Nimegundua mnatangaza mbegu ya nyanya kilimo cha nyanya na kifahamu sana huyo kijana wa kwanza haelewi chochote kwenye kilimo huyo ni muundaji wa mbegu
hongereni Sana tbc kwa kipindi kizuri kama hicho. hapo tbc 1 kulikuwa na kipindi kizuri Cha mifugo na uvuvi saivi mbona akipo ? Onesheni kile kipindi pia nacho ni kizuri