Тёмный
No video :(

THE CLASSIC WAGOSI WA KAYA :TULIKUJA MJINI KWA KUCHANGIWA/MKUU WA MKOA ALITUMIND KISA TANGA KUNANI 

KuviFacts
Подписаться 11 тыс.
Просмотров 21 тыс.
50% 1

Karibu katika episode nyengine ya The classic tukiwa na Wagosi wa Kaya ambapo wametupa stories nyingi kuanzia mwanzo wa safari yao,jinsi ambavyo Prof Jay alivosaidia safari yao ,changamoto na mengine mengi kwenye safari yao mpaka sasa

Опубликовано:

 

24 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 51   
@dastonamichaels1854
@dastonamichaels1854 10 месяцев назад
Walivuma sana Mombasa Kenya conscious rappers with humor 😂
@ibrahimsaidi5068
@ibrahimsaidi5068 8 месяцев назад
Kabir sareh naomba umualike means shytown president noorah ndani ya kipindi big classic don't forgot my brother
@mwalyoyoalexander2758
@mwalyoyoalexander2758 10 месяцев назад
Ninachowapendea Wagosi, kila tatizo wanaloibua na kulisemea wanaweka na utatuzi wake kwenye wimbo. Kwenye wimbo wa "Soka letu" ama "Wauguzi" kote huko wamependekeza solutions. Almost nyimbo zao zote wameweka utatuzi wake!
@barnabasmafuru6735
@barnabasmafuru6735 8 месяцев назад
🎉🎉🎉🎉🎉
@musso238
@musso238 10 месяцев назад
Maisha nikuacha legacy sio story zisizo na mafunzo OG sana familiar
@mansourmkanakuta6641
@mansourmkanakuta6641 10 месяцев назад
Hawa jamaa noma sanaa nawakubali leo kesho keshokutwa nawakubali kwa nyimbo zao
@farajamfaume7545
@farajamfaume7545 10 месяцев назад
Wauguzi ndiyo nyimbo bora wa muda wote
@ratifaabdul4810
@ratifaabdul4810 9 месяцев назад
ukweli MTU ni albamu ya Kwanza na ya mwisho ya bongo flavour Mzee wangu alinunua kwakuwa yeye alikuwa MTU wa ushotoo
@zulfikakalumba1977
@zulfikakalumba1977 10 месяцев назад
Brothers of all the time, LEGENDS
@farajiissa560
@farajiissa560 5 месяцев назад
Daaah profesor jay anamchango mkubwa sana
@ismailismail-lr4is
@ismailismail-lr4is 2 месяца назад
Waheshimike sana hawa mabroo
@stanslausmteme8455
@stanslausmteme8455 3 месяца назад
Kidingi sana "Kama huna mkwanja"
@eliadaniel216
@eliadaniel216 10 месяцев назад
Long time nawishi nifanye nao ngoma wagosi ila one day
@robartifabiani
@robartifabiani 10 месяцев назад
Umeme na maji Tanzania ishakua keroo watu kerooo kerooo
@stevewanga957
@stevewanga957 10 месяцев назад
Mpka Leo bado keroo
@philipkomba5525
@philipkomba5525 10 месяцев назад
Nakumbuka sana enzi izo Sahare pale Dr.John ualikuwa simple sanaa ukikatiza maeneo ya sahare unamuona tu,... Safi sana kitambo sana R.I.P John Walker
@bensonjohn9633
@bensonjohn9633 10 месяцев назад
Mzee Baba! Bonge la Interview
@shabbyofficial_
@shabbyofficial_ 5 месяцев назад
Ile ngoma yao ya " waichajiii au wachungulia mesejiii" 😂 love from Mombasa Kenya 💯
@salminisaleh9249
@salminisaleh9249 8 дней назад
😂😂😂😂 Matatizo Ya Simu Za Mkononi. Haya Bibie Simu Yangu Waipeleka Wapi Naichaji Waichaji Au Wachungulia Message 😂😂😂
@shabbyofficial_
@shabbyofficial_ 8 дней назад
@@salminisaleh9249 ndo hio 🤣🤣
@user-gx6me7vv7s
@user-gx6me7vv7s 9 месяцев назад
Kundi langu lilikua linaitwa Ndulaz mob tulikuwepo kwenye uzinduzi wa album ya wagosi wa kaya
@saidimohamed9971
@saidimohamed9971 9 месяцев назад
Big brains wa muda wote
@jiwefurniture1128
@jiwefurniture1128 10 месяцев назад
Big time
@fadhilimatandala7629
@fadhilimatandala7629 10 месяцев назад
Dope interview! Wagosi wa kaya
@eddiemohamed9003
@eddiemohamed9003 9 месяцев назад
LEGENDS 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@mhinajerome5964
@mhinajerome5964 6 месяцев назад
Yaani kiukweli nimetoa machozi mlipofikia kwa John woka nimeumia Sana hii ndio Kali Sana
@user-bf6dm1zg2i
@user-bf6dm1zg2i 9 месяцев назад
Interview Kali,sema Wimbo na Nyimbo ni maneno yanayotakiwa kuzingatiwa katika matumizi Wimbo-Mmoja Nyimbo-Nyingi
@kaindulahwamburahaty6060
@kaindulahwamburahaty6060 10 месяцев назад
Hii Kizaziiiii Saaana Kuvichaka
@Tanga_father940
@Tanga_father940 10 месяцев назад
Noma sanaaa
@Chemba67
@Chemba67 10 месяцев назад
Big up Kuvi for making it happens, your contribution in Bongo music is unmeasurable. Ikikupendeza waite hawa watu japo hawakua na kazi nyingi ktk bongo hiphop lakini kazi zao zilikamata na bado ni noma.......Suma G-Vituko Uswahilini, K-Sal--featuring Feruzi- Mwana Mkiwa.
@KuviFacts
@KuviFacts 10 месяцев назад
Asante sana kaka ,hao wote nlishawaita labda tufanye new episodes nao tu ndugu yangu,asante kwa support ndugu
@Chemba67
@Chemba67 10 месяцев назад
@@KuviFacts I would love to see them back in the house 🏡 bro! Much love n respect,
@samirmswahili
@samirmswahili 10 месяцев назад
Interview imeshiba maswali na majib
@nicksoncharles-kx3gr
@nicksoncharles-kx3gr 10 месяцев назад
Giaaaaaaaa
@WestonMbuba-ff4jk
@WestonMbuba-ff4jk 9 месяцев назад
Interview classic sana. Bonge la stori
@babusonko4147
@babusonko4147 10 месяцев назад
Legends
@churchgeorge4172
@churchgeorge4172 16 дней назад
Hawa ni comedians
@husseinhussein9971
@husseinhussein9971 9 месяцев назад
Unafanya kazi nzuri Jabir
@emmanuelmollel7977
@emmanuelmollel7977 9 месяцев назад
Funk master flex wa bongo . KUVI
@user-wu9zz1bm9h
@user-wu9zz1bm9h 9 месяцев назад
Wagosi walikua na mafansi wengi mana walikua wasemaji wawanyonge kipindi kile wanafichua maovu kitaalam mambo ya afya utendaji kazi wa viongozi walikua wakitusemea sana.walipo badilika mtindo wao ule wakufichua madudu.ndipo mafansi nao wakapungua.warud Tena Kwa staili Yao hiyo watapata mafansi wengi mnomno.
@user-gm9ze2ho2f
@user-gm9ze2ho2f 10 месяцев назад
Kweli muda unakimbia
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 10 месяцев назад
👊✌👍.
@sokastreet
@sokastreet 8 месяцев назад
😅😅Eti nauli ya dada
@royaltyrochi5970
@royaltyrochi5970 10 месяцев назад
Mbona Haiplay??
@farajiissa560
@farajiissa560 5 месяцев назад
Wagosi wa kaya ni kama prophet kwangu walitabili vitu vinavyoish miaka hata 10000 mbele huko vizaz na vizaz
@Chemba67
@Chemba67 10 месяцев назад
🤣🤣🤣 Eti marapper gani suruali ya vitambaa
@mzarendo.com9624
@mzarendo.com9624 9 месяцев назад
Weee kweli ni kitobo ! Kwahiyo unataka washushe suruali kata kundu kama nyie mabwabwa mnao firwa hovyooo? Hao ndo wazee wa mji kwelikweli. Maninaaaa !!! 🥺🥺🥺😟😟😳😳
@MackameHassani
@MackameHassani 10 месяцев назад
Interview ilikuwa tamu na kaaaali sn bro, ila ebu tuletee uyo Prof.ludigo aiseee. Hivi uwa hatakagi interview kwani??
@mzarendo.com9624
@mzarendo.com9624 9 месяцев назад
Hawa jamaa wangeungana na ROMA Mkathoriki, yaani ingekuwa mwake kinomaaa !!!
@farajiissa560
@farajiissa560 5 месяцев назад
Kaka unataka kutengeneza bomu kaka ni hatar sana iyo
@MackameHassani
@MackameHassani 10 месяцев назад
Interview ilikuwa tamu na kaaaali sn bro, ila ebu tuletee uyo Prof.ludigo aiseee. Hivi uwa hatakagi interview kwani??
Далее
УГАДАЙ ЕДУ ПО ЭМОДЗИ! #shorts
00:57
Просмотров 130 тыс.