Тёмный

UFISADI WAKUTUPWA ARUSHA, MAKONDA AMFYATUA MKURUGENZI, "Nataka Uchunguzi Uanze Leo" Ni AIBU TUPU.🙌🙌 

HABARIMPYA TV
Подписаться 630 тыс.
Просмотров 10 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

11 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 12   
@marysiasawaki3698
@marysiasawaki3698 4 месяца назад
This guy is so genius .............ila Makonda unakazi kubwa sana hapo Arusha ils as long as u have a very big IQ u can do well na kuwasaidia hawa wafanyabiashara..........Makonda Mungu azidi kukutetes unafanya Vyema sana sana❤
@RehemaHemed-f5e
@RehemaHemed-f5e 4 месяца назад
Duh Makonda Mungu akupe maono zaidi
@geraldludovick2611
@geraldludovick2611 4 месяца назад
Asante Sana Habari mpya
@felixkamkala3303
@felixkamkala3303 4 месяца назад
Ujanja unjanja mwingi sana katika ili Taifa Mkurugenzi aujiongezi na wewe wewe unaelekezwa kwa na TIS iko nyuma yako ulishindwa kujiongeza aisee duh Wasomi wetu noma
@babuuosama8752
@babuuosama8752 4 месяца назад
Siyo ujanja UTAPELI UFISADI huu kungamiza serikali ya mtanzania Mama samia fukuza yeye Leo ♌️.
@Ruben-hs2sd
@Ruben-hs2sd 4 месяца назад
Huyo mkurungenzi afikiliwe kwa utendaji
@jamesriwatuvana9561
@jamesriwatuvana9561 4 месяца назад
Mkiambiwa muajiri wakurugenzi kwa vyeti mnaleta wanasiasa, haya sasa
@jameskiroka2549
@jameskiroka2549 4 месяца назад
Mama Yuko kazini na hachukui hatua hata siku moja.😅😅😅😅😅😅 kama angekua magufuli huyu angekua ameshachukuliwa hatua
@JUSTINPiniel
@JUSTINPiniel 4 месяца назад
Huyu mkurugenzi aliwahi lia kule serengeti mbele ya Magufuli
@bahatirobert1009
@bahatirobert1009 4 месяца назад
Mm mwenyewe nimemkumbuka😂😂😂😂
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 4 месяца назад
HIVI KONGERA ALIKUWA NA KAZI GANI. ARUSHA NA LIKOFIA LAKE
@meryamabdullah2081
@meryamabdullah2081 4 месяца назад
😂
Далее
Hurricane Milton: Storm damage in Fort Myers, Fla.
01:05