xn8jh1yw1h 4 месяца назад
Good Job Waziri.
@AshaHaruna-ie2iq
@AshaHaruna-ie2iq 3 месяца назад
Mpeni ulinzi wa kiroho mana Tanga hii
@fadhilikyandofadhilikyando5666
@fadhilikyandofadhilikyando5666 3 месяца назад
Mim napenda sanaa mtu anaye jalii haki ya mtuu bigap sanaa wazilii
@OmaryKaniki-hs5mz
@OmaryKaniki-hs5mz 4 месяца назад
KAZI kazi brother
@isacktemba551
@isacktemba551 4 месяца назад
Na maafisa aridhi wasiachwe wao ndio wanakula dengu kwa sahani na kuuza urithi wa mtu ndio chanzo cha migogoro yote hii watu wa ovyooo kabisa
@AMENMUSHI-wt4li
@AMENMUSHI-wt4li 2 месяца назад
Akina Mmasi kabila gani? Mungu akubariki waziri Silaa
@user-jt7uv6vu1d
@user-jt7uv6vu1d 4 месяца назад
Nakupenda san unatrnnda haki
@mnyongeiddi2454
@mnyongeiddi2454 4 месяца назад
Yaan huyu mzee ukimwangalia kwa mbali na ukimsikiliza utangundua nitapeli hasa ukimsogelea kalibu
@dominickchristopher1669
@dominickchristopher1669 4 месяца назад
Uyu ni kiongoziiiiiii , wale wengine walalashwa ni ndio mawaziri
@josephminja7953
@josephminja7953 3 месяца назад
Haki haki ninzur 😊
@momylaviel
@momylaviel 4 месяца назад
Huyu baba Mungu amlinde sana
@FredMwamgogwa-td6ni
@FredMwamgogwa-td6ni 4 месяца назад
Hahahaha kawekwa lupango na pesa zake dunia bwana usijione umefika😂😂😂😂😂
@user-gh6bh2uj4q
@user-gh6bh2uj4q 3 месяца назад
Waziri naipenda kazi yako
@noorhassan8409
@noorhassan8409 4 месяца назад
Allah akulinde popote ulipo mtenda haki kama mungu.
@Rukwembe7712
@Rukwembe7712 4 месяца назад
Yaaan nimeamin serikali niatari sana vitu vya mwaka 85 bado viko vyipya wakti mimi cheti changu cha kuzaliwa sijui hata mahaali kilipo😆😆😆
@TunuAdam-gc9rc
@TunuAdam-gc9rc 3 месяца назад
😂😂
@RehemaMustafa-x6o
@RehemaMustafa-x6o 3 месяца назад
Hahaaa😂 chiz sana wew tunza nyaraka kuna siku zitahitajika
@kihangaboymsafi3455
@kihangaboymsafi3455 3 месяца назад
Uyu mzeee kilicho mponza ni neno Nina njaaaaaa😅😅😅😅😅
@NasriMohammed-yw7lp
@NasriMohammed-yw7lp 2 месяца назад
Hahaha😂😂😂
@vero57
@vero57 4 месяца назад
KWENYE BIBLE WAMESEMA KUA USIMZULUMU , AU KUMTESA MJANEE
@imanimussa6256
@imanimussa6256 3 месяца назад
Huyu wazir ni mwanamme kweli kweli hana uoga ata kdg
@omanoman2044
@omanoman2044 4 месяца назад
Kumbe ni mpangaji subukhan llah hee kam mim ninavyo teseka hiv kujenga et mpagaji aje ajimilikishe w mbon nitamumaliza wallah mjinga huyu
@OllerDesononline6333
@OllerDesononline6333 2 месяца назад
Hahahah😂😂😂😂😂😂 huyu Mzee nimtata
@user-il5pk2dr5n
@user-il5pk2dr5n 4 месяца назад
Mzee janja janja full docoment za kugushi
@CECILIAMAGANGA-sk8md
@CECILIAMAGANGA-sk8md 4 месяца назад
Huyu na Makonda..... Dah wanamsaidia Rais ipasavyo... Wapewe maua yao🎉🎉🎉
@user-xq9dh7hi1x
@user-xq9dh7hi1x 4 месяца назад
Waziri jembeeee sana hadi nasikia aman
@ManuuNgingo-cs3hx
@ManuuNgingo-cs3hx 4 месяца назад
Safi sana wewe ndie kiongozi Bora
@johngerald4677
@johngerald4677 4 месяца назад
Ivi ni kwa nini udhulumu
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 4 месяца назад
Mzee Mmasi na wewe pole lakini mjifunze kuwa dhuluma sio jambo jema. Tanga maeneo ya wazi yapo kanunuwe kiwanga kwa halali ujenge . Msipende vitu vya dhuluma. Dhuluma haina mwisho mwema . Tumuogopeni Mwenyezi Mungu.
@user-zp9qw7oi5w
@user-zp9qw7oi5w 3 месяца назад
Hivi wachaga wanamatatizo gani kila sehem wao wenyeshida ya kudhulum watu.achacheni dhuluma wachaga pisha kwenye nyumba.
@sund2553
@sund2553 4 месяца назад
Huyu Mzee atakuwa alidhurumu mfiwa na watoto wa marehemu walikuwa wa dogo…..hawa ndio wale ndugu Yao akifa wana jimilikisha mali nakuifukuza familiar
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 4 месяца назад
Alikuwa mpangaji
@user-sm7gj4mn5n
@user-sm7gj4mn5n 4 месяца назад
Waziri mimi sio mnafiki Mungu akubariki kwa haya machache
@neemarosedawson3154
@neemarosedawson3154 4 месяца назад
Mh. Waziri upewe ulinzi wa Damu ya Yesu
@jacksonmichael799
@jacksonmichael799 4 месяца назад
Safiii👏👏👏 team JPM Forever.
@idybwoytz8485
@idybwoytz8485 4 месяца назад
Daaaah waziriii unakaziii kubwa San so pw 😂😂😂😂😂😂😂
@abdullahmbishi3435
@abdullahmbishi3435 4 месяца назад
😂😂😂😂hiii njaa ime kujaje sasa
@Emiliachambo
@Emiliachambo 3 месяца назад
Duh Waziri ana hekima sana
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 4 месяца назад
Uyu mzee mwizi kbs
@katabaroonlinetv9688
@katabaroonlinetv9688 3 месяца назад
Umeambiwa hama vizuri hutaki mmenza kupelekana polis binadamu bana yafanywayo gizani siku yakikaa kwenye Mwanga unaumbuka vibaya
@jonamnyone8014
@jonamnyone8014 4 месяца назад
Kutoka mpangaji hadi kuwa mmiliki!!! Kuna watu wanasumbua wajane lakini ipo siku watajibu mbele ya Mungu.
@onesmomwakasege5215
@onesmomwakasege5215 4 месяца назад
Kazi nzuri muheshimiwa ila hao wasaidizi wako wambie izo fail watafute namna yakuzibeba siyo kwenye mifuko kama hiyo nimaoni yangu
@mishiabdu7478
@mishiabdu7478 3 месяца назад
Mm mpia tume dhulimiwa mweheshimiwa na mama wadogo.naitaji msaada wako
@RehemaMustafa-x6o
@RehemaMustafa-x6o 3 месяца назад
Ila wachaga yan kila sehemu ya dhuluma mchanga anahusika
@gladistaemanueliy6336
@gladistaemanueliy6336 4 месяца назад
Huyu waziri mungu ampe nguvu na afya,
Далее
АХХАХАХАХАХАХАХАХ
00:16
Просмотров 170 тыс.
JERRY SILAA AAGIZA KUKAMATWA KWA WATU HAWA
6:17
Просмотров 2,9 тыс.