Тёмный

TUNDU LISSU AZICHAPA NA MWIGULU NCHEMBA | AMEPATA WAPI HELA YA KUMILIKI TIMU YA MPIRA NA......... 

RAI TV
Подписаться 96 тыс.
Просмотров 81 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

4 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 90   
@FaustineJololo
@FaustineJololo 3 месяца назад
Wajnga kama mm hatutomuelewa tutamtus na kukomet ujinga ushangaee mh LISU mungu yuko naww❤❤❤🎉
@bockerNyarusahi
@bockerNyarusahi 2 месяца назад
Ujinga ni tatizo la hii Nchi mkuu
@ShewaiKiondo
@ShewaiKiondo 3 месяца назад
Mwenyezi mungu akupe umri mrefu rizki nyingi afya nyema ili uzidi kuwatetea wanyonge
@simonshija2476
@simonshija2476 3 месяца назад
kusema mtu anatimu ndo kutetea!
@jesaminzo
@jesaminzo 2 месяца назад
​@@simonshija2476 huwezi mwelewa Tundu Lissu kwa sababu ubongo wako umechanganyikana na wadudu aina ya chawa
@EzekielMatimbwi
@EzekielMatimbwi 3 месяца назад
Wananchi wa nchi hii nisawa na mpira mbovu, utakakopgiwa ndiko utakakoelekea
@SureJR-yd3zm
@SureJR-yd3zm 3 месяца назад
Hapo umeongea vizuri mzee
@FaustineJololo
@FaustineJololo 3 месяца назад
Wanichi wa tanzania hatutakua waelewa hata tusome kumaliza madrassa na vyuo vyote yani nibora liende naserekal yetu hatuk kubadirka tutanyoka 😅😅😅😂
@DeograsiadNsembele
@DeograsiadNsembele 3 месяца назад
Ilike your presentation
@mohamedkidamiharo4887
@mohamedkidamiharo4887 4 месяца назад
Kwa hilo la mwigulu daa nauli zilipandishwa mama yupo nje pesa zinalipa wachezaji
@nuruworldinsight2957
@nuruworldinsight2957 2 месяца назад
Ndiyo maana yake
@Paulkessy-j8n
@Paulkessy-j8n 2 месяца назад
Umeongea ukweli raisi wangu wa siku zote
@KassimSalim-fi1me
@KassimSalim-fi1me 3 месяца назад
Wanaibua vipaji kipindi cha nyuma timu ilikuwa simba na yanga tu saiv mpira umekuwa asantn viongz wetu
@PeterIdd-d3c
@PeterIdd-d3c 4 месяца назад
Wanyiramba tubadilikeni hawa CCM kero tupu
@PatsonMbugh
@PatsonMbugh 3 месяца назад
Osptl biashala zaudi
@nuruworldinsight2957
@nuruworldinsight2957 2 месяца назад
Ndo maana hii mizigo mikubwa ya KODI na TOZO wanayotubebesha kila uchawo haiwezi kupungua na kuisha , kwa huu ubadhirifu wa kutisha 😢😢
@robertlary6007
@robertlary6007 3 месяца назад
Mhe. Lissu 😄😄😄 Wenzako wanamiliki team za mpira ili vijana wapate ajira kupitia talents walizobarikiwa na Mungu, Kazi Iendelee 🇹🇿 #NasimamanaSamia
@AlbertLemau
@AlbertLemau 3 месяца назад
Hzo Hela za kumilik team wanazitoa wapi , ukilinganisha na mishahara wanao lipwa Serikalini ??? Njoo Kwa hoja amby haitakuaibisha
@BakariMtangenange
@BakariMtangenange 3 месяца назад
Mimi sio ccm sio chadema ilo naliweka wazi ila ccm na andazi Mimi nachagua andazi
@SeifuJambia
@SeifuJambia Месяц назад
Umekosa hoja kaa upumzike kalime mbona ulivyo ugua pesa zao ulipokea ww umefanya nn Ww kutukana wanaokusaidia unafaidika nn ww
@MagilaiLobangutii
@MagilaiLobangutii Месяц назад
Lisu bwana
@jumaigoti7541
@jumaigoti7541 21 день назад
Waseme wote ila kwa magufuri unakosea .mengine sawa ila ukimsema magu utapondwa mawe
@JohnAlex-z3i
@JohnAlex-z3i Месяц назад
Nakukubali miaka buku uko vizul ukweli ndio huwo.....
@DaudiJulius
@DaudiJulius Месяц назад
Lissu mtu mwema sana anaongelea haki kabisa
@YusuphMchomvu
@YusuphMchomvu 2 месяца назад
Huyu mwigulu hafai kuwa hapo alipo, anatoa wapi hela yakumiliki timu ya mpira.
@charlesmsengi332
@charlesmsengi332 4 месяца назад
Facts
@khamis9187
@khamis9187 2 месяца назад
Kwenye mpira kuna niniii!?!?.
@NtanduNjiku-ck4kw
@NtanduNjiku-ck4kw 3 месяца назад
Usichukie mwigulu kumiliki timu,kaka pambania hoja za msingi ,Kama maji ,vyuo singida hakuna hata chuo kikuu singida vyuo vya Kati hakuna,viwanda,
@BakariMtangenange
@BakariMtangenange 3 месяца назад
Ameuliz2 anabiashara gani mpka aweze kumiliki tim ilo ndio swali lake km unalo mjibu
@nuruworldinsight2957
@nuruworldinsight2957 2 месяца назад
We mpuuzi MWENYE ufinyu wa fikra Hujui kumiliki kwao timu ndio sabab ya wewe kukamuliwa Kwa KODI na TOZO kuongezewa kila wanapojisikia ! Kusoma hujui je hata picha huoni ?
@ChristerKoku
@ChristerKoku 4 месяца назад
Tuelimishe,ni makosa viongozi kumiliki timu za mpira?
@mohamedkidamiharo4887
@mohamedkidamiharo4887 4 месяца назад
Mwigulu alipokua wazili awamu ya tano ikapanda singida alipotolewa ikashuka alipolidishwa ikawa big star sasa kanunua ihefu
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo 3 месяца назад
Haihitaji Elimu ya chuo kikuu, mtu wa kawaida huwezi kumiliki timu ni gharama sana inahitaji fedha ya kutosha. Usajiri tu ni hatari ndugu, Ihefu wapo mapro wengi kwa mwezi sio chini ya Miloni 100 na zaidi.
@JeradiMwalingo
@JeradiMwalingo 3 месяца назад
Mpaka mama nae ana timu jaribu kuitafuta itaipata
@MrishoMzelela-xb9bb
@MrishoMzelela-xb9bb 3 месяца назад
Yanga sc
@Man_of_valor
@Man_of_valor 3 месяца назад
Where are the policies?
@khamis9187
@khamis9187 2 месяца назад
Kwani tanzania hii hakuna msomi mwenye uwezo wa kushikilia wadhifa wa wizara ya fedha zaidi ya mwigulu, atupishe akatumie alizoiba...
@JemaMhagama-oz6me
@JemaMhagama-oz6me 2 месяца назад
Muache bana bora amiliki timu wengine wanaiba hatatimu hawana.
@salumsaid7301
@salumsaid7301 3 месяца назад
Amechemmmmmkaaaaaa kwakweli
@chidmtata
@chidmtata 7 дней назад
Rahim Rai 🫡
@Rai_online_tv
@Rai_online_tv 7 дней назад
Aweeeee
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 3 месяца назад
Maneno hayo wanasiasa yanakuhusuni maneno mazito hayo maneno hayo ambizaneni mkaa pamoja msioneane haya
@nunumrisho6548
@nunumrisho6548 2 месяца назад
Na Bashingwa nae anaandaa Tim ya mpira
@RichardWambura-w9o
@RichardWambura-w9o 3 месяца назад
Kuna ubaya gani kumiliki team?hapo umechemka
@JohanesGesabo
@JohanesGesabo Месяц назад
Aise tumechoka na ccm
@ShundeBajuta-xn6yp
@ShundeBajuta-xn6yp 3 месяца назад
Kazi wameisahau bali wanajaribu kufanya udanganyifu
@NtanduNjiku-ck4kw
@NtanduNjiku-ck4kw 3 месяца назад
Watanzania wanechoka ccm,leteni Sera zinazomgusa mwananchi dola mnaipata bila shida,fenyeni tafiti za kisiasa na mwelekeo wa upepo wa kisiasa,punguzeni matusi wapeni nafasi wanchi kusema wale wanayohitaji hakika mtaibuka kidedea
@ConsalvaMumbara
@ConsalvaMumbara 3 месяца назад
Kwani shida nini tunahitaji sokaikue
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 3 месяца назад
Acha porojo na kusema wenzako .Hizo ndiyo Sera za kutaka nchi .Wewe ultimate kuwa mbunge miaka kumi ulifanya nini?Tundulisu kila
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 3 месяца назад
Dhambi mwanasiasa kumiliki timu wakati wa mwalimu alikua mwanasiasa hata biashara haruhusiwi kutokana na kuogopa wasitumie wadhifa wao kwa mali za uma
@khamis9187
@khamis9187 2 месяца назад
Kwakweli waafrica tunafanana, tatizo sio ccm, ni utayari wa viongoz waliopo madarakani, mbona nchi nyingi za africa zinapokezana zam ktk uongo lakin hakuna mabadiliko chanya!!.
@EdwardSemwenda
@EdwardSemwenda 3 месяца назад
leta hoja za msingi acha na mpira
@mzeebabumzee
@mzeebabumzee 2 месяца назад
oja ya msingi pesa wa mezitoa wapi ya kumiliki timu viongozi wa sele kali au auja muwe lewa miliki timu kama una weza mmiliki kocha uchebe uwone zinduka wewe
@nuruworldinsight2957
@nuruworldinsight2957 2 месяца назад
​@@mzeebabumzee Vilaza kama hawa ndo wamejaa KIBAO hawana wanalolijua juu ya mustakabali wao wa maisha Afu wengi wao ndo walalaHoi, yaani wana tuchelewesha kinoma ! Hajui kama yeye mpiga Kura ana haki ZAKE za msingi inabidi azipate kupitia viongozi hawo wa serikali ndio maana kipindi cha uchaguzi anafuatwa kuombwa kura akiahidiwa aahadi KIBAO atafanyiwa. Lkn baada ya kuwapa Kura yake AHADI hizo zinaota mbawa anachoambulia ni ONGEZEKO la TOZO na KODI kila uchao !!!
@paulombay6884
@paulombay6884 3 месяца назад
Watanzania wanapenda mpira ko kura zipo hapo mzee
@Reynoldsmgaya
@Reynoldsmgaya 3 месяца назад
Hii nchi ina mambo yake tuuh tuyaache
@BakariMtangenange
@BakariMtangenange 3 месяца назад
Ni ufisadi2 uliopo ndani ya ccm
@justinjasson7070
@justinjasson7070 3 месяца назад
Kumiliki timu ya mpira sio dhambi, umekosa hoja
@MartinGao-pq3ed
@MartinGao-pq3ed 3 месяца назад
Huyu mtu Hana jipya staafu siasa uheshimike
@sebastianbenedict3090
@sebastianbenedict3090 3 месяца назад
huna hoja mpira ni burudani tu
@emmanuelkamoli8215
@emmanuelkamoli8215 3 месяца назад
Huelewi
@georgesteven5185
@georgesteven5185 3 месяца назад
Akili kisoda ww
@lucasdominick3256
@lucasdominick3256 2 месяца назад
kweli
@suleymanmrutu9498
@suleymanmrutu9498 3 месяца назад
Wewe hunahoja bn achakuingilia mpira kamahujui watu wamepata ajira na niwengisana nahapa ndiotunapandisha sokaletu hayo mengine nimawazoyakotu achawatu wampira wafanyemambo yampira wewe kwenyempira haupo ndiomana unatafuta kiki kupitia mpira
@ce-08
@ce-08 3 месяца назад
Shida sio watu kupata ajira watu pesa wametoa wapi za kununua timu ya mpira watu wanaficha hela walizoiba huko
@Omarimakuka
@Omarimakuka 3 месяца назад
Hakuna sera hapo ni ujinga tu
@JumaKiyogomo
@JumaKiyogomo 4 месяца назад
Ongea sera
@ramadhankhamis886
@ramadhankhamis886 3 месяца назад
Mwisho utakodi watu wa kukusikiliza
@alisuleiman303
@alisuleiman303 3 месяца назад
Hapo unachemka ujue ulitaka wafanyeje kwa jamii
@RehemaSalum-vp6rf
@RehemaSalum-vp6rf 3 месяца назад
Uyo mama enu kazi yake kuzulula tu ... Ajali lolote
@alyakida5262
@alyakida5262 2 месяца назад
Ww uliekuwa huzururi umo ndani tu hutoki toka ulipozaliwa unajali familia yako ?
@AmmyMakita-bt4ip
@AmmyMakita-bt4ip 3 месяца назад
Kwakwel anapatia hela wap jaman
@NtanduNjiku-ck4kw
@NtanduNjiku-ck4kw 3 месяца назад
Pambana lisu
@nuruworldinsight2957
@nuruworldinsight2957 2 месяца назад
Huyo Mwingulu alitumbuliwa na Mwendazake kwa mambo hayo hayo ya mpira na ushabiki wake ulopitiliza kwa Yanga. Kwanza akamuonya ,chagua moja kati ya mawili ! Aidha chagua ushabiki wako wa mpira Au fanya kazi ya serikali kwa kuwatumikia wananchi Akaendelea kushupaza shingo ... 😅😅😅
@Prisca-ge4ig
@Prisca-ge4ig 3 месяца назад
Huna hoo
@MILHAJIABDALLAH
@MILHAJIABDALLAH 3 месяца назад
Una tafuta kiki huipati Ng,o
@alfanmussa3041
@alfanmussa3041 4 месяца назад
Akuna kitukibaya kama kufiliska kifikra
@ThobiasAlex-ez6fj
@ThobiasAlex-ez6fj 3 месяца назад
Watanzania wengi bongo zetu zimeharibika,sasa unataka sera gani?
@samwelsimon7392
@samwelsimon7392 3 месяца назад
​@@ThobiasAlex-ez6fjubelgiji ndio chaguo lake
@jessalmas2122
@jessalmas2122 3 месяца назад
hawa jamaa wanatuibia pesa zetu hawafai kuiongoza nchi yetu ccm niwezi yani ccm ni kama familia ya panya
@أبويوسف-ق1ل6د
@أبويوسف-ق1ل6د 2 месяца назад
Tumbon kaweka nin
@nuruworldinsight2957
@nuruworldinsight2957 2 месяца назад
Kama lile aliloweka babako , kamulize babako akikujibu 😂😂😂
@FrankaagusyinoMkangala
@FrankaagusyinoMkangala 4 месяца назад
Tafuta sera
@SaidAdam-xw3jh
@SaidAdam-xw3jh 3 месяца назад
Hapo umechemka
@ChinaBoy-jh8bm
@ChinaBoy-jh8bm 3 месяца назад
Wewe nyamaza aunalolote wewe lisu akuna maali unaenda naiyo
@YusuphJilala-r4e
@YusuphJilala-r4e 2 месяца назад
Mzee chizi huyu
@KassimSalim-fi1me
@KassimSalim-fi1me 3 месяца назад
Wee umekaa mbunge singida miaka ata kisima tu hukuchimba kazi yako ilikuwa kukosoa
@mbikamtanganaki
@mbikamtanganaki 4 месяца назад
Na wewe una miliki Nini , wakala wa mashoga au unafikir ujulikan
@nunumrisho6548
@nunumrisho6548 3 месяца назад
Na Bashingwa nae anaandaa Tim ya mpira
Далее
НОВАЯ "БУХАНКА" 2024. ФИНАЛ
1:39:04
Просмотров 486 тыс.
Учёные из Тринидад и Тобаго
00:23
Mbarikiwa ahoji. Je kikwete atakamatwa na simu yake...
20:02