Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5 Channel Administered by Slide Digital Instagram: slidedigitaltz
Mkuu, kiwanja kipo sehemu tambarare msingi kozi 5 za nini kaka?? Hizo ni gharama zisizo za lazma brother, hapo sio ushauri..yaani kisa muonekano uingie gharama ya msingi kama unajenga kilimani?? Hamna haja ya kozi 5 kwenye kiwanja tambarare kaka, usifanye watu waogope kujenga..