Тёмный

TUNDU LISSU AWAELEZA WANA NJOMBE SABABU ZA KUPIGWA RISASI HUKU WALIFANYA HAYO WANAJULIKANA 

Chadema Media TV
Подписаться 214 тыс.
Просмотров 97 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 353   
@margarethalyimo5475
@margarethalyimo5475 4 года назад
Tokea nizaliwe sijawahi ona mtu jasiri kama huyu...Mungu akulinde💕💕💕
@yusuphyunusi6865
@yusuphyunusi6865 4 года назад
Amen
@sistajeremiakalinga5436
@sistajeremiakalinga5436 4 года назад
Ni hasra zake tuu hata ikulu yenyewe yawapi ataingia huyo choko
@margarethalyimo5475
@margarethalyimo5475 4 года назад
@Enock Katondo hivi ni nani ambaye akipigwa risasi ataendelea kuongea kwa kumdhania ni mtu fulani kanifanyia hivyo na akatamka hadharani kama yy? Na wala haongeia kwa hasira, nadhani umesahau ongea yake hata kabla ya kupigwa risasi. Hajabadilika kitu ktk uongeaji wake
@estherminnahboaz6956
@estherminnahboaz6956 4 года назад
Tumalizieni alichoongea mbona mnakata kata jamaniii mi naweka bundle kwa ajili ya Lissu tu
@pascalkenyatta6846
@pascalkenyatta6846 4 года назад
Mungu akutangulie baba 2po nyuma yk
@michasonjudge7348
@michasonjudge7348 4 года назад
Ahsante sana my beloved president #Ni yeye 2020
@jaksonjulius9010
@jaksonjulius9010 4 года назад
Mh.TUNDU ANTIPUS LISSU Genius 100% ni yeye 2020.✌✌💪
@danielwanchage8734
@danielwanchage8734 4 года назад
Ndio,kenya tupo nyuma yenu
@lulujuma3676
@lulujuma3676 4 года назад
Namuomba sana Mungu asikie kilio changu, upite kwenye uchaguzi nakuombea sana #ni____yeye2020
@kelembukelembu2528
@kelembukelembu2528 4 года назад
Amina
@elijahsomebody9164
@elijahsomebody9164 4 года назад
Huyu jamaa ni gineous kwel kweii apite tyuuuuuuuuuu
@morefireministrychurch177
@morefireministrychurch177 4 года назад
Hiyo nisawa kuwasha moto katikati ya baharini hawezi kuwa ata akishinda apewi
@rashidnyegele7084
@rashidnyegele7084 4 года назад
Hakika atapita
@elijahsomebody9164
@elijahsomebody9164 4 года назад
We unasema hapewii, ebu fikiria uongozi mzurii n kujaribu kumuua mtu au n kuongoza taifa? Ata hasiposhinda ila Mungu atalipiza kisasi aliyesababisha lifo chake.
@fantsonmipango5805
@fantsonmipango5805 4 года назад
Mungu akulinde, na kweli mwisho wa siku zile riport zote za madini zilikuwa matango pori anaowaita Mabeberu walimnyosha mchana kweupe na hawakulipa hizo trilion 425
@sagandamalechampullo659
@sagandamalechampullo659 4 года назад
Yaani CCM, Kumbe inatudanganya Mwanyika kuwa Mhujumu Uchumi huku Inampa nafasi kugombea Ubunge!? Looo hapiti huyo
@danielfrank303
@danielfrank303 4 года назад
Mm kura yangu ni kwa Lisu nshaona upepo unakoelekeaaaa
@jacobnghwali4531
@jacobnghwali4531 4 года назад
Lisu unafaa kutuongoza my president to be
@danielwanchage8734
@danielwanchage8734 4 года назад
Very true
@adammkimbo9956
@adammkimbo9956 4 года назад
Mungu akuongoze na akulinde siku zote za maisha yako watesi washindwe vibaya Biblia inasema watashindana nawe lakini hawata kushinda
@mcjogopah8513
@mcjogopah8513 4 года назад
Lissu anakumbukuma kama computer, tunakuitaji sana, nasiku tutaongozwa na MTU msomi kama huyu tutakuwa huru, for sure we want hoja
@gastordominic410
@gastordominic410 4 года назад
Yaan mm namkubali kwa kumbu2
@katapgelvas9803
@katapgelvas9803 4 года назад
Huyo lisu hana hoja zaid ya office zinazo chomwa na lisasi 16 mbona majumbani kwetu tunamatatizo mengi tunashindwa kutatua hata Yesu alisema tajili atakuwepo pia maskini naye atakuwepo lisu ninani kwamungu atakaye maliza shida za watanzania please jamani punguzeni upofu pia uziwi chema lazima kipingwe na waovu
@charlesmulimi1786
@charlesmulimi1786 4 года назад
The man of the people, God is all men. U'r the best of all.
@zainabumwagiroabdallamwagi97
@zainabumwagiroabdallamwagi97 4 года назад
Huyu jamaa ni kichwa anakumbukumbu sana.
@abdukadiliissa8076
@abdukadiliissa8076 4 года назад
Habahatishi huyo mwamba
@gastordominic410
@gastordominic410 4 года назад
Duuh kumbu2 zake zipo sawa....yaan ww kichwa
@emmanueljoshua450
@emmanueljoshua450 4 года назад
Huyo Alisha lishwa sumu na wamalekani kumbuka Libya alafu nambie Kama unaakili timamu tundu lisu Ana ishu ndo maana
@fredreckmwakalinga3475
@fredreckmwakalinga3475 4 года назад
Wtz tumwombe sana Mungu Lissu ashinde uchaguzi huu
@mrishoselemani7521
@mrishoselemani7521 4 года назад
Watanzania gani?
@500gts9
@500gts9 4 года назад
wanaofagilia uzungu na ushoga
@gregoryocalvin9122
@gregoryocalvin9122 4 года назад
500 GTS 😂😂 Ule mkeka wenu mlioweka “ katumwa na mabeberu “ ushaharibika ❌❌ Iyo ya ushoga utakuja tu Mwaka huu wajinga kama nyie ambao ni mitaji ya kura za Ccm mtapata akili tu Mtake msitake akili itakuja
@matikomakambi4593
@matikomakambi4593 4 года назад
Tutolee utopolo apa
@johnsaimon2352
@johnsaimon2352 4 года назад
Iwe hivyo swaiba
@ruxtone
@ruxtone 4 года назад
@chademamedia WEKENI HOTUBA FULL AU KAMA HAMNA BANDO TUTAWACHANGIA CHADEMA MUDA WOTE TUPO ACTIVE,
@mohamedalimohamed2948
@mohamedalimohamed2948 4 года назад
😁😁😁
@somymoivan6199
@somymoivan6199 4 года назад
Ni yeye ✌️✌️✌️💪💪💪
@shekhenasiri1302
@shekhenasiri1302 4 года назад
Saf xana rais tupo pamoja
@faustinepeter3139
@faustinepeter3139 4 года назад
Jamani umemwagwa damu kwaajili yetu sisi naiyo ndoishara yetu sisi kukombolewa
@aganolamotoeliya2027
@aganolamotoeliya2027 4 года назад
Yesu alimwaga damu kwaaji yetu akatukomboa wewe pekee ndio utakombolewa na damu ya lisu.
@geazielemia9512
@geazielemia9512 4 года назад
Mwanadamu hawezi kumwaga damu yake mwingine akakombolewa au damu nyingine yeyote ni yesu tu aliyenifia msalabani akanikomboa siyo mwanadamu nooo big noo
@faustinepeter3139
@faustinepeter3139 4 года назад
@@geazielemia9512 je yule alieitwa yesu unamuongeleaje
@luckygmdegela8477
@luckygmdegela8477 4 года назад
Au sio ,, ndio akili yako ilipo ishia
@muselematiku2100
@muselematiku2100 4 года назад
Lisu shikamoo
@jimpazclimpaz1794
@jimpazclimpaz1794 4 года назад
Chadema media mnafeli sana kutuwekea hutuba nusu nusu
@Gulio2024
@Gulio2024 4 года назад
Hiyo hiyo fupi fupi inatosha ili iwafikie watu wengi watu wengi sasa hawana pesa za bando Hali ngumu
@deusimtewele2301
@deusimtewele2301 4 года назад
Ila Chadema tengenezeni nyimbo nzuri za kuita watu wimbo mzuri hapo ni TUVUSHE na ULE WA CHDEMA PEOPLES POWER
@mlapikauma7660
@mlapikauma7660 4 года назад
Sera nzuri na hoja timamu ndo Muhim bendi tuwaachie ccm..wananyimbo ..Kama mvua..ingekuwa tunapigia kura nyimbo saivi tushalazwa🤣
@matayhando6519
@matayhando6519 4 года назад
Mke wangu amekubali leo kuwa atampigia kura Lisu.... Kakubali mwenyewe sijui kujuta kitu gani... CDM tuko pamoja
@mtaninjegere6060
@mtaninjegere6060 4 года назад
Kaka umefanya kazi nzuri na kubwa
@wasafiwasafi734
@wasafiwasafi734 4 года назад
Lissu Mimi na wazazi wangu tuko pamoja na wewe
@katapgelvas9803
@katapgelvas9803 4 года назад
Ukopamoja naye because aliwambiya asiye fanyakazi na asile ukakuta wazazi wako wazembe mkaamua kumuunga mkono lisu roho zawavivu lazima zimuunge lisu sisi walipa kodi twasema magu mbele
@wasafiwasafi734
@wasafiwasafi734 4 года назад
@@katapgelvas9803 tutamuunga mbaka dakaki za mwisho my brother
@shosemakupa1326
@shosemakupa1326 4 года назад
Mimi ni wa amani; Bali ninenapo, wao huelekea vita. Zaburi 120:7
@gangan8342
@gangan8342 4 года назад
AMINA....!!!
@masala8099
@masala8099 4 года назад
Lissu tunakuhitaji unasifa ya kutuongoza wapenda taifa
@melasdekas825
@melasdekas825 4 года назад
Labda akuongoze wew hapo
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 4 года назад
mbn ameshapita huyo, asie mpenda mchawi
@aganolamotoeliya2027
@aganolamotoeliya2027 4 года назад
Atakuongoza wewe.
@kimondotororo7743
@kimondotororo7743 4 года назад
Tunakuamini lisu
@andrewshustle1331
@andrewshustle1331 4 года назад
The Genius,Taifa linakuhitaji sana,ulipona ili uje kutukomboa kwenye nchi inayojiita ya Amani kumbe ni nchi yawaoga tunaomuliwa yale amabayo hatujayaamua sisi...NOW IS END!OVER!!!!....✌✌✌
@katapgelvas9803
@katapgelvas9803 4 года назад
When you are not failing the war just go ubelgiji my dear mugu mbele the best president in African
@bonabonala42
@bonabonala42 4 года назад
Pole nabii lissu
@simonmali9336
@simonmali9336 4 года назад
Lissu 🔥🔥🔥🔥🔥
@geoffreymutalemwa
@geoffreymutalemwa 4 года назад
Mwaka huu CCM inajamba masizi
@meddymushimaz4998
@meddymushimaz4998 4 года назад
Kwa sera gani? Seara ya ushoga haiwezi kuwa na madhara kwa CCM, ikiwa mnasera zenye manufaa kwa watanzania elezea 3 pekeake
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 4 года назад
yani mafisiem kimba linagonga chupi
@gabrielzakaria2810
@gabrielzakaria2810 4 года назад
Ww tulia ss hpo kaongea nn had mtu mzima unaropoka kuwa itajamba ? Yaan hyo ng'ombe haina cha kuongea ss kma hyo anagkmbea ubunge kupitia ccm yey inamuuma nn
@thetycoon8799
@thetycoon8799 4 года назад
Meddy Mushimaz kasome katiba acha kuropoka na sikiliza anachoongea mtu na kuelewa sio kuropoka tu
@500gts9
@500gts9 4 года назад
nyie mtaj@mb@ moto
@colinsmatowo6527
@colinsmatowo6527 4 года назад
Lisu anafaaa sana usipoteze kura yako kwingine
@mragahpallangyo6261
@mragahpallangyo6261 4 года назад
Lissu no more turn back
@modestusndunguru7183
@modestusndunguru7183 4 года назад
We kichaaa mmoja...... Umuongoze...... Nani.... Wadanganye ao ao wapumbavu wenzio
@duoxmasisa6529
@duoxmasisa6529 4 года назад
Aaaaa....ila #jpm nae anatumix 😍,na ndo maana #lissu hawampendi shida ni msema ukweli.
@dottoshaaban8494
@dottoshaaban8494 4 года назад
Kumbe alienda kupokea pole 😂😂😂
@wamburamwita9656
@wamburamwita9656 2 года назад
tunakumbuka baba
@sasha-ri7tf
@sasha-ri7tf 4 года назад
Magu ni msanii anajitekenya yeye anacheka yeye safarii kaukalia mtarimbooo wa Singida.
@jojolee382
@jojolee382 4 года назад
Ni wapuuzi tu wanaoweza kushikiwa akili na Tundulissu
@hechechacha4032
@hechechacha4032 4 года назад
Mmekata hii speech imetumika dar mpya , jenerali online , na ninyi Kama ilivyo
@williamgeorge-hd2tn
@williamgeorge-hd2tn 8 месяцев назад
Namuomba Mungu siku moja tumpate raisi wa namna hii nchi itabadilika
@maxesh5135
@maxesh5135 4 года назад
Chadema Media mnazingua sana
@moshiomarymnyeda8907
@moshiomarymnyeda8907 4 года назад
Hatudanganywi vichinjio tunavyo 😃 😃 28/10/2020
@sagutihussein3697
@sagutihussein3697 4 года назад
Yy ndio alihusika na atakwenda jehannam
@adrophwilliam3225
@adrophwilliam3225 4 года назад
Chadema mnaferi wapi kwenye hizi crip?
@rwegacelemensi5485
@rwegacelemensi5485 4 года назад
Baba unatisha sana ccm awana jpya kabsa
@frankmtei3017
@frankmtei3017 4 года назад
Ni mambo ya ajabu sana aisee, lakini Mungu ni mwema sana kwako mzee Lisu_ usiogope kutisha kwao
@emanuelsimon3834
@emanuelsimon3834 4 года назад
Enjoy
@petersilas4234
@petersilas4234 4 года назад
Kumbe wewe bwana utawarudisha acacia hapa . Pole sana, muda huo umekwisha Africa
@mathiaszakaria7052
@mathiaszakaria7052 4 года назад
Jibu swali Mwanyika aliyekuwa kiongozi wa Accacia hapa nchi Yuko wapi na ndo alikamatwa kwa kuhujumu uchumi
@aronassom5134
@aronassom5134 4 года назад
Mwisho wa ubaya aibu Walimwaga mboga una mwaga ugali.
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 4 года назад
Mweshimiwa tumeshaelewa ni Mzee meko na serikali yake ndio watuwasiojulika
@azormatthew7813
@azormatthew7813 4 года назад
Tupo pamoja
@kalistusauzebi5707
@kalistusauzebi5707 4 года назад
Huyu jamaa hatali sana kila anapo kwenda ana story mpya tena za ukweli
@mrishoselemani7521
@mrishoselemani7521 4 года назад
Zipi
@bupejoseph7286
@bupejoseph7286 4 года назад
@@mrishoselemani7521 Sela una lisu inachanganya watu
@ivonisiwale4580
@ivonisiwale4580 4 года назад
Tundu lisu jembe
@teodoriandrew7325
@teodoriandrew7325 4 года назад
Huna sera
@othmarluwawilo8308
@othmarluwawilo8308 4 года назад
Kwa nini anaingia makanisani na kujipendekeza kukusanya sadaka wakati anavunja amri ya Mungu 'usiue' looo!
@peterdaniel1138
@peterdaniel1138 4 года назад
Tumechoshwa baba na hii hari
@muhdsseif5785
@muhdsseif5785 4 года назад
Kuna CCM mmoja juzi alinambia .....sisi tulifanya makosa makubwa miaka 5. ...nikamuuliza yepi......akasema kujaribu kumuuuwa tundu
@hajjighanji5667
@hajjighanji5667 4 года назад
ACHA UONGO HUPATI CHEO WANAUWANA WENYEWE
@evancemapunda9512
@evancemapunda9512 4 года назад
Ni yeye aliyekuambia sio ccm
@gmovies9337
@gmovies9337 4 года назад
Lisu tupo nyuma yako lazima uwe Rais wetu
@mlapikauma7660
@mlapikauma7660 4 года назад
Umenichekesha itahara na mkaaa🤣🤣🤣🤣
@emmanuelmatogoro9348
@emmanuelmatogoro9348 4 года назад
Mbona haijamaliza
@masoudsalum9514
@masoudsalum9514 4 года назад
Mara hii ccm wataisoma namba wao
@mrishoselemani7521
@mrishoselemani7521 4 года назад
Kwanini?
@masoudsalum9514
@masoudsalum9514 4 года назад
@@mrishoselemani7521 Unaniuliza kwann tena unafikiri mara zote furaha itakuwa upande mmoja tu
@sistajeremiakalinga5436
@sistajeremiakalinga5436 4 года назад
Ivi mnaijuwa ccm au mnasikia tuu
@masoudsalum9514
@masoudsalum9514 4 года назад
@@sistajeremiakalinga5436 Tunaijua sana kama sio police na jeshi hawapati hata kidogo ccm nn bhana ila mara hii kuibiwa dah itakuwa shida
@estherminnahboaz6956
@estherminnahboaz6956 4 года назад
Dah pole sana
@zuleyvendor6577
@zuleyvendor6577 4 года назад
Wekeni video ndefu jamanii mnakata kata sana tunatamani kuendelea kusikiliza😓😓😓
@rogathesarwatt
@rogathesarwatt 4 года назад
Let I kipande change pilialipoishia
@mamafaiza2651
@mamafaiza2651 4 года назад
Mh tupo p1 na wewe bega kw bega tupo kw lolote kw ajili yako
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 4 года назад
pamoja sana kamanda
@aganolamotoeliya2027
@aganolamotoeliya2027 4 года назад
Best to you.
@mohamedalimohamed2948
@mohamedalimohamed2948 4 года назад
Dah mwaka hu tuta juwa mengi mungu aku linde mungu ibariki tanzania
@helenibe9339
@helenibe9339 4 года назад
Tundu Lissu for President 2020 Keep on Fighting for people tumechoka kuishi kwy utawala wa kimla
@aganolamotoeliya2027
@aganolamotoeliya2027 4 года назад
Your just dreaming.
@azizaallen2681
@azizaallen2681 4 года назад
huna lolote Kazi uchonganishi tu hufai kabisa
@wangitv
@wangitv 4 года назад
Belgium tuna kupenda
@gmmatelephone8770
@gmmatelephone8770 4 года назад
ni yeye
@petroaogustino3962
@petroaogustino3962 4 года назад
Mchezo mchezo hatutaki wana chadema
@godfreymbwambo4460
@godfreymbwambo4460 4 года назад
WEWE MWENYEWE ULIMWITA LOWASSA FISADI KTK LIST OF SHAME PALE MWEMBE YANGA LAKINI UKAWA WA KWANZA KUMTETEA KUGOMBEA URAISI. Mwanasheria gani Anatoa mashtaka asiyokuwA na uhakika nayo??
@adammkimbo9956
@adammkimbo9956 4 года назад
mmekwisha ccm kama tu lowasa fisadi aliwashusha % mkaambulia 52 je mbeba maono wa Mungu Huyu ambaye akiongea watanzania tunafurahi na kulizika si atawashusha mpaka % 8 kweli ccm kwisha kwisha kwisha kabisaa
@dennissix8732
@dennissix8732 4 года назад
mwanashelia huo sio docta,,.
@sagandamalechampullo659
@sagandamalechampullo659 4 года назад
WE LOVE CHADEMA in BLOOD
@samwelshipande1923
@samwelshipande1923 4 года назад
Kupigwa kwako risasi kunahusiana nini Na majukwaa,kama unadhani ni Kiki imekula kwako
@mauricempinga935
@mauricempinga935 4 года назад
Tumekuelewa
@deodatusmjuni1892
@deodatusmjuni1892 4 года назад
Mbona amtuonyeshi
@ramadhanathuman940
@ramadhanathuman940 4 года назад
✌️✌️✌️🔥✔️
@mathiaszakaria7052
@mathiaszakaria7052 4 года назад
Asee hapa Lissu kajua kuanika ukweli hajaenda nje ya point hata moja
@spykespark8477
@spykespark8477 4 года назад
Magufuli jamani mungu yupo.
@khamisrajabu6082
@khamisrajabu6082 4 года назад
Ulikua msaliti kweli
@mfaumerashid8045
@mfaumerashid8045 4 года назад
Duh mhuuu
@kiaragamfungwa4160
@kiaragamfungwa4160 4 года назад
Muwekage video full mb tunazo
@HassanHassan-si2rt
@HassanHassan-si2rt 4 года назад
Duh
@jaredacholla2554
@jaredacholla2554 4 года назад
Viva
@josephmachupa2465
@josephmachupa2465 4 года назад
majukwaa yatumike kwa ajil ya kujenga aman...na sio kuivunja.
@wilfredmlaki822
@wilfredmlaki822 4 года назад
Mbona huongelei 10% uliyokuwa unachukua acacia! Acha hizo! Watanzania wa miaka 10 iliyopita si wa sasa.Umekuwa Na chuki Na magufuli kwa sababu ya mrija uliokuwa unaunyonya kwenye madini umekata.Magufuli oyeeeeeee! CCM oyeeeeee
@habibumdetele6530
@habibumdetele6530 4 года назад
Kwahiyo alionewa wivu?Mwache aongee angekufa hizo habari zisingepatikana.
@wilfredmlaki822
@wilfredmlaki822 4 года назад
@@habibumdetele6530 Ni habari zisizo Na ukweli wowote,Ni kutaka kumchafulia jina tu Dr magufuli.
@habibumdetele6530
@habibumdetele6530 4 года назад
Kama ni zauongo Magufuli anaweza kwenda mahakamani au mawakili wake haiwezekani zikawa zauongo kisha anayeambiwa anyamaze,mimi naona aongee ili hasira ziishe.
@wilfredmlaki822
@wilfredmlaki822 4 года назад
@@habibumdetele6530 ndugu kuna vitu vingine havina hata maana kwa mfano inajulikana kabisa mheshimiwa mbowe alikuwa amelewa! Mpaka inasemekana Dr aliyemuhudumia alikiri kuwa alikuwa amelewa,iwaje bado lisu anasema kuwa kapigwa?Hiyo Ni kupotosha umma wa watanzania.Nia ya uongozi Bora ni kupatanisha watu sio kueneza sera za chuki.
@habibumdetele6530
@habibumdetele6530 4 года назад
Si amini hivyo,mpka waliompiga risasi jamaa wangejulikana hapo sasa ningekuwa na imani ya kwamba mengine pia ni ya uzushi.
@ayubungombe2128
@ayubungombe2128 4 года назад
Poa pitisha rasha
@rogathesarwatt
@rogathesarwatt 4 года назад
That day I cried a lot
@castorychalya7751
@castorychalya7751 4 года назад
Link ya hiyo hotuba ya magu nmewawekea hapo sio mnadanganywa tu
@gangan8342
@gangan8342 4 года назад
Hatuhitaj kuwekewa na ww TUNAJIELEWA WATANZANIA na hiyo HOTUBA ni kweli tumeifuatilia na tunaifahamu# ww mtoto wa shetani utuache maana yy ni baba wa huo UONGO;....!!! Rais mtarajiwa mh. TUNDU LISSU (Mbeba MAONO) ATABAKI KUWA JUU TU,, ANAYEPIGANA NAYE ATAPIGWA NA MUNGU....!!! VIVA LISSU VIVA....!!!
@upakoupako621
@upakoupako621 4 года назад
Mnaweka fupi sana
@amosgerald7763
@amosgerald7763 4 года назад
Asante sana Tundulisu rais wetu
@godfreyorago7501
@godfreyorago7501 4 года назад
Rais wa mioyo ya watanzania #ni yeye
@seifalzakwan5663
@seifalzakwan5663 4 года назад
mna tudhulumu saana raia kuto tuwekea hotuba kamili tuna ulazima wa kumskiliza mkimbozi wa taifa fanyeni mikakati ya kueka maudhui kamili tumskilize haya ndio mambo ya msingi na muhimu ndio mustakabali wa maisha ya kesho .kama hamna bando fanyeni hata mchango tutajitolea
@maxesh5135
@maxesh5135 4 года назад
Malizieni hotuba yaan kila post y hotuba y Lissu anaishia njian na mnajua vyombo vya hbr sashv haviko huru mnataka apost nan???? Mnakera sana yaan
@mrishojuma1080
@mrishojuma1080 4 года назад
Mungu atasimama kwenye haki
@ernesttomas85
@ernesttomas85 4 года назад
Mungu akutie nguvu
@onesmomaruti5256
@onesmomaruti5256 4 года назад
Tuna watu wengi wenye uwezo wa kuwa raisi na wasomi wenye kujua sheria sio kuburuzwa kama mzoga wa fisi chukuwa mdaa kutafakari miaka 50 ya uhuru mpaka leo tuko wapi ?
@fatumachagudadui3138
@fatumachagudadui3138 4 года назад
Kwa kweli ulipata taabu usiseme magufur ndy aliyetuma hayo majambazi una ushahidi gani pole sana ukiendelea kuwaambia watu matatizo yako wanaweza wasikupe kura watu siyo wenzio acha kukaa unajadili yanayokuhusu maana ni heri kukaaa unanena yako jina la magufuli unalutanganza kila uendapo hivyo atakushinda kwa kishindo kikubwa mpaka utajishangaa pole sana
@shoxmocormasasi4391
@shoxmocormasasi4391 4 года назад
Wajumbe kama tulivyoelewana hii mikutano tuendelee kuhudhuru ili tuendeleze ile dhana ya demokrasia safi Ila December tusifanye makosa
@wahidkombokhamis4330
@wahidkombokhamis4330 4 года назад
December kuna uchaguzi wa nini?
@adammkimbo9956
@adammkimbo9956 4 года назад
wajumbe mlio elewana ni wewe na mkeo kama unaye lakini watanzani % 73 tunampigia kura tundu lisu nyie wajumbe tuna wachia hizo % 22 wengine wanagawana % 5 iliyo baki
@malagilonicholaus8525
@malagilonicholaus8525 4 года назад
Wajumbe 2ko tayali kufanya ye2
@isihakashoda4707
@isihakashoda4707 4 года назад
Aah kumbe hii Chanel ya chadema hahahah polen mtambulia vumbi tu
@calvinkitaly9376
@calvinkitaly9376 4 года назад
Risasi zimekuongezea ujasiri big up
@kyalankota7083
@kyalankota7083 4 года назад
Anza kubadirisha sera
@marksonbeauty6397
@marksonbeauty6397 4 года назад
Unajua maana ya sera au umekariri?
@kyalankota7083
@kyalankota7083 4 года назад
@@marksonbeauty6397 najua ushabiki zaidi kuliko sera
@adammkimbo9956
@adammkimbo9956 4 года назад
kubadilisha sela ya nini watanzania tunapataka hapohapo ndio maana tunatembea kwa miguu kwenda kusikiliza hiyohiyo sela
@kyalankota7083
@kyalankota7083 4 года назад
@@adammkimbo9956 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@tibaasili940
@tibaasili940 4 года назад
Kwa mara ya kwanza nakuelewa vzur zaid weken yote
Далее
САМАЯ ТУПАЯ СМЕРТЬ / ЧЕРНЕЦ
1:04:43
How many can you smash?🍫 IB : Florin
00:19
Просмотров 3 млн
РЫБКА С ПИВОМ
00:39
Просмотров 387 тыс.
Tundu Lissu akiongelea utawala wa Magufuli
5:00
Просмотров 43 тыс.
САМАЯ ТУПАЯ СМЕРТЬ / ЧЕРНЕЦ
1:04:43