Тёмный

''TUMEWEKEZA TRILIONI 1, TUMTAFUTE MTU TUFANYE BIASHARA" - PADRE KITIMA AJILIPUA SAKATA la BANDARI 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 24 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

20 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 48   
@globaltv_online
@globaltv_online Год назад
BREAKING NEWS! USIKUBALI KUPITWA na HABARI ZA GLOBAL TV. JIUNGE na WhatsApp Group Now: chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ
@chrissg4026
@chrissg4026 Год назад
Uyu Padre anajua sana! Genius! Amebarikiwa mwanamke aliyekuzaa!
@allysanga209
@allysanga209 Год назад
Kabisaaaaa kaka
@jumakilinja6341
@jumakilinja6341 Год назад
Namshukuru sana father kitime,mungu akubariki sana akujaalie afya njema endelea kuelimisha walioganda bongo za vichwa vyetu
@Zaburi-
@Zaburi- Год назад
Mungu/MUNGU sio mungu
@godfreygeorge9070
@godfreygeorge9070 Год назад
Akili kubwa kama hii zinapatikana mara chache sana tena sana Umeongea point kubwa sana Father barikiwe
@ziyadanyandwi2908
@ziyadanyandwi2908 Год назад
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
@luganomwaigomole7441
@luganomwaigomole7441 Год назад
Grateful ideas
@naldclever
@naldclever Год назад
Padri uishi milele
@albertjames6845
@albertjames6845 Год назад
Aishi milele yeye nani? Mungu pekee yupo milele, yeye na wengine wote njia ni moja, Kufa haikwepeki.
@johnycavishe5207
@johnycavishe5207 Год назад
Hoja zlizoshiba big up Sana maneno yako ayako kbaguz.inatakiwa rais wetu awe na uchungu na nchi yetu hayat jpm alitfumbua macho Sana katika hii nchii rest in peace 🙏 kwake
@MashallaShimbi-pw7ix
@MashallaShimbi-pw7ix Год назад
Viongozi wanaoegemes upande na kutetea mkataba tata tuna mashaka nao,huenda kuna namna wamepata manufaa tayari,wachunguzwe kwa undani zaidi
@julianaswai7846
@julianaswai7846 Год назад
Safi sana bab padri. Nimekuelewa vizur sana
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 Год назад
Mungu akubariki sana pastor
@mariangulu8909
@mariangulu8909 Год назад
Natumaini serikali itachukua haya mawazo uo mkataba upitiwe UPYA. Padri big up sana. Ubarikiwe
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 Год назад
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu
@tato8979
@tato8979 Год назад
Upo vizuri p❤❤
@flaviankitowa5439
@flaviankitowa5439 Год назад
Mungu yupo nyuma yako mtumishi labdawatasikia
@linkreuben3108
@linkreuben3108 Год назад
Padre anaongea point sanaa!!
@Focusm-se2sd
@Focusm-se2sd Год назад
Tunakupenda watanzania wote
@mariangulu8909
@mariangulu8909 Год назад
safi sana huyu Mtumishi ana hoja anajua kupangilia mambo. Ana busara sana. Yani ukiona mpaka viongozi wa dini wana piga maswali kuhusu bandari ujue ni swala nyeti kuna shida.
@andrew29468
@andrew29468 Год назад
Ana akili nyingi na pia kanyooka
@karimjuma4019
@karimjuma4019 Год назад
Bora hata ww umeongea ukweli
@jacksonmtese9313
@jacksonmtese9313 Год назад
Wazo zuri.tusigenishe tujali wazawa
@faustinombilinyi9809
@faustinombilinyi9809 Год назад
Charles kitima MUNGU AENDELEEE KUKUPA UMRI MREFU ZAIDI JUUA YA UTETEZI WA NCHI YETU
@isakanicholaus6779
@isakanicholaus6779 Год назад
Umeeleza vema Baba
@noorbazaar9063
@noorbazaar9063 Год назад
Mnaogopa kupoteza hisa zenu na fursa za kiholela za misamaha ya kulipa kodi... Time will tell.
@adkajisi4536
@adkajisi4536 Год назад
Sawa si nyie mnalipa. Time 'll tell
@methodiutou7278
@methodiutou7278 Год назад
Ubongo wa mende mwili wa binaadamu!
@omolomaxfitnessbodylifetim8252
Padre amenikumbusha mabasi ya Digidigi ya safari za Mwanza-Kayenze
@jamaa2760
@jamaa2760 Год назад
👍👍👍👍👍👍👍👍👍
@mobilespecialschool4216
@mobilespecialschool4216 Год назад
Hawa mapadri wanahisa za upigaji bandarini bora leo lema ameongea honestly
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 Год назад
Kwa hilo nimekuelewa una mawazo mazuri tujenge uwezo wetu wenyewe tujifunze tupate ujuzi kutoka kwao
@2003hintay
@2003hintay Год назад
Wewe. Pia hujaelewa hapo hakuna mkataba ulosainiwa inawezekana wewe ni Kati ya waliokuwa wananufaika na hiyo bandari
@JacobJohn-q3w
@JacobJohn-q3w Год назад
Dah inauma sana hii nchi kuchukuliwa na asiye kuwa na uchungu na nchi yake watanzania tuko wapi katika hili tuonyeshe umoja wetu
@birianination7097
@birianination7097 Год назад
Mjomba mpaka watu wameweza kukaa na kujadili hii inaonesha serikali inasikiliza pia inania njema
@julianaswai7846
@julianaswai7846 Год назад
Kwelikabis mjenga nchi n mwananchi.
@issakwisamwasanjobe541
@issakwisamwasanjobe541 Год назад
Tatizo la viongozi WA tz wanafikiri sekta ni kukabidhi rasilimali zenye utajiri mkubwa za nchi kwa wawekezaji na serikali ibaki kutoza Kodi TU Hilo ni tatizo Mnatengeneza serikali tegemezi
@MashallaShimbi-pw7ix
@MashallaShimbi-pw7ix Год назад
Wanaosema ni udini wamefilisika kifkra,na ni waliolishwa maneno na wamepangwa na watawala na hatupaswi kuwasikiliza hata kidogo
@zeelamipango
@zeelamipango Год назад
Watu wenye busara wapo wengi nchi hii
@jamaa2760
@jamaa2760 Год назад
Duuuh Padre KITIMA unamadini
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 Год назад
Yaani nikiwasikiliza mawaziri nikamsikiliza magufuri nalala maana namwamini magufuri
@MgetamafuruMgeta
@MgetamafuruMgeta Год назад
Wao wauze tu si sisi wanatuona wajinga Mungu yupo
@didasseveline9013
@didasseveline9013 Год назад
😄😄😄
@prospermsemwa1433
@prospermsemwa1433 Год назад
Huyu padre nimemkubari
@danielmgeni1703
@danielmgeni1703 Год назад
Mtu makini Anaongea hoja makini ubalikiwa
@stellamuyenjwamboyi7559
@stellamuyenjwamboyi7559 Год назад
Tunazo akili macho mikono ufahamu Isaya 62;2---18 Wapewe wachaga wapewe waluo wafanye biashara
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 Год назад
Umesahau na Waking a wapewe bandari wsux
Далее
She Couldn’t Believe I Did This! 😭 #shorts
00:12
Шок-контент! 😱
00:50
Просмотров 1,3 млн