Тёмный

THE CLASSIC DAZ BABA: KUPANDA NA KUSHUKA / DAZ NUNDAZ KUNA BEEF/ NAHITAJI WIFE/ UMBO NAMBA NANE 

KuviFacts
Подписаться 11 тыс.
Просмотров 10 тыс.
50% 1

Daz Baba ,moja ya legends wa Bongo Fleva ambae alikua ni miongoni mwa waliofanya aina hii ya muziki kupendwa zaidi nmyumbani kutokana n style yake ya kipekee lakini tungo zake zenye ujumbe makini kabisa,Nae amefika kwenye THE CLASSIC na kutupa hadithi nyingi ambazo hatukuzifahamu hapo kabla

Опубликовано:

 

29 дек 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 45   
@NdamilaSalada-st8rl
@NdamilaSalada-st8rl 7 месяцев назад
Hawa ndio watu wakuwafanyia interview nimefurai sana
@sidiqmhina7823
@sidiqmhina7823 7 месяцев назад
Daz Baba ni Great Thinker anaakili nyinyi sana anawaza na kuona mbali, nilimsikiliza kwenye album ya Daznundaz , Album yake Elimu dunia kuna ujumbe wa kutosha na ladha kali sana ya sauti.......
@RamadhanMatula-vg1wx
@RamadhanMatula-vg1wx 7 месяцев назад
Daaah nimefrai sana kumwona daz baba
@michaelbuoro3015
@michaelbuoro3015 4 месяца назад
Nipe tano, hands down had the best beat out of Tanzania. The vocalists also never disappointed. One of my best jams.
@MulababazOG
@MulababazOG 7 месяцев назад
Good work bro Keep it up for good work 👏
@alphamenson3784
@alphamenson3784 7 месяцев назад
Shout out sana Kuvi kwa kutengeneza hii platform ya kipekee.
@semenitheclassic
@semenitheclassic 7 месяцев назад
Legend ipo kiafya zaidi Nime pendaa sana ❤
@petrolconrad4250
@petrolconrad4250 7 месяцев назад
Yuko poa sasa
@abdalamhamed3586
@abdalamhamed3586 3 месяца назад
Shout out kwako mzazi kwa kutuletea awa watu
@BarakaJuma-jw5rt
@BarakaJuma-jw5rt Месяц назад
Nakubali sana kaka
@ishengomarugemarila908
@ishengomarugemarila908 7 месяцев назад
Toa ngoma tuko kwakukusapoti
@user-rr6dv4fb6x
@user-rr6dv4fb6x 6 месяцев назад
Wife and namba 8 respect p.funk
@koroboi0069
@koroboi0069 7 месяцев назад
Ebwana mbna Kali kutoka kwa Daz baba huyo mwana Ni mkali Sana from 254 voi
@yayananajota5838
@yayananajota5838 7 месяцев назад
Nipe 5👊👊my song forever
@eddiemohamed9003
@eddiemohamed9003 7 месяцев назад
The legend 🔥🔥🔥🔥
@user-th4fv9ro2v
@user-th4fv9ro2v 6 месяцев назад
Shuari mwamba daz baba ni mwamba
@khanafrica22
@khanafrica22 7 месяцев назад
Ukweli ni kwamba brothers wetu walikua very talented hata vocals zao ni pure sana hata bila autotune unamsikia yeye kabisaa kama aongeavyo...kudos kwao
@salaita2829
@salaita2829 6 месяцев назад
Na pia producers walikuwa hawarecord tuu walikuwa wanahakikisha upo fit ndio wanakupa record deal hata kama unaenda na hela yako,walikuwa wanatafuta cream.
@BENHAMADUwesuhamad
@BENHAMADUwesuhamad Месяц назад
picha zinakaa dk nyingi mpzina boa zanini broo acha video ipyei boss😢😢😢😢😊😊😊😊
@eddiemohamed9003
@eddiemohamed9003 7 месяцев назад
Have long life ❤❤❤
@BENHAMADUwesuhamad
@BENHAMADUwesuhamad Месяц назад
picha zinakaa dk nyingi mpzina boa zanini broo acha video ipyei boss
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION 7 месяцев назад
Mtangazaji unamaelezo mengi kinoma
@ambokilemussa3518
@ambokilemussa3518 7 месяцев назад
Missing you broda😢😢😢😢😢
@user-kt3ke4sr2e
@user-kt3ke4sr2e 6 месяцев назад
huyu mwamba namkubali sana
@benjaminlukumay1024
@benjaminlukumay1024 7 месяцев назад
Moja ya msanii niliyenunua albamu yake
@H-moneybags
@H-moneybags 5 месяцев назад
Daz intelligent kabisa tatizo uraibu kweli ni mmbaya umeharibu msanii mzuri
@richardjuma4940
@richardjuma4940 7 месяцев назад
Daz baba is a legend and top tier but he ain't fun interviewing, Majibu yake yapo straight, si tunataka details baba
@ambokilemussa3518
@ambokilemussa3518 7 месяцев назад
Best writer ever
@salaita2829
@salaita2829 6 месяцев назад
Ila p funk anastahili heshima kubwa sana,maana kila anayekuja hapa lazima ampe heshima yake.
@Official_adasco
@Official_adasco 6 месяцев назад
Jamaa anaakili sana aiseee
@salaita2829
@salaita2829 6 месяцев назад
Wasanii wote wa kitambo walikuwa na akili,pia ikumbukwe muziki zamani ulikuwa unaanzia mashuleni.
@abdillahchikota4303
@abdillahchikota4303 7 месяцев назад
Daz look like a bob marley,,respect to your broh
@nassorhamadi5738
@nassorhamadi5738 7 месяцев назад
Nimefurai kumuona na kumsikia Daz Baba
@sirbaraka
@sirbaraka 7 месяцев назад
Mtafute Roho Saba please 🥺
@REVOLUTIONARYLYRICS
@REVOLUTIONARYLYRICS 7 месяцев назад
Kweli jamaa alituojesha hiphop alaf akatoweka
@user-rr6dv4fb6x
@user-rr6dv4fb6x 6 месяцев назад
Good work bro.legend must respected
@Mpakauseme
@Mpakauseme 7 месяцев назад
Mziki wetu vipi tena na bongo tayali inamiziki yake sema ninyi watangazaji amui appreciate mfano singeri ni mziki pure wakibongo kwasababu ni uzao wa mnanda sasa hapo unaitaji nini tena na hapo zaidi ni muendelezo tu
@BENHAMADUwesuhamad
@BENHAMADUwesuhamad Месяц назад
atupendi mapicha picha unayo ambatanisha katika video
@hamisilukanda4353
@hamisilukanda4353 6 месяцев назад
Hawa jamaa ni hazina ya uandishi...
@mikatejunior1362
@mikatejunior1362 7 месяцев назад
Wapi dark master
@kennedymwagambo7197
@kennedymwagambo7197 7 месяцев назад
Fid Q hio verse aliua !
@njoroboihastla
@njoroboihastla 7 месяцев назад
DazBaba & Fid Unaitwa nani? Fid Q Kazi yako nin? Mziik Unaishii wapii? Ghetto Hii namba 8 ilikua🔥🔥🔥
@sidiqmhina7823
@sidiqmhina7823 7 месяцев назад
1998 MAJI YA SHINGO DAZ NUNDAZ NDO MCHEZO ULIPOANZA MIKAMWAMBA
@LoFi_120
@LoFi_120 7 месяцев назад
Mwaka 2006, nili chana class kwetu ngoma ya 'wife' 😂 niliamsha mbaya😁 fulu shangwe vigelegele kwa sana, nilikuwa darasa la 6. Nilikuwa na ndoto za kuwa msanini wa mziki sijui ziliishia wap🤣.
@BENHAMADUwesuhamad
@BENHAMADUwesuhamad Месяц назад
picha zinakaa dk nyingi mpzina boa zanini broo acha video ipyei boss😢😢😢😢😊😊😊😊
Далее
Это реально работает?!
00:33
Просмотров 3 млн
EXCLUSIVE: HUYU NDIO PRODUCER MIKKA MWAMBA
25:11
Просмотров 156 тыс.
DAZ BABA - Full Interview na Bongo Project
1:20:51