Тёмный

UJENZI WA FLYOVER ZNZ, WAPAMBA MOTO, WAVAMIZI WA MAENEO, "HALIPWI MTU HATA 100" 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 44 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 114   
@omannal1281
@omannal1281 Год назад
Mbona hakuna usawa hopo..nyingi ni za ungujatu..Pemba Moja tu chke mkoani😔..muogopeni Allaah.
@MdNasr-jm8pj
@MdNasr-jm8pj 2 месяца назад
ALLAH na sio Allaah
@MuhammedFoum-kr5kc
@MuhammedFoum-kr5kc 9 месяцев назад
Enyieeeee nyiii Kuna moto Kwa munguu dhulmaaa mbayaaa😅😅😅😅😅😅😅
@yohanabundala9162
@yohanabundala9162 Год назад
Kumbe zanzibar kuna msongamano kuzidi arusha Au dodoma mpaka panawekwa flyover
@mohamedrajabu9055
@mohamedrajabu9055 2 месяца назад
Aaaaaa sasa hiyo zulma na mutalipa kesho ahera wallah
@abdulhamis9825
@abdulhamis9825 Год назад
Tushazoea Kuona Mnafanya Uonevu Kwa Wanyonge Na Hii Ndio Kawaida Yenu Lkn Kumbuken Kuwa Dunia Ni Njia Tu Yapo Maisha Ya Milele Uko Ndio Ukwel Utabainika
@jumafundi3133
@jumafundi3133 Год назад
Mutakwenda kutulipa kesho akhera na hatutowasamehe ,japokua hakuna nia ya kujenga hizo njia hasa kwa pemba
@khadijamohamed8170
@khadijamohamed8170 Год назад
Ahera hakuna malipo baada ya kuvamia sehemu ya serikali uyo mungu pia anapenda haki je ww ulojenga sehemu sio yako
@yasalaam590
@yasalaam590 Год назад
Mashaallah allah ajaaliye zijengwe bara bara zanzibar yaarabbi
@AP-uk3mq
@AP-uk3mq Год назад
🙄
@eastafricaqualitychickenfa9916
Mungu niweke nije kuona kwa macho yangu
@ahmedomar804
@ahmedomar804 Год назад
Barabara ya bububu vp au ndio watalii wote huenda fumba na mjini tu
@masoudally6763
@masoudally6763 Год назад
mh....kisiwa kidogo tu lakini miradi mingi sana ya maendeleo tunaisikia na tunaendelea kuisikia lakini utendaji wake Zerooo...........
@hatibuyusufu4668
@hatibuyusufu4668 Год назад
ACHA dharau Zanzibar ni nchi
@adonis-bx7ht
@adonis-bx7ht Год назад
​@@hatibuyusufu4668kwani nani kasema sio nchi. Wacha kujishuku.
@MdNasr-jm8pj
@MdNasr-jm8pj 2 месяца назад
Kumekucha tena😢hivyo ndo mnaanzisha ubaya maana MTU kashajenga maduka yke
@saidmasoud1548
@saidmasoud1548 Год назад
Wallah laazim mungu atawalaan hapa hapa dunian mkisha wavunjia watu wao waende wap
@nadirmahfoudh1812
@nadirmahfoudh1812 Год назад
Masha'allaaaah!
@shaameshaame9721
@shaameshaame9721 Год назад
Sis tutakula hizo fly over
@Burange666
@Burange666 4 месяца назад
Huyu sijui mmanga au mdosi mbona muongo sana
@alliynahoda-nf3qu
@alliynahoda-nf3qu Год назад
Dhulii
@mhogomchungu7168
@mhogomchungu7168 Год назад
ujenzi wa flyover ni matumizi mabaya ya rasilimali pesa na kuendesha nchi kwa mihemko. Flyover haziingizi hata shilingi kwa serikali , kwanini zisitumike hizo pesa kwenye uwekezaji wenye tija. Kama tunasena dira yetu uchumi kwa buluu kwanini serikali isitumie hizo pesa kununulia meli za uvuvi na kuacha kutegemea viboti ambazo hata watu kumi hawawezi kupanda pamoja
@kassimali2273
@kassimali2273 Год назад
Maneno mazima uliyo yaongea Akhii
@HusseinBakar-b4p
@HusseinBakar-b4p 9 месяцев назад
Huna akili kabisa
@R10_Rajab
@R10_Rajab Год назад
Safi sana kwa hapa nawapongeza sana ule uamy unatakiwa uishe zanzibar kama mtu kajenga kwenye eneo la Barabara anapaswa aondoke tu kama hataki serikali iwabomolee No Pain No gain safi sana
@kassimali2273
@kassimali2273 Год назад
Mpaka wamejenga nani amewapa kinali cha ujenzi uo
@salimharrasy7047
@salimharrasy7047 9 месяцев назад
Bara bara zitasaidia sana kurahisisha harakati za maisha ya kila siku. Naomba plan B ya Serikali kusaidia wana Nchi walo wengi kimaisha hasa jwa upande wa chakula, elimu na afya.
@ramadhanmussa673
@ramadhanmussa673 Год назад
Ushashiba ww
@ussihamza-xn7bx
@ussihamza-xn7bx Год назад
Mbona Njia za Mwanyanya Hamna.
@adamyussuf1678
@adamyussuf1678 Год назад
Mshakubaliwa kwa mabwana zenu Tanganyika au mnajisemea tu
@ahmedomar804
@ahmedomar804 Год назад
Kapewa rungu ndio wenye nchi hao
@awenamohd8357
@awenamohd8357 Год назад
Inshaallah
@omarissamashaallahpresiden2920
Lami ya moto
@FaudhanMuhamad
@FaudhanMuhamad 9 месяцев назад
Ndoumeongea nn frafki yangu kama hutolpa hapa utalipa kwamuungu
@AaAa-vm8bb
@AaAa-vm8bb Год назад
Kucheuwa nilazima tumbo likishashiba tuzione
@mohamedturanardan8871
@mohamedturanardan8871 Год назад
Wananchi wananjaa, fanyeni maendeleo ya kuwagusa wananchi, hizo flyover zinamsaidiaje mwananchi? punguzeni ushuru na kodi vitu vishuke bei,
@AbdillahSOthman
@AbdillahSOthman Год назад
Anzeni kujenga njia za chini. Na mujue kuwa watu walijenga nyumba kabla ww hujazaliwa uje ujenge bara bara kisha usiwalipe ndio vipi. Jengeni njia za uhakika za chini munajenga njia baada ya mwaka njia mbovu.
@omarissamashaallahpresiden2920
Bora zisiwe na taa
@ibrahimmwinyi6957
@ibrahimmwinyi6957 Год назад
Hawa mashaka tuu hebu jengeni njia za ndani kibonde mzungu
@seifabdulwahid4579
@seifabdulwahid4579 Год назад
Watu wananuka njaa serikali yote ya ccm washenzi
@suleimanbadru819
@suleimanbadru819 Год назад
Dhana ya utawala bora nikua serikali nibudi ijali wananchi wake japo fidia ndogo akaanzie maisha mapya sbb umasikini wa raiya unarudia serikali .sasa wewe unatamka haya sbb upo ktk system ukiondoka utajua hujui
@HusseinBakar-b4p
@HusseinBakar-b4p 9 месяцев назад
Haikubaliki hiyo mbn huku bara watu wanalipwa
@AaAa-vm8bb
@AaAa-vm8bb Год назад
Tokea umesema hayo mh hadi leo iko wapi hio njia iliyo jengwa huko Pemba iko wapi
@abdulswamadmaulid5563
@abdulswamadmaulid5563 Год назад
Huyo ndio nadir bwana pata pesa tujue tabia yako pia pata madaraka tujue nguvu yako
@kassimali2273
@kassimali2273 Год назад
Kibri tu lakini tupo hapa 2taona izo njia zikijengwa
@shafyjuma7745
@shafyjuma7745 Год назад
Huu ni upuuzi mana 😂 majia ya chini mabovu unaenda kujenga over sjuwi dude gani mimi nipewe urais sifeli
@RioIpo
@RioIpo Год назад
Unaujua mkakati wa serekali? Barabara zote zinajengwa upya kilomita 200 na pamoja fly over
@kassimali2273
@kassimali2273 Год назад
Mwinyi ana jini anaitwa jenga jenga yy kila sehemu anataka ajenge nguvu izo zinatokea wapi
@murattywamuratty9778
@murattywamuratty9778 Год назад
Hamna utanuzi mmoja wa bara bara, mshakata miti tayari ila naona ao wanotengeza barabara kiembe samaki, njia ya kwa mchina mnapita mule mule mwa zamani
@iddijumaali7192
@iddijumaali7192 Год назад
Jamani kama pesa za fly over hebu zitumieni kuzuia mfumuko wa bai masikini wanaumia
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 Год назад
Jingine viwanda vya kufanya kazi wazanzibari wote wanavuta bangi ulevi na umalaya kutwa maskani kazi hawana kiasi uhalifu na uzalishaji isiondoke
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 Год назад
Kwanza wajenge lile jumba la beilt ajaib mana miaka kumi na tano sasa lipo lipo Tu na majumba ya mjerumani pia kama hamuwezi kuyakarabat yabomoweni
@vintagemusicgroup9236
@vintagemusicgroup9236 Год назад
Flyover kwa magari gani?
@yasalaam590
@yasalaam590 Год назад
Serikali muliangalie la wananchi kwasasa hali ni ngumu ni vyema mkashauri tena kuhusu fidia walau nusu yake kuliko kutowapa kabisa hali ni ngumu kwa wananchi wenu
@gangmore9091
@gangmore9091 Год назад
Mtu amejenga kwa kibali cha serekali kwanini musingetoa vibali n kuzuwia wasijenge tatizo munapeana ajira kwakujua bila kua n elimu n nafasi hizo
@rashidabasi7940
@rashidabasi7940 Год назад
HAHAH.. HIZI SERIKAL ZA KISWAHILI AISEE.
@murattywamuratty9778
@murattywamuratty9778 Год назад
Izo barabara za juu mnajenga sawa shwihab, lakini tatizo lenu za chini zote mbovu barabara za mjini zimezidi, na mataa ya barabarani biziredi huu mwaka tena haziwaki ukiangalia watu wanalipa kodi pesa halmashauri wanakusanya lakini aaah ovyooo
@kassimali2273
@kassimali2273 Год назад
Mie naona uongo mtupu za chini hawaziwezi wataweza za juuu wa2 wanna njaaa washulike na kula kwanza
@seifabdulwahid4579
@seifabdulwahid4579 Год назад
Ww Nadir ulikuwa unajifanya muongeaji sn kumbe njaa ilikuwa inakusumbuwa mshenzi wee uso fadhila
@mohamedturanardan8871
@mohamedturanardan8871 Год назад
Lakini flyover zitawasaidia nyinyi mnapopita na misafara yenu MAANA HAMWISHI KUSIMAMISHA RAIA nusu saa nzima ili mpite nyinyi mnaojiita waheshimiwa
@kuntakintekoko5320
@kuntakintekoko5320 Год назад
Akah, ami kwani karafuu zimpanda bei eeh, au mwafanya vipi mambo haya ?
@muhammadmuhammad5043
@muhammadmuhammad5043 Год назад
Hayo Kutowalipa Wananchi Hakizao Yamezoeleka Zanzibar Kwasababu Hao Walio Jenga Walipokuwa Wakijanga Sirikali ilikuwa Wapi..??????? Mpaka Leo Muwavunjie Bilakuwalipa Nahivyo Vibali Mnavyo Dai Vyaujanja Ujanja Vikitoka Nchigani au Sirikali Gani Msisahaa Hakiyamtu Nimzito Kesho Kwamungu..?????
@OmarMohamed-zf8dp
@OmarMohamed-zf8dp 8 месяцев назад
Jee nakama mlisha wahi kuwavunjia na mitazenu zikiwa zimeisha mtawafanya nn
@noorbazaar9063
@noorbazaar9063 Год назад
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@miao8614
@miao8614 Год назад
lugha yako ni mbaya mbovu sana kama kiongozi. muna midomo michafu kwasababu yakiburi cha uongozi wamepita wengi nanyi mtapita hesabu yenu mtaikuta akhera
@Worldunite
@Worldunite Год назад
Zanzibar itageuka bombay😀😀😀
@sasha-ri7tf
@sasha-ri7tf Год назад
Tukichukuwa nchi Zanzibar itakuwa kama Singapore Insha Allah 💜💜💜🤲🤲🤲.
@Soon815
@Soon815 8 месяцев назад
@@sasha-ri7tf 😂😂😂 Kwa akili za urojo na kubaguana??? Dhubutu
@yassirgiya6743
@yassirgiya6743 Год назад
Ila hakuna usawa hapo unguja nyingi pemba moja tu! Huu ni uonevu
@sasha-ri7tf
@sasha-ri7tf Год назад
Hiyo ndio haki mtengeneze bara bara za Unguja zaidi ya 20 Pemba mtengeneze bara bara 3 tu?.. Wa Pemba wakisema mnawatenga kimaendeleo inakuwa nongwa ila kwa mwenendo huo ni haki kuzichukia serikali zote mbili wa Pemba wamechoka na huu Usaniii wa mkoloni mweusi.
@Soon815
@Soon815 8 месяцев назад
Watajengaje barabara porini?
@hafidhchoi3186
@hafidhchoi3186 Год назад
Mnaimba sana ebu tufanyien vitendo nyie watu
@kassimali2273
@kassimali2273 Год назад
Hakika miaka 2 sijaona alicho kifanya kasoro kufungua maduka ya CCM darajani ambayo maduka wenyewe yatashinda wa2 kutokana na bei za kodi
@rafaelmarquez9396
@rafaelmarquez9396 Год назад
Zanzibar haina City planning sasa kujenga mabarabara itabidi uwavunjie watu vijumba vyao marais wote hawakushughulika na hilo walijali matumbo yao tu
@awenamohd8357
@awenamohd8357 Год назад
Lakini serekali ioneni fuoni jitimai aibu kama kuna viongozi
@khalidkhaan127
@khalidkhaan127 Год назад
Fly over inaanza mombasa kwa mchina hadi fumba mpaka kigamboni Tanzania bara
@beemali9741
@beemali9741 Год назад
Na bububu jmni tunateseka foleni
@yasalaam590
@yasalaam590 Год назад
Kweli kabisaa njia no.1 ni mtihani ile barabara ya bububu kwenda shamba magari ni.mengi mno kwakweli inshaallah allah awafanyie wepesi waongeze njia zaifi ya moja ikiwezekana kama nafasi hakuna wajenge na barabara zanjuu
@salumkhamis8495
@salumkhamis8495 Год назад
Ulikuwa una misimamo mizur ukajifanya mtu wa.dini.umepewa.dhamana.ys.unaibu umesahau Kila kitu. Mungu.akufanyie.wepesi.urudi.kwenye.haki🙏
@Jempustate
@Jempustate Год назад
Naona amevimba. Ni kibri au shibe?
@shaabanmakame2690
@shaabanmakame2690 Год назад
Amiin
@ZANAMBER12
@ZANAMBER12 9 месяцев назад
Si haki hata kidogo muhindi wewe unafanya si haki kuvunja mtu nyumba yake halfu usimlipe hii ni zuluma kubwa
@feisalmohamed3198
@feisalmohamed3198 Год назад
Nimependa alivyo jibu swali kua, ikiwa watagundua wamemkuta mwananchi kisheria anayo haki ya kulipwa fidia watamlipa. Ni kweli jamani tumekua tukijinga bila kufata taratibu
@ayoubkhatibu3768
@ayoubkhatibu3768 Год назад
Masoko vipi naona kimya nauliza tu mimi napita tu
@kassimali2273
@kassimali2273 Год назад
Na vile visiwa sijui vishanza kujengwa izo hotel au bd
@AhmedAli-gh1lm
@AhmedAli-gh1lm 10 месяцев назад
Masoko yanaendelea kujengwa kwa kasi. Mimi si CCM lakini masoko nayaona yakiendelea kujengwa kwa speed kali
@khaledsuleiman9819
@khaledsuleiman9819 Год назад
Lakini mbona munatoa vibali vya ujenzi wa nyumba hizo zilizopo karibu na bara bara.?
@phoibemkwawi6892
@phoibemkwawi6892 Год назад
Kwahyo hizo siku14 waende wapi?
@issahassan8361
@issahassan8361 Год назад
Sasa nyie mnajenga fly over wakati mkoani njia haipitiki imewashinda mwaka wa 7 huu . Ama proper , proper ganii
@omarissamashaallahpresiden2920
Tunajua kwamba nyie wanyanganyi tokea 64?
@mohamedturanardan8871
@mohamedturanardan8871 Год назад
Flyover za nini wananchi wananuka njaa? makodi ya kuuwa wafanya biashara na wananchi? nyinyi mnapita na misafara ya magari 100 na kila gari ni V8. Hayo mafuta na maposho mnatoa mifukoni mwenu? pesa zote zinaenda kwenye kuwaendesha nyinyi viongozi na familia zenu
@kassimali2273
@kassimali2273 Год назад
Point brother
@chomwabonzo8811
@chomwabonzo8811 Год назад
🤣🤣🤣😂😂😂anzeni na njia ya bomani barbara chini ya mlango
@zaidybakar6865
@zaidybakar6865 Год назад
Mnataka flay over wakat zote mbov
@salumkhamis8495
@salumkhamis8495 Год назад
Vunjeni tuuu nchi ya Mapinduzi. tukutane mbele ya Haki.
@khamisjuma7616
@khamisjuma7616 Год назад
Fidia mtatoa tu mana tuna vibali vya ujenzi vya mamlaka husika na mlikua wapi mpaka tukajenga na sasa mbomoe tutatumia ile sheria ya ardhi ya miaka 12 bila zuio mtatoa fidia wewe hujui sheria ndo mana unaongea tu ila sheria za kutulinda zipo
@swahibulfalak4378
@swahibulfalak4378 Год назад
Watu Wana maisha magumu Kaz hawana viwanda hakuna anira hskuna izo njia watakula hebu tuache muarabu
@mudighurayra
@mudighurayra Год назад
Viwanda vitakuja njia ziko tafran
@hansiempire5093
@hansiempire5093 Год назад
Aisee wapemba ni waarabu jamani
@ochutv521
@ochutv521 Год назад
😂😂😂
@hassanalawy4325
@hassanalawy4325 Год назад
Nyie mumeona wapi? jengeni za chini tu....za juu zanini wakati watu kidogo?
@mudighurayra
@mudighurayra Год назад
Dah ndio akili yako ilipo fikia apo
@omarissamashaallahpresiden2920
@@mudighurayra yako jee?
@mudighurayra
@mudighurayra Год назад
@@omarissamashaallahpresiden2920 na ww yko kama yake nini?
@omarissamashaallahpresiden2920
@@mudighurayra ww inaonekana unapenda kuongopewa kuzubaishwa akili yako za chini hazipo flyover au madaraja ya kuvuukia tu ushawahi kupita kwenye flyover? Wapi? Nope jibu?
@mudighurayra
@mudighurayra Год назад
@@omarissamashaallahpresiden2920 kabla kufika uko angalia uzur comment yake huyo angalia vzr na yngu angalia vzur na kitu unacho kiongelea alaf nitakujibu wapi nlisha tembea na kwa ushahidi gani
@AP-uk3mq
@AP-uk3mq Год назад
Ujinga tuuu. Mngejenga hizo ziliopo kwanza. Umeshiba wewe
Далее
Darajani Market Stone Town Zanzibar
34:06
Просмотров 36 тыс.