Тёмный
No video :(

TULIKUTANA INSTAGRAM |NILIANZA KUJITEGEMEA NIKIWA MDOGO SANA| WANAWAKE WA KIMAREKANI NI WAKOROFI MNO 

Official Dating Assistance
Подписаться 42 тыс.
Просмотров 14 тыс.
50% 1

Wakatizo ameeleza safari ya maisha yake kutoka kuanza kujitegemea kimaisha baada ya kumaliza darasa la saba, maisha magumu aliyopitia mpaka kukutana na mke wake Mmarekani kupitia Instagram ambae alikuja kubadili maisha yake.
Kwasasa anaishi Marekani lakini ameeleza changamoto za utamaduni ambazo zimekua ni changamoto kubwa katika ndoa yao baada ya kuhamia Marekani.
Thank you Wakatizo for allowing this to be online
www.oda.international

Опубликовано:

 

23 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 91   
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 Месяц назад
Mwenetu handsome na very humble. Siyo wale wakujifanya wanajua kila kitu.
@kennedymlawa3380
@kennedymlawa3380 Месяц назад
This guy is really..❤❤❤
@BarakaBitariho
@BarakaBitariho Месяц назад
I love this interview. He was so innocent. Ila kama ninachoamini, kilichopangwa na Mungu hamnawa kukipangua no matter what. Hii interview is evident to this belief.
@alijuma7882
@alijuma7882 Месяц назад
Huyo kijana nimemsikiliza amesema neno moja la maana sana kusaidia jamaa zako na wazazi Tafauti na fikra za Wazungu kua kila Mtu ajitafutie mwenyewe Katika imani ya kiislam Mungu anatwambia mwanadamu atapokaribia kukata roho atamuomba Mungu amrudishe duniani ili akatowe sadaka Sasa haikutajwa kitu chengine chochote ila ni sadaka Kwahio msaada kwa watu wasiojiweza ni muhimu na Mungu anatia baraka kwenye kazi zako
@kennedymlawa3380
@kennedymlawa3380 Месяц назад
This young guy is so honest.May God bless him abundantly
@abdulyibrahim2125
@abdulyibrahim2125 Месяц назад
Jamaa kafunguka vzur nimependa
@fatmasaaed144
@fatmasaaed144 Месяц назад
Ile neno this Man apewe uyuu bahati nzuri inamfata mtu mzurii mungu aendelee kukupa zaidi
@user-wu8qe4fv4j
@user-wu8qe4fv4j Месяц назад
Uyu kaka anaonekana ni mstarabu tuu courage kk yngu wanaume wa kiafrica wakifunze
@IbrahimKipaga-xj3lb
@IbrahimKipaga-xj3lb Месяц назад
What a interview! The best ever 🔥
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 Месяц назад
Mungu akitaka kukupa anakupa, congratulations 🎊 👏 💐 una bahati sana.
@RealtorZanzibar
@RealtorZanzibar Месяц назад
Interview nzuri kaongea vizuri
@jennifersongani2734
@jennifersongani2734 Месяц назад
Kaka upo vizuri
@user-jm9ph6ou9h
@user-jm9ph6ou9h Месяц назад
Ajiendeleze apate elimu au ajifunze biashara kwa umakini zaidi itamsaidia
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 Месяц назад
Kaka anafanana na mmarekan mwenyewe.mashalah
@agnettakamugisha4984
@agnettakamugisha4984 Месяц назад
Sijajuwa tangu afike Marekani anafanya nini na kama anaenda shule? Anasoma Kingereza? Tuwe waangarifu kutuma hela nyumbani. Subiri ujweke vizuri. Mke wako ana haki ya kukuzuia usitume hela.
@ericfelician7996
@ericfelician7996 Месяц назад
Wabongo roho mbaya balaa
@user-cc1mf2vg4w
@user-cc1mf2vg4w Месяц назад
Asante sana kipindi kizuri, Mi binafsi najifunza kupitia hiki kipindi.
@joycebenjamin6017
@joycebenjamin6017 Месяц назад
Aisee nimefurahi kusikia hii interview maana ina vitu vya kujifunza kuwa maisha ni kitendawili,huyu kaka alikuwa hajui lugha hana maisha lkn mzungu amehiari yote lkn kwa ukijua kuwa wazungu wanapenda wewe nae unatoa siyo mzungu ndo awajibike ili maisha yaendelee kaa kwa kuwajibika sana.
@user-iz9ci4rs3d
@user-iz9ci4rs3d Месяц назад
Hongera sana brother 🎉🎉🎉🎉🎉
@fortunathabarabara8471
@fortunathabarabara8471 Месяц назад
He so humble
@user-yl7cm2mf7e
@user-yl7cm2mf7e Месяц назад
Jamaa mkweli sana
@jaffjeff6912
@jaffjeff6912 Месяц назад
Mshkaji kama 50cent
@ivankadaudi8161
@ivankadaudi8161 Месяц назад
Umepotea sana dada tutafutie watu kama apo nyuma kidogo ulijua kutufungua, kutufuraisha kipindi kilichangamka atar ,kutotoa ujinga namengine mengi tutafutie tena unapotuletea watu kama hivi❤
@MarthaZabron-v9b
@MarthaZabron-v9b Месяц назад
Usimsahau maisha yako yote
@FreeGod368
@FreeGod368 Месяц назад
Yaan bro mwanamke kuwa juu yako usijali kabisaa ilimradi unaish kwa amani anakusapot anakupenda na unaish vzur..mbona amekutoa kote uko
@user-xn8jh1yw1h
@user-xn8jh1yw1h Месяц назад
Just hope for the best, at the end of the day time will tell. Vumilia Kijana.
@mwanaidikingazi4222
@mwanaidikingazi4222 Месяц назад
Haki kweli Mungu akitaka kukupa hakuandikii barua
@samniza9015
@samniza9015 Месяц назад
Mungu ni mwema atafanikiwa tu.
@suleimanbalemba3348
@suleimanbalemba3348 Месяц назад
Ahahahahahhahaha jamaa unafurahisha sana lugha hizi dah
@maimukanabora8751
@maimukanabora8751 Месяц назад
Kaka umenifurahisha sana lugha gongana
@MAISHAYACROATIA
@MAISHAYACROATIA Месяц назад
Dah kaongea kiume sana mshkaji
@RithaJoseph-uq2kq
@RithaJoseph-uq2kq Месяц назад
Jamani leo nimecheka Safi sana umeniferahizha
@ngwakamongateko8696
@ngwakamongateko8696 Месяц назад
Jamani hy kaka hawezi kujiendeleza ki- elimu? Natamani angesoma. Ajiendeleze, ingemsaidia kuongeza kujiamini.
@deuskusaga8156
@deuskusaga8156 Месяц назад
Tuko pamoja shena😊
@beatriceminja2148
@beatriceminja2148 Месяц назад
Hahahaha, mshkaji kauwa hii interview 😂😂😂
@jessicamwasandube944
@jessicamwasandube944 Месяц назад
Daah dogo kanichekesha sana,Ila Safi sana
@mwanaidikingazi4222
@mwanaidikingazi4222 Месяц назад
SEMA Huyu kaka anakili halafu anahekima na busara sana kwanza kutumiwa hela nakufanya kweliiiiiii
@KIMALEX255
@KIMALEX255 Месяц назад
Naenda kuopanda ndegeee😂😂
@luindabablui7213
@luindabablui7213 Месяц назад
😂😂😂😂 WAKATEEZO ON AIR
@user-tl9mx6sw4o
@user-tl9mx6sw4o Месяц назад
Mmmh kunawatu wanabahati,. Mungu amtupi mjawake kwa kweli
@fauziasultanikilewa7602
@fauziasultanikilewa7602 Месяц назад
Umeonaee babaaqe alimqataaa
@jacksonmsendo3478
@jacksonmsendo3478 Месяц назад
Watu wana bahati zao aisee
@AminaMwanaid
@AminaMwanaid 14 дней назад
Duh,kaka ulikua na bahati sana
@SipeKato
@SipeKato Месяц назад
Umeongea ukweli ndg utafte kibarua
@Fetty-r4o
@Fetty-r4o Месяц назад
Kweli, watu hatufanani, so tuchukuliane tu
@nsamakachanikicha1254
@nsamakachanikicha1254 Месяц назад
Anafurahisha huyu kaka
@danielmartinKiondo-dq4jz
@danielmartinKiondo-dq4jz Месяц назад
Wapate watoto na wawe na kuja huku mara kadhaa utaona tu mzungu atafunguka kuwasaidia kuendeleza huku maana najua wanapenda sana Africa na ndio maana wanatujua kuwa wengi wetu tu matapeli kwa sababu ni kweli wametapeliwa sana ila wanatupenda tujitahid zaidi tuwe wa kweli na waaminifu hawawezi kutuacha
@Abdul-MajeedMohd
@Abdul-MajeedMohd Месяц назад
Nimemkubali xn
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Месяц назад
We waambie wapambane waende huko wajionee Maana wabishi
@cleopatrahenry7541
@cleopatrahenry7541 Месяц назад
Nimecheka maana mzungu alijinunulia pete ya uchumba na ndoa mwenyewe 😅😅😅
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Месяц назад
Nimempenda ila kanichekesha,Yuko real sn
@hedayamohammed2781
@hedayamohammed2781 Месяц назад
@jumawaziri8501
@jumawaziri8501 Месяц назад
story ya kufunza sana sana hasa vijana
@marrysamwel596
@marrysamwel596 Месяц назад
Pambana ndg yangu ❤❤
@safiatahir9204
@safiatahir9204 Месяц назад
Nimeipenda interview hii nimecheka sana,Allah amzidishie
@zainabomar7236
@zainabomar7236 Месяц назад
umetufunza mengi kw kwel
@kijweninawinnie
@kijweninawinnie Месяц назад
Habari dada naomba kujua unatumia app gani wakati unarecord mf ni zoom,squastcast? Naomba msaada tafadhali
@Alfreadbrand
@Alfreadbrand Месяц назад
Tiktok😂😂
@kasembomasele5918
@kasembomasele5918 Месяц назад
Nimependa story yako
@timothykaiza327
@timothykaiza327 Месяц назад
Sema wanao walikuwa waaminifu hawakukuchomea wakabeba mzigo.
@reginajohnmaghisa322
@reginajohnmaghisa322 Месяц назад
Mungu anabahati kupata mume wa kumkontrol.
@kasembomasele5918
@kasembomasele5918 Месяц назад
Mmefanikiwa kupata watoto?
@user-wu8qe4fv4j
@user-wu8qe4fv4j Месяц назад
Maisha ya ulaya ni mahmudu familia yngu yote wako ulaya wananiambiya maisha ya uko
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 Месяц назад
Uyu jamaa anabahati sana
@lilyjones3584
@lilyjones3584 Месяц назад
Tunaweza kusema ana bahati! Ila mapito yake hayakuwa rahisi. Tunaamini kila mtu hapa duniani njia yake ilishaandikwa. Asante kwa elimu nzuri.
@burundishallsmile1day109
@burundishallsmile1day109 Месяц назад
❤😊 Tatizo la Umbo Jike😢 Yani akikuzidi kipato basi we Mjinga N'kombe wake!utanyanyaswa hadi unapoteza Umme wako!
@zahrababygarl1568
@zahrababygarl1568 Месяц назад
Ni mateso
@timothykaiza327
@timothykaiza327 Месяц назад
Naona kofia ya black Amerika
@ReginaErnest-cf6ji
@ReginaErnest-cf6ji Месяц назад
Huyo mkewe mchoyo n mtu asiye taka kusaidia ndugu wa mume hatki wapo watu wa namna hiyo hata wazungu wap wanatk wewe n yey tu family hapa
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 Месяц назад
Ndio utamaduni wao , ukitaka kusaidia ndugu zako olewa na weusi wenzako .
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh Месяц назад
Huo ndio utaratibu wa wazungu ndugu yangu awe mwanaume awe mwanamke nipo nje mwaka wa 23 huu tofauti na sisi waafrica utasaidia mpaka mjirani
@GubraCity-dm5sx
@GubraCity-dm5sx Месяц назад
Leo kiboko😂😂
@user-iz9ci4rs3d
@user-iz9ci4rs3d Месяц назад
😂😂😂😂😂
@MadenaIphone
@MadenaIphone Месяц назад
Dollar 3000 Sio milion 16 ila kaka anaelezea Vizur hafichikitu Nimependa
@jenifermakundi8230
@jenifermakundi8230 28 дней назад
Inawezekana ilifika kwa kipindi icho,maana kasema ilikuwa 2018
@jonathanjohnsonshinji6175
@jonathanjohnsonshinji6175 Месяц назад
Jamaa anaongea ukweli hajikwezi kabisa
@FreeGod368
@FreeGod368 Месяц назад
Nimeona pia mshkaj mstaarab
@KIMALEX255
@KIMALEX255 Месяц назад
Uko vzur
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 Месяц назад
Nimempenda sana mwenetu yuko very humble.
@user-zb1yr9gi3w
@user-zb1yr9gi3w Месяц назад
Kuna watu humu wana wivu sana jamaa mungu kasha mpangia yatoke ndio mungu mpangaji ya yote🎉🎉🎉
@kasembomasele5918
@kasembomasele5918 Месяц назад
Shena natamani usikie kicheko changu
@kasembomasele5918
@kasembomasele5918 Месяц назад
Shenanigans umebanwa kicheko MAP
@ginazngo4317
@ginazngo4317 Месяц назад
Kizazi hapo ndio shida mhh
@reginajohnmaghisa322
@reginajohnmaghisa322 Месяц назад
Tafuta biashara ya kufanya home, otherwise utabaki kutawaliwa.
@Alfreadbrand
@Alfreadbrand Месяц назад
Hujatag insta yake au.. u tube yake
@jenifermakundi8230
@jenifermakundi8230 28 дней назад
Anatumia jina gani insta
@zaydelabay9776
@zaydelabay9776 Месяц назад
Interview ya leo ndo nmeipenda😂😂😂😂😂
@DestinysChild-nn7ug
@DestinysChild-nn7ug Месяц назад
𝙹𝚊𝚖𝚊𝚗𝚒 𝚖𝚗𝚒𝚓𝚒𝚋𝚞 𝚑𝚒𝚟𝚒 𝚗𝚒 𝚔𝚠𝚎𝚕𝚒 𝚠𝚊𝚣𝚞𝚗𝚐𝚞 𝚑𝚊𝚠𝚊𝚙𝚎𝚗𝚍𝚒 𝚔𝚞𝚠𝚊 𝚗𝚊 𝚖𝚊𝚑𝚞𝚜𝚒𝚊𝚗𝚘 𝚗𝚊 𝚠𝚊𝚗𝚊𝚠𝚊𝚔𝚎 𝚠𝚊𝚗𝚎𝚗𝚎 ????
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Месяц назад
Sio kweli
@ericfelician7996
@ericfelician7996 Месяц назад
Ivi mwenzako akifanikiwa ndo mtie roho mbayaaa duu kaka maua yako
Далее
Мама приболела😂@kak__oska
00:16
Просмотров 855 тыс.
МЕГА МЕЛКОВЫЙ СЕКРЕТ
00:46
Просмотров 546 тыс.
PEDRO PEDRO INSIDEOUT
00:10
Просмотров 3,4 млн
JAMES AELEZEA NANNA ALIVYOPATA VISA YA CANADA
34:06
Просмотров 4,3 тыс.
Мама приболела😂@kak__oska
00:16
Просмотров 855 тыс.