Keep going and contunie to shine my dear we're not like because you speak swahili not just your kindness, your lesson, huminity are so incredible tu nakupenda for no reason ❤️❤️❤️
Huwa napenda vile unavyoweka rafudhi ya kikorea unapoongea kiswahili .. Napenda sana yaan... Its not comedy but its so funny.. Wish ningekuonaga ulipokua bongo
Nzuri sana! Ukitaka nyimbo zingine za Kiswahili sanifu, ningependekeza pia nyimbo za zamani za Bongo na Kenya. Kwa mfano nyimbo za Simba Wanyika, Les Wanyika, DDC Milimani Park, Mbaraka Mwinshehe, Remmy Ongala na zinginezo.
i love korea Very much but i was hurt after knowing that korea people still have that thing towards black people! 😥😥 in short you make me return my love to you Koreans 💓 i love that Twice group am a big fun of park shin hyee and lee jong sook the guy in Vagabond 💓
Kutaka umaarufu Kwa pupa kutakutokea puani Hakuna mtu awezaye kutumikia mabwana wawili; kwa maana atamchukia huyu, na kumpenda huyu; ama atashikamana na huyu, na kumdharau huyu. Hamwezi kumtumikia Mungu na mali. Mathayo 6:24 😁🤪