Тёмный

TUFUNUWE KITABU (SILSILA 28): Revolution in Zanzibar cha Don Petterson 

Gumzo la Ghassani
Подписаться 21 тыс.
Просмотров 7 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 18   
@msabahaali758
@msabahaali758 2 года назад
Tunawashkuru sana bwana mohd na ndug imail kwa elimu mliotupatia Alla awape siha na afya
@111dudi
@111dudi 2 года назад
Nawashukuru sana wasomi wetu Muhammed na Ismail. Mauaji katika mapinduzi hayakuzungumzwa, sijui mwandishi hakuyaandika,au hayakuzungumzwa. Jambo hili mpaka leo lina utata. Huyu Patterson angeweza kuona wanajeshi wa tanganyika kama walihusika katika mapinduzi. Nimefatilia karibu vipindi vyenu vyote, bado sijapata ushahidi kamili wa ushiriki wa Nyerere katika mapinduzi. Ningeomba siku moja mumzungumze Nyerere tuu na kumbukumbu za wazi.
@alijuma7882
@alijuma7882 2 года назад
Ushiriki wa Tanganyika umeelezwa kwa urefu katika kitabu cha harith ghassany kwaheri Uhuru kwaheri ukoloni na kimeshazungumzwa humu Balozi mambo mengi hajataka kusema lkn waingereza na wamarekani ni wahusika na waandaaji wa uhasidi waliotufanyia nchi yetu
@alijuma7882
@alijuma7882 2 года назад
Waingereza na wamarekani na Tanganyika wote lao moja Kama balozi hakutaja mauwaji anaogopa lawama maana huko mbeleni waathirika wanaweza kudai fidia
@receptionifabeach1329
@receptionifabeach1329 2 года назад
Allah atufanyie wepesi inshallah Zanzibar yenye mamlaka kamili
@nailamohd7693
@nailamohd7693 2 года назад
Shukran sana tumekufahamuni vizur ❤️
@ahmedissa7882
@ahmedissa7882 2 года назад
Shukran sana
@gangmore9091
@gangmore9091 2 года назад
Mauwaji ila Allah ndio hakim
@jeanmusamba3253
@jeanmusamba3253 2 года назад
Mwalimu Jussa,tufundishe kidogo kwa nini Zanzibar haikuwa na jeshi?serikali ya Sultan haikuwa na jeshi?nini kilisababisha hili
@gojvon116
@gojvon116 2 года назад
sasa hii inasaidia nini ? au inaleta faida gani ? au kujifurahisha tu na hadhithi kama zile hadithi za Abu nawaas au bulicheka faida yake ni nini
@alijuma7882
@alijuma7882 2 года назад
Kama unaona hayana faida na wewe baki huko huko kwenye giza
@oscarezekiel1826
@oscarezekiel1826 2 года назад
@@alijuma7882 Hakuna haja ya kumjibu mpumbavu.
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 2 года назад
@@oscarezekiel1826 We should not argue with stupids because they experts in stupidity.
@111dudi
@111dudi 2 года назад
Basi vitabu vya historia vifutwe duniani kote.
@misscoast3174
@misscoast3174 2 года назад
Hakuna faida lakn kaangalia video ya lisaa na nusu🤣 na kucomment juu 🤣
Далее
KUSIMAMA NA KUDONDOKA KWA DOLA YA ZANZIBAR #3
19:08
Просмотров 31 тыс.