Тёмный
No video :(

TIMU YA MPIRA YA MASANJA MKANDAMIZAJI 

FEEL FREE CHURCH Dar es salaam
Подписаться 199 тыс.
Просмотров 224 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

18 дек 2019

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 165   
@ambadedekilala973
@ambadedekilala973 4 года назад
Hebu tuache wivu,haya ni maendeleo makubwa sana,hongera kaka,unatisha
@charlesmbungemasai8176
@charlesmbungemasai8176 4 года назад
Masanja nakukubali toka moyoni bro ase nakukubali sana bro yaan natafta ela siku nikioa uje mtu mzima masanja your the best bro
@barakannko8682
@barakannko8682 4 года назад
Kama unamkubali huyu mkandamizaji pit n Like tujuane
@maryamabdallah9869
@maryamabdallah9869 4 года назад
Nakukubali broo gonga like Kama unamkubali masanja
@anthonyfaru9908
@anthonyfaru9908 4 года назад
Ni vizuri na inapendeza Sana kuona MABADILIKO na HAYO ndo maendeleo thnx
@mtumishidoublek1504
@mtumishidoublek1504 4 года назад
Mnaomkubali Masanja Mkandamizaji Gonga Like hapo.
@deusdeditswebe8930
@deusdeditswebe8930 4 года назад
anajitahidi... anakuja vizuri ni hatua...
@bujiiclassic1964
@bujiiclassic1964 4 года назад
Una kanda misa mtani nice one
@georgeisdoryisdory6989
@georgeisdoryisdory6989 4 года назад
Uyu jamaa anaakiri kinyamaa
@abdulrazackkipingu5437
@abdulrazackkipingu5437 4 года назад
Safi sikuzote hutakiwi kuogopa kulianza jambo heshima kwako saluti mapinduzi ya maendeleo ya soka kama nayaona sasa kwambaliii.respect tuwe na kina mo wengi
@alexchungu9505
@alexchungu9505 4 года назад
Pesa unayo ila upo simple tu.. safi
@danielezekiel3706
@danielezekiel3706 4 года назад
Mwenye gari Namba A amekutangulia kumiliki gari mpe heshima yake
@florambwambombwambo1322
@florambwambombwambo1322 4 года назад
Jamani MTU apewe hongera zake kwelimasanja mungu akubariki
@pettymsungu6420
@pettymsungu6420 4 года назад
Nakukubali sana mzalendo nyinyi ndio wa2 tunao waitaji pa1 nakufanya kilakityu then tunarud nakupush Home sweet home🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@christophermgoli1236
@christophermgoli1236 4 года назад
MUNGU akubariki baba Mchungaji Tupo pamoja
@frankmwafifi6712
@frankmwafifi6712 4 года назад
Big up Sana masanja naamini mbeya hakuna mafala
@cornelkibasa4785
@cornelkibasa4785 4 года назад
Jamaaa ana hela huyu balaaaaaa
@selemanshechonge5456
@selemanshechonge5456 4 года назад
Hongera sana mungu akupe moyo wa kupambana unatumia fursa vizuri
@devothabishagazi2311
@devothabishagazi2311 4 года назад
Hongera mwanawane
@AhmedAli-qr9ug
@AhmedAli-qr9ug 4 года назад
Soon natak nihubiriii...Nileee helaa ya sadakaaa
@evancekisambo2434
@evancekisambo2434 4 года назад
xana brooo mbarali kwetu nakusubir unavokuja kupenda mpunga
@geofbeka1669
@geofbeka1669 4 года назад
Nimependa kila kitu isipokuwa hayo maneno ya hapa kazi tu wangeachiwa wanasiasa
@stevenpaul4818
@stevenpaul4818 4 года назад
Hongera sana masanja
@KingKong-db9zv
@KingKong-db9zv 4 года назад
Hongera kwani kanunua yeye acha ufala
@mussajacob8346
@mussajacob8346 4 года назад
Ongereni mmejipanga saana
@moseserasto7011
@moseserasto7011 4 года назад
Nichujue mm unifanyie majaribio, ujiona mm mbovu nitimue na nauli usinipe.
@amanafi1288
@amanafi1288 4 года назад
Mwana Waaneee... Mkulima mwenzangu Massanja ninakukubali xana ...
@kingziletv6970
@kingziletv6970 4 года назад
Masanja nimkulima lakini sio mwenzio mnatofauti kubwa
@amanafi1288
@amanafi1288 4 года назад
@@kingziletv6970 Acha weee... Yey unamshuku saana kuwa binadam fulani wa kipekee sio
@kingziletv6970
@kingziletv6970 4 года назад
Sio sio binadamu Wa kipekee Ila ni mkulima Wa kipekee
@amanafi1288
@amanafi1288 4 года назад
@@kingziletv6970 Sikubishii ni kweli hata kipindi wanaanzisha Comedy EATV baadhi Watu jamii yako waliwaona wale ni wa Kipekee hivo ivo. Kongole kwake..
@donaldelias6689
@donaldelias6689 4 года назад
😂we jamaaa na mtumishi wi mana, imana ikuhagalikile chane chane,
@sebastiankatalle2732
@sebastiankatalle2732 4 года назад
Hakuna Uhusiano wa danadana na mpira uwanjani
@makikomagongojr
@makikomagongojr 4 года назад
😆😆😆😆 kibichiiii
@africanforester6019
@africanforester6019 4 года назад
Aliyesikia sikiliza ,zima alete like 😀😀😀😀
@ta5368
@ta5368 4 года назад
Kama umemsikia MASANJA MKANDAMIZAJI *4:14* anasema zima camera zima Gonga like
@ilmhd6758
@ilmhd6758 4 года назад
Mwakani lazima ipande ligi kuuu, Hongereni ihefu kwakujinunulia bus na kujenga uwanja.
@nevlintesha4462
@nevlintesha4462 4 года назад
Kama umeona gari halia AC gonga like hapo fyade😂😂😂 wakija nalo dar watapata tabu sana
@ilmhd6758
@ilmhd6758 4 года назад
Nevlin Tesha kwani match inachezewa ndani yagari?
@glorynguma3593
@glorynguma3593 4 года назад
linanayo hizo chiki zako binafsi number D hiyo
@nevlintesha4462
@nevlintesha4462 4 года назад
hapana mmenifikiria vibaya sijaandika kwa chuki ni kama utani tuu ila pia uhalisia wa ilo gari halijatengenezewa mfumo wa air condition
@festomlowegypsum8214
@festomlowegypsum8214 4 года назад
Hii ndo evatoni yabongo naipendaihefu
@lucasshayo9705
@lucasshayo9705 4 года назад
Umetisha mtumishi
@usajiliusajili6511
@usajiliusajili6511 4 года назад
Kweli Mbarali Mbeya kwetu kabisa Viva Mbeya
@ibraimoissiaca6058
@ibraimoissiaca6058 4 года назад
Hongera kwa kumpata sponsor japo unamficha
@mtuhalisitanzania9484
@mtuhalisitanzania9484 4 года назад
mpira upo babu au ndo mpira gari sio miguu
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 4 года назад
Vizuri sana kaka Mungu akubariki
@harunhemben8340
@harunhemben8340 4 года назад
Mbosso
@nasibugunda7927
@nasibugunda7927 4 года назад
Nakukubali sana mkuu
@AbbyTheKing
@AbbyTheKing 4 года назад
Sikiliza mwanangu zimaaaa
@albanbros7210
@albanbros7210 4 года назад
Naipa pongezi sana hii timu.Kwanza ina uwanja wake wa ambapo Yanga mpaka sasa hawana,Simba ndo wana miezi 2 tangu wawe na uwanja wao. Bus lao ni zuri kuliko mabasi ya Yanga na Simba.Huwezi linganisha Yutong F11 na hiyo TATA MARCOPOLO(wanaojua mabasi watanielewa vizuri ubora wa body ya MARCOPOLO ukilinganisha na za kichina). Endeleeni kui-support hiyo team.
@sideboy1299
@sideboy1299 4 года назад
We acha ushamba nenda ubungo Kama utakuta bus Tata yangekuwa na ubora yangejaa ubungo hizo stika zinakudanganya zimejaa kariakoo unanunua Fundi anakuwekea 😂
@albanbros7210
@albanbros7210 4 года назад
@@sideboy1299 Wewe ndio mshamba.Kitu kuwa kingi haimaanishi ya kwamba ni bora wengine wanakimbilia bei chee ndo maana unaona vipo vingi. Hii bei yake sio sawa na hizo YUTONG F11 za kupewa za Simba na Yanga. Hiyo body ubora wake ni tofauti kabisa na body za kichina. Zipo kampuni zina hizo body fuatilia vizuri.Zipo chache sababu bei juu na si kwa sababu ni mbovu.
@DigitalEd4Africa
@DigitalEd4Africa 4 года назад
ihefu on top #pureafrican
@azizacleny8677
@azizacleny8677 4 года назад
Na pancha juuuu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 SIMBA FOR LIFE hamtutishi. Na uwanja umechoka dadeq 😂😂😂😂
@ramadhanisuru1822
@ramadhanisuru1822 4 года назад
Masanja uko vizuri
@danielmpokasye6108
@danielmpokasye6108 4 года назад
Daaa hii kichwa haijawah kua na akil naenjoy cn na porojo zake.
@fredykihumbedirector7635
@fredykihumbedirector7635 4 года назад
Nimekubali pia hongera
@de-solenza5218
@de-solenza5218 4 года назад
Sawa myangu je! 😀😀😀😀😀Hiyo ndinga ndo inayocheza mpira???
@ericbajeme
@ericbajeme 4 года назад
Nakubali Effort Zako
@lenatiusjonas5464
@lenatiusjonas5464 4 года назад
daah ili bas noma yan kupanda tu ni mazoezi tosha kwa wachezaji kwel dunia inaenda mbio😂😂😂
@eddechriss2664
@eddechriss2664 4 года назад
Kajumulo, moro United, singida United, African Lyon wote walikuja hivyohivyo
@wafaidaconnection3470
@wafaidaconnection3470 4 года назад
Daaah haisee muna mawazo mgando Sana nyie kuma, Jamaa kasema itakuja sumbua ligi kuu Kwa maana iko kwenye proses za pre premier League na isitoshe hzo timu zngine zilishindwa kuendelea Kwa kuwa na miundo mbinu mibovu achia Mbali uwanja usafiri na Mtaji SASA Kwa timu ndogo kama hii hta ligi kuu haijafika ina bonge la usafiri munafikili nini atma yke kama sio kufanya vzuri Acheni Roho Mbaya
@eddechriss2664
@eddechriss2664 4 года назад
@@wafaidaconnection3470 kwani ukiwasilisha maoni yako bila lugha chafu kipi utapungikiwa. Hakuna asiye taka maendeleo ya mpira katika nchi yetu sote tunataka club nyingi tu zije ili kuweza kushindana na hizi club 3 ambazo ndio zinaushindani pekee, pia lazima utambue hili club ifanikiwe inahitaji vitu vingi tu sio bus pamoja na kiwanja pekee
@wafaidaconnection3470
@wafaidaconnection3470 4 года назад
Tatzo munakandia wakat kuna club nyingi Sana hawana chochote usafiri pia Ni very chiep kama Costal union Singida United na nyingine nyingi
@ilmhd6758
@ilmhd6758 4 года назад
Ii ni ihefu mzee tulia mambo mazuri yanakuja, Na tukuyu stars inakuja tena.
@saidiselemani7786
@saidiselemani7786 4 года назад
Sema uwanja umekuangusha hauko poa
@josephmpiluka6381
@josephmpiluka6381 4 года назад
😂
@kayorawilliam269
@kayorawilliam269 3 года назад
Masanja wewe unatumia fursa mkuu mwanzo mzuri miaka mitano ijayo wengine tutapata timu za kushabikia hapa bongo
@noelyjonsi9741
@noelyjonsi9741 4 года назад
😀😁😂kuna binadam wamezaliwa kupinga amakukosoa maendeleo wa ya watu wakati uwezo wao siajabu umeishia kumilik smart phon tu pongeza hatua nzur
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 4 года назад
Hahaha hahaha 😂😂😂
@miketimejah4280
@miketimejah4280 4 года назад
God bless you and enjoy your Xmas and Happy new-year to you. Umeongea bonge la point tena waongezee volume
@lucygodfrey4544
@lucygodfrey4544 4 года назад
Et basi lenyewe tata haaaa we unalo,,
@florianbeatus5682
@florianbeatus5682 4 года назад
Itakufilisii hyoo..magari so wachezaj ohoo
@thegoldenqueentz970
@thegoldenqueentz970 4 года назад
Hahhhaha...duh🙌
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 4 года назад
Safi sana masanja, vijana wana mambo mengi ya kujifunza mazuri kutoka kwako, viva watanzania tujifunze kufanya vitu vya maendeleo
@barakambwilo4602
@barakambwilo4602 4 года назад
Safi saaana.
@ibrahimkadibo810
@ibrahimkadibo810 4 года назад
Bus lenyew Tata, halafu unajitamba namna hiyo. Magali ya wahindi hayo...hamna kitu hapo.
@blandinamnyinga8318
@blandinamnyinga8318 4 года назад
Good progress
@110nisaardani6
@110nisaardani6 4 года назад
😃😃😃😃
@bonifacepontian1391
@bonifacepontian1391 4 года назад
Tatizo uwanjan halichez gari....watu wanaenda mpk ma baiskeli uwanjan...na wanashindaaa
@misoclassic9577
@misoclassic9577 4 года назад
Ubaruku hiyoooo
@gauedwin1960
@gauedwin1960 4 года назад
Naomba picha ya kidirisha Kwa Libus🤳
@johnysabai9474
@johnysabai9474 4 года назад
Hilo chama lipo wap nipe usajili boss
@kingmavenga8913
@kingmavenga8913 4 года назад
hivi hili gari marcopolo tta au...nimeona vbaya
@fredmsigwa4047
@fredmsigwa4047 4 года назад
onesmo kibate ndio uko sahihi
@mavuzijiwe6805
@mavuzijiwe6805 3 года назад
Masanja Unatisha na Nina Amini Hivyo vitu nivyako siyo kama jamaa zetu full kick
@davidjosephmsuya1929
@davidjosephmsuya1929 4 года назад
Acha kujidanganya Na olewako uyakanyage uingiea mziki wa mnyama ule 20-0 ndio ukome kusifia gari
@stephanchotter595
@stephanchotter595 4 года назад
etii mnyama ingza ya kwako ligi kuu na wewe
@godrickngoda9843
@godrickngoda9843 4 года назад
Wewe mzaramo mpaka ushabikie simba na yanga
@mudakahmad3657
@mudakahmad3657 4 года назад
LA kwanza lililopauka LA chama lako LA simba
@harunimsigwa1904
@harunimsigwa1904 4 года назад
Eti bonge la tukio😁😁😁😁
@silyviapaul2676
@silyviapaul2676 4 года назад
kwani kaka masanja we timu gani maana sikuelewi na number D hiyo haaaaaaaaaa!!!
@jumaigembemakula3698
@jumaigembemakula3698 4 года назад
PESA, ELIMU AU MADARAKA kimojawapo mtu akiwa nacho anaweza kibadirika na kuwa siyo yule wa mwanzo isipokuwa wale wasio wapumbavu Nachompendea ndg Emmanuel mgaya ni yuleyule Siku zote hajawahi kubadirika Nahisi yeye ndivyo alivyoumba vitu vyake huvifanya kawaida sana japokuwa vitu vyenyewe so vyakawaida hiyo ni roho ya waliofanikiwa binafsi Mimi nitajifunza kupitia wewe brother
@vitukomjinioriginally398
@vitukomjinioriginally398 4 года назад
😅🤣😂😂😀mtafungwa mengi nyie shauri yako masanja na ihefu yako
@josephmpiluka6381
@josephmpiluka6381 4 года назад
😂😁
@kimbyarungwe4959
@kimbyarungwe4959 2 года назад
Naitaji jezi za I hefu ntazipataje
@belathomgayamavyale5022
@belathomgayamavyale5022 4 года назад
Kamwenee
@nenolakristomaisha.5611
@nenolakristomaisha.5611 4 года назад
TUTAWAJUA TU WASANII
@suleamber7252
@suleamber7252 4 года назад
Masanja🔥🔥kweli unani inspire
@ramadhanmoshi1038
@ramadhanmoshi1038 4 года назад
Kwani gari ndo linacheza masanja mbona mbwembwe nyingi
@mathiaszakaria7052
@mathiaszakaria7052 4 года назад
Hapo bado uwanja tu
@edsonthegame
@edsonthegame 4 года назад
Naomba kubwa msemaji wa timu
@annaemmanuel4657
@annaemmanuel4657 4 года назад
Gari ni marcopolo hapo tu ndo nimependa, sio team ina yutong khaaaa
@exaudmwakila2651
@exaudmwakila2651 4 года назад
Hakuna utumishi Apo uyo no mbabaishaji tu naweza kusema mpinga kristo
@onlinemateustv1925
@onlinemateustv1925 4 года назад
@@exaudmwakila2651 Hee nawewe pole sana
@exaudmwakila2651
@exaudmwakila2651 4 года назад
@@onlinemateustv1925 mpe pole Bibi ako
@richardmhagama9420
@richardmhagama9420 4 года назад
Hilo chma hatri
@konfid
@konfid 4 года назад
😂😂😂😂wachezaji wakwapi
@fadhiliefron2820
@fadhiliefron2820 4 года назад
Haiya mkandamizaji
@josephlutatina9416
@josephlutatina9416 4 года назад
Very challenging aiseeh hongera sio kitoto aiseeh 💪💪💪
@salumunandauka8200
@salumunandauka8200 4 года назад
Masanja mbone lina mlango kama wa choo hilo gari
@ramadhanichilumba3610
@ramadhanichilumba3610 4 года назад
Tata marcopolo g7 hiyo
@bonyconstantine2300
@bonyconstantine2300 4 года назад
Gari ndo linacheza
@nenolakristomaisha.5611
@nenolakristomaisha.5611 4 года назад
YAANI WE BABA, HIVI WEWE MUHUBIRI WA INJILI AU (maana hufanani)
@josephhaule9123
@josephhaule9123 4 года назад
Heromin Evarist Hata mm ninashaka
@evangelistmagadula6509
@evangelistmagadula6509 4 года назад
Kwani kunadhambi hapo kafanya?
@Shyombomnyaksya5843
@Shyombomnyaksya5843 4 года назад
Hahahahahahahaha,,,,, wenge kubwaa ,,, si boraa hizo Hera ndo mngejengeaa uwanjaaaa
@asafubuheri6900
@asafubuheri6900 4 года назад
Masanja hana haja na matangazo yeye ni tosha
@wailesdeus3764
@wailesdeus3764 4 года назад
Mbona uwanja hujaleta mbwembwe 😂😂😂 uwanja haufanani
@MICHAKATONOAH
@MICHAKATONOAH 4 года назад
Huyu ni msemaji wa timu naona amejilikisha na timu
@sophiachanai8306
@sophiachanai8306 4 года назад
Ilo kagari lita mkaba kagere au
@sundayrashidi724
@sundayrashidi724 4 года назад
Aliesikia "alo ww unaiba"ghafla ikasikika"we waache itakua wameomba hao" kumbe baba mmeenda tuu kuwapa promo 😅😅😅ILA HAPPY BIRTHDAY TO YOU EMMANUEL
@nasibugunda7927
@nasibugunda7927 4 года назад
Hiyo haiwezi shindand bus ya simba au yanga zina automatic door Ala bus yenyewe tata la india lina mlango wa bafu kama daladala bana Haya njooni ligi kuu muwe vibonde wetu tujipigie tujipatie pointi za bure 🤣🤣🤣🤣 Afu masanja hilo utuletee huku Tabata aroma maan segerea na kisukuru kuna shida ya usafiri sana #SIMBAOYEEEE
@collinedward8449
@collinedward8449 4 года назад
Mimi ni shabiki wa simba lkn Gari la kununua mwenyewe na la kununuliwa hapo kunautofauti mkubwa Hongera sana Masanja
@ilmhd6758
@ilmhd6758 4 года назад
Nasibu Gunda Team za mbeya hazijawahi kua kibonde kwa yanga nasimba 😀
@nasibugunda7927
@nasibugunda7927 4 года назад
@@ilmhd6758 Asubutuuu jana tu mmekula kimoja yanga na prison Mbeya city wamekula nne
@kaliboielijan3537
@kaliboielijan3537 4 года назад
Pesa tu
@johnvitalis4242
@johnvitalis4242 4 года назад
Tata hamna gari hapo
@guccij3549
@guccij3549 4 года назад
😀
Далее
Будзек и рецепт🐝
00:25
Просмотров 59 тыс.
«Ой Бой» откуда выражение?
00:45
Mungu akupe ufahamu by Pastor Tony Osborn Kapola
2:47
Просмотров 1,1 тыс.
MASANJA TWENZETU SHAMBANI ( SHAMBA TOUR)
3:25
Просмотров 1,4 тыс.
Kilimo cha Mpunga Madibira
2:32
Просмотров 6 тыс.
Masanja MONICA ft Walter Official Video
5:13
Просмотров 676 тыс.
MASANJA AIGIZWA LIVE NAYE AKIWA HAPO HAPO
14:23
Просмотров 903 тыс.
Bernard Morrison
6:54
Просмотров 2,6 млн
Будзек и рецепт🐝
00:25
Просмотров 59 тыс.