Тёмный

NILIOMBA UKIMBIZI CANADA| AGENT ALINILIA PESA NA VISA SIKUPATA | WADADA MJIBRAND ACHENI KUOMBA OMBA 

Official Dating Assistance
Подписаться 42 тыс.
Просмотров 12 тыс.
50% 1

Mpaukha ameeleza Safari ya maisha yake kutoka Tanzania mpaka kufika nchi ya ndoto yake Canada
Ambapo anasema alitumia agent wa kwanza ambae alimlia pesa
Anasema baada ya kufika tu aliomba ukimbizi, amewaasa vijana kujituma.
Mabinti kutokua rahisi na waweze kujitegemea.
Thank you Mpauka Jr for allowing this to be online
www.oda.international

Опубликовано:

 

4 май 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 111   
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 2 месяца назад
TikTok: Mpaukha Jr Instagram: Mpaukha Jr
@annamussa185
@annamussa185 2 месяца назад
Thank you so much my ❤
@97digitalmedia67
@97digitalmedia67 2 месяца назад
Ubaguzi Canada upo mkubwa Sana sema watu hawawezi kujua kama kuna Unaguzi
@97digitalmedia67
@97digitalmedia67 2 месяца назад
Ubaguzi Canada mkubwa sana
@user-qn6nm1ry6y
@user-qn6nm1ry6y 2 месяца назад
😅kweli kaongea vizuri ni huzuni sisi wadada wa bongo kuomba Kuna cost
@annamussa185
@annamussa185 2 месяца назад
Huyu kaka ana Account mbili sasa sijuwi anatumia ipi Instagram kaka kama unaona hii comment angalia Dm yako
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 2 месяца назад
Napenda sana Shena anavyoheshimu mambo ya private hawi king'ng"anizi. Best youtuber wa mambo ya ughaibuni ni Shena❤❤❤
@sophiakassim6784
@sophiakassim6784 2 месяца назад
Anajielewa sanaaa ki ukweli
@EstherMedda
@EstherMedda 2 месяца назад
She is smart
@SwalehSaid-mf5sg
@SwalehSaid-mf5sg 2 месяца назад
Hakika unachosema!
@SwalehSaid-mf5sg
@SwalehSaid-mf5sg 2 месяца назад
Hakika unachosema!
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 2 месяца назад
Nawapenda sana vijana wapambanaji. Hongera sana kijana kwa kutimiza ndoto yako ya kufika Canada
@fatimasaid9469
@fatimasaid9469 2 месяца назад
Ahsante shena Ahsante broh. Kwa kuchangia tu hapo kwa kuomba ukimbizi. Ukiomba ukimbizi sio lazima kma nchi yetu iwe na vita . Ukimbizi ni jinsi uatakavyojielezea mwenyeo nini kimekukuta. Ktk maisha yako kwa ssabu watu wengi huzani ni lazima nchi iwe na machafuko .but kuna wata huomba ukimbizi .kufikisika kibiashara akawa na madeni hawezi .kulipa . Kulawitiwa .kuwa kaka poa or dada poa . Yaaani si situation utakayoipanga na ikawagusa na ikagusa ktk jamaai ni ukisema situation yko usipindishe unachokisema hata ukiulizwa tena ndio hicho. Kwa kweli ni mambo mengi tu . Samahani sana
@trueone_tz
@trueone_tz 2 месяца назад
Tatizo la Watanzania sisi ni kutokupenda na kupeana ushirikiano, pia uvivu wa kusoma na kujifunza, wengine tulichelewa kupata taarifa sahihi. wakenya na wanigeria wengi hubebana sisi ukishaenda basi hutaki hata ndugu yako aje.
@happynesbaemuhappynes8813
@happynesbaemuhappynes8813 2 месяца назад
Uko sahihi halafu pia roho mbaya na fitna nyingi
@HonestMwaria-xi2hs
@HonestMwaria-xi2hs Месяц назад
Ukifuatilia kwa umakini hizi interviews utagundua watu waTZ waliopambana wakafanikiwa kupata kuishi hizi nchi za nje IQ zao na namna za kufikiri sio za kawaida,kiufupi ni watu smart na intelligent.Mungu awabariki hawa wenye mioyo mizuri ya kutushirikisha hizi experience zao.Hongera sana Sr Shena kwa interview nzuri,zinatufungua sana akili waTZ
@talentshow2024
@talentshow2024 2 месяца назад
Kuomba ni tabia tu na namna ya malezi. Ukweli ni kujirahisisha😢
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 2 месяца назад
Sana
@MJM52
@MJM52 2 месяца назад
Piga kazi Shena,,,hapo hamna uharamu
@hanswan1
@hanswan1 2 месяца назад
Shena hakuna fatwaa ya uharamu wa online dating kiislam, hivyo aliyeharamisha alete hoja lengo tu isiwe ni zinaa watu waoane kuleta family
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 2 месяца назад
Maneno mazuri Shukran
@bintibaibe1958
@bintibaibe1958 2 месяца назад
Mengi ni mambo ya kishoga so wanasingizia,hio ndio sababu kwasasa ndio imeshika kasi so hawezi kusema maana hamtamuelewa kwasisi tulioko huku tunaelewa.
@enricajohn4120
@enricajohn4120 Месяц назад
Hawapimwi kuhakikisha?
@user-vm5yf8cs2r
@user-vm5yf8cs2r 2 месяца назад
Wewe kaka ndugu yetu Allah akubarikiye Sana Wewe nimkweli ikiwa mkweli
@aishaabdul9287
@aishaabdul9287 2 месяца назад
Nashukuru sana dada shena tunajifunza mambo mengi
@rehemadaudi4390
@rehemadaudi4390 2 месяца назад
Mlaiki jamani Shena anatupambania tupate madini tuna nfoto wengi ya kuondoka huku ,
@rayasaid3734
@rayasaid3734 2 месяца назад
Kweli wa Nigeria sio watu wazuri na usharikina wanatumia,pendelea East Africa mwenzako
@MuhammadHassan-xp6dc
@MuhammadHassan-xp6dc Месяц назад
dada nakupenda bure una busara sana na unajua kuuliza maswali ongera sana.
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 2 месяца назад
Interview nzuri saana , nawapata vizuri mno hapa Rorya, Mara maeneo ya Shirati na Kamageta
@queenofireland898
@queenofireland898 2 месяца назад
Da shena mwambie atupe number ya agent wake
@ashapearubart2624
@ashapearubart2624 2 месяца назад
alafu wanaigeria hawawezi kufanya maisha mtu sio wakwao.
@MamaB890
@MamaB890 Месяц назад
Wanaume mariooo wapo wengi sana,wmekuwa wachunaji
@aurelialema3945
@aurelialema3945 2 месяца назад
Anaeona online dating ni haramu hilo ni juu yake. Tuache kuwa judgemental jmn
@jessicamwasandube944
@jessicamwasandube944 2 месяца назад
Shena achana na hao watu wa nyumbani wanaosema, online date ni dhambi,unajua nyumbani watu bado hawajaamka kwa vitu vingi kwa hivyo kuelewa hivi sio rahic
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 2 месяца назад
Ndiomana tunawapa elimu I hope someday wataamka 🙏
@MamaB890
@MamaB890 Месяц назад
Wengine ni kwasababu wamejikatia tamaa wanataka na wengine wakate tamaa kama wao
@giboncebarnabas9667
@giboncebarnabas9667 2 месяца назад
Tuwe tuna like jamani . Kulike ni kuifanya video kufika mbali sana na iweze kuonekana yaani visibility. Kingine kulike ni kazi rahisi tu wala huliwi bando lako
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 2 месяца назад
Thank you kaka kw ukumbusho 🙏 I appreciate
@zaydelabay9776
@zaydelabay9776 2 месяца назад
Tena ukiwa huna hela njaa hiyo pambe utajuta😂😂😂😂
@linkreuben3108
@linkreuben3108 2 месяца назад
Nice interview
@shanimbaruku2071
@shanimbaruku2071 2 месяца назад
Mungu akusimamie mkaka katika utafutaji wako🤲🌹
@ericfelician7996
@ericfelician7996 2 месяца назад
Uani jama ,snamawazo kama yangu,canada na Australia,ndo napambania huko,ntaenda tuuu,dada ubarikiwe
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 2 месяца назад
Ameen 🙏
@salumusobo4009
@salumusobo4009 2 месяца назад
Dada mwambie uyo brother anipe namba ya uyo agent aliyo mpatia visa nina mpango wa kwenda Kanada ,UK or marekani
@MAISHAYACROATIA
@MAISHAYACROATIA 2 месяца назад
Interview nzuri
@Rhobimdenish
@Rhobimdenish 2 месяца назад
Wa kwanza ku comment
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 2 месяца назад
🙏🥰
@gsurasa6366
@gsurasa6366 Месяц назад
❤Hongera dada
@suleimanbalemba3348
@suleimanbalemba3348 2 месяца назад
Wanaume wote tupo hivo tunapenda wanawake wanaojitoa kwa ajiri ya mwanaume nondo hii kaka kwa dada zetu utasikia mwanaume bahili simtaki badilikeni
@nicedavid8536
@nicedavid8536 2 месяца назад
Safii
@mhizavinyangaza624
@mhizavinyangaza624 27 дней назад
Kaka naomba unitumie number ya huyo agent
@bettywangari6854
@bettywangari6854 2 месяца назад
Let us subscribe here n like this video you doing great girl
@Jeff_Tz
@Jeff_Tz 2 месяца назад
Mpaukha my friend 😅🔥🔥🙌🙌🫸
@PaulsenMgema
@PaulsenMgema 2 месяца назад
Jamaa kaongea nondo sanaaaa
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 2 месяца назад
Sana
@tajilimtoto5009
@tajilimtoto5009 Месяц назад
🎉🎉🎉
@yassirmaulid683
@yassirmaulid683 2 месяца назад
🎉
@yassirmaulid683
@yassirmaulid683 2 месяца назад
naelew xan 👌 1day 🛫
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 10 дней назад
Kwasisi wazee wa cuba tushaelewa matatizo yanyumban yanayopelekea kuwa wakimbizi tayar tushaelewa
@MaimonaRajebo
@MaimonaRajebo Месяц назад
Dada naomba mwambie huyo kk anipe namba ya huyo anjet
@97digitalmedia67
@97digitalmedia67 2 месяца назад
Ubaguzi CANADA UPO MKUBWA SANA SEMA HUJAFIKIA KTK ZONE ZA HAO JAMAA NDOO UTAKAPO JUA UBAGUZI WA CANADA
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 2 месяца назад
Karibu sana kwa kipindi tupate kujifunza kupitia wewe +4367764790884
@97digitalmedia67
@97digitalmedia67 2 месяца назад
@@OfficialDatingAssistance Ahsante sana kwa mualiko wako ningpenda kutoa maadini hususan kuhusu Ubaguzi wa Canada. Mada yangu itakua itakua Kuhusu kwa wale wanao kwenda kujaribu kufanya biashara za kimatiafa North America. Tutazungumzia vile vile jinsi gani ubaguzi ulokuwapo ktk nchi hizi mbili pindi utakapo jaribu kufanya biashara kubwa au transition ya biashara ndogo za ndani ya nchi na ukataka kutoka kufanya biashara kubwa na za kimataifa HAPO NDIPO UTAKAPO UJUA UBAGUZI WA CANADA
@queenofireland898
@queenofireland898 2 месяца назад
Atupe agents number yake nasie mie nina mtt wa dada ynga anataka kwenda na yy kutafuta maisha kashaomba mara 2 hajapata kashaliwa mara 2
@mohrecaps
@mohrecaps 2 месяца назад
Kaliwaje hiyo mara 2
@komboko4143
@komboko4143 2 месяца назад
Mambo ya agent nikutia mkono kizan kwahiyo ukiwa unataka safar basi usichoke kuingiza mkono kizan .tulishaliwa sana juu ya hizi safar.
@MaimonaRajebo
@MaimonaRajebo Месяц назад
Kaka naomba nisaidie nami nitimize ndoto ya kufika Canada
@user-wu8qe4fv4j
@user-wu8qe4fv4j 2 месяца назад
Da shena mm ntakupata aje. Ninashidae na ww. Jamanii
@ninjaisma7983
@ninjaisma7983 2 месяца назад
Naomba contact za huyo Brother aweze kuniunganisha na Agent wake pliz
@MaimonaRajebo
@MaimonaRajebo Месяц назад
Nisaidie hata namba ya huyo anjet mm niko oman napambana na nimetapeliwa hela km mara mbili
@Formula_Tz
@Formula_Tz 2 месяца назад
Views 2800 likes 23 wabongo tuache roho z kukunja tu like jaman 😢 maan hap tunajifunza vingi na Kupata madini pia
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 2 месяца назад
Shukran kwa ukumbusho 🤝
@Formula_Tz
@Formula_Tz 2 месяца назад
@@OfficialDatingAssistanceSawa dada
@komboko4143
@komboko4143 2 месяца назад
Yaan mm ningelikua na moyo mwepesi basi ningeghairi Ila sikukata tamaa Hadi nilipopata nikaondoka nikasahau kabisa yakiopita alhamdulillah tupo tunapambana Kwa sasa
@Formula_Tz
@Formula_Tz 2 месяца назад
@@komboko4143 Hongera kwakutokat tamaa me mwenyew nataman san sik moj nifik huk
@shanimbaruku2071
@shanimbaruku2071 2 месяца назад
Masikini dah mtu anakudhulumu tu😢
@CiscaRecaps2015
@CiscaRecaps2015 2 месяца назад
pia watuambie bank statement iwe na kiasi gan
@cleopatrahenry7541
@cleopatrahenry7541 2 месяца назад
Yaani wewe ni mimi kabisa ila nimeshaliwa hela mpaka nimesema basi ilanajua one day yes
@KizaSamwelmpenda
@KizaSamwelmpenda Месяц назад
Dada mwambie bro anipe namba ya agent
@user-wq2xy5mw1z
@user-wq2xy5mw1z 2 месяца назад
yeye ni mwanamke masikini na nataka mwanaume tajiri😀😃😄😂😂
@ashafaulkner
@ashafaulkner 2 месяца назад
Wewe upo nchi gani
@MroseMcho
@MroseMcho 2 месяца назад
Sema wa bongo hatupendani
@winfridamdaki5699
@winfridamdaki5699 28 дней назад
Sio kweli, wabongo wanapendana buana na wanasaidiana sio wote hawapendani
@Jirhley
@Jirhley 2 месяца назад
Naomba namba ya agent wake basi nidili nae
@user-wu8qe4fv4j
@user-wu8qe4fv4j 2 месяца назад
Na mm natamanii kiishii canada
@user-lw1kd5ek5b
@user-lw1kd5ek5b 2 месяца назад
Kaka kama hutojali unaweza kuniunganisha na huyo agent
@happinessshija5136
@happinessshija5136 Месяц назад
Tusaidie Bas agent wako wa ukweli
@ibraoman2745
@ibraoman2745 2 месяца назад
Mimi nataman Kuja Canada ila kwa galam zang sio kuletw na mtu ila sijui nifany nn
@prophetessbahatikashasha3858
@prophetessbahatikashasha3858 2 месяца назад
JE huko kuna MAKANISA ya YA kiroho
@AnnaLambert-xn1ye
@AnnaLambert-xn1ye 2 месяца назад
Naomba kuuliza shena,ivi ukiomba ukimbizi na kupokelewa unaruhusiwa kurudi kwenu kutembea na kurudi uko?
@salimsalimali8285
@salimsalimali8285 2 месяца назад
Ukiomba ukimbizi huwezi kurudi nchini kwako kwasababu ulisema una matatizo nchini kwako ndio maana ulkakimbia
@PureSoul-rf4xd
@PureSoul-rf4xd 2 месяца назад
Jamani jamani eeeeh ivi vitu vya aibu sana kuomba kuomba kama walemavu,kweli ni aibu sana
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 2 месяца назад
Mnooo
@ashumohd2192
@ashumohd2192 2 месяца назад
😂😂
@josephatlitaye8598
@josephatlitaye8598 2 месяца назад
Tupe namba ya Agent
@Maishacanada
@Maishacanada 2 месяца назад
Mademu wa kipopo wabovu kaka nakubaliana na ww Baharia
@annamussa185
@annamussa185 2 месяца назад
Tupe connection ya Agent kaka
@queenofireland898
@queenofireland898 2 месяца назад
atupe voo nasie 😅
@kevinmary7129
@kevinmary7129 2 месяца назад
To hell with ukimbizi
@annamussa185
@annamussa185 2 месяца назад
Sorry Shenna,hv Canada wanatumia Dollar ya marecan au wana Dollar yao pia
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 2 месяца назад
Wana dollar yao ( Canadian dollar )
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 2 месяца назад
Wana yao Canadian Dollar
@joejoshua7791
@joejoshua7791 2 месяца назад
Watz wako wengi sana Toronto, Calgary, Vancouver ila hawapendi kujichanganya na watz wenzao
@Jeff_Tz
@Jeff_Tz 2 месяца назад
Fanya research utajua kwa nini hawataki kujichanganya. Ukitaka kujua zaid why nifuate private
@joejoshua7791
@joejoshua7791 2 месяца назад
@@Jeff_Tz Roho mbaya na wivu ndio maana hatupendani huko abroad
@hanswan1
@hanswan1 2 месяца назад
Nipe sababu ​@@Jeff_Tz
@victoriaandrea6849
@victoriaandrea6849 2 месяца назад
Canada nchi tulivu kwa maisha MUNGU awatunze vyema nyote mlioko huko
@Fetty-i1v
@Fetty-i1v 4 дня назад
Kweli kaka kila kitu ni process, sio kudanganyana, mfano kuwa ukifika tu unafanya kazi, kisha kuwaambia watu wa nyumbani ukweli ni vizuri, kuliko kujipamba kwa uongo, kama wanavyojidai wengi huku nje.
Далее
Почему худеют от Оземпик?
00:37
Просмотров 263 тыс.
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
OMBA VISA YA CANADA KABLA YA SEPT 2024
5:07
Просмотров 1,5 тыс.
JAMES AELEZEA NANNA ALIVYOPATA VISA YA CANADA
34:06
Просмотров 3,8 тыс.
Njia Za kukam Hapa Australia
22:33
Просмотров 7 тыс.
Почему худеют от Оземпик?
00:37
Просмотров 263 тыс.