Тёмный

INJINIA ALIYEJENGA SHULE za KATA ARUSHA TANGU 2007 HAJALIPWA PESA - AMEFILISIKA - MAKONDA AHUZUNIKA 

Global TV  Online
Подписаться 4,9 млн
Просмотров 183 тыс.
50% 1

INJINIA ALIYEJENGA SHULE za KATA ARUSHA TANGU 2007 HAJALIPWA PESA - AMEFILISIKA - MAKONDA AHUZUNIKA
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Опубликовано:

 

26 май 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 607   
@globaltv_online
@globaltv_online Месяц назад
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@justinog3105
@justinog3105 Месяц назад
Wana Arusha mko na bahati mlipewa na Mungu kwa kumpata makonda angefika kwetu burundi shida zingepungua mnae kubali makonda mniongezee likes hapo Mungu ampe maisha marefu
@ziadasalimu1730
@ziadasalimu1730 Месяц назад
Sana kiukweli naomba mungu atuletee makonda mkoa wa TANGA , mana huku Kuna madudu mengi
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu Месяц назад
Makonda apige kazi
@Bandura386
@Bandura386 Месяц назад
Makonda njoo kibondoo
@jokhajj
@jokhajj Месяц назад
Kwakwl shida zingepungua mungu atusaidie burundi aise tuje tupate mtu kama makonda😢
@ashrafadam4629
@ashrafadam4629 Месяц назад
Arusha kuna madudu mengi mkoa una vurugu sana huko ujanja mwng mbele kiza , makonda okoa jahaz huko vgogo na madon weng n dhuluma za wanyonge
@user-ov7ge3ci6f
@user-ov7ge3ci6f Месяц назад
Vote for president to be makondaa Piga like kwa niaba ya makonda
@mariaboniphace7853
@mariaboniphace7853 Месяц назад
Napiga kura yake mapema sana
@JosephatJoseph-eo8xj
@JosephatJoseph-eo8xj Месяц назад
Mimi ni wa CHADEMA ila kazi ya makonda imenikosha sana Mungu hakulinde
@naimatemba8061
@naimatemba8061 15 дней назад
Yaani wacha kabisa
@dullamuso6955
@dullamuso6955 Месяц назад
Mungu azidi kukutunza Makonda, Unapiga kazi unatukumbusha Hayati Magufuli.
@oscarcharles9624
@oscarcharles9624 Месяц назад
kweli kabisa huyu ni rais wetu makufuli
@user-ej5ir5pu7r
@user-ej5ir5pu7r 29 дней назад
Huna akili hiyo ndo kazi yake rais ajesimamie vitu kama hivyo alio wateua wafanye kazigani
@ebenezermachange-zp4es
@ebenezermachange-zp4es Месяц назад
Hakika huyu ni Mungu aliye hai anayetenda kazi kupitia mheshimiwa Makonda ..Mungu amjaliea maisha marefu ya baraka awapinge na kuwaangamiza wanaoinuka kinyume na anachofanya na ikimpendeza amjalie kua kiongozi wa nchi kwa wakati Mungu alioukusudia.Amen
@user-ex9sd8wm4l
@user-ex9sd8wm4l Месяц назад
Aaaamiiiinaaaaa
@user-ex9sd8wm4l
@user-ex9sd8wm4l Месяц назад
Hakika tuzidi kumuombea kwa mungu huyu jamaa ili aweze kumaliza matatizo ya wanainchi
@waltermachange7300
@waltermachange7300 Месяц назад
Mheshimiwa Rais Samia Arusha ,unazo kura kama zote, mikoa yote weka mashine kama hizi,Mh Makonda.kina Lengai sabaya uone mambo.
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu Месяц назад
​@waltermachange73huyo lingai SI kibaka TU kama vibaka wengine
@stevenmabungi3245
@stevenmabungi3245 Месяц назад
Amina
@ramadhanimtetu3656
@ramadhanimtetu3656 Месяц назад
Huyu Mh Anastahiki kuungwa mkono Safi sana
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 Месяц назад
Damu ya YESU ikufunike Makonda🙏❣️
@elizaberthpius4511
@elizaberthpius4511 Месяц назад
Mungu tutunzie tena huyu Baba,,,❤We see you in him for de sake of wanyonge wote,God bless Tanzania
@mnyongeiddi2454
@mnyongeiddi2454 Месяц назад
CCM simamisheni makonda agombee hata urais huyu anaweza kuwa tunu ya Taifa
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 Месяц назад
We hawawezi 😂😂😂 coz kunawatu hawataki hata kumuona ila Kwa nguvu ya Mungu inawezekana
@mnyongeiddi2454
@mnyongeiddi2454 Месяц назад
@@georgekimasaofficial1629 bro Mimi kura yangu siwezi kupigia CCM ila kwa hili jembe kama inatokea anagombea kura yangu inaenda CCM
@stellamsokwa6785
@stellamsokwa6785 Месяц назад
Wakati wa Mungu ndo wakati sahihi, kunywa mchuzi nyama zipo chini... Time will tell
@Mgema001
@Mgema001 Месяц назад
Kila siku nasema wanaoturudisha nyuma hii nchi ni viongozi wa chini hawa wadogowadogo...big up makonda
@nuruurio8319
@nuruurio8319 Месяц назад
Yaan viomgoz ndo shida wananchi siyo tatizo kabisa
@neemamasimba2981
@neemamasimba2981 Месяц назад
Hakika, na tukipata watu watano tu katika hii nchi kama makonda nchi ingepona
@ChausikuMadale
@ChausikuMadale 16 дней назад
Go to taa cc t ​@@nuruurio8319
@user-zw6lg3px6d
@user-zw6lg3px6d Месяц назад
Makonda Mungu atakufikisha tu kwenye uraisi wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania wakati ukifika bila upinzani na watesi wako hawatoamini
@ziadasalimu1730
@ziadasalimu1730 Месяц назад
Haswa
@ceciliamallya
@ceciliamallya 23 дня назад
Tuendelee kumuombea afike kwenye kusudi
@gilbertdamas5297
@gilbertdamas5297 Месяц назад
Inauma sana huyo mkurugenzi afukunzwe kazi babisa
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts Месяц назад
T M U... Kila atakaewalaani laana zikamrudie, kwa jina la Yesu!@.., hivi jamani ni kweli watu hawaoni vile hata wanaume wanatoa machozi? Yule aliyepata ugonjwa wa moyo wamemuona? yale machozi ya yule bibi je? Hivi Leo anajitokeza mtoto wa mwanamke mwenzio, anayariski maisha yake kwa kututetea halafu eti mnaleta siasa!! Mama Samia anamuamini na ndiyo maana amemleta Arusha,alijenge jiji ki mataifa na atutetee walala hoi na fedha za Serikali zitumike ki Serikali nk. Huyu ana hofu ya Mungu na Mungu hatamuacha . Big up Team Makonda Ukombozi❤❤❤
@GodfreyMwambwalo-ev9nh
@GodfreyMwambwalo-ev9nh Месяц назад
Kwa kweli mheshimiwa Makonda Mwenyezi Mungu Akujalie Afya njema uendelee na kazi unayoifanya kuna maonezi makubwa sana katika nchi yetu
@oscarcharles9624
@oscarcharles9624 Месяц назад
makonda mungu aendelee kukupa uzima na Afiya mtetezi Wa wanyonge yani wewe unaweza sana
@Mgema001
@Mgema001 Месяц назад
Nimekuja kugundua mama samia tunamtupiaga tu lawama...kuna hawa watendaji wa chini ni ugonjwa kwa kweli....Mama samia tunakupenda mama etu
@rehemakanyere4188
@rehemakanyere4188 Месяц назад
Kbsaaa
@jasonwatz7457
@jasonwatz7457 Месяц назад
Chini kumeoza
@nelsonnikodem1100
@nelsonnikodem1100 Месяц назад
Mama Hana shida kabisa yupo vizuri mwenyezi munguu amsimamie pamoja na makonda
@mussahancy6591
@mussahancy6591 Месяц назад
Umenena vema
@barbarasara4033
@barbarasara4033 Месяц назад
Umeonaaeeeee hawa watu WA halmashauri NI jipu
@ahmedsalim9463
@ahmedsalim9463 Месяц назад
Ewe Mungu mjaalie maisha marefu mja wako huyu na umlinde na Shari za wana Adam ameen
@kibabysaid6692
@kibabysaid6692 Месяц назад
Ameen
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 Месяц назад
Ameen 🙏🙏
@geraldadolf4928
@geraldadolf4928 2 дня назад
Yaani binadamu wana roho mbaya jamani uyu mama roho ana roho kutu kweli
@yunistinatemba9466
@yunistinatemba9466 Месяц назад
Your more than bright Mhe Mkuu wa mkoa, " mlipokosa nyaraka zake zpo nyaraka za nani? Au alitoa msaada? Mungu akupe maisha marefu Mhe wetu
@AlfaEnock-st9md
@AlfaEnock-st9md Месяц назад
Hawa ndio mnasema makonda anawadhalilisha.. Ila amini nawaambia ipo siku mungu atawajibu😥😥
@user-wo4rc5gb3w
@user-wo4rc5gb3w Месяц назад
Ama kweli Umzaniae ndiye kumbe siye hivi kwili watu wa Arusha haya mliyategemea kwa Mh Makonda?sidhani sasa angalieni jinsi anavyo fanya kazi nzuri hongera zako Mh Makonda 👏👏👏👏👏
@user-hn9hd3og8u
@user-hn9hd3og8u Месяц назад
Allah akulinde ww ni kiongozi mzuri sana mtenda haki
@dignakanje4508
@dignakanje4508 Месяц назад
Wanyooshe baba hwa watu jmn niwatu wajabu kbisa.Sijui mungu wao niyupi.
@Mapenzi2635
@Mapenzi2635 Месяц назад
Mh. Makonda your integrity is unparalleled.
@nelsonngowi3950
@nelsonngowi3950 Месяц назад
Hata km mkuu watakuchukia, wakuchukie tu ila Mungu atalipa sikio lako lakusikiliza wananchi wako
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Месяц назад
Eeee Yesu mlinde Makonda azidi kutetea Wanyonge Mama Bikira Maria mpine kwa nguvu zote Makonda
@ahmedsalim9463
@ahmedsalim9463 Месяц назад
Kazi ni ngumu lakini usikate tamaa Mungu yuko pamoja nawe
@user-mp4yt7ps5q
@user-mp4yt7ps5q Месяц назад
Makonda Mungu akulinde maana utakuwa namaadui wengi sana🙏🙏
@kichalimaulid4904
@kichalimaulid4904 Месяц назад
Daaaah makonda shikamoo pongezi kwa Dr Samia suluhu Hasan kwa uteuzi wako najinsi unavyo msaidia majukumu hongera sana
@rhodamgimwa356
@rhodamgimwa356 Месяц назад
Makonda uko vizuri brother!! Nnapenda unavyotuhudumia wananchi wako.
@sospetermigera685
@sospetermigera685 Месяц назад
Baadaye mseme anawakosea. MAKONDA anafanya kazi. Mama anaangushwa na watendaji wa chini
@maryamabdallah3140
@maryamabdallah3140 Месяц назад
Vijana wetu wengi wamemaliza masomo yao ya vyuo vikuu na wako vizuri...na kazi hawana. Kazi zimekaliwa na vilaza kama Hawa ambao hawajielewi....mama Samia fukuzia mbali wajinga Hawa ndio wanakuchafua Bure, unabakia mama yetu kupata shukran ya matusi....
@zawaeli3357
@zawaeli3357 Месяц назад
Nakuhakikishia hapa hata kijana wako angeonekana kilaza.
@wisemanking001
@wisemanking001 Месяц назад
Makonda is beyond Regional Commissioner job....apewe nchi for the rest of his life!!!
@user-ze6lx9ng6s
@user-ze6lx9ng6s Месяц назад
Mungu akulinde makonda,
@nesalerorian9161
@nesalerorian9161 Месяц назад
Bwana Yesu akulinde na uendelee kuwa kujitetea sisi wanyonge. Tunakupenda sana.
@nicksonmallya11
@nicksonmallya11 Месяц назад
Makonda Mungu akubariki sana akusamehe dhambi zako zote.
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 Месяц назад
Kwa sasa Mimi nimemkubali sana Makonda. Mzee wa ufufuo kwisha habari yake.
@SadaKigwangala
@SadaKigwangala 18 дней назад
Kwakweli
@issarashid7707
@issarashid7707 Месяц назад
Makonda tuko pamoja kamanda Mungu akusimamie katika kutenda haki
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 Месяц назад
Duu nchi hii kweli watendaji wa serikali mnamuangusha mheshimiwa Rais Samia .Hawa watendaji serikali hawaitakii CCM mema wanataka ianguke
@josephignas3988
@josephignas3988 Месяц назад
Hiyo ndio mojawapo ya sifa za ccm Sasa km hujui ni dhulma
@victaboy7273
@victaboy7273 Месяц назад
Wewe ndio huwa unasifia ccm . Ni kawaida
@user-zi1gp6dc2q
@user-zi1gp6dc2q Месяц назад
Wanaosema anakosea sindio majambaz hao hao usiwaogope kaka wape Panadol zao
@user-zi1gp6dc2q
@user-zi1gp6dc2q Месяц назад
Yaan mie baba nakupenda sana ungekuja mbeya jamsn
@user-zi1gp6dc2q
@user-zi1gp6dc2q Месяц назад
acha wakuchukie tu hawana mbigu yakukupeleka majambaz wakubwa hao mbwaizo
@user-hv7pw6ih5v
@user-hv7pw6ih5v Месяц назад
Mungu akubariki mtetea wanyonge
@jacksonsulle6673
@jacksonsulle6673 Месяц назад
Level ya Mkoa kwa Makonda bado hatujatendea haki watanzania walio wengi
@gabybulba9574
@gabybulba9574 Месяц назад
Makonda looks full President with good and fair governances, mungu akubarikie hicho kiti naombea
@avinrwegasira3448
@avinrwegasira3448 Месяц назад
Magufuli living ❤❤❤
@rehemakanyere4188
@rehemakanyere4188 Месяц назад
Kweli kbs
@user-vv5pf4rj9w
@user-vv5pf4rj9w Месяц назад
Mkiambiwa mnalegeza sautiii mnasema mnadhalikishwaa😅😅😅
@BilalMuhammad-jt6sq
@BilalMuhammad-jt6sq Месяц назад
Kweli ila kukaa uchi awaoni kua wanazarurisha
@Punda284
@Punda284 Месяц назад
Makonda mkuu wetu wa mkoa nakuelewa sana,unasaidia watumishi kujua majukumu yao,haya maswali tunajiuliza daima,Mungu akulinde.
@peterpaschal4522
@peterpaschal4522 Месяц назад
Mheshimiwa makonda unafanya kazi nzuri ila hii nchi inahitaji mabadiliko ya seheria maana wanyonge Wana pata shida sana
@peterlyimo6696
@peterlyimo6696 Месяц назад
Makonda ana reasoning nzuri sana, sikuwaza kabisa kama yeye.
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 Месяц назад
Makonda ni Mtu na Nusu
@raymondlyamuya6900
@raymondlyamuya6900 Месяц назад
Huyo Mkurugenzi Kilaza sanahamna kitu hapo
@thomsanga7956
@thomsanga7956 Месяц назад
Niwazi kabisa mkurugenzi hakua na mpango wa kulipa deni, miyeyusho tu
@stanleynombwe4865
@stanleynombwe4865 Месяц назад
Hilo tatizo la uzulumu mafundi kwenye miladi ya serikali imezoekeka
@HemedMnyambwa
@HemedMnyambwa Месяц назад
Wanao dhumu sio serikali ni walioko serekalin ndio wanaodhumu n Hawa wanaoidhinisha hela ndo changamoto
@emmanuelsunday8325
@emmanuelsunday8325 Месяц назад
Kwani watumishi wa serkari ndo serkari hiyo hiyo na ndo inazulumu watu wake
@dismascosmas7860
@dismascosmas7860 Месяц назад
Mmepata kiongozi mshukuruni sana Mungu
@leodgarchilala721
@leodgarchilala721 Месяц назад
Binafsi namkubali sana huyu jamaa pamoja na mapungufu yake machache ila ni bonge moja la kiongozi tena mwenye maono lkn hii nchi watu wanasimama kupinga eti kisa anaemuhoji ni mwanamke dah
@romanshirima5883
@romanshirima5883 Месяц назад
Dah makonda vs magufuli mungu huyu❤
@pastor-Chrisfeston1
@pastor-Chrisfeston1 Месяц назад
Mungu aendelee kukulinda baba kwajili ya wanyonge ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@emmanuelakutulaga9756
@emmanuelakutulaga9756 Месяц назад
MAKONDA KIJANA MWENZANGU NAFURAHISHWA SANA NA UTENDAJI WAKO WA KAZI, HICHI UNACHOKIFANYA NI VERY UNIQUE,THATS WHY WENGI SANA WANAKUCHUKIA,...ILA MUNGU AKUTUNZE SANA; BINAFSI NAAMINI TUNGEKUWA NA WAKUU WA MIKOA KAMA WEWE WA5 TU, NA MAWAZIRI KAMA WEWE WA5, NA WAKUU WA WILAYA WA5, NA WAKUU WA POLISI WA MIKAO WA5, NA MAAFISA WA TAKUKURU WA MIKOA WA5 TU, NA WAKUU WA MAHAKAMA ZA MIKOA WA5 TU; NCHI HII NDANI YA MIAKA 10; TRULY NAWAMBIENI UKWELI KABISA,KIPATO CHA KILA MTANZANIA MTAFUTAJI KINGEFIKA LAKI 5 PER MONTH,HATA UMRI WA KUISHI UNGEFIKA MIAKA 80. TUENDELEE KUMUABUDU MUNGU WETU ALIYEZIUMBA MBINGU NA DUNIA.
@olemenye-jb8yw
@olemenye-jb8yw Месяц назад
makonda for president
@user-ry8xf1no2s
@user-ry8xf1no2s Месяц назад
Mueshimiwa makonda nakupenda sana Alha akulinde na maasidi inshallah
@UpendoLangeni
@UpendoLangeni 21 день назад
Makonda is the most talented leader unexplainable. May God protect you . Heaven is on you❤
@cloudngoko.2679
@cloudngoko.2679 Месяц назад
Mwamba kwelikweli. Alafu aje mtu katoka alikotoka aseme fyuu fyuu fyuuu. Yani kaambali na huyu Mwamba ujue wahuni nchii wapo wengi ndio maana makonda akiwabana kidogo unaona wanaanza kurusha Midomo mtandaoni. Acheni Makonda afanye kazi yake aliyetumwa hapa duniani.
@margarethashayo5308
@margarethashayo5308 Месяц назад
Ningeomba tu Kila baada ya mwaka mmja makonda awe aanamishwa Kila mkoa jmn Kila mtu apate haki 🙏@paul makonda
@walinaziontime7300
@walinaziontime7300 Месяц назад
Wabunge mnasikia hayoooo sio mpo makini na posho zenu na kuomba mpewe Magali.....mnaona mnavyo taabisha Watu
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 Месяц назад
Mpaka mkurugenzi anashika kichwa anajuta kwa nini mama samia kamchagua hiyo kazi huyo ndo mkuu wa mkoa kamanda makonda ukimaliza kadili na wahuni wanaokaba mitaani arusha
@nellychamba1507
@nellychamba1507 21 день назад
Mkuu nakupenda sana brother kwa sababu ya haki unayoipigania, Embu fikilia sisi wenyewe ni watanzania lakini tunafanyiana rohoo mbaya, aisee MUNGU arudi tu hata kesho
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Месяц назад
Makonda Mungu akulinde akupe nguvu ulindwe na Mafisadi ambao hawakupendi maana hata Magufuli aliuwawa kwa kutetea Wanyonge
@emmanuelsunday8325
@emmanuelsunday8325 Месяц назад
Mungu akulinde mtumishi wa Mungu makonda
@omaraliy8207
@omaraliy8207 Месяц назад
usivunjike moyo jitahd inshallah utafka
@bennshirima9918
@bennshirima9918 Месяц назад
Mh.makonda, nakupongeza kwa hili jambo...ongera sn.
@user-ek6td4kt4t
@user-ek6td4kt4t Месяц назад
Muheshimiwa hizi halmashauri especially ma afsa utumishi, makatibu wanasumbua sana ikiwa unataka uongoz wako unataka kusiwe na malalamiko jaribu kuwahamisha hamisha ufanye uchunguz then uwasimamie utajua mengi. Nataman ningepata nafasi ya kuonana na wewe.
@user-to9mv9dj4b
@user-to9mv9dj4b Месяц назад
Unaweza kumtembelea
@yohanaisayasimoni
@yohanaisayasimoni Месяц назад
Hapo mkurugenzi mbovu sana kwenye wizi haelewi hapa haelewi
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 Месяц назад
Amlipe pesa zake angekua ndio yeye anadai miaka yote hiyo kweli!
@wolframmwalo2432
@wolframmwalo2432 Месяц назад
Mungu wa mbinguni akutunze hakika kazi unayoifanya mungu yupo upande wako
@OmanOman-dn6dj
@OmanOman-dn6dj Месяц назад
Makonda safii❤
@ceciliamallya
@ceciliamallya 23 дня назад
Mh Paul Makonda Mungu wa mbinguni akutunze baba,...Arusha watu wameteseka muda mrefu sana mpaka wengine wamekufa kwa pressure na sukari kwaajili ya kudhulumiwa....Wana Arusha muombeeni sana Mh Makonda na familia yake ameletwa kwa kusudi kabisa la Mungu
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu Месяц назад
Mungu kufanya mwanaume ndio awe kiongozi hajakosea sasa huyo mkulungezi si mwanamke wanawake wana tabu sana tena wakiwa viongozi ndio hawafai kabisa kuwa viongozi mungu aliwakataa wasiwe viongozi kwasababu anayajua walionayo
@gregory6165
@gregory6165 Месяц назад
Kutokana na imani yako na Mungu wako
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu Месяц назад
@@gregory6165 sio Imani Yako basi we nitajie mtume au nabii hata Moja ambae alikuwa mwanamke ? kwani mungu Hana akili kwanini hakufanya hivyo hapa tunaongea kwa fact and logic usilete mihemko hapa. Mwanamke akubali akatae akili yake ni ndogo haiwezi kuongoza wanaume hakuna kitu kama hicho. Nyie mnalazimisha ndio yanawakuta kama hayo tunayoyaona
@albertchuma4313
@albertchuma4313 Месяц назад
​@@Hussein-gx4qu kwaiyo wewe unadhani kila mtu ni mwislam au mkristo, nikikwambia dini yangu haitambui mitume na manabii? Au nikikwambia mi ni atheist? Kwenye biblia kitabu cha waamuzi wapo viongozi wa dini waamuzi walikuwa wanawake... Wapo wengi wakina ester n.k usifikiri dunia inazungukia kwako chochote usichokiamini unadhani hakipo au ni batili, mjudge mtu kwa kuangalia uwezo wake sio kujumlisha kundi lote wewe mama yako ni baba? Af kama inakuuma wanawake kuwa kwenye uongozi mbona mnashindwa kumwambia mwenzenu samia?si mwislam pia? kila siku anaenda miskitini anakuta na mufti..mnamfanyia hadi dua maalum, Mbona hamwambii ajiuzulu dini yenu na mungu si haruhusu wanawake kuwa viongozi, unafki umewajaa
@KiongoziMwandamizi
@KiongoziMwandamizi Месяц назад
Mh Makonda Mungu akutunze👏👏👏👏
@neemamasimba2981
@neemamasimba2981 Месяц назад
Makondaaaaaaaaa, Mungu akulinde.
@EdwinWapili
@EdwinWapili 11 дней назад
Mungu akuinue akulinde kwa yote unayo tenda kwa wasio jiweza
@kensonyjulius5691
@kensonyjulius5691 Месяц назад
Mwenyezi mungu azidi kukuweka nakuona ni rais ujae🙏🙏🙏
@loishiyemollel5393
@loishiyemollel5393 Месяц назад
Mungu wa mbinguni Abariki mweshimiwa makonda,na Mungu atuinulie wakinamakonda wengine ambayo ni wazalendo,na wanauchungu na watu waoonewa na kusulumia
@wakushibandfrombushland
@wakushibandfrombushland Месяц назад
Nakubali mkuu wa kazi maisha marefu
@wilsonsikahanga1761
@wilsonsikahanga1761 28 дней назад
Natural philosophy is very important good Makonda
@luganouswege628
@luganouswege628 Месяц назад
Fanya kazi makonda tutakuombea kwa mungu akulinde Toka tunduma
@AffectionateCap-fk8tx
@AffectionateCap-fk8tx 25 дней назад
Makonda unanimalizia bando, kz nzuri.
@sanduulemo
@sanduulemo Месяц назад
Haya yakisemwa mtu anasema anadharilisha watumishi!!
@niyimpumurizamoise2256
@niyimpumurizamoise2256 Месяц назад
I'm not Tanzanian but I want to say that Africa suffers from a lot of issues. This Governor Makonda is criticized by some but I see that he is intelligent.
@HemedMnyambwa
@HemedMnyambwa Месяц назад
Loko fundi tunapitia changamoto haza tunapota denda kwenye taasisi ni kama hizii ,alafuu ajitikeza jitu huko anasema makonda anazalilisha watumishi, embu avaee viatu vya huyuu inginia wetu. Mafundi njooni tufahamiane hapaaa
@dorcasmruma9001
@dorcasmruma9001 Месяц назад
Alafu wanakuja watu wanasema makonda anawadhalilisha watumishi! Phuuuu piga kazi makonda
@magrethmagonza186
@magrethmagonza186 Месяц назад
Makonda mngu akuweke..wambiwe ukweli hakuna kudhalilisha ni ukweli saidia wanyonge
@GreysonMdee-wm8tn
@GreysonMdee-wm8tn Месяц назад
Andika MUNGU sio mngu
@elizabethnicodemus5192
@elizabethnicodemus5192 Месяц назад
Makonda kazi Yako nzuriii 🙏🙏 mungu akulinde mheshimiwa 🙏🙏
@bonifacedanielmwakisunga9638
@bonifacedanielmwakisunga9638 Месяц назад
Hawa wakurugennzi wanapatikanaje vilaza hata wajinu wake ajui jamani nchi itaenda kweli kama wao ni kukaa ofisini tu awashughuliki na kutatua kero za wananchi
@OmariNgurangwa
@OmariNgurangwa Месяц назад
Hela zishariwa izooo
@issaramadhani9141
@issaramadhani9141 Месяц назад
Hivi jamani huyu mkurugenzi maelezo yake katika kila maswali anayoulizwa kuanzia wale wezi wa milioni 52 hakuna anachoeleza cha kueleweka sijui huo ukurugenzi anautendaje?😂
@emmanuelbenedicto589
@emmanuelbenedicto589 Месяц назад
Halafu watakuja kusema amedhalilishwa wakati hana msaada wowote kwenye utendaji
@SaruniChristophersabaya
@SaruniChristophersabaya 27 дней назад
Mungu akubariki Sana makonda
@josphinenduta2011
@josphinenduta2011 Месяц назад
I love what you are doing. God bless you
@barakajohn8005
@barakajohn8005 Месяц назад
Nimeelewa ndio maana Bro unawaletea moto mpaka wanalia kama honi😂😂😂
@feliciarfrancis2388
@feliciarfrancis2388 14 дней назад
Mheshimiwa Makonda naomba Mungu akulinde kwa kazi ya kuipigania Tanzania?
@MamaBambala
@MamaBambala Месяц назад
Mwenyezi Mungu akulinde mwanangu Makonda.
@salehemanjoti3086
@salehemanjoti3086 29 дней назад
Nimefatilia sana mikutano ya mkuu wa mkoa mheshimiwa Paul makonda, kiukweli wewe ni kiongozi mwenye uthubutu,natamani viongozi wengine waige kutoka kwako,hakika mungu atakulipa Kwa wema wako"
@neemamasimba2981
@neemamasimba2981 Месяц назад
Hakika Makonda Mungu akubariki na azidi kukupa hekima hiyo hiyo. Huku wanapiga pesa tu na kuwadhulumu watu.
@osmanmohammedosman5493
@osmanmohammedosman5493 Месяц назад
Wallah makonda nimwanaume sana na anafaa uraisi
@josephmbuya9860
@josephmbuya9860 Месяц назад
Makonda nakuelewa sana
Далее