Тёмный

THE CLASSIC MAN WATER 1: KUMUIGA P FUNK/KUMTAFUTA/KUKOSANA NA ALIKIBA/UGOMVI NA 20 PERCENT/TUNZO 5 

KuviFacts
Подписаться 12 тыс.
Просмотров 5 тыс.
50% 1

Man water ni moja ya watayarishaji mahiri wa Bongofleva ambae pia anafanya aina nyengine wa muzki kama Dansi na kadhalika,wakati fulani kazi zake zilifananishwa sana na mtayarishaji nguli P Funk na kudaiwa kua katika beef wakati huo,katika episode hii Man water ameelezea mambo mengi ikiwemo hilo

Опубликовано:

 

15 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 15   
@samwelmakanzajr1194
@samwelmakanzajr1194 8 месяцев назад
Mwamba kabisa man maji❤❤
@reymekay1
@reymekay1 8 месяцев назад
Wasanii wengi ukiishi nao unajua .... wanazingua sna na weng ni sabb ya kupenda selelee “mseleleko” .... amini nawaambia
@CoachHafidh
@CoachHafidh 8 месяцев назад
Mzee wa Kombinengaa...🔥🔥
@khanafrica22
@khanafrica22 8 месяцев назад
Kaka mkubwa #Kuvi
@saidmasoud9004
@saidmasoud9004 8 месяцев назад
Man Water bonge la producer hatarii
@macdee_tv7622
@macdee_tv7622 8 месяцев назад
Bonge la producer
@Mbaley
@Mbaley 8 месяцев назад
Maji maji
@ikabako2454
@ikabako2454 8 месяцев назад
Eventually P ni mshindi wa kila situation. P anajua anafanya nini toka siku ya kwanza.
@loner_wolf
@loner_wolf 8 месяцев назад
Twenty na Walter ndio walijishika mikono kuvuka kiunzi kuja mjini .
@ikabako2454
@ikabako2454 8 месяцев назад
Keep doing the good job brother ! First here. First comment & first like 🤝💪.
@KuviFacts
@KuviFacts 8 месяцев назад
🫡Respect
@macdee_tv7622
@macdee_tv7622 8 месяцев назад
Kombinengaaaa
@edwardasumwisye3010
@edwardasumwisye3010 8 месяцев назад
Albamu ya Boni Mwaitege utanitambuaje katengeneza huyu mwamba
@salumuseif3324
@salumuseif3324 8 месяцев назад
uyo mpaka michiriki dogo mfaume Kaz ya dukan, anapga mizik yote
@niggahoodthemc9156
@niggahoodthemc9156 8 месяцев назад
✊🏿👮🏿‍♂️
Далее
Слушали бы такое на повторе?
01:00