Тёмный

THE CLASSIC SUGU EP 1:MIAKA 30 YA GAME /BEEF NA KWANZA UNIT/KUHARIBU ZAWADI MBELE YA MKUU WA MKOA 

KuviFacts
Подписаться 11 тыс.
Просмотров 21 тыс.
50% 1

Kama hukuwahi kuona The classic na Sugu ambayo ilfanyika mwaka jana sasa ,tumekuwekea hapa ambapo Sug anaelezea alivyoanza game ya rap miaka 30 iliopita,katika episode hii Sugu ameelezea ugumu alioupata katika miaka hiyo na jinsi ambavyo aliwez kushinda vizingiti vikubwa katika safari yake mpaka sasa
#theclassic #sugu #jongwe #kuvifacts #trending #popular #podcast #bongoflava #kuvichaka

Опубликовано:

 

14 июл 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 45   
@TeamSelekta
@TeamSelekta 25 дней назад
Mrudie hii
@nikkimbishiunju2402
@nikkimbishiunju2402 Год назад
Gego Masta Repping UNJU BIN UNUQ
@Bumutz-po2df
@Bumutz-po2df 7 месяцев назад
Sugu ni Tupac Shakur wa Bongo 🔥🔥 much respect kaka jongwe
@kingnebuchadnezar
@kingnebuchadnezar 7 месяцев назад
Ifike mahala watu wampe sugu maua yake, sio mpaka aondoke, daily watu wanataja, dogo hashimu,profesa jay etc sikatai kwamba hawa watu ni hatari na ni tunawasheshimu sana ila SUGU ndio engineer wa hip hop halisi, mwanaharakati
@kingnebuchadnezar
@kingnebuchadnezar 5 месяцев назад
@thehunter5920 mwanaharakati, kupigania haki, toka enzi za wamachinga, sugu hakua wa kwanza hata kwanza unit hawakuwa wa kwanza, ila wote wapo kwenye kizaz cha kwanza cha hip hop ya bongo, ila sugu alikua tofauti kabisa
@kingnebuchadnezar
@kingnebuchadnezar 4 месяца назад
@thehunter5920 kuna mtu alikua anaitwa salehe jabir, alianzia kwa kubadiliaha nyimbo za kizungu na kuzichana kibongo, ila hao wote kina salehe, sugu, kwanza unit, kina KR wa temeke GwM, kina sygon wote watu wa mwanzo, yani kila kona kulikua na watu wameshaanza kuchana. Kizaz cha pili ndio kina proff jay, juma nature, jay mo, mwana fa,
@vuvuzelajordankhasindu2963
@vuvuzelajordankhasindu2963 4 месяца назад
Kuvifacts, am proud of you brother. Thanks for these Interviews. Peace.
@lowkeybongo
@lowkeybongo 11 месяцев назад
Hakuna kama Sugu hapa Bongo
@fadmwangosi1007
@fadmwangosi1007 Год назад
Mbona haijaisha wazee,tuwekeeni muendelezooo
@eliudntabusi9712
@eliudntabusi9712 6 месяцев назад
Hakuna kubisha SUGU kubws laoooo!!!
@phinaphina3201
@phinaphina3201 Год назад
Sugu number 1 MC in Tanzania
@kazimilykulwa2516
@kazimilykulwa2516 7 месяцев назад
Kuna jamaa wanaitwa kwanza unity noma mzee na hao ndo wameanzisha mziki wa kufoka foka watu wazima sasa hatari sana
@ronaldissack3338
@ronaldissack3338 Год назад
Raha Sana kumskiza sugu ,namwelewa sana anko sugu
@johnmwandu2116
@johnmwandu2116 Год назад
Bora nibaki na respect kuliko kuondoka na redio😂😂😂😂, Jongweee😅😅🙌🙌
@user-ti7nf4jc8g
@user-ti7nf4jc8g 4 месяца назад
Kaka mkubwa jongwe toeni ngoma moja na Mwana Fa itakuwa 🔥🔥🔥
@abubakarishariff8489
@abubakarishariff8489 7 месяцев назад
Uyu jamaa ndio anajuwa interview na wasanii
@castroydaimon3107
@castroydaimon3107 Год назад
Sugu moto chini
@vuvuzelajordankhasindu2963
@vuvuzelajordankhasindu2963 4 месяца назад
Good vibez kabisa. Peace.
@castroydaimon3107
@castroydaimon3107 Год назад
Nakukubali Sugu Mkali
@simas.a1003
@simas.a1003 Год назад
Sugu moto chini. Hatareeiii, nawakubali sana myamba EFM. Afu Tunamsubiri kwa hamu sana Jacob Makala a.k.a JCB😂😂😂👏👏🙌🙌🙌
@bensonjohn9633
@bensonjohn9633 Год назад
Mbeya Nchi,Sugu Raisi 😂😂😂
@mombamo5
@mombamo5 Год назад
💥💥Show Kal
@twahangamba3082
@twahangamba3082 4 месяца назад
Legend💪
@hameesnassoro7158
@hameesnassoro7158 Год назад
The meaning of real nigga...!!! Sugu moto chini..!! Wanamuita nani? Sugu. Hahaha Bro kuvi fanya km kuwe na muendelezo hv Taita bado hajamaliza story
@robartifabiani
@robartifabiani Год назад
Noma sana
@isakangogo3636
@isakangogo3636 4 месяца назад
Part 2 naitafuta sijaona
@eddiemohamed9003
@eddiemohamed9003 Год назад
LEGEND🔥🔥🔥🔥
@RichardCossan-rk1ub
@RichardCossan-rk1ub Год назад
🔥🔥🔥🔥🔥sugu
@ngaukamaita3979
@ngaukamaita3979 10 месяцев назад
Interesting Sugu
@Abuukhatibu
@Abuukhatibu 5 месяцев назад
😂😂😂sugu 🙌
@maicgado58
@maicgado58 Год назад
Sugu
@piuskusenge-jf2ob
@piuskusenge-jf2ob 5 месяцев назад
Ndo maana kumbe umekuwa ukifanikiwa sana
@pascalgodfrey686
@pascalgodfrey686 9 месяцев назад
Jongwe
@issaabeid1215
@issaabeid1215 Год назад
Gego the master.... nakuona kwa mbali.😀
@muddyville
@muddyville 9 месяцев назад
Mwanangu Ice Cube 😂
@ayoubbilali1050
@ayoubbilali1050 Год назад
mfalme wa rhymes anatakiwe aje apo
@user-kc3ux2oz8m
@user-kc3ux2oz8m Год назад
Mtata
@vuvuzelajordankhasindu2963
@vuvuzelajordankhasindu2963 4 месяца назад
Kindly bring Mr. Nice pia kwa studio. Peace.
@KuviFacts
@KuviFacts 4 месяца назад
Tazama nyuma hapo amekuja miezi miwili iliopita mkuu
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 Год назад
HE IS NOT FAKER
@jiwefurniture1128
@jiwefurniture1128 Год назад
Sugu mtu makini
@bongeone
@bongeone 7 месяцев назад
@zombazezu
@zombazezu 7 месяцев назад
Noma sana
@abbyjma7355
@abbyjma7355 3 месяца назад
Sugu
@raphaelmheta
@raphaelmheta Год назад
Jongwe
Далее
Salama Na SUGU Ep 50 | UJIO WA UMRI PART 1
32:38
Просмотров 110 тыс.
Schoolboy - Часть 2
00:12
Просмотров 5 млн
Разоблачение ушные свечи
00:28
Просмотров 736 тыс.
Mkasi - SO5E04 With Sugu
29:30
Просмотров 156 тыс.