Тёмный

SIKILIZA UMMY ALICHOSEMA BAADA YA KUTUMBULIWA NA RAIS SAMIA "MIMI NINASHUKURU KWA KILA JAMBO 

Taifa Digital
Подписаться 606 тыс.
Просмотров 142 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

26 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 172   
@jamesmaths2296
@jamesmaths2296 2 месяца назад
Pole dada tunajua akina mama hawapikiki chungu kimoja haswa mkubwa akihisi threat kutoka kwa mdogo. I can feel uchungu ila hayo ndiyo maisha songa mbele na chuchumia yajayo ukijaribu kusahau yaliyopita; God is always in control and he sees the end from the beginning.
@AishaNiachie
@AishaNiachie Месяц назад
Asante sn kwa kumpogeza samia kazi
@ConsolataBageni-ir6mb
@ConsolataBageni-ir6mb 2 месяца назад
Hongera Sana,MH Ummy wewe Ni kiongozi Bora,Asante Sana umefanya mengi kipindi MH Rais akikypa nafasi bongera sana
@sihabanassoro5094
@sihabanassoro5094 2 месяца назад
Nakupendaaaaa unawezaaaaaa. Ulikuwa unaonekanaaaaa ktk kazi. Kazi iendeleeeee. Ummy ngaraaaaa.
@margarethsaramaki3966
@margarethsaramaki3966 2 месяца назад
Mungu akulinde mh Ummy Mwalimu Kazi unaweza tumekuona ulivyokuwa unapiga kazi 🙏🏼🙏🏼
@mohammedubwa9730
@mohammedubwa9730 2 месяца назад
Among the women in leadership I admire deeply down my heart. And you showed it between the presidents. Keep GOING my dada......so many goods to come. 💪🤲
@foundationforcommunityhope7327
@foundationforcommunityhope7327 2 месяца назад
Mh.Ummy Hongera Sana...Watanzania tunakupenda Sana tunakuheshimu Sana,ulituvusha wakati wa CORONA.
@OniaWenela-o1v
@OniaWenela-o1v 12 дней назад
Et wanawake hatupendani binafsi nakupenda sana wewe ni simba jike umepambana sana ubarikiwe kwa kazi nzuri maisha yanaendelea
@AbelIshaninga-dy2sf
@AbelIshaninga-dy2sf 2 месяца назад
Ummy ❤❤❤❤ Mungu akujalie Ufike Mbli zaidi kwa weredi wako
@jumamustapha8254
@jumamustapha8254 2 месяца назад
Ummy mimi nipo morogoro wilayani kilosa nakupenda sana, nakukubali sana. 2025 karibu kwetu mama.
@loner_wolf
@loner_wolf 2 месяца назад
Nyeupe ni nyeupe , Nyeusi ni NYEUPE . 😅😅😅😅😅😅ukweli huwa ni self evidence ambayo hujidhihirisha yenyewe bila kushabikiwa wala kutetewa😅
@daudiSoka-e5f
@daudiSoka-e5f 8 дней назад
Mungu akupenguvu zaidi mama wew ni jembe
@ElizabethSulle-y6s
@ElizabethSulle-y6s 2 месяца назад
Hongera sana Mheshimiwa
@shtatsalfa5026
@shtatsalfa5026 2 месяца назад
Ulikuwa vizuri sana wakati wa anko Magu (Mwenyezi Mungu amrehem) ulipiga kazi ipasavyo, ulijua thamani ya Watanzania ulijitoa muhanga kweli kweli kipindi kigumu cha korona ulikuwa mbele sana mpaka mataifa ya mbali na karib yetu yalikubali utendaji wako BUT kwa wakati huu cjui umeingiwa na nn dada yangu.... Umi mwalimu huyu cyo yule wa enzi ya anko Magu.... Pumzika mama umechoka sasa
@Sheba4651
@Sheba4651 2 месяца назад
Mwenyezi Mungu hamrehemu mtu ambaye hakumuabudu, kama vile una mume wako huduma za matunzo upate kwa mume wa jirani. Ndio ilivyo huko siku ikifika, kama mungu wako ni n'gombe wewe ni baniani, ama mungu wako zumaridi au Yesu, usitaraji Rehema toka kwa Mungu Mwenyezi.
@elikanambwilo8086
@elikanambwilo8086 2 месяца назад
Binadam ni wachache wanamoyo wa shukurani congratulations kwa ummy mwalimu
@George-jz3jg
@George-jz3jg 2 месяца назад
Hizo huwa ni shukurani za kinafiki usimsifie kwa unafiki
@SwaleheAdamu-rg8hl
@SwaleheAdamu-rg8hl 2 месяца назад
Hongera sana kwa yote mazuri uliyoyatenda mfano bora wa kuingwa kwa viongozi wengine
@gerevasliyunga9831
@gerevasliyunga9831 2 месяца назад
❤❤❤❤❤❤❤❤❤ NAKUPENDA sana sana Dada
@ummy0095
@ummy0095 2 месяца назад
Akitolewa kwenye wadhifa mtu akiwekwa mwingine mtu asilalamike ni saw tuu wewe mwenyewe wengine nao waipenda hiyo nafasi kuwa waziri
@StevensJoas
@StevensJoas Месяц назад
Moyo mzuri sana unatufaa sana mama nmependa
@yustotumbo7620
@yustotumbo7620 2 месяца назад
Nakupenda sana waziri bidii, uwezo ni mfano mzuri, pia kauli isiyo na unafiki, hongera yako, lakini naamini kazi ni kupeana vijiti wala hakuna haja ya kuwa na hofu ni mambo ya kawaida kwenye kazi ya aina yeyote, siku nyingine utapewa tena majukumu mengine kama hayo.
@joscamwoshezi2986
@joscamwoshezi2986 2 месяца назад
Kweli Ummyp ni chapa kazi.kazi iendelee
@godlistengodlisten7552
@godlistengodlisten7552 2 месяца назад
Kiukweli Sijawahi Kuonaga Ubaya Wa Huyu Dada Ummy.Yuko Vizuri Sana Hebu Watumikie Vyema Wanafamilia Wako Dada Yangu Mungu Atakulinda.🎉🎉🎉
@RichardMgweno
@RichardMgweno 23 дня назад
Ushakula za bima na mfumo haukutambui
@jonfredkewe3451
@jonfredkewe3451 2 месяца назад
Mh samia huyu Dada mpe wizara nyingine bado ana pumzi ya kutosha .Nimuungwana watanzania bado tunamhitaji kwenye hili baraza.ukimpa wizara huyu dada umetufuta machozi watanzania
@lilyabel2320
@lilyabel2320 2 месяца назад
Mwache apumzike kwani hakuna watu wengine wanaweza kuwa mawaziri??? Kila siku hao HAO tuuuu aaaash wapo watu wengine waziri Tu. Mwache afanye mambo mengine
@MusaKisaka-f6f
@MusaKisaka-f6f 18 дней назад
Hongera mama nani kama umy mchapakazi kamanda hodari
@SangaMahanji
@SangaMahanji 2 месяца назад
Umeyatimba .unajikozha tu muongo utaona .usifikili kira wakati watu wa tanga wamerara
@EdimundKaseswa
@EdimundKaseswa 2 месяца назад
Wizara nyeti afya anatakiwa akae jembe sio waswahili wa pwan mnatumbuana tena!
@JACKSONJASSON-xz6jo
@JACKSONJASSON-xz6jo 2 месяца назад
Umefanya kazi nzuri
@BenedictMmbelwa
@BenedictMmbelwa Месяц назад
Hongera sana dada yangu kwa moyo wako wa shukrani kwa Rais kukupa heshima yakuwa Waziri wa Afya
@RashidMwasiposya-ck6py
@RashidMwasiposya-ck6py 2 месяца назад
Mshukulu mungu aliekupa uzima
@JamilaMbogo
@JamilaMbogo 2 месяца назад
Usijari mungu akupe moyo wa subra kila lenye mwanzo lina mwisho
@watendeomary2971
@watendeomary2971 Месяц назад
Ukifungwa mlango huu Allah atakufungulia ule
@DavidSemu-gu6wp
@DavidSemu-gu6wp 2 месяца назад
Dada yangu kamwe usivunjwe moyo na maneno ya wasio kutakia kheri ogopa sana kupendwa na watu wote bila kuwepo wanao kuchukia,hata mitume wa Mungu walitukanwa na kuchukiwa,mema yako kwao atakulipa aliye kuumba wala si mwanadamu. na hataTanga yetu umeifanyia mema hasa pale Bombo na kwenye michezo tupo tunao fahamu, Ubarikiwe sana Dada yangu.
@EzekiaMichael-jn5np
@EzekiaMichael-jn5np 2 месяца назад
Dada ummy kwangu mie huna baya Iko siku utarudi tu kwenye nafas ya wazir sio lazima wizara ya Afya hata wizara nyengine Mungu akutie nguvu
@NyihitaWilfred
@NyihitaWilfred 2 месяца назад
Mh.umy hongera sana, chapa kazi mama, huna baya na mtu.
@HatibuShemahonge
@HatibuShemahonge 2 месяца назад
Mbona Wana wake wanzako mbona kiliniki waja wazito Wana jifungua kwa pesa cm pia wananchi wakipiga cm hupokei kadi ni pesa kujifungua pesa mmm
@LydiaNkana
@LydiaNkana Месяц назад
Hongera Mungu akutunze
@ChrisBuretta
@ChrisBuretta 2 месяца назад
Hongera sana dada Umuy! Dada wa kitanga mna shukrani.
@AlfonsiaNchimbi
@AlfonsiaNchimbi 2 месяца назад
Hongera kwakaz nzurii
@MenidoraMpogole
@MenidoraMpogole Месяц назад
mmm kazi iendelea
@KassimDamba-rd7uu
@KassimDamba-rd7uu 2 месяца назад
Hongera kwa kutambua kuwa kila jambo huwa na mwanzo na mwiaho
@RichardMgweno
@RichardMgweno 23 дня назад
Mkoa umeingiza sh ngapi
@DanielfGwitabha
@DanielfGwitabha 2 месяца назад
Shida ni 1 wanasema tuiombee nnchi nnchiyetu tanzania iposalama. Tuseme tuu tuwaombee viongozi waliemo ndani yainchi. Wanachuana sana kama simba nayanga sijui hawajaapishwa kipindi chakuchaguliwa. Wanawekeana sana hila mbaya kitakqchofata nivita yauchumi waokwawao. Tuwaombeesana sisi laiya watanzania.
@masagaruoti8244
@masagaruoti8244 2 месяца назад
Mtu wa maana kabisa. Mwenyezi mungu azid kukupa nguvu mama. Sitak kuongea meng lkn naamin mungu anakuona one day yes inshallah
@NakkuAnderson
@NakkuAnderson 2 месяца назад
Pole Ila hata ukichaguliwa Tena usiseme ukweli kaushaaaa😅😅😅
@JoyceKabula-in1sh
@JoyceKabula-in1sh 2 месяца назад
Nakipendaga ummy wala usikonde chadeeeeemaaa❤,✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️
@WilliamMalima-ic9fi
@WilliamMalima-ic9fi 2 месяца назад
Hongera sana hivyo ndivyo kiongozi wa kweli anatakiwa kuwa
@HelenaPetro-w9q
@HelenaPetro-w9q 2 месяца назад
Muongo mno umeyatimba kwenye bima ya afya machon umeumbuka Sema umejikaza
@EdimundKaseswa
@EdimundKaseswa 2 месяца назад
Hakutumbuliwa kapumzishwa viongoz villaza ndo anawapenda
@Saggy-z4q
@Saggy-z4q 17 дней назад
❤❤
@Ap80090
@Ap80090 2 месяца назад
Upo vizuri ummy uongozi unaujua wanatanga hongera
@EdimundKaseswa
@EdimundKaseswa 2 месяца назад
Umerahsisha mambo,nilkuwa nawaza huyu wazr nampataje?sasa mambo byeeee
@JonhMhoja
@JonhMhoja 2 месяца назад
Wewe mpaka nywele zinasisimuka kweli wewe ni kiongozi mahiri nakupenda sana
@lilianluhasi311
@lilianluhasi311 Месяц назад
Mungu akubariki sana kwa hekima kubwa uliyonayo
@epimackjohn461
@epimackjohn461 2 месяца назад
Haya ni mambo ya KAWAIDA ya kuachiana NYADHIFA kazi amefanya kama ni kutetereka (BIMA YA AFYA) basi ni sehemu ya yeye na wengine kujua na kuepuka mahali pa KUTELEZA .Heshima aliyoitumia kumshukuru RAIS nimeipenda haionyeshi KINYONGO , hivi mtu akichomwa na mwiba huanza kupuliza KIDONDA alichokipata au huanza kupuliza MWIBA uliomchoma ?
@ndimuelias6183
@ndimuelias6183 2 месяца назад
Hapa hakuna shukrani lengo lako unajipendekeza kupata uteuzi mpya
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 месяца назад
mmh
@JamilaMbogo
@JamilaMbogo 2 месяца назад
Ummy nakupenda sana ndugu yangu baada ya haya maisha yaendeelee
@mwaamwetahussain9947
@mwaamwetahussain9947 2 месяца назад
Huo ndio uzalendo hongera our cct from another mother
@davidkawiche8372
@davidkawiche8372 2 месяца назад
Najiuliza tuu kwa kipindi chote ulichokuwa waziri hivi hapakuwa na watu wanaostaafu ili zipatikane nafasi za ajira kwa vijana? Vijana wamesoma insurance and risk management hapo ifm na IAA arusha sahiv wapo mitaani mwaa wa kumi sasa wameamua kuchukua boda na kuendesha. Maarifa yao yamepotea fedha za ada zimepotea mikopo mliyowap wasome marejesho yamepotea. Ni tatizo kwa kweli. Ajira za kiwaki na kichomekana hazina afya kwa Taifa.
@twahakayondo7583
@twahakayondo7583 2 месяца назад
Huo ni ubinafs kuhusi izo ajira
@JoyceKabula-in1sh
@JoyceKabula-in1sh 2 месяца назад
Wizards ulikuwa unaimudu sana huo ndio ukweli nakipendaga sana ummy mwalimu pipooooooooo mungu nawez ummy
@GeorgeYusto
@GeorgeYusto 2 месяца назад
Amina
@TabithasSalimu
@TabithasSalimu 2 месяца назад
Mungu akubaliki dada
@flavianapeter494
@flavianapeter494 2 месяца назад
Nakupenda heri ya tumbo lililo kuzaaa🙏
@RehemaRehema-z1k
@RehemaRehema-z1k 2 месяца назад
Mashalla❤❤❤
@LenguyanaMichael
@LenguyanaMichael Месяц назад
Hongera ummy kwa kutupambania afya yetu
@JumaMartin-e4v
@JumaMartin-e4v 2 месяца назад
Umi nakukubali sana toka mtihani ule wa covd ulichapa kazi natumai mama akifanya masmuz analo kusudio njema .natumai kwa uchapakazi wako mama anajuwa pakukuweka najua iponafasi Allah amekuandalia na mama atapewa muongozo na Allah wapi nafasi gani tena yenye heshma kubwa Allah akubark insha Allah
@mohamedabdul9895
@mohamedabdul9895 2 месяца назад
Umetutia aibu wana tanga mpka umetumbuliwa inaonyesha kuna tatzoo ndani ya wizara yko ,nenda ukajipange upyaa
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 месяца назад
mmh pole
@hamiskimaraonga6899
@hamiskimaraonga6899 2 месяца назад
Umevuruga sana mifumo ya utoaji huduma za NIHF wapo walioathirika kutokana na misimamo yako na unapaswa kumrudia Mungu wako kwa hili kwani uongozi ni dhamana na dhamina hiyo uliitumia vibaya na ndiyo maana yamekutokea, "yaliyo tokea"
@tumakomu
@tumakomu 2 месяца назад
Huez achishwa kaz ukawa na raha wakat ndyo sehem ya kukupatia kipato...
@ramlamohamed4401
@ramlamohamed4401 2 месяца назад
Sema kiukweli mimi nampenda sana Ummy mwalimu je ameolewa mimi nipo tayari nataka kumuoa
@AnjelicaBayyone
@AnjelicaBayyone 2 месяца назад
Meli kitu Gani uccm uccm Kila siku badala ya kuhubiri utsifa ni uccm mmmm
@jumamustapha8254
@jumamustapha8254 2 месяца назад
Mbona hilo lissu anahubiri kupigwa tu kwanini hulisemi.
@user-pu1sq4ci3f
@user-pu1sq4ci3f 2 месяца назад
Niliumia mno nilipockia ametolewa wizara ya afya love u umy
@mosesmzakwe7774
@mosesmzakwe7774 2 месяца назад
MSHUKURU wako ndiyo muongoza njia yako. Unatumia nguvu kubwa kumshukuru mtu badala ya MUNGU. Punguzeni Ujinga muda mwingine.
@LaurentZanzibar
@LaurentZanzibar 2 месяца назад
Ameanza kutumbua wanawake wenzie Tena hii imekaaje hapo
@MsevenSaudisaidi
@MsevenSaudisaidi 2 месяца назад
Umetuangusha sana ummy bimaya afya mbaka leo rimekuwa janga la moto hufai hata unaibu waziri umetuangusha sana mama kachelewa kukutoa uwaziri hufai
@zamdageuka9153
@zamdageuka9153 2 месяца назад
mbaka❌ mpaka ✅,rimekuwa❌limekuwa✅
@Anuarmustafa4128
@Anuarmustafa4128 2 месяца назад
Sawa atakuchagua wewe ulie kamilika
@VailethBarnabas
@VailethBarnabas 2 месяца назад
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@shabanikibwana4619
@shabanikibwana4619 2 месяца назад
Hananipyakazi. Kusifia. Ccm. Weziwakubwanyie😅😅😢
@ZaituniMuba
@ZaituniMuba 2 месяца назад
Wa usagara sec 1990 uliosoma nao umewaumiza sana.
@MathewsSikazwe-up4qd
@MathewsSikazwe-up4qd 2 месяца назад
nenda kale pesa ulizo piga kwenye bima ya afya, unalolote.
@justonmawole9114
@justonmawole9114 Месяц назад
Mwenyezi Mungu awe nawe
@SaidMkambo
@SaidMkambo 2 месяца назад
Nimekupenda sana
@JackobLyimo
@JackobLyimo 2 месяца назад
Ummi umeitendea haki sana wizara yetu ya afya kweli wewe ni mwamke laki unafanya kazi kama mwanaume
@SaidMkambo
@SaidMkambo 2 месяца назад
Nimekukubali sana heko odo Umi mwalim
@stevenTiigwera
@stevenTiigwera 2 месяца назад
Mwanamke jasiri sana ongela
@benjaminpaul9578
@benjaminpaul9578 2 месяца назад
Kipi bora ulikifanya ukiwa waziri?kipindi cha samia ? Au kumsifu bila kigezo
@EdimundKaseswa
@EdimundKaseswa 2 месяца назад
Nchi hii wawèza kuwa mzur ktk wizara je pale juu
@FrederickThadeo
@FrederickThadeo 2 месяца назад
Hivi kuka ccm nikua chawa wewe una kosa Gani ujikombe mushauli raisi wetu siyo kupongenza bandali imeenda Dubai huja sema una shangiliya tu
@AdinanKatunzi
@AdinanKatunzi 2 месяца назад
Huo ndio uongozi uliotukuka,bado wewe una nafasi utarudishwa baadae.jipange uone ukikosea wapi?bado inakubalika
@CharlesMhuza
@CharlesMhuza 2 месяца назад
Bravooo
@johnkalibonamchungaji3082
@johnkalibonamchungaji3082 2 месяца назад
Mimi sijafurahia kuondolewa kwako ktk nafasi ya uwaziri nakuombea furaha yamoyo
@Mudricklucas
@Mudricklucas 2 месяца назад
Pole sana dada😂❤
@abdallahmwinyi2106
@abdallahmwinyi2106 2 месяца назад
Sawa kamanda ubarikiwe
@JohnMbowe
@JohnMbowe 25 дней назад
No comments
@JohnMbowe
@JohnMbowe 25 дней назад
Anasema tuu. Lakini ukimtizama. Vzr haongei tokamoyoni . Sifa zote anzotoa kwa Rais . Nikuomba huruma tuu na sikingine. Na ninge kuea mm mama. Ningempa wizara ya ulinz na Jeshi la kujenga taifa
@alawi6796
@alawi6796 2 месяца назад
Huna faida ww dada cc tumevunjiwa nyumba barabara ya panga umetusaidia na nn ww
@SungiMahumbi-s8h
@SungiMahumbi-s8h 2 месяца назад
Mama yangu laiti ningekuwa Rais ningekupa uwaziri mkuu
@George-jz3jg
@George-jz3jg 2 месяца назад
Bima kwa wote imekuondoa Ummy
@EdwinMkoma-w7q
@EdwinMkoma-w7q 2 месяца назад
Kwanini Hizo Kope Una Finya finya!!?
@NeemaBaraka-r6o
@NeemaBaraka-r6o 2 месяца назад
❤❤❤❤
@sarahmwakipembe5033
@sarahmwakipembe5033 2 месяца назад
Mungu akulinde
Далее
Ванька пошел!!!! 🥰
00:18
Просмотров 407 тыс.
Ванька пошел!!!! 🥰
00:18
Просмотров 407 тыс.