Тёмный
No video :(

THE CLASSIC MR BLUE PT 1:MIAKA 23 YA GAME/NLIPIGIKA NKACHUKIA WAANDISHI/KALAPINA POSA ILIKUAJE 

KuviFacts
Подписаться 11 тыс.
Просмотров 51 тыс.
50% 1

Hapana shaka kabisa kua Mr Blue ni moja ya wasanii waliokamilika sana Tanzania akiwa na uwezo wa Ku rap na kuimba ,akiwa amehudumu Game ya Bongo flava kwa zaidi ya miongo miwili mpaka sasa ,katika sehemu hii ya kwanza Mr Blue anaeleza miaka yake ya wali kabisa mpaka kuweza kutoa kazi zake za kwanza na jinsi zilivobadilisha maisha yake kwa ujumla zikiwemo changamoto kubwa

Опубликовано:

 

23 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 85   
@freddiemello7848
@freddiemello7848 Год назад
huku Kenya watu wa zamani tunakutambua sana kaka..ngoma zako freshy
@tonyi6807
@tonyi6807 3 месяца назад
Kenya upendo ni Mwingi sana
@macknonkibona2401
@macknonkibona2401 Год назад
Blue moja ya Sifa kubwa yupo real sana anapo hojiwa,ajui coforge mambo.....inavutia sana kwa star kama yeye na ni motivation kwa mastar wengi nchin
@tonyi6807
@tonyi6807 3 месяца назад
jamaa una usikivu mno big up
@allysaidy1840
@allysaidy1840 Год назад
Nakumbuka enzi zile nasoma mwlim nyerenyere lazima nipite pale magomeni karibia na oil com kumuona mchizi noma sana...much respect babylon baizer
@popperkuch669
@popperkuch669 Год назад
Good memories
@benony1205
@benony1205 Год назад
Hata mimi Nilikuwa nasoma shule ya karume nyuma ya shule ndio ilikuwa kikundi chao Micharazo
@abdiathumani919
@abdiathumani919 Год назад
Kweli sula yako sio ngeni yulikua twaangalia wote pale kwa shekh yahya
@mtutulaclassic6207
@mtutulaclassic6207 8 месяцев назад
we jamaa tumesoma wote nini?
@allysaidy1840
@allysaidy1840 8 месяцев назад
Daah inawezekana tukawa tumesoma wote we umemaliza mwaka gani??
@nyotamy3678
@nyotamy3678 7 месяцев назад
He got energy, memory, smart, vibe then at the same time anautulivu sana, cheki jinsi anavyotulia hapo na kujibu maswali. 🙌🏽🔥
@adrianmseso3261
@adrianmseso3261 Год назад
Nakubali nyimbo zake mwamba Mr blue pia shukulan zikufikie anko kuvifacts kibonge tozz
@eddiemohamed9003
@eddiemohamed9003 Год назад
LEGEND 🔥🔥🔥🎤🎤🔥🔥🎼🎼🔥🔥🔥🎼🎼🔥🔥🔥🔥🎤🎤🎤🔥🔥🔥
@ronaldissack3338
@ronaldissack3338 Год назад
Rapa Bora sana kwangu toka nazaliwa ,blue blue ilinikuta nikiwa form 1 huko chidya boys sekondari mtwara
@raiswakusini4297
@raiswakusini4297 Год назад
Nakubali kamanda wangu Babylon bayser nyani zee
@immastersurvival481
@immastersurvival481 Год назад
Kuna watu wanafanya interview but you brother una kitu Zaid ya interview brother appreciate you
@KuviFacts
@KuviFacts Год назад
Nashukuru sana kaka,Asante kwa kutazama
@baruanimalilo700
@baruanimalilo700 5 месяцев назад
Bado tunakupenda saaaaaana Mr Blue 💙💙💙💙💙💙
@khamisramadhan5133
@khamisramadhan5133 Год назад
Blue atuchane kuhusu ile ngoma yake na sugu ilikuaje
@kaditokenya6873
@kaditokenya6873 Год назад
Nipeni maua yake Kwa njia ya likes
@humphreymorise
@humphreymorise Год назад
Nipo mwanzo..sesion ya shule imepita, ningefurahi zaidi kuskia kuhusu uwezo wake Darasani hadi akafaulu shule maalumu Ilboru Arusha
@gnso_andrew2471
@gnso_andrew2471 Год назад
Kweli?
@allysaidy1840
@allysaidy1840 Год назад
Aliishia form 2 nilisoma nae shule moja hizo nyingine ni story ndugu
@mankwemba3841
@mankwemba3841 Год назад
We the best rap Tanzania ni Mr blue namkubari sana ❤tu big up Sana blue
@EllyNhembo
@EllyNhembo Год назад
Nimekuwa nikiwa naenjoy mzik mzur toka kwako
@samirmswahili
@samirmswahili Год назад
Bonge moja la interview salute bro kuvi
@ibrahimnjohole1684
@ibrahimnjohole1684 Год назад
Bonge moja la interview kuwahi kutokea kwa mr blue.
@hamzaminja5448
@hamzaminja5448 Год назад
best presenter of all time
@KuviFacts
@KuviFacts Год назад
Asante sana
@farajiissa560
@farajiissa560 6 месяцев назад
Jamaaaa alipokuja aliwasambalatisha matoz wote kipind kile
@djZezeman
@djZezeman Год назад
mapozi my favorite love from kenya
@khalfanmusa8974
@khalfanmusa8974 Год назад
Kudadeki ilikua uwe bwamshem blue sema dere ilikua bado yuko chuo😂❤
@jovincecharles
@jovincecharles 5 месяцев назад
Huyu arudi tena kaka kuvi
@agyally5127
@agyally5127 Год назад
Bongee Moja la interview salut saana kuv
@kwzrvivanHamza
@kwzrvivanHamza Год назад
Mzee mkubwa kwa hii game❤
@salumjumah5648
@salumjumah5648 Год назад
Uyu jamaa noma sana Mr bue byser
@kibakivideos
@kibakivideos Год назад
Kabaysaa 🔥🔥🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@user-us7mc7ur5y
@user-us7mc7ur5y 6 месяцев назад
Namkubari Sana huyu mwamba ❤❤❤
@yingsan6757
@yingsan6757 Год назад
Legendary anazungumza
@user-io1hm6ed4y
@user-io1hm6ed4y 7 месяцев назад
Blue mnyama sana unaenjoy interview
@rugambwaboniface3650
@rugambwaboniface3650 5 месяцев назад
Kwenye ngoma ya Tabasamu,kuna line amepiga hv nimepata id ya kusambaza kanda,nikapata show za kenya uganda burundi na rwanda,...nimegundua kua ngoma ya mapozi ndo ilimpatia izo shows na zikapelekea kuandika iyo line.
@Abuustar
@Abuustar Год назад
Mtyu wa watyu uyooh anaga noma
@makantaafrika
@makantaafrika Год назад
Safi sana 🙌🏿
@msumijoe5064
@msumijoe5064 Год назад
Bysa.. All time.. Player
@sokastreet
@sokastreet 8 месяцев назад
Msanii wangu wa muda wote
@ObaMizo-oc1wq
@ObaMizo-oc1wq 7 месяцев назад
Blue mnyama sana
@innocentmushi1550
@innocentmushi1550 Год назад
Analala kwenye maziwa😂😂
@Bbwaoy
@Bbwaoy 8 месяцев назад
😂
@dullahsimbaulanga6472
@dullahsimbaulanga6472 Год назад
>>>Kuvi conscious maswal mazur 🙌
@user-us7mc7ur5y
@user-us7mc7ur5y 6 месяцев назад
Legendary music ❤❤❤❤❤
@christopherjames3684
@christopherjames3684 Год назад
Hatari
@maalimzingizi4221
@maalimzingizi4221 Год назад
Mwamba sana blue
@amirimohammed2875
@amirimohammed2875 Год назад
✊kizaz sana
@kenyaharmonizebodyguard
@kenyaharmonizebodyguard Год назад
Mtangazaji nkadhani ni khaligraph Jones 254😅
@komboarts7110
@komboarts7110 Год назад
Ngoma yangu kwa Mr blue ni kiss kiss ni bonge moja la ngoma yani😂😂
@SirizaufalmewaMungu
@SirizaufalmewaMungu Год назад
Mzee umetulia sana kwenye mahojiano
@khalfanmusa8974
@khalfanmusa8974 Год назад
Iko saw kka
@yousramutwale2463
@yousramutwale2463 Год назад
Love u Mr mbue
@Rachid_Daudi
@Rachid_Daudi Год назад
#LiegeEdward 🔥 🔥 🔥
@AlexGwambie-xr2hm
@AlexGwambie-xr2hm Год назад
Kabaisa
@joelyansigary8213
@joelyansigary8213 8 месяцев назад
Jamaa utoton walikua wananiita mr blue😂
@izzoboy
@izzoboy Год назад
Naombeni interview plz
@shabbyofficial_
@shabbyofficial_ 7 месяцев назад
Ab skillz na yeye anasema mapozi ilikua yake akampa blue
@promisenyota_
@promisenyota_ Год назад
😀😀😀😀😀 eti nimnyang'anye na hii
@valenciatraseas4840
@valenciatraseas4840 Год назад
🙌🏻🔥🔥
@lucasmsogoti3435
@lucasmsogoti3435 Год назад
Babylon byser long live blood
@mwandustar
@mwandustar Год назад
🔥🔥🔥🔥
@mahmoodmohammed1679
@mahmoodmohammed1679 Год назад
Nlikua nangoja aseme miaka niliyoishi kwenye game imezidi miaka niliyowahi kuishi duniani😄...like tf bro...gademit!!!
@dannymachaku8943
@dannymachaku8943 7 месяцев назад
Kitambo hicho primary school
@clemencelamberti1911
@clemencelamberti1911 Год назад
Bsbylon bieeeezz
@hadserhood2823
@hadserhood2823 8 месяцев назад
Mad pack au kagomazi anajiita
@ncassien
@ncassien Год назад
🤝🤝🤝
@sadbimos
@sadbimos Год назад
Mwamba alifanya kizazi kipende music...apewe heshima ake tafadhar
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Год назад
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👊.
@jacksonkasika
@jacksonkasika Год назад
Mapambano yanazidi kusonga mbele unapopgika unajifunza vingi mwiko kukata tamaa
@MeastrasElKachelino
@MeastrasElKachelino Год назад
Mchizi namkumbuka sana, tangia mapozi akiwa mndogo mnyama...! Time flies
@fazeelshomary2704
@fazeelshomary2704 Год назад
Dah unyama mwingi sana kwa Baisa
@nicksoncharles-kx3gr
@nicksoncharles-kx3gr Год назад
Bro Kuna haja ya kutuletea father p
@micahkalume7826
@micahkalume7826 Год назад
👍
@AndrewPaulsr
@AndrewPaulsr 4 месяца назад
😂😂
@alibadi4325
@alibadi4325 Год назад
A
@niggahoodthemc9156
@niggahoodthemc9156 Год назад
Hip Hop family ✊🏿👮🏿
@raiswakusini4297
@raiswakusini4297 Год назад
Nakubali kamanda wangu Babylon bayser nyani zee
@Abuustar
@Abuustar Год назад
Mtyu wa watyu uyooh anaga noma
Далее