Тёмный

The Mboni Show - Binti Kiziwi " Biashara ya Madawa ya kulevya yalinifanya nifungwe gerezani Miaka 8 

The mboni show
Подписаться 13 тыс.
Просмотров 31 тыс.
50% 1

Развлечения

Опубликовано:

 

27 мар 2020

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 87   
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 4 года назад
Loooh umeniliza ndugu yangu..😭😭😭😭🙉 Alhamdullilah umerudi SALAMA KWA WAZEE WAKO NA MTOTO WAKO.. na kwenye nchi yako. Please ishi kwa salama.
@sophiamwakila3300
@sophiamwakila3300 4 года назад
Pole sana binti kiziwi. Umejifunza kutokana na makosa. Na umewafumbua macho watu wengi wenye uchu wa mali. Hongera pia mtangazi Mboni kwa mahojiano mazuri
@anuaryally6177
@anuaryally6177 4 года назад
Mtangazaji mwana dada kwa kuoji wewe jembe unatosha mungu akubaliki na kazi yako azidi kukupa wahaai mrefu na afya njema
@asanatimrisho1816
@asanatimrisho1816 4 года назад
Hii interview imenigusa kuliko zote alizowah kufanya bint kiziwi, hongera da Mboni, pole mdg angu hilo ni funzo Kubwa ktk maisha yako sidhan kama utarudia kufanya tenaa hiyo kitu Mungu akusimamie
@anabmahmoud9072
@anabmahmoud9072 4 года назад
Mboni big up umefanya interview nzuri sana inamafunzo ndani yake
@anuaryally6177
@anuaryally6177 4 года назад
Pole sana dada yangu yote ayo ni mitiani ya maisha mshukuru mungu umemaliza salama na mpaka sasa upo nyumbani ni jambo la kumshukuru mollah
@sophiasophia6945
@sophiasophia6945 4 года назад
Kabisa hii inter vew ni nzuri sana kuliko zingine zooote
@queenandchill91
@queenandchill91 4 года назад
Safi sana Mboni ...maswali uliyouliza umetuwakilisha tuliotaka kujua hasa what happened...Sio kama Interview zingine walimuuliza maswali ya kipuuzi tu
@xkingx8041
@xkingx8041 4 года назад
Umeonaee!!
@khadijahali4837
@khadijahali4837 4 года назад
Mboni ww ndo umejua kumuhoji ktk mahojiano waliomuhoji
@mariamrashid3252
@mariamrashid3252 4 года назад
Uwiii😭😭,nimelia kama mzazi cjui yy aliumia kiasi gani baada ya hy barua,ila yamepita mshukuru Mungu songa mbele.
@prisscakalasa4996
@prisscakalasa4996 4 года назад
Nice interview, mmetulia muuliza na muulizwa,I like it,keep it up da mboni
@elizasamweli500
@elizasamweli500 4 года назад
Pole sanaa dadangu hata mm nmejifunza kitu mungu akubariki naakupe nguvu yakusimama tena nautafanikiwa sanaa
@catherinecharles932
@catherinecharles932 4 года назад
pole sana nduguyangu nimejikuta nalia tu mimi😭😭😭
@takyatupu6839
@takyatupu6839 4 года назад
Mashallah sis umemuoji vinzuri sana hongera sana😍🔥
@benardbayakazungubaya8768
@benardbayakazungubaya8768 4 года назад
Mwenyezi mungu badoo anampenda xanaa .we learn thorough mistakes
@loveelooh1964
@loveelooh1964 2 года назад
Nilipita Thailand ile sehemu Ya kuondokea kuna Mashine kubwa Ata Kama umemeza madawa yanaonekana, na Wakiona mwafrika ndo kabisa wanamkagua sana
@almasiyusuph1275
@almasiyusuph1275 4 года назад
Nice interview......Sandra just look forward....yaliyopita c......!!!!
@winnieseme4944
@winnieseme4944 4 года назад
Kuna cha kujifunza. Barua ya mtoto imenitoa machozi😭
@nurumanyota416
@nurumanyota416 4 года назад
Kweli my
@lizzybahati9833
@lizzybahati9833 3 года назад
Inauma sana aisee Mungu atutetee katika maisha yetu ya kila siku 😭
@bakarisakawa6979
@bakarisakawa6979 4 года назад
Nashindwa kuelewa hadi sasa nchi za nje wanapohotaji mkalimani wa kiswahili ni lazima achukuliww mkenya hivi kiswahili wa tz hawajui ama wakenya ndo wamahiri zaid
@ahmedmazinge4075
@ahmedmazinge4075 4 года назад
Umeitendea haki hiyo taaluma,hongera tumepata majibu ki ufasaha
@btylove1870
@btylove1870 4 года назад
She's so beautiful Mashaallah! Kutenda kosa sio kosa mama bali kurudia kosa. Pole sana
@jojokweka1902
@jojokweka1902 4 года назад
Nice interview
@homan_nkwama
@homan_nkwama 4 года назад
We'll come back
@suleimanislam7777
@suleimanislam7777 4 года назад
Hii interv kweli imeniliza sana pole sandra umeeleza ukweli
@veevictorius5116
@veevictorius5116 4 года назад
Kurudia kosa ndio kosa. Binti maisha yatakuwa Sawa mwamini Mungu
@SetGozo
@SetGozo 4 года назад
great
@mateusjoao5584
@mateusjoao5584 2 года назад
Nampenda sana uyo dada
@rehemamustafa8134
@rehemamustafa8134 4 года назад
Barua ya mtoto jaman ndio imeniliza!
@yudatadeshayo4434
@yudatadeshayo4434 4 года назад
Fundi mboni wewe ndo umejua kuchimba vizuri
@aisatahaisatah2612
@aisatahaisatah2612 4 года назад
Wafanye kazi kweli
@user-xy8mh5id1l
@user-xy8mh5id1l 4 года назад
Dambon upo vzr sana kimaswari
@joynko4450
@joynko4450 4 года назад
I missed t show
@mohamedbakari9399
@mohamedbakari9399 4 года назад
Subra ni kitu kikubwa sana. Nan angejua baada ya miaka 10 ungetoka ukiwa mzuri kuliko zaman. Tusikate tamaa ukipita kwenye jaribu lolote kuwa na subira
@mumranjuskaranja8216
@mumranjuskaranja8216 4 года назад
No comments.. Ilitolewa kwa Jia ya choo
@thedeo472
@thedeo472 4 года назад
Mzigo unatolewa kwa njia ya aja kubwa. Eti no comments!! Ujinga Tu.
@SPrivy
@SPrivy 4 года назад
Tulia kaka💀💀 mdomo chuchunge mwanaume mzima
@SPrivy
@SPrivy 4 года назад
Sandra nakupenda❤️❤️❤️❤️🥺🥺🥺🥺
@lizzybahati9833
@lizzybahati9833 3 года назад
Enz hizo nyimbo ilivuma sana nilikuwa sjui kama ulikuwa nje pole sana madam ndo mapito ya dunia
@jastinimgidula8976
@jastinimgidula8976 4 года назад
Asante da mboni.
@pendooscar9322
@pendooscar9322 3 года назад
Mim naogopa sana iyo ishu yaan nikisikia tu mtu kashikwa mavi yanabana kiukweli pole Sana ndugu
@nurumanyota416
@nurumanyota416 4 года назад
Da mboni mimi nilikataa hicho kipindi na mimi nilikuwa na shawishia sana.
@nurumanyota416
@nurumanyota416 4 года назад
Jamani, alikuwa gereza moja na jack
@islandgirl4578
@islandgirl4578 3 года назад
Hapn
@pendomariki6562
@pendomariki6562 4 года назад
Madawa ukimeza unatoa kwa haja Kubwa that is the comment
@orestermartin8899
@orestermartin8899 3 года назад
Daah mpaka nimelia😭😭😭😭😭
@geoffreyembasa8483
@geoffreyembasa8483 4 года назад
Anajibu maswali kijelajela.Its like she doesn't want to implicate herself yet she's served her sentence
@salimashur9678
@salimashur9678 4 года назад
"Inatolewa na wapi huo mzigo"no comment....si useme tu mkun........ni haha alafu ndio utuambie samahani!!!!
@miriammacha5526
@miriammacha5526 4 года назад
Sasa kumbe unajua akuambie ili iwaje ?unahisi kila unacho weza kukitamka wewe kila mtu anaweza kukitamka ?????
@dalancydevin4302
@dalancydevin4302 4 года назад
😂😂
@mamapeace6730
@mamapeace6730 Год назад
Inasisimua mwili
@halima23862
@halima23862 4 года назад
Only America Zico hivyo inaitwa Family day
@rechomwaijande3273
@rechomwaijande3273 4 года назад
Mbona kama nimchina mchina kangozi kazuli ungefungwa gereza za Tz tungekupotea Ali yauchimi sasaivi bola ungebaki uko uko tu kuenderea kujifunza kushona
@islandgirl4578
@islandgirl4578 3 года назад
Wew homu ni homu tu asikwambie mtu
@sandekanyamala2832
@sandekanyamala2832 4 года назад
Kiti umesema kweli kabisa
@user-xy8mh5id1l
@user-xy8mh5id1l 4 года назад
Pole sana sandra mungu akupe wepes
@SPrivy
@SPrivy 4 года назад
Na uyo wastara mtumzima ovyo😹😹💀💔
@glorianikiza6033
@glorianikiza6033 4 года назад
Kipindi kizuri saana
@khadijasalum2302
@khadijasalum2302 4 года назад
Muhimu ndoa sandra msikae mkizini
@esterfred3980
@esterfred3980 4 года назад
Sandra mpole Sanaa yote katika utaftaji pole sanaa mpenz
@aishanatamaniningekuepoktk5062
@aishanatamaniningekuepoktk5062 4 года назад
Mbona humuulizi hao waliomtuma baada yakupata matatizo walimsaidiaje au hawakumjua tena
@nahyialetomia9284
@nahyialetomia9284 4 года назад
Mkenya mmoja amefungwa miaka 25
@jumbompondela5045
@jumbompondela5045 4 года назад
Pole my dear
@suezanna2690
@suezanna2690 4 года назад
Huyu dada alijua ni nini amebeba na wapi anaenda st the age of 22 ati huji nini
@muniradaudi440
@muniradaudi440 4 года назад
Humo mulimo ni ndani ya ndegee au hhhh
@elizalwakatare8070
@elizalwakatare8070 4 года назад
Kwenye boti kwa hujaangalia mpaka mwisho
@hazelbrown4712
@hazelbrown4712 4 года назад
Mboni bwana hahahaha Mwanamke wa Kiislamu unajua kufunika Kichwa Nywele umeziziba ila sasa Miguu yote na Magoti Karibia na Mapaja yapo nje🤦‍♀️🤦‍♀️
@lizzybahati9833
@lizzybahati9833 3 года назад
😆😆😆
@dianaroserusimbi6003
@dianaroserusimbi6003 4 года назад
Hajui kujib maswal ata, ili bidi wamfundishe jins yakuhadithia
@zakiahamisi9840
@zakiahamisi9840 4 года назад
Tamaa mbaya, faida yake ndiyo mi sioni sababu ya kukusikitikia mana ulifanya kwa makusudi kutaka kuharibu wengine kwani ulikuwa ujui madhara ya madawa wangekupa kama 20years
@lisasalum2462
@lisasalum2462 4 года назад
Wewe ni kuma na hujui maisha msenge kweli
@watakaniitaje1215
@watakaniitaje1215 4 года назад
@@lisasalum2462 Asa matusi ya nini na Dada wa watu kaongea kitu true hivi angetusua hapo angetuangaliaje uswazi kama sio kwa kujimwambafai zaidi Tena hata iyo 20 midogo akomeeee Maisha ndo yanakufanya uharibu watoto wa wenzio mbona sie tunauza vitumbua na maisha yanaendelea tamaa zake tu
@farhatsuleymaan5625
@farhatsuleymaan5625 4 года назад
Sikilizeni nyie.. Siku zote tunaambiwa Usishangirie kabla refa hajatoa maamuzi. Ikiwana na maana usifurahie ingawa bado mapema... Hujui lini yatakukuta. Msianze kushusha lawama ikiwa hayajakufika. Bora mnyamaze tu.
@lisasalum2462
@lisasalum2462 4 года назад
Ndio nyie nyie mnatiwaga tu vidole nyumbani yani kula kulala hakuna unachoelewa tuliza kisimi fala wewe...... mtu ana omba msamaha na kujutia makosa yake wewe mkundu unakuwasha nn mnakera wasenge
@watakaniitaje1215
@watakaniitaje1215 4 года назад
@@lisasalum2462 hakuna tusi jipya labda likageuza mbingu au likazima jehanam hapo msamaha Anamuomba Muumba wake ila ukweli utabaki kwamba akomeeee angetutusua huku uswahilini tusingekunywa maji Tena akomeeee angepata Ata kifungo cha maisha hakuna maajabu Kuna mtu anaeomba msamaha kabla halijamkuta angewin angeomba msamaha msituchoshe hapa Tunauza vitumbua tumepanga vyumba tunasomesha watoto na maisha yanaendelea hebu tupishane hapaaa
Далее
Разбудили Любимой Песней 😂
00:14
Qizim 58-qism | Anons |Nimaga meni bolam o'ladi ?
00:47
itazame ngoma inayo ongoza kwa usafi TANZANIA
6:30
Просмотров 10 тыс.
Deep Learning Interview Prep Course
3:59:50
Просмотров 335 тыс.
Заячий Стон - Рот пятничный
0:55