Hizo gari naskia sijui 80 million 40 milllion my friend ukikuja kenya hizo range Rover ni 3 million kuendelea alafu hapo kwa rolls Royce rank na watanzania wenzako usijumulishe East Africa wasanii wako na ma Lamborghini huku Kenya na hawajisho up
Kiukweli napenda sana tanzania.lkn kuna shida moja ambayo hawawezi kuachana nayo nayo ni uninafsi.mana maisha ya alikiba .ni makubwa kuliko ya harmonize na van boy.lkn hapa amewekwa mbali kabisa..yani wataka kumfananisha alikiba na mbosso. Pamoja na zuchu kweli.huu ni unafki....lkn kiukweli wa maisha alikiba yuko juu kisha sana .wala sio mtu wakutaja vitu visivyo kuwa vyake..ile siku mtabadilika na kuwa wa kweli bac tz itakuwa na nguvu nzuri sana.kwa hawa wasanii Mana hakuna msanii aliye wahi kuhesabu pesa zake mbele ya waandishi wa habari.hivi haya yote muliyatoa wapi kama sio kuhongwa uli mumwage sifa za kiongo..
Erick Omond alikuwa anaandamana juu ya nini?? Njaa zinawaua Majirani acheni ubinafsi saidieni majirani na ndugu zenu mnatupa tabu huku Sirali hasa mkija kwenye misiba ya ndugu zenu mnabeba kila kitu kha
Nikweri kabisa uku tz msanii nasie msanii akimiliki gali izi anaonekana tajiri mkubwa sana, uko kenya 🇰🇪 mjomba angu godlack ana endea shambani kuchukua chakula ya nguluwe 🤫🤫🤫🤫
Aliye pewa amepewa mungu kawapa tusubirie na sis zamu zetu mungu akipenda atatupa t tuache wivu wa kijinga pia wamejituma sana washikaji wee endelea kukaa kijiweni na kisubiria upewe jitume Mzee mungu sio boya akupe wewe mwenye majungu kama yote