Тёмный

TUMAINI YUPO GEREZANI MIAKA 5 SASA AKITUMIKIA KIFUNGO CHA MIAKA 50, ALIYEMSINGIZIA AOMBA AACHIWE... 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 42 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 258   
@TheMint_tz
@TheMint_tz Год назад
Sasa ndo nimeelewa kwanini Mungu alimuumba Mwanamke huku adamu akiwa amelala 😢😢😢Nafikiri Adamu hakukubali 🙌🏻🙌🏻Fear women 🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS Год назад
😂😂😂😂😂😂
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 3 месяца назад
Eee hiyo comment Yako mauwa yake SIo ya bei Rahisi
@batapoint
@batapoint 9 месяцев назад
Nenda kwa mkuu wa mkoa atakusaidia ... Namjua mkuu wa mkoa wa Arusha he will take it na kykusaidia niamini mm maana aliwah kunisaidia
@hanifaomar7438
@hanifaomar7438 Год назад
Mm kwakweli mwanangu kapewa mimba nilimuuliza ulibakwa akasema hapana nimemwambia akae tuu alee Mtoto atajijua mwenyewe
@khadijamohamedy4492
@khadijamohamedy4492 Год назад
Ahaha
@hanifaomar7438
@hanifaomar7438 Год назад
@@khadijamohamedy4492 unaliambia tulia ukifanya mapenzi utapata mimba au magonjwa wapi ndio Kwanza anavaa na visuluali vyakubana utafunga watu jela wakati kawatega yeye mwenyewe alee mimba basi
@salamamsheh7985
@salamamsheh7985 Год назад
Umeona mbali mama hongera
@Octavinaelisa-fn6js
@Octavinaelisa-fn6js Год назад
Ahahahaha,
@juliethswai4263
@juliethswai4263 Год назад
jaman walioko jela sio wote wenye hatia...Mungu tusamehe uongo una madhara makubwa sana kwenye jamii
@camillahamis1069
@camillahamis1069 Год назад
kweli dear mm nilisingiziwa nimeiba nikatakiwa kuhukumiwa jamani jamani kesi yangu ni mungu tu 😢😢😢😢
@leokamil6284
@leokamil6284 Год назад
Mpaka nyimbo ziliimbwa wanakwenda jela wote sio watuhumiwa wengine huenda kwa kesi za kusingiziwa
@رقيهالخصيبي
@رقيهالخصيبي Год назад
Umesikika baba Mwenyeez Mungu yupo wanasheria msaidieni baba huyu jamani
@neema_mollel
@neema_mollel Год назад
😢 maskin nakumbuka hii habari .serikali mtoeni Tumaini gerezan
@eddytheophil7626
@eddytheophil7626 Год назад
😂😂
@dinesschamanga
@dinesschamanga Год назад
hata mm hii ishu naikumbuka aisee
@unknown_9942
@unknown_9942 Год назад
Inaumaaa sanaaa😔 gerezani for nothing daah Mungu amsaidie na atusaidie sisi wanaume na atuweke mbali na watu wenye chuki na roho za kishetani🙏
@TheMint_tz
@TheMint_tz Год назад
Natumaini Tumaini atatoka jela 😢😢God bless him
@nuubaby
@nuubaby Год назад
ACHENI KUMLAUMU HUYO DADA GUYS,huyo dada hana kosa n alishinikizwa na wazaz kilazima na inaonesha wazaz wa huyo dada wanakisasi na hiyo familia ya mfungwa ,km mlivyosikia baba kasema familia bado wanaongea Tumain hatatoka kamwe,Hapo n kuna kitu jmn,NA DADA ANAUMIA MNO NDO MAAN ANATAKA KIFANYIKE HAKI
@jamilahsakina1561
@jamilahsakina1561 Год назад
Mahakama aina kosa mwenyew makosa ni mdada na uyu dada akujua mimba ya nani kwa maelekezo yake uyu binti alikuwa na mabwana wengi kwaiyo alivyojifugua ndo anajua mtoto si wa uyu mfugwa pole sana kaka mwenyez Mungu atawasimamia ishallah atatoka kwa uwezo wake mungu
@DM_15
@DM_15 Год назад
Ipo haja ya selikal kuruhusu sheria ya kufanya DNA test kabla yakuhukumu. Wanawake wengi kwenyekesi za ujauzito huwa wanalenga mahali penye halifulani aidha chuki au kipato. Na maranyingi wanawake huwatetea wapenzi wao ilikuwanusuru nakikombe cha adhabu, ukisikiliza huyu binti vzr toka mwanzo alidhamiria kumtetea huyo mpenzi wake that's why mtoto aliandikisha majina ya mpenzi wake. Usikute mbaka kadi ya clinic majina ya baba alijaza yampenziwake. MUNGU NI MWEMA LKN SIKUMOJA ATATOKA TUU
@mutaladjasmini4815
@mutaladjasmini4815 Год назад
😢😢😢😢dah dunia iyii kweli Mungu yuko nayeye ndie muweza wa kila kitu
@bennyframa4505
@bennyframa4505 Год назад
Dah Inauma sana. Aisee hii sheria ya mimba kwa wanafunzi wanaume wanafungwa. Iangaliwe upyaa. Asilimia kubwa hao wanafunzi hufanya hayo mambo kwa ridhaa yao wenyewe. Sasa uyu dada kumtoa Tumaini itakuwa ngumu sana na piaa kama tumaini atatoka uyu dada atafungwa gerezani kwa kosa la kutoa Ushahidi wa Uongo. Ni kosa kisheria
@mtagechota1002
@mtagechota1002 Год назад
Daah kuna watu wengi gerezani wanateseka makin 😢kwa kusingiziwa naweza kuona mwenyezi mungu akawe mtetezi wao
@JokhaSalehv
@JokhaSalehv Год назад
Jamani. Msaidieni huyo mtoto atoke jele
@walinaziontime7300
@walinaziontime7300 Год назад
Kuna wazazi wanadhambiiii Sanaaa na wanawake mnatutesaa sanaa wanaume 😭😭😭
@felisterandrew8741
@felisterandrew8741 Год назад
Jaman
@neema_mollel
@neema_mollel Год назад
Ndo mjue mahakama zetu hazitendu haki
@claudiajames2003
@claudiajames2003 Год назад
Dah😢😢speechless
@estakapufi7582
@estakapufi7582 Год назад
Jamani viongozi usika wa mahakamani na haki za binadamu ebusikieni ili swala msiwe mnang'ang'ania mtu hana makosa na muhusika ameshasema jamani sio sawa
@Passy-gj9nc
@Passy-gj9nc Год назад
Yaaani !!
@maulidimussa2148
@maulidimussa2148 Год назад
Unajua kiukweli serikali yetu ipo kwajili ya maslahi ya watu binafsi ndomana haki hakuna
@auntdorah9141
@auntdorah9141 Год назад
😭😭😭😭😭 Serikali tunaomba mumsikilize huyu bintiiii, huyo hakimu aliyehukumu hii kesi ajitathmini, nafikiri hata yeye ataumia kuujua ukweli ambao huenda hakuujua? nae ana watoto jamanii, Ee Mungu ingilia kati😭 nimelia sana, mzee nenda kwa mbunge wetu, ni mtu wa watu atakusaidiaaaa😭 hao wazazi wa binti Mungu anawaona. Kwa mzazi yeyote hii itamuumiza!!
@hassanmatata9335
@hassanmatata9335 Год назад
Hizi kesi sio kosa la hakimu ni kosa la sheria zetu kwa kuruhusu ushahidi wa kimazingira ingekuwa DNA angekuwa nje
@auntdorah9141
@auntdorah9141 Год назад
Ok... imeshatokea, na binti ameshakiri alisema uwongo, je, ktk wilaya yetu ya Siha au mkoa wa Kilimanjaro hatuna watetezi wa haki za binadamu? Hatuna wanasheria wa Serikali ambao wanaweza kusimamia haki za huyo kijana? Mkuu wa Mkoa, Wilaya au Mbunge wetu wamelisikia hili? Umesema ushahidi wa mazingira, alikamatwa nae ?( walifumaniwa?) Au ni ushahidi upi huo? Kusingiziwa mimba ni jambo la kawaida hata ndani ya ndoa, hivyo sio lazima kila anasema mimba ni ya fulani basi ni kweli! Je, angezaliwa mtoto wa kihindi bado huyo kijana angeendelea kusota ndani? Kwa kweli hili jambo linaumiza tumbo!! Tumbo la uzazi linaumaa! Kijana ndoto zake zimezimwa bila sababu!!
@salamamsheh7985
@salamamsheh7985 Год назад
We vp imsikilize binti wkt yy binti ndio shetani mkubwa mbinguni asiende kabisa akifa achomwe kila mda kila dakika laana pamoja na kizazi chake chote
@adamkapolo8817
@adamkapolo8817 Год назад
Sheria dhaifu sana za kinyanyasaji
@gracekunambi7438
@gracekunambi7438 Год назад
Mungu ndiye hakimu wa haki, najua haki itatendeka na tumaini atatoka, mbunge wetu molleli ingilia Kati hili swala haki itendeke kumbuka kuwa huyo binti alishinikizwa aongee hivyo. Mama Samia angalia hili. Msaidie huyu mtoto atoke...
@gabriellabaran2338
@gabriellabaran2338 Год назад
Daaa soo sad😢😢
@aishaissa2512
@aishaissa2512 Год назад
Raisi Samia amuone huyu baba jamani kijana wake atoke gerezani😢😢
@hassanmugire1497
@hassanmugire1497 Год назад
Kbsa
@janethkomba4485
@janethkomba4485 Год назад
Hi habari inasikitisha sanaa🙆pia inaumiza moyo mpaka mwili😭😭😭😭kwer kabisaaa mtoto wawatu anatumikia kifungo kilefuuuu ambacho akina atia daaaa😭😭😭Muda nimali sanaa😢
@adaboychibu1659
@adaboychibu1659 Год назад
Lakini na yeye alishiriki tendo na mwanafunzi kwani alikuwa hajui kufanya ngono na mwanafunzi ni kosa kisheria
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 Год назад
@@adaboychibu1659 katika watu wenye ujinga kichwani uliopitiliza basi wewe upo ...Yan hata kusikiliza vizuri kinacho ongelewa unashindwa??? Kiazi kweli wewe.....
@salamamsheh7985
@salamamsheh7985 Год назад
@@adaboychibu1659 msikilize vizur huyu dada aliefungwa hakua na mahusiano yyte bali baba alimwambia amtaje yy tu.
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 Год назад
Hatali sana mahakimu wengi wanajalipesa tu polesana mtotowako atatoka tu
@lastkinglastking3326
@lastkinglastking3326 Год назад
Huu dada anaweza kuwa na hofu ya MUNGU kwa mwingine huwenda angekuwa anapiga goti nakuomba samahani kwa Mungu ila dada ajuwa kwamba msamaha ni kuanzia Zambi ilipo anzia ndio atakasike jamani huyo maskini atolewe jela
@khasmamtega5963
@khasmamtega5963 Год назад
Nyie Hakuna rafiki wa Kweri Kama wazazi duniani..... Bhas msifanye kuwaumiza
@nannakhamis5350
@nannakhamis5350 Год назад
10:17 10:22 10:31 😢😢😢
@mariamgodfrey53
@mariamgodfrey53 Год назад
Huu usenge huu yaani mikojo akojoe mwingine utamu afaidi mwingine machungu apate mwingine jamani hivi huoni aibu kwanza unaanzaje kumtaja mtu ambaye hata hajawahi kukukojolea na hawa mahakimu wetu wa michongo hawa basi tu Mama yetu MAMA SAMIA embu sikia kilio cha huyu mzee wetu na uweze kumsaidia mtoto wake aachiwe huru. Inauma sana
@sarahgaula2220
@sarahgaula2220 Год назад
Sasa wote wanafunzi Kwa nini wasifungwe wote?
@rachelsika9588
@rachelsika9588 Год назад
Mungu simama mwenyewe
@gorethkalembo8177
@gorethkalembo8177 Год назад
Roho imeniuma I'm speechless
@leokamil6284
@leokamil6284 Год назад
Watu wanahukumiwa kwa kukisia ati kwa nini asitajwe mwengine, Mahakimu wa mchongo Mungu awahukumu na nyinyi
@Officalnaph
@Officalnaph Год назад
ELIMU NI JAMBO MUHIMU SANA, MBONA NI KAZI SIMPLE TU KUMTOA HUYO KIJANA, NIKUFATA UTARATIBU TU NA KURUDISHA KESI MAHAKAMANI KISHA TUMAINI ANATOKA TU.
@neemajohn6142
@neemajohn6142 Год назад
Inakuwaje mtu afungwe bila kufanya DNA hukumu ingetolewa baada ya vipimo jaman kwan hii kitu si ipo tanzania? Au ndio kutotambua sheria?
@adaboychibu1659
@adaboychibu1659 Год назад
Na kwann alifanya mapenzi na mwanafunzi
@geofreybalyobalyo4538
@geofreybalyobalyo4538 Год назад
​@@adaboychibu1659 unajua unachoongea
@lydianedward4122
@lydianedward4122 Год назад
​@@geofreybalyobalyo4538 haelew kwa kwel 😢
@fashion7442
@fashion7442 Год назад
Mimi nafikiri sheria ya Tanzania iwe na adhabu kwa watoto wakike pia mara baada ya mtoto kuacha kunyonya walau miaka mitano. Hili huenda likasaidia watoto wa kike kukaza zipu zao za sketi maana hawasikii wala hawaelewi ya wazazi wao
@khaijakadija2082
@khaijakadija2082 Год назад
Mama ngwajima anasaidia sana
@OnlyRuky
@OnlyRuky Год назад
Jamaaaaani why vipimo havikufanyika😢😢😢Oooooh nooo
@SalmaAmour-rg9fu
@SalmaAmour-rg9fu Год назад
Yani huyu dada na wazazi wake adhabuu ya mungu iwashukiee na ww dada umemsingizia mtt wawatu na ww umeza mtt wakiumee utalipwa kama ulivyomfanyia mtt wa mwezioo 😢
@amanimanase8798
@amanimanase8798 Год назад
Daah sheria gan hii ya Tanzania yenye unyanyasaji namna hii yan mtuhumiwa amepata ushahidi sio mhusika na mlalamikaji ametoa ushihidi lkn bado tu amekamatwa tu Daah mungu ingilia kati maana inauma sana,kama kuna wafungwa wanaachiwa huru tena kwa makosa haswaaa je uyu asie na kosa kwann asiachiliwe?
@godymbanyi1878
@godymbanyi1878 Год назад
Pole Sana baba. Haki ipo mbinguni tu
@maryamhassan7000
@maryamhassan7000 Год назад
😢😢Mungu mfanyie wepesi hyu baba inauma kweli ww dada utakuwa na amami ya moyo mpaka unakufa mbwa ww
@muzneali4747
@muzneali4747 Год назад
Kwani mtoto si YUPO apimwe DNA maneno hayasaidii kitu
@shuwehaharuna6309
@shuwehaharuna6309 Год назад
Inauma sana
@shabanimusa873
@shabanimusa873 Год назад
Wewe mwenyewe umetoa ushahidi wa uongo kwa hiyo umeidanganya mahakama sheria ifuate mkondo wake.
@deodathsilayo3639
@deodathsilayo3639 Год назад
Huyo dada inabid apewe kipigo ameshamharibia maisha mtu hapo
@venitarugemalila9290
@venitarugemalila9290 Год назад
Jamani pole
@lydianedward4122
@lydianedward4122 Год назад
12:05 jaman kwann judges mpo hivi you guys you will pay kama mnafanya kwa faida zenu maana mnasimama badala ya Mungu but sio kwa haki. Mungu msaidie Tumaini🙏. Daaah 13:25 inakera mnoo
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS Год назад
CHUKI ZA UJIRANI MBAYA SANA. HATA UNITISHE VIP SIWEZI KUMSINGIZIA MTU NA KUMTIA HATIANI NA KUFUNGWA
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 Год назад
Jamani Raisi msaidie huyu kijana jamani inauuma sana
@Yunis-hn9hn
@Yunis-hn9hn Год назад
Jamani wewe dada huoni ni thambi kubwa sana ulimtendea mwenzio😢😢😢😢
@adaboychibu1659
@adaboychibu1659 Год назад
Na ndomana ana tubu!au hujamuelewa
@mligogodfrey8882
@mligogodfrey8882 Год назад
We hujasikiliza vizuri,ungesikiliza ungeelewa.
@godfreysway1732
@godfreysway1732 Год назад
Ndyo maana akawa anasutwa nafsi na alisha ambiwa hakuna mtu mwingine
@salamamsheh7985
@salamamsheh7985 Год назад
Kutubu gani baada ya miaka 3 mtu anasota hlfu keshaolewa tyr .mbona jina la baba mtoto kamuandika aliekimbia huoni kma kuna kamchezo huyu shetani tu mungu ampe maisha magumu yy na kizazi chake chte .....
@Yunis-hn9hn
@Yunis-hn9hn Год назад
@@salamamsheh7985 Ni kweli kabisa
@vivianluca8486
@vivianluca8486 Год назад
Duh….Raisi samia amsamehe huyo mtoto.
@marrymakoi1588
@marrymakoi1588 Год назад
Sio wote wako gerezani wana makosa bali wengine tu wanawekwa kimakosa.Baba Mungu akutie nguvu. Jamani wazazi poleni sana Mungu ataingilia kati 😂
@venitarugemalila9290
@venitarugemalila9290 Год назад
Acha ilimkuta ndg yngu usiombe yakukute
@venitarugemalila9290
@venitarugemalila9290 Год назад
Kusingiziwa
@joramkimario9321
@joramkimario9321 Год назад
Daaaah.kwel mnachokitafut mtakipata.yaan nilijua ilishaisha
@chalokalunde9429
@chalokalunde9429 Год назад
Inatakiwa Hawa wanaopata mimba wawe wanafungwa pia.Tazama maisha ya kijana yameharibika,kwa kusingiziwa tu.
@venitarugemalila9290
@venitarugemalila9290 Год назад
Pole
@dayana5513story
@dayana5513story Год назад
Binadamu bana sheria ya Taz kiboko naweza je kufunga mtu bila DNA
@mariasafari1004
@mariasafari1004 Год назад
Kwann DNA isifanyike jamn mbn mnamfunga kijana wawatu lakini jamn😭😭
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 Год назад
Mzee akifata taratibu za kisheria jamaa ataachiwa huru...dhambi Sana kwa kweli jela sio sebleni aisee
@aryanamendes8700
@aryanamendes8700 Год назад
Walahi ningeroga nao binti yao awe kichaa mpaka mtoto wa kiume atoke alaa😢
@allysaid7108
@allysaid7108 Год назад
Omba Mwenyezi Mungu mzee wangu nchi hii imejaa rushwa tu hakuna kingine, watu wanahonga hela kuwaumiza watu wanyonge
@reenyaysher7639
@reenyaysher7639 Год назад
Nenden mahakamn mkakate rufaa baba au mwandishi mshauri aende rufaa mbona inawezekana bwana ila sio kwa njia hizo wanazofuata, plz plz kakateni rufaa kila kitu kitakuwa sawa
@bintmrisho3526
@bintmrisho3526 Год назад
Jaman inauma sana😢
@aloycesamba998
@aloycesamba998 Год назад
Kwa kweli mimi nimeshindwa hata niandike nini zaidi ya kutokwa na 😭😭😭😭
@majchannel1034
@majchannel1034 Год назад
Me naona labda aende kwenye mediabkubwa kamq wasafi, clouds au millard ayo😢
@abdullatifmbago5990
@abdullatifmbago5990 Год назад
Huyu binti mimi simlaumu ila wazazi wanakawaida yakumchikia aidha bint Fulani ama kijana Fulani.huyu bint Kwanza ni bado mdogo hadi muda huu Kwa kipindi hicho alikuwa bado mdogo sana kwahiyo mzazi wa bint alivyomtisha bint yake kumtaja tumaini Kwa hasira Zake Kwa tumaini sasa bint amekuwa anajitambua hapa mwenye kosa kubwa ni baba Wa bint
@ChikondiMadaliso
@ChikondiMadaliso 4 месяца назад
Hivyo ni visa tu suguwa magooti baba yangu mungu hashindwi
@franklawrence5452
@franklawrence5452 Год назад
very painful
@subirajohn728
@subirajohn728 Год назад
Jamani natamani kulia ! Kijana anateseka billa ya hatia!
@AmosJuma-wp2pe
@AmosJuma-wp2pe Год назад
Ilaa mimi nilichoo onaa huyuu bitii ataa kuwa anatokewa na yuree kijana ataa uskuu
@SafiaSeif-gw4ut
@SafiaSeif-gw4ut Год назад
Masikini weee namuonea huruma sn.ww dada hta km babako alisema kwanini usiseme ukweli?muna mfunga mtu asiye na hatia?😢
@gracemadondola7331
@gracemadondola7331 Год назад
Da nimejisikia uchungu
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 Год назад
Pole baba mungu atafanya njia kijana wako atatoka
@janelyatuu1135
@janelyatuu1135 Год назад
Jamani kumbe huyo kijana bado Yuko gerezani mungu wangu mtete
@batapoint
@batapoint 9 месяцев назад
Wanafunzi wote ni Miner maana take hawana umri mzur wa kusimamia akili zao.. means hawana tofaut na unsounded mind. Kwann mnamshikiria ikiwa na yeye ni under 18??? This is not fair.
@tikisaelikivuyo4030
@tikisaelikivuyo4030 Год назад
Uyo dada Nae awekwe atiani kwakumsingizia
@batapoint
@batapoint 9 месяцев назад
Taja namba ya sim
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS Год назад
Sasa Maliam atalipa fidia tumaini??
@davidmalogo7100
@davidmalogo7100 Год назад
Ujumbe huu mahakana zibadilishe Shelia au zijalibu kulekebisha mana mtu anafungwa bila kosa inauma sana ukifikiria sana
@jennymtunguja
@jennymtunguja Год назад
Mahakimu wote mungu anawaona
@AminaRamadhani-gx8yr
@AminaRamadhani-gx8yr Год назад
Pole sana ilausikate tamaa walausichoke kulia kwenye vyombo vyahabari raisi wetu nimwema sana likimfikia hili atoa kauli ukitoka kwauyo nenda kwenye vyombo vyahabari vingine mpaka limfikie
@gumbokibanga7016
@gumbokibanga7016 Год назад
Mpimeni mtoto DNA aiseee siyo ata Hela mingi sana
@abdulshakurmshindo9040
@abdulshakurmshindo9040 Год назад
Ingekuwa mwanamke ne anawajibishwa kwa kosa la kupata mimba kwa ridhaa yake mwenyewe basi nina amini asingeweza kumsingizia mtu mwengine akamuacha muhusika
@tahirnephessalum3678
@tahirnephessalum3678 Год назад
kama ndo hivi hii sheria ni ya kisenge kumamae
@yohanekopilato-wn3lo
@yohanekopilato-wn3lo Год назад
Kuna haja ya kesi kurejea upyaaaa
@geofreybalyobalyo4538
@geofreybalyobalyo4538 Год назад
Haya mambo yasikie tu yasikukute
@alluminiumexperttz.12mview13
Huu ni ujinga. Hivi mtu anafungwa tu bila ushahidi kweli! Tafsiri rahisi hapa ni Kwamba mtoto wa kike akikusingizia tu mimba ndo basi unafungwa hamna ushahidi wowote unaohitajika!!
@venitarugemalila9290
@venitarugemalila9290 Год назад
Kumsingizia mtu sio vizuri
@bakarijuma6902
@bakarijuma6902 Год назад
Inatia uchungu sana
@malila4582
@malila4582 Год назад
Maisha haya mh!
@lulanjamd3886
@lulanjamd3886 Год назад
Na huyu dada akafungwe miaka 5 Ili iwe fundisho Kwa wadada wanafunzi Malaya kama hawa
@marykmbogo7589
@marykmbogo7589 Год назад
Mungu wetu wa mbinguni ingilia kati juu ya swala hili
@hamidumpiga6283
@hamidumpiga6283 Год назад
Mahakim nao wamekua awatendi haki kabisa yani wananchi wanaonewa sana
@fsaad5116
@fsaad5116 Год назад
Jamani wahalifu hasa hawahukumiwi miaka hayo the walk freely jamani wanyonge
@allysaid7108
@allysaid7108 Год назад
hii ndio bongo land mambo ya hivyo sana
@amanimanase8798
@amanimanase8798 Год назад
Duuh na waandae hizo garama na muda waliompotezea na kumdharaulisha kwa jamii
@mwamvuamagongo8163
@mwamvuamagongo8163 Год назад
Pole sana umasikini mbaya jamani
@justerclement6437
@justerclement6437 Год назад
Huyo hakimu ni mshenzi alikuwa ameishapewa rushwa
Далее
РОК-СТРИМ без ФАНЕРЫ🤘
3:05:16
Просмотров 1,3 млн
PLAN B _ Episode 22
1:02:01
Просмотров 91 тыс.