Тёмный

Je Yametimia? MZIMU wa THOMAS SANKARA unaowatesa MABEPARI mpaka LEO Walimuua lakini karudi kivingine 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,3 млн
Просмотров 152 тыс.
50% 1

Follow kurasa zetu za mitandao ya kijamii:
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti

Опубликовано:

 

28 авг 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 222   
@thelonewolf4429
@thelonewolf4429 10 месяцев назад
Wa Tanganyika mlipata mtu kama huyu mkamuua alafu mnatua apa mki comment eti ooh Africa africa nani alituloga. RIP JPM shujaa
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 10 месяцев назад
NAKUBALI😢😢😢
@barikilangoy4737
@barikilangoy4737 10 месяцев назад
😭😭😭😭 inaniuma sana
@kulwanzobe7657
@kulwanzobe7657 10 месяцев назад
Nakubali
@mohamedslh5478
@mohamedslh5478 10 месяцев назад
Kweli kabisaa bro na haitawai tokea kama magu labda kwa karne ya 100 uko
@abelmbilinyi1262
@abelmbilinyi1262 10 месяцев назад
So sad 😢
@Nyaburyaofficial217
@Nyaburyaofficial217 10 месяцев назад
Mungu amuongoze kwenye uongozi wake Much respect bro Traore
@pesaspy_tv
@pesaspy_tv 10 месяцев назад
R.T.P MZEE MAGUFULI
@mbezzoprince9462
@mbezzoprince9462 10 месяцев назад
😭😭😭😭😭waafrica nani alituroga aki yani karibia watetezi wote wa Africa tuliwaua sisi wenyewe
@brunoh_bx
@brunoh_bx 10 месяцев назад
Uchu wa madaraka na ubinafsi ndo vinatutesa
@alphadreammedia
@alphadreammedia 10 месяцев назад
😢😢
@mariamnahimana
@mariamnahimana 10 месяцев назад
Baada yakuelew udhaifu wetu,waliutumia kwa faida zao
@Gody360
@Gody360 10 месяцев назад
Tatizo ni kubwa sana kwa Africa
@user-wo6rk4vf2s
@user-wo6rk4vf2s 3 месяца назад
Mwenyezi mungu atusaidie na Tanzania itafika wakati tutawafukuza mabepari na vibaraka wao kweme uongozi ambao na mafisadi na kutanguliza uzalendo, umoja na kufanya kazi kwa bidii kwa manufaa watanzania wote na wany'onge waiifaidi rasilimali zao Kwahivo Tanzania Nyerere aliacha chama vizuri ila kikatawaliwa na mafisadi ambao na vibaraka wa mabepari Hakika inauma Sana na inabidi tuwe wamoja na kuacha utofauti wa vyama na kufanya kazi kwa bidii Na kuweka wazi mapato na MATUMIZI na rasilimali zetu na Kodi zetu na kuinua vichochezi vya vitega uchumi ili watanzania wajiajiri na kuuza bidhaa kamili nje ya nchi na sio kutoa marighafi Kwahivo wanasahi hi democracia tuliyo nayo ni ya unyonyaji Ambayo ni mfumo wa mabepari Leo CHADEMA wanalilia ikulu hao ni vibaraka wa marekani ambao ni mabepari wakubwa Tanzania na Nchi za Ulaya na maisha yatakuwa magumu zahid Sikilizeni hotuba za CHADEMA HAWAKEMEI UBEPARI, hakika hawafai let's wake up Tanzanian's and African's Tuhimize UZALENDO, UMOJA NA KUFANYA KAZI KWA na sio utofauti wa vyama
@Gamec451
@Gamec451 10 месяцев назад
Shukrani kwa Captain Traore kwa kumpatia mazishi rasmi Captain Thomas Sankara. Tomas Sankara na wenzie waliouliwa pamoja naye walifukiwa kwenye shimo tu miaka yote hiyo, hatimaye Captain Ibrahimu Traore alipochukua madaraka akaamua shujaa Caotain Sankara na wenzie wazikwe rasmi na sasa wana makaburi rasmi ambapo yeye mwenyewe Caotain Traore alikwenda kutoa heshima. Na wananchi wengi sasa wanakwenda kutembeleya na kutoa heshima zao kwa Captain Sankara. Compaore will never find peace for what he did! God bless and protect Africa.🙏🏿
@machaggechacha243
@machaggechacha243 10 месяцев назад
Hivo hivo itatokea Tz. Waliomuuwa Magufuli kuna siku yao inakuja. Fikira za Magufuli na vitendo vyake havitapotea bure kwa watanzania.
@diyembarak5506
@diyembarak5506 10 месяцев назад
Mbona mumenyamaza kimya basi
@kingyehoshafatitvbornerys2496
@kingyehoshafatitvbornerys2496 10 месяцев назад
Nimejifunza kitu kupitia koment yako MUNGU atatulipa kwenye KIFO Cha JPM hakika haiendi Bure hata kama inachelewa lakini itafika na wote waliohusika na MAGUFULI watawekwa wazi
@anafikamugisha8834
@anafikamugisha8834 10 месяцев назад
Kweli kabisa
@edosha3137
@edosha3137 28 дней назад
Magufuli alikuwa Ðicteta aliyetaka kujilimbikizia mali na embinafsi. Tofauti kabisa na Sankara au Traore. Alianza na uwanja wa nd​ege. Na mengine mengi ya ajabu. @@diyembarak5506
@tausikiyabo6302
@tausikiyabo6302 Месяц назад
Paul Makonda Mwenyezi Mungu akuongoze upate Urais uikomboe Tanzania 😢😢😢
@KhadijaAbdallah-kn3ii
@KhadijaAbdallah-kn3ii 10 месяцев назад
Kuna kitu najifunza najiuliza hivi Magufuli nae kauwawa naona nae baada ya kufa tu kuna watu gafla walianza kumchafuwa😢
@abelmbilinyi1262
@abelmbilinyi1262 10 месяцев назад
Point
@serafinamalecela4728
@serafinamalecela4728 10 месяцев назад
Nampenda sana huyu jamaaaaa siku nikiwa mama nitamwita mwanagu jina lakewe
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 10 месяцев назад
Mungu huwa anawatumia waafrika wwnzetu kutukomboa lakini bado tunaharibiwa na vibaraka wa mabeberu wa Ulaya Magharibi na Marekani
@camilomassao8971
@camilomassao8971 10 месяцев назад
Umeongea point kubwa sana ndugu 🫡 vibaraka njaa wapo wengi sana. Lakini Mungu Kuna siku atawezesha harakati zote za Afrika.
@soundmale
@soundmale 3 месяца назад
Sio mungu..mzungu ndio anawatumia waafrika kumuua mwafrika mwenzake tena kwa hongo kubwa sana😢
@sixbertosalakana1113
@sixbertosalakana1113 27 дней назад
​ L
@Jaydenkulali
@Jaydenkulali 10 месяцев назад
Africa is still a continent with many challenges. We cannot rely solely on foreign aid to solve our problems. Military coups are not the answer to Africa's problems. We need to work together to build a better future for the continent, free from corruption and instability.
@user-qs5tj6bh4h
@user-qs5tj6bh4h 9 месяцев назад
R i p Magufuli and T-Sankara
@hamphr3y405
@hamphr3y405 10 месяцев назад
Hii inaleta picha kama Tanzania itasumbuka sanaa lkn miaka ijayo atakuja JPM mwingne rip JPM
@reyhuba3168
@reyhuba3168 Месяц назад
JPM Bado yupo ndani ya makonda
@abduljuma7807
@abduljuma7807 23 дня назад
Kama Hawa viongozi wenu Bado wanakwenda nje kuomba omba huku wamebeba wasanii huu ni ujinga uliokithiri mnashindwa Nini kujitoa kwa Hawa mabepari
@marktallam05
@marktallam05 20 дней назад
Makonda anakuja kwa kishindo
@DattiKassim
@DattiKassim 10 дней назад
Haji ng'oooo😂😂😂
@byoseasolokoci7257
@byoseasolokoci7257 10 месяцев назад
BWANA YESU, WEWE PEKE YAKO UWE MLINZI WA KIONGOZI HUYO ZIDI YA MAADUI ZAKE.
@jamalnaheka1131
@jamalnaheka1131 10 месяцев назад
tatizo uoga wa kuuwawa na Mali ndo maana wengi wanakuwa vibaraka,..pia kukosekana kwa uzarendo na maslahi binafsi ndo tatizo kubwa.
@EsterPaul-jt5im
@EsterPaul-jt5im Месяц назад
Tomas Sankar na Ibrahim na magufuri saruti wakuu wangu.
@msangodiesel3132
@msangodiesel3132 10 месяцев назад
Katika vitu ulivyo nifurahisha kuniwekea au kutuletea ❤ djsma na Dada kamgisha najisikia faraja na wangine Asante kwa brog yako na watangazaji wako
@user-xc7sx5wn7e
@user-xc7sx5wn7e 10 месяцев назад
Huyo ni km jpm mungu uwalaze mahala pema pepon maana Hawa mabebelu xiyo hawatutak xixi Wala hawatupend xixi waafrica
@debolaseleman4394
@debolaseleman4394 10 месяцев назад
mungu ibaliki Afika mungu teteya Afika 🙏🙏🙏
@mohamedially7991
@mohamedially7991 10 месяцев назад
Na mkumbali sana mungu au mjalie .yuko sa hii
@zawadilutufyo8771
@zawadilutufyo8771 10 месяцев назад
Sema sankara alikuwa handsome jaman😘👌
@Pedeshee01
@Pedeshee01 24 дня назад
Kama mimi baby zawadi hujaniona
@Pedeshee01
@Pedeshee01 24 дня назад
❤❤❤
@pendaelymollel.4906
@pendaelymollel.4906 10 месяцев назад
Yess there is something Nakupenda Sana Troure
@malkiawagiza1327
@malkiawagiza1327 5 месяцев назад
Mungu ampe maisha marefu na amlinde 🙏
@erickhaule5591
@erickhaule5591 3 месяца назад
Asante sana Tom na bro Traole ❤
@raymondonyona.2736
@raymondonyona.2736 3 месяца назад
Mungu amuongoze kapt Traore afuate kwa vitendo nyayo za mtangulizi wake Mareh kapt Sankara.
@jamesbayo1910
@jamesbayo1910 10 месяцев назад
Hata Tanzania muda simrefu kwa Mapenzi ya. MUNGJ Itampata kama MAGUHFULI AU TOMAS SANKARA ILI MABEBERU WAACHE. KUNUFAIKA. NA RASILIMALI. ZETU. ZA. AFRIKA.
@brunoh_bx
@brunoh_bx 10 месяцев назад
Huyu msimuliaji binafsi huwa namkubal, anajikita katika kuelezea kile alichopanga na sio kuanza kuwananga wasikilizaji wake wanamkosoa au kumsahihisha pale alipoteleza. Hongera sana broo👏👏👏 Simulizi nzuri na imewasilishwa vizuri
@jameskitoto3315
@jameskitoto3315 10 месяцев назад
I really like his voice, the only reason I follow the channel
@brunoh_bx
@brunoh_bx 10 месяцев назад
@@jameskitoto3315 Me too
@samirmswahili
@samirmswahili 10 месяцев назад
Sky noma sana
@user-wz2pg9kc6w
@user-wz2pg9kc6w 8 месяцев назад
The greatest African boy 💪
@jumanassoro1552
@jumanassoro1552 10 месяцев назад
Asante sana muandisi naaminia atapatikana magufuli mwingine
@MahdouMomba
@MahdouMomba Месяц назад
Fikra za magufuli zitaendelea kuishi kwa muda mrefu vichwani mwetu
@magdalenabenedict2089
@magdalenabenedict2089 2 месяца назад
Hakika haki ya mtu haipotei 😢
@mboneamshana9080
@mboneamshana9080 20 дней назад
Mungu tunakuomba kwa ajili ya bara la Afrika ukombozi wa kifikira kwamba hatuwezi tunaweza tuondokane nafikira za kutegemea misaada,ee Mungu mbariki mlinde Ibrahim toure mwenye fikra za kujiamini wafrika tunaweza, Mungu ibariki ilinde Afrika amen
@SanziNzige
@SanziNzige Месяц назад
Ukweli kabisa majeshi ya huku yapo kwaajili ya kulinda chama tu si kwaajili ya rasilimali za taifa sa hivi mali zetu zinagwiwa kwa mabeberu jeshi lipo linaangalia tu.whay?
@user-yc7ue7iv7e
@user-yc7ue7iv7e 10 месяцев назад
Napenda sana simulizi zako
@josephwilliam4443
@josephwilliam4443 9 дней назад
To My beloved country ken ya Mungu aingilie Kati tu maana what is happening isn't good at all 😢
@josephwilliam4443
@josephwilliam4443 9 дней назад
May the Lord protect those president which are doing good in their country and which don't look on their own selfishness
@evarimdecoration4256
@evarimdecoration4256 Месяц назад
Traore anashangaa viongozi wa africa kila kukicha kiguu na njia ni msg ya Rais wetu jamani! Naamini siku amezikwa jpm alizaliwa jpm mwingine Mungu atuweke hai tutashuhudia siku hiyo!
@billskeez92
@billskeez92 10 месяцев назад
Ila brother sky nakupenda ni basi tu❤
@khalfanmlala5093
@khalfanmlala5093 10 месяцев назад
Asante sana bro
@NadiaNadiaMohammad-yp4zm
@NadiaNadiaMohammad-yp4zm 10 месяцев назад
Na huyu si watamuua😢 Mungu amrinde
@diyembarak5506
@diyembarak5506 10 месяцев назад
Mungu amlinde
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 10 месяцев назад
Ahsante sana #360
@sonnyr1899
@sonnyr1899 10 месяцев назад
Hii sauti inafa kwenye hizi Kazi.
@ConfusedDaisies-rb5
@ConfusedDaisies-rb5 4 месяца назад
Umesema kweli kabisa ndugu, tulimpata kisha kwa hila za watu wachache wakamuua mpendwa huyo
@SadamHassan-ng3yl
@SadamHassan-ng3yl Месяц назад
Kama nchi yetu kila siku unasikia mara tumekopa mara ivi wakati nchi yetu ina rasilimali za kutosha tu haya madeni kila siku yanaongezeka sijui hatima yetu itakuaje mungu saidia Africa 🙏💪
@yasiniyamamoto8174
@yasiniyamamoto8174 10 месяцев назад
Mungu wabariki viongozi wazalendo
@magdalenabenedict2089
@magdalenabenedict2089 10 месяцев назад
God bless him🙏🙏
@zayumar2955
@zayumar2955 10 месяцев назад
Daaaa wallah sijui lin tutaamka na kuwa wamoja waafrica sisi 😢😢💔💔. Rip mashujaa wote wa Africa 🌍❤❤❤
@mvanokhalidi8766
@mvanokhalidi8766 9 месяцев назад
Uoga na mazoea ndio vinavyotufelisha.
@zayumar2955
@zayumar2955 9 месяцев назад
@@mvanokhalidi8766 yanii sijui nani katuroga wallah 😢😢😢
@user-ez6ez2qw4l
@user-ez6ez2qw4l 9 месяцев назад
bwana ,sky, wwe ni mzuri mno kwa maana huna mbwembwe nyingi, Asante!!!
@yossobenayunkn8942
@yossobenayunkn8942 Месяц назад
JOHN POMBE MAGUFULI ,,,ASAIVI TUNAMUONA KAMA KALUDI KWA ,, MKUU WA MIKOA ARUSHA ,, MAKONDA 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@HidayaKarim-wy9yc
@HidayaKarim-wy9yc 10 месяцев назад
Pumzika kwa amani mze jpm malipo ni hapa duniani nawao yatawakuta
@FllanoMihambo
@FllanoMihambo 8 месяцев назад
Yani afirika sijui inanini maana hatayule mtetezi. Wawa nyoongge nakuleta maendeleo muamar gadaffi walimuua amakweli afrika tumerogwa
@rathoalbertoalberto1110
@rathoalbertoalberto1110 10 месяцев назад
Viva troure🇲🇿🇲🇿
@khalifasaidi7001
@khalifasaidi7001 3 месяца назад
Uzalendo huu unatakiwa uigwe na vijanawengi katika Africa sio wale wanasiasa vibaraka wanaokwenda kukaa ulaya kilakukicha
@paschalmartin9598
@paschalmartin9598 10 месяцев назад
Hata magufuli alipokufa kuna kundi la watu lilijitahidi kumchafua na kufuta legacy yake
@abeidsabuni5026
@abeidsabuni5026 17 дней назад
Big up Traore.....
@hassangaddafi2347
@hassangaddafi2347 10 месяцев назад
Viva Putin viva African viva IBRAHIM ❤❤❤❤
@zulfahussein6784
@zulfahussein6784 10 месяцев назад
Usisahau kama Putin naye ni bemberu pia usimpendi kwa sana
@salmaalimusa6809
@salmaalimusa6809 10 месяцев назад
​@@zulfahussein6784nashangaa wanamfagilia yule bepari
@modestapeter2997
@modestapeter2997 10 месяцев назад
​@@zulfahussein6784 PUTIN ndo mkombozi wa Africa hajawahi kuchukua nchi za kiafrica kua makoloni yake usiempenda ujue ni kibaraka wa USA
@SofiaLiveOfficial
@SofiaLiveOfficial 10 месяцев назад
Tuned...
@davidwalalason7630
@davidwalalason7630 10 месяцев назад
The true meaning of "what goes around comes back around "
@redockbracard9455
@redockbracard9455 29 дней назад
May God protect you infront of your enemies eyes my lovely president Traore
@eliusbizimana7646
@eliusbizimana7646 8 месяцев назад
Ari kuwa mwafrika mzuri sana
@Jibambeshow254k
@Jibambeshow254k 6 месяцев назад
Watu kama hawa jamani wanauliwa tu wanaacha wezii madhalimu hayat John pombe magufuli utaiishii kukumbukwa daima
@mucochanella1672
@mucochanella1672 10 месяцев назад
Mungu amulide ❤
@chidybwax8080
@chidybwax8080 10 месяцев назад
Sky worker ww ni noma sana
@amaradiombera2198
@amaradiombera2198 10 месяцев назад
Your worst enemy could be your best friend and your best friend. Your worst enemy
@tamarali8325
@tamarali8325 10 месяцев назад
Mungu amsaidie.
@silvanMwabara
@silvanMwabara 3 месяца назад
Waafrika fungukeni macho wacheni kutumiwa na wazungu plz rest in peace Thomas sankara shujaa wa africa
@charlesamone3117
@charlesamone3117 17 дней назад
Yes Big up thanks Mr.president
@Gerardirankunda2885
@Gerardirankunda2885 10 месяцев назад
Emungu nisaidie africk iwe nauhulu wakipekeee❤❤😡😡😡🇧🇮🇧🇮🇧🇮🙏🙏🙏
@user-yy1lz3vk6g
@user-yy1lz3vk6g Месяц назад
I like that, viva Burundi from Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@dismasimgina3155
@dismasimgina3155 Месяц назад
Viva sankra and Troure May God bless you all
@davidjohn5977
@davidjohn5977 10 месяцев назад
Sokoine kafa,Magu kafa hakika wema hawadumu
@estheroscar6520
@estheroscar6520 10 месяцев назад
Safi
@user-gd1yp1tu6g
@user-gd1yp1tu6g 10 месяцев назад
All African countries we should unite together
@dicksonagapity7231
@dicksonagapity7231 10 месяцев назад
Tunataka za magufuli....maana yy n zaidi ya sankara
@aggreyenock1221
@aggreyenock1221 10 месяцев назад
Nitafute zipo za magufuli
@KhadijaAbdallah-kn3ii
@KhadijaAbdallah-kn3ii 10 месяцев назад
Kila kitu.tukipe mda😢.mda ukifika kila kitu kinakaa sehemu yake
@paschalfausitine7108
@paschalfausitine7108 10 месяцев назад
Kweri kabisa magufuri atarudi up ya
@samwelmadulukengela8143
@samwelmadulukengela8143 10 месяцев назад
Safi sana
@EsterPaul-jt5im
@EsterPaul-jt5im 24 дня назад
Yaani mtoto wangu nitampeleka jeshini ila ataenda kwa kazi moja tu ada nitatafuta ucku na mchana
@user-yk7ff9ks6q
@user-yk7ff9ks6q 10 месяцев назад
Tunataka kiongozi tanzania
@serafinamalecela4728
@serafinamalecela4728 10 месяцев назад
Ila tamaaa mbaya sanaaa😢
@emmadeprincetv6133
@emmadeprincetv6133 10 месяцев назад
Ibrahim traore yupo moto
@issaniyonzima
@issaniyonzima 10 месяцев назад
Mungu y'ibariki africain 😢😢😢
@neemamwalongo2877
@neemamwalongo2877 10 месяцев назад
Mungu, elimu(maalifa), gwanda = AFRICA bila hivyo hatutoboi.
@angelmaige-yc5gb
@angelmaige-yc5gb 9 месяцев назад
Kweli kikulacho kinguoni mwako 😮 Jaman Hawa Marafik na WAtu wa karibu hata ndugu anwez kukugeuka muda wowote jmn mungu amlaze pema pepon
@stellah3844
@stellah3844 10 месяцев назад
Mungu amuweke tu
@josephryattura628
@josephryattura628 16 дней назад
Traore just juu zaidi you are Magufuri namba 2 yep
@billskeez92
@billskeez92 10 месяцев назад
Mshabiki wako wakitambo mlianza naye sans🇧🇮
@Farajahelene23031
@Farajahelene23031 9 дней назад
Hero of africans
@jumaamsuya5
@jumaamsuya5 10 месяцев назад
Kiukweli yupo sahihi ilass wanafiki niwengi awechelewi kumuuwa allaah akulinde
@IbuGang
@IbuGang Месяц назад
Mungu amlinde na amtuze Makonda kafata nyayo za marehemu Jpm Magufuli hapendi wananchi wanyonge wanyanyaswe
@lengachapati3728
@lengachapati3728 10 месяцев назад
SSH ajiangalie tumemchoka
@user-zh8wg3lc4i
@user-zh8wg3lc4i 10 месяцев назад
Tutampata tukijaaliwa Mungu ni Mwema ndio tulimpata Maghuli msimsahau Mwanamapinduzi wetu toka Masaini mmemsahau?aliye penda watu wake akatubeba kstka mapenzi yake mema mmemsahau Moringe Sokoine Mwamba wa Tanzania aliyefanya kazi bila kuchoka nani kama Sokoine???
@user-ex9xv4bl7u
@user-ex9xv4bl7u 9 месяцев назад
Fact
@VedastoKeya-vt8pf
@VedastoKeya-vt8pf 25 дней назад
Africa we have to unite
@lucasalbertomseti1578
@lucasalbertomseti1578 10 месяцев назад
Asante sana kwa makala hii Mr Sky makala imegusa penyewe viongozi wa Kiafrika wakisoma na kuziishi falsafa za comrade Thomas Sankara basi Afrika imejinasua katika mtego wa mabepari wanyonyaji
@salmaalimusa6809
@salmaalimusa6809 10 месяцев назад
Si ndio wanauwawa 😢wakijaribu kuwa hivyo
@lucasalbertomseti1578
@lucasalbertomseti1578 10 месяцев назад
@@salmaalimusa6809 you will gonna kill a man but not idea, Compaore alimuua Sankara lakini Leo anaibuka mtu mwenye falsafa kama zake
@salmaalimusa6809
@salmaalimusa6809 10 месяцев назад
@@lucasalbertomseti1578 haswaa naatapata tabu sana,damu ya Sankara haitamuacha salama
@serafinamalecela4728
@serafinamalecela4728 10 месяцев назад
Ila africa😢
@SanziNzige
@SanziNzige Месяц назад
Walio muuwa magufuli angalieni hapa washenzi nyie badozenu zinakuja jiandaeni TU malipo NI hapa hapa hamtoboi washenzi nyie.
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 10 месяцев назад
👊🙏✌.
@fabianmainchanyangachika5017
@fabianmainchanyangachika5017 Месяц назад
Na wale wazungu kutoka ufaransa walihukumiwa?
@user-ht6fi4ov8y
@user-ht6fi4ov8y Месяц назад
Daaaa jmn usikubali kuuliwa ukatulia pambano hata ukifa kama sakara
@JosephatBiseswa-oo1ms
@JosephatBiseswa-oo1ms 10 месяцев назад
sky wewe ni noma sanaa
@allthings1302
@allthings1302 10 месяцев назад
Hata hujasikiliza
@issazalala4907
@issazalala4907 10 месяцев назад
Adui WA Africa ni MWA Africa 😂
@mbezzoprince9462
@mbezzoprince9462 10 месяцев назад
Hawa ndo viongozi tunaowaitaji Africa hii
@ArafatEmperor-iz4rf
@ArafatEmperor-iz4rf 6 месяцев назад
Wengine wakiamka sisi 🇹🇿tunarudi kulala 😅Sisi Tanzania ndo kwaanza tumerudi kwenye mikono ya wanasiasaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@maikojohny345
@maikojohny345 10 месяцев назад
Leo Mimi
@fabianmainchanyangachika5017
@fabianmainchanyangachika5017 Месяц назад
Makonda kafanya Nini? Yani ccm ndio inaongoza nchi matatizo yote ni system Yao alafu ajifanye kutatua eti mnaona anatenda haki, kama kweli ni mtenda haki arudishe aridhi na urithi wa Masai, pia arudishe aridhi ya watu wa kia ndio tutaamini sio kiini macho
Далее
Frank Now VS Then Edit 🥵| #brawlstars #shorts
00:18
Просмотров 655 тыс.
3.5M❤️ #thankyou #shorts
00:16
Просмотров 684 тыс.
The must-watch moments of the CNN Presidential Debate
35:29