Ubarikiwe mtumishi wa mungu mahubiri yako yalinifungua kifungo nilicho nacho na bado naendelea kubarikiwa hata time nyingine nikama unanihubiria mimi ubarikiwe saana
Why don't you consider joining the Seventh Day Adventist Church? This is the only church which teaches and preaches the biblical truth that no other church do. May God bless you all
Que Dieu tout-puissant te bénisse et qu'à son retour tu dois emmener au ciel,tu es vraiment le serviteur de Dieu créateur !!!! Moi,je suis en Belgique.,je te suis souvent
Maajabu pastor wakwanza wakisabato anahubir ndoto nawaswas anapigwa Vita Mungu amtetee na alete uamsho kwa wasabato waache udini watu wafundishwe mambo yanayowatesa
Habari za leo mtumishi wa Mungu? Ni udini gani tulionao ndugu? Ni uamsho wa aina gani tunaohitaji? Yawezekana tunaacha boriti katika macho. Tufungue mtumishi wa Bwana.
Nashukuru mungu kwa sababu nilikuwa sijuwi lakini nimefahamu, perster naomba unijibu ndoto yangu nimejalibu kufafanuwa lakini sifahamu inamanisha nini? Huwa naota tu Sana nikiwa shule, nasoma lakini simalizi masomo, niko Saudia
Hi. Why don't you consider joining the seventh day Adventist church for more summons of this nature and even more bless full? May God guide you when reaching a better decision
nliota June this year twice my husband akiniambia kwanzia leo tutakua tunaishi kwa hii nyumba.ilikuwa na moles plus kwa sakafu kulikuwa kumejaa maji then haikua cemented nkaamka nikilia sana nanika mwambia sitaki kukaa huko 2 weeks later, same ndoto ikajirudia tena.as am writing this comment tulifukuzwa due to lack of rent arrears, 80thousands shillings and am currently living in my husband upcountry so lost and weak.i have a very strong faith I'll make it in Jesus name.but his mother is making my life a living hell pastor please advice.
Pasta ujambo vipi nyumbani mambo ? Nimebarikiwa zaidi kwa mafundisho zako nimeifata sana na umenibadirisha kwa safari ya kiroho. Sasa nakuomba tu namba zako apana za mahubiri tv apana za kwako. Nimekufata apa Congo RDC
Pastor mm ni mhanga wa kutafuta mtoto kwa mwaka 4 sasa ila hua naota kuwa nimjamzito baada ya mda naota nimejifungua nanyonyesha,ajabu nikiamka usingizini maziwa yangu yanatoa maziwa kabisa,hats mwez mzima yanatoka tu,alafu hii ndoto nimeota Mara 3 nimeomba na bado ninaomba,nisaidie kwa maombi pastor
MUNGU ni mwema wakati wote kwanza namshukuru MUNGU ni mwingi wa rehema na fadhili ama kweli MUNGU ana makusudi yake,, mm nakumbuk kipindi Niko shuleni nikiwa kidato cha tatu nilianza kuota ndoto nikiwa nakimbizwa na mapepo kila siku lkn nilikuw naogopa sana na sikutokea kumwambia MTU yeyote kilichonitokea baada ya miezi kadhaa nilianz kudondoka nilishangaa San na nilikuwa nalia sana ,ninachoomba wakristo wenzangu tulmbeane sana kwa MUNGU
Wasabato kwasheria .... hatukatai kuna wachungaji waongo lkn wapo wakweli namanabii wenyekarama zakufasili ndoto Kama kina Daniel ko msiwafungie watu lamuhim nikuwafundisha waenende kwaroho ili roho mtakatifu awaongoze wakutane nawatu sahihi lkn mkikanusha hvo mnakosea