Тёмный

UKHT SHARA NIPOTAYARI KWENDA WCB|MC MUBA AITWA WASAFI 

ghariri online
Подписаться 29 тыс.
Просмотров 6 тыс.
50% 1

#gharirionline #algharirvideo #alghariridecoration

Опубликовано:

 

15 июл 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 24   
@fatfat9093
@fatfat9093 Год назад
Shara kwa hili sikuhungi mkono na mungu anakuona
@ahmedissa5584
@ahmedissa5584 Год назад
Innaalillah wa innaa ilayhi raajiun jaman upo tayar Sasa kupoteza utu wako kias hiki, upo tayar kujidhalilisha kias hiki, upo tayar kwenda kuimba na diamond huku ukiwa upo uchi wa mnyama, upo tayar kuidhalilisha Zanzibar na maadil yetu na Mila na silka zetu . Na yote hayo ni madogo na kwa Allah je...au umepanga kuja kutubu baadae na kifo je unajua ni mda gan kitakujia. Ukhty shara ukhty shara mrudie mola wako nakuomba nipo chini y miguu Yako mrudie Allah
@HassanSalu-pt7bu
@HassanSalu-pt7bu 4 месяца назад
Nenda wcb wabongo tunakutaka uku diamond anakusubiri uko akakufanye supu
@husnahabityhabity9517
@husnahabityhabity9517 2 года назад
Nampenda uyu dada
@nassalnassor7689
@nassalnassor7689 2 года назад
Mawahaka Zahma
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 10 месяцев назад
Hii😅
@nassorkhamis4737
@nassorkhamis4737 Год назад
Yana mwisho sauti,uzuri,nakila kitu ila majib utaenda jibu kwa Allah kma kuimba ndio kazi alokuletea Allah hapa duanian mwanamke mzima heshima huna wala kutunza hadhi yako na thamani yako, sauti yako ni dhahabu kuskika ila ww ndo kwanza upo tyr mpka kuimba bongo fleva sasa inna lillahi wainna ilayhi rajiun , kuimbaji na msikilizaji atafufuliwa akiwa anatoka taka katika kila tundu za mwili wake uku akiadhibiwa je wewe mtoto wakike bdo wapaza sauti naomba tafakari urudi kwa Allah na Allah atakusameh
@vuaihassan6789
@vuaihassan6789 Год назад
Shara anaonekan ana wivu san .....
@hilmaalbaalawiy975
@hilmaalbaalawiy975 2 года назад
Huyu mpeni bakora kwanza
@zulfazulfa6112
@zulfazulfa6112 Год назад
hashuo uyoooh shara kumbeee usitufanyieee ujing
@yussufumohd8803
@yussufumohd8803 Год назад
du
@maulidomari5824
@maulidomari5824 2 года назад
Huyo anae hoji sasa
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Год назад
🤣🤣
@yussufumohd8803
@yussufumohd8803 Год назад
we dada mrembo sana ila macho yako yameka km kunguru w zenj dume anopita apo umuanglia unaonyesha km peruperu du kaz unayo
@nadhiramohd1164
@nadhiramohd1164 Год назад
..........................🤣
@ukhtywasila_tz6259
@ukhtywasila_tz6259 2 года назад
Mmekula lakini nyie 😂maake kwanza ncheke
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Год назад
Hawajala kwa kwl
@tumaahmadghulaam9413
@tumaahmadghulaam9413 Год назад
Allah tustir waja wak n utusamehe😢
@zulfazulfa6112
@zulfazulfa6112 Год назад
kumbee hunaadabu
@zulfazulfa6112
@zulfazulfa6112 Год назад
mhm
@muzdalfathaji9783
@muzdalfathaji9783 Год назад
Mhmhmh
@muzdalfathaji9783
@muzdalfathaji9783 Год назад
Your freedom sister
@fatfat9093
@fatfat9093 Год назад
Usitukoroge qaswida na nyimbo sawa vp nyinyi tu ndomnazieka daraja moja mkome wajinga.nyinyi
Далее
D3 BMW XM LABEL Король.
31:52
Просмотров 488 тыс.
The Trump rally shooting from a photographer's POV
00:58
Ukhty: adila anakuja na qaswida pambe ya jembe
11:19
D3 BMW XM LABEL Король.
31:52
Просмотров 488 тыс.