Тёмный
No video :(

THE CLASSIC MB DOGG PT 1 :NIMERUDI VITANI/NILIKUA RAPPER /LATIFA ALIKUWEPO AKANIVURUGA/JUMA NATURE 

KuviFacts
Подписаться 11 тыс.
Просмотров 13 тыс.
50% 1

Finally Mb Dogg is baack ,na amefika kwenye meza ya The Classic na kuweza kupiga stories na timu ya The Classic wakiongozwa na Jabir Saleh aka KUVICHAKA ,Mb Dogg amefunguka safari yake ya muziki kuanzia awali jinsi ambavyo alifanikiwa lakini hakupata kipato anachostahili na pia jinsi ambavyo anakosa mirabaha ya kazi zake licha ya kuzimiliki kisheria.
Hii ni sehemu ya kwanza ya maongezi hayo
#theclassic #bongoflava #podcast #efmtanzania #mbdogg

Опубликовано:

 

24 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 35   
@Marjeby
@Marjeby Год назад
Daaaah jamaa nikimuona tuu namkumbuka sana mpenzi wangu mmoja mitaaa ya Mburahati kwa sasa ni marehemu mungu amrehemu tulikuwa tukigombana najifanya kununa basi ananimbia nyimbo za jamaa na jamaa kipindi hicho wa woto sana noma, mtoto alikuwa na shepu moja ya kukimbiza sana halafu mtoto wa kiswahili flani hivi alinifanya nikawa najulikana kinoma mitaa ya Mburahati na wana kibao waliamini mie mtoto wa Mburahati. Mitaa ya home Magomeni naonekana usiku tu aiseee noma sana ujana ulikuwa nomaa sana i missing those days
@KuviFacts
@KuviFacts Год назад
DAH NOMA sana
@h.jrugashaula1296
@h.jrugashaula1296 Год назад
Pole sana
@stevewanga957
@stevewanga957 Год назад
mshikaji alikua anapenda sana kuja mombasa,nafurahi kukutana nae
@user-mh9qg1bo2y
@user-mh9qg1bo2y Год назад
Natamani nikuone sijui ntakuona vipi MB Dog ..love from Rwanda
@ibrahimzuberi-qd6uv
@ibrahimzuberi-qd6uv Год назад
Huyu ndio alikuwa msanii wangu
@flinchclassic1531
@flinchclassic1531 Год назад
Bado yuko vizuri hajachoka kma berry white😂
@ramadhanjumayussuf6616
@ramadhanjumayussuf6616 6 месяцев назад
Kaka jabir big up sana kwa kipindi chako , ila watafute manzese crew pia
@ujenziwanyumbakisasatanzan6343
Mmeua sana, lkn as I advised earlier. Zikate ziwe clip fupi, fupi zipandishe. Tuwape shauku watu waje twende sokoni. Kuvifacts inatakiwa kuwa mbali sana. Mb Dogg aliimurder sana Ina maana
@keydeemasinga6986
@keydeemasinga6986 Год назад
Waooooo,nimeisubr sana hiii,dogy man,mb doggy my lovely big brother master🔥🔥🔥🔥
@abedymtore2707
@abedymtore2707 Год назад
My favorite artist
@geofreymkwelele3588
@geofreymkwelele3588 6 месяцев назад
Huyu jamaa mkali sana ila bado ana deni la mziki Fanya ngoma mzee
@jengadaudi-oe9wq
@jengadaudi-oe9wq Год назад
Jenga boy from Mbeya mwakalaleli big Mlete Jos mtambo 🎤 Mzee wa Michano Kuna hip hop na hip pah 😂😂
@husseinhussein9971
@husseinhussein9971 Год назад
Prensenter upo vizuri sana.
@orestonjalika632
@orestonjalika632 Год назад
Unyama mwingi sana
@silamnyama1642
@silamnyama1642 Год назад
Konki konki sana
@givenswallo9951
@givenswallo9951 Год назад
Unyama saanaa
@kdloon2030
@kdloon2030 Год назад
Tunaomba utuletee D'KNOB
@kibakivideos
@kibakivideos Год назад
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@keydeemasinga6986
@keydeemasinga6986 Год назад
Part2 lin
@user-ow8zs5iy3q
@user-ow8zs5iy3q Год назад
R dj mbona mwili mkubwa sana punguza kula bhana
@Alegria_doPovo
@Alegria_doPovo Год назад
Tunaomba / naomba na sisi hapa utuwekee na hizo ngoma ambazo hukatwa wanazipata waskizaji wa redio peke yao
@KuviFacts
@KuviFacts Год назад
zina haki miliki huwezi kuweka hapa
@Alegria_doPovo
@Alegria_doPovo Год назад
@@KuviFacts nakuelewa
@Ibrahim-ne3in
@Ibrahim-ne3in Год назад
Tafuta kazi ya kufanya vijana wa Sasa huwawez...wanapiga mapaty mfululu🤣🤣🤣
@Alegria_doPovo
@Alegria_doPovo Год назад
@kuvifacts fanya mpango wa jose mtambo
@harakationlinetv8224
@harakationlinetv8224 Год назад
Jose mtambo is addicted na ulevi wa pombe asili uku kigamboni, akija apo atachoresha tu anatia aibu ss majirani zake tunaiona hali yake
@pauljosephtarimo2279
@pauljosephtarimo2279 Год назад
Enzi hizo mwaka 2006 nyimbo ya latifa ilinibamba sana
@Hamy1109
@Hamy1109 Год назад
Huyu mwamba kilichofanya asiwe na maisha ni hao hao wakina Tifa….Ngoma kali, alipata mawe ila pisi kali zikapangusa wallet😂
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 Год назад
MSIFICHE MAMBO HAPO,,MAPENZI KITU GANI NDO ULIKUWA WIMBO WA WATU KUTONGOZEA,
@abdullyally59
@abdullyally59 Год назад
Sasa mwanaum unasuka kweli halfu iwejee
@user-sr3eo8mv7c
@user-sr3eo8mv7c 7 месяцев назад
Jinyonge
@mcgeemwamba9303
@mcgeemwamba9303 Год назад
Young killer msodoki vs Gee Mwamba freestyle session one 👉ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-txNU3kpJQ60.html
@hafidhdrogba3392
@hafidhdrogba3392 Год назад
Kaka ushakua acha kusukasuka nywele mda umeenda wanao watajifunzanon kaka.kumbuka we islam
@niggahoodthemc9156
@niggahoodthemc9156 Год назад
✊🏿👮🏿
Далее
C’est qui le plus fort 😂
00:18
Просмотров 1,2 млн
Cristiano ronaldo VS Tibo Inshape ! 😱😱
00:20
Просмотров 3,7 млн
C’est qui le plus fort 😂
00:18
Просмотров 1,2 млн