Тёмный
No video :(

THE CLASSIC DAZ NUNDAZ 2: KAMANDA WIMBO BORA MUDA WOTE BONGOFLEV/ALAMNUSRA WATU WAFE/KISA CHA NIPE5 

KuviFacts
Подписаться 11 тыс.
Просмотров 9 тыс.
50% 1

Sehemu ya pili ya maongezi na moja ya makundi bora ya muda wote Bongofleva Daz Nundaz wakiendelea kutupa hadithi kali za maisha na muziki wao

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 43   
@user-ej4hv3uw4v
@user-ej4hv3uw4v 2 месяца назад
Kiukweri kamanda ndo wimbo Bora wa mda wote anaebisha na abishe, Ayubu juma from kibaha🎉🎉🎉🎉🎉
@MadembweDickson-ur4kl
@MadembweDickson-ur4kl 2 месяца назад
Mbishi Aje mi nina fact za kutosha za kumpa
@idarousomar1
@idarousomar1 2 месяца назад
Kabisa bro ila kwangu Barua ndio wimbo bora wa muda wote
@official_lionboy_tz
@official_lionboy_tz 2 месяца назад
Kabisa kaka, wimbo huo ulikuwa na heshima kubwa
@alibinali_
@alibinali_ Месяц назад
Daz Nundaz-Barua nyimbo kali sana forever 🔥 🔥 🔥
@nassoromelele7339
@nassoromelele7339 Месяц назад
MIIKA MWAMBA the BEST📌
@barnabaschars1637
@barnabaschars1637 2 месяца назад
Feruz nilisikia tangu shule alkuwa mkali sn wa mashairi,he is very talented lkn game ya Bongo haiko fair
@claraellias6654
@claraellias6654 2 месяца назад
Tatu bora yangu Mtazamo 3 Kamanda 2 Chemsha bongo 1
@InnoTeo-id6hl
@InnoTeo-id6hl Месяц назад
Starehe 🙌
@bakarikayugwa3295
@bakarikayugwa3295 Месяц назад
Zari ra mentari ndio Mzee mksa wa bosi nipe Tano agost 13 nyaru rend nikusaidieje
@spartachize122
@spartachize122 Месяц назад
Hawa jamaa ukiskia walivyokua wanaandika nyimbo zao naona inatosha kabisa wakajengewa masanamu ili ata vizazi vijavyo vije kuwasoma❤kwa miaka hii hamna akili kama zao ata kidogo kabisa😊😊😊big up sana Daz nundaz
@gadimbajo
@gadimbajo 2 месяца назад
Nipe tano verse ya mwisho kuna mnyamwezi kachana sana, ndio verse yangu pendwa, niko simple kama x busy kama tax, lakini nashangaa hajaongelewa.
@user-rm5bj2uj5g
@user-rm5bj2uj5g 2 месяца назад
Rashid kaombwe aka la rumba bab kubwa sana
@wilbertjosephat1615
@wilbertjosephat1615 2 месяца назад
Feruz mnyama sana hata kujieleza yupo vizuri
@Eliabennet
@Eliabennet 2 месяца назад
Imagine na yupo smart sana
@richytarimo4656
@richytarimo4656 Месяц назад
feruz ana sauti ya pekee sana,,, saut tamu baalaaaa,,,
@SaleheAdamu-vv1fq
@SaleheAdamu-vv1fq 2 месяца назад
Daah mabrother wanamastory nimefurahi sana kuwasikia aisee.
@valencenkulanga9118
@valencenkulanga9118 2 месяца назад
Nakubaliana nao Kamanda ilikuwa na mchango kwenye mabadiliko ya mitizamo juu ya muziki wa bongo flavour. Mkasa wa boss reminds me my late mother,kaisikia usiku,asubuhi ananiambia vijana wanajua kuna mtu kalalamika kweli.Nikajisemea kweli bongo inakubalika sasa
@MadembweDickson-ur4kl
@MadembweDickson-ur4kl 2 месяца назад
Umesahau na Barua
@salumjumah5648
@salumjumah5648 2 месяца назад
Kweli kabisa
@animalx8346
@animalx8346 Месяц назад
Hapa tunaongelea 2000/2001 kama ulikuwa chini ya tuseme darasa la 6 tunaomba kuwajulisha kula zenu hazihesabiki, SAMAHANI BY UTAWALA
@drisakamwakitalima1937
@drisakamwakitalima1937 2 месяца назад
Big up to Jabir uko vizuri
@Nyanda506
@Nyanda506 2 месяца назад
Wasanii wa zamani walikuwa wanawaza sana kwenye kutunga ..Nyimbo zao huwa haziishi radha na mafundisho kama kamanda Duh
@KuviFacts
@KuviFacts 2 месяца назад
Salute sana
@richpaullzproductions
@richpaullzproductions 2 месяца назад
Namba 5 my best song everlasting hit
@SuleimanIbrahim-lp7qs
@SuleimanIbrahim-lp7qs Месяц назад
Yh no 1
@salumuseif3324
@salumuseif3324 Месяц назад
Kipind bora cha weekend
@maneno-my4lu4dt8i
@maneno-my4lu4dt8i 2 месяца назад
Tano bora yangu 1.chemsha bongo 2.Kamanda 3.Starehe 4.Zali la mentali 5.Barua
@user-vq3vj4ih6x
@user-vq3vj4ih6x 2 месяца назад
Ni kweli
@yusufsuwi5350
@yusufsuwi5350 2 месяца назад
Ila feruz ana saut tamu sn daa
@shabanihussein6329
@shabanihussein6329 2 месяца назад
Ndio
@abuubaqr5808
@abuubaqr5808 Месяц назад
Mererani ni kweli kabisaaaa 😂😂😂
@businesstanzania
@businesstanzania 2 месяца назад
lalumba ana kerere sana
@dastopadady2402
@dastopadady2402 2 месяца назад
Feluz ndie bdo ana kit2
@mohamedrashid6578
@mohamedrashid6578 2 месяца назад
Ivi umeisahauje jahazi la daz ?
@EmanuelRyoba
@EmanuelRyoba Месяц назад
Jahaz ni la ferooz
@animalx8346
@animalx8346 Месяц назад
Mbona mtangazaji kama Yuko biased, Daz nundaz ndo walifanya wazee waturuhusu hata kununua Kanda na kusikiliza sebuleni, sio dully Wala bdp, kwangu Daz nundaz ndio face wa bongo flava
@KuviFacts
@KuviFacts Месяц назад
kusema niko biased ni tuhuma ambazo ningepend kuzikanusha hapa,kuhusu swali lako nadhani unapaswakfahamu kua Bongofleva haikujengwa na msanii mmoja bali ni mchanganyiko wa wasanii wengi miana na miaka,BDP walitangulia kabla ya manunda na wao walikua na style ambayo haikua rap ndo mana wanatajwa kamamiongoni mwa waasisis,hii ndio sababu ya kufanya tunachofanya
@gadimbajo
@gadimbajo 2 месяца назад
Nipe tano verse ya mwisho kuna mnyamwezi kachana sana, ndio verse yangu pendwa, niko simple kama x busy kama tax, lakini nashangaa hajaongelewa.
@user-ho7lz2mr5x
@user-ho7lz2mr5x 2 месяца назад
Yap jamaa anaitwa SAJO aka CHUPA
@Lugongam
@Lugongam Месяц назад
ep1 sajo katajwa na hii intervyuu hajaweza kuwepo kwasababu yupo kanisania anabariki ndoa muda huo wa mchana
@KuviFacts
@KuviFacts Месяц назад
Afadhali umenisaidia kaka 🙏🏾watu hawasikilizi kwa umakini sometimes
@gadimbajo
@gadimbajo Месяц назад
Nimesikiliza vizuri tu, ila sijaona verse yake kama imepewa heshima kiivo, kama zilivyoongelewa verse nyingine, mi nasikiaga tu kuwa hakuimba yeye sijui alikuwa school, nilitamani wangeongelea waliweke vizur hilo.
Далее
small vs big heart 💖 #tiktok
00:13
Просмотров 4,9 млн
ПРОСТИ МЕНЯ, АСХАБ ТАМАЕВ
32:44
Просмотров 1,2 млн
Kala Pina_ Wazaramo (Official Music video)
3:07
Просмотров 30 тыс.
Barua (feat. Daz Nundaz)
5:26
Просмотров 132 тыс.