Тёмный

UKHTY SAU | Nampenda DIDA/Napenda UBWABWA/Nampenda JUMA FAKI...... 

Ibrahim Zancom
Подписаться 310 тыс.
Просмотров 48 тыс.
50% 1

Ni muendelezo wa kipindi chetu pendwa kiitwacho SAFARI YETU, ambapo leo katika safari yetu tumepata bahati ya kutembelewa na msomaji wa Qaswida Maarufu Tanzania anaejuilikana kwa jina la UKHTY SAU.
Hapa utajua mengi usioyajua kuhusiana na maisha ya Msanii huyo pamoja na mchakato mzima wa maisha yake kwa upande wa tasnia ya Qaswaida.
Kwa mawasiliano zaidi, wasiliana nasi kupitia...
Whatsapp. +255772285543
Call. +255772285543
Usisahau ku SUBSCRIBE | LIKE | KU COMMENTS , ili upate taarifa zote zinazohusiana na Tasnia ya QASDA | MAWAIDHA | NASHEED | TENZI | MATUKIO MBALI MBALI YA KIJAMII , kupitia hapa channel yako pendwa ya IBRAHIM ZANCOM.

Видеоклипы

Опубликовано:

 

25 окт 2020

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 148   
@GoodsonZidana-qc7nu
@GoodsonZidana-qc7nu 7 месяцев назад
Ukty Sauu thanks for nice singing please continue. I love you. God bless you.
@othmanally8401
@othmanally8401 3 года назад
Mashallah ukhty sau nakukubal kinoma hodari sio mchoyo sio mjeuri hongera kwakumpa dida sifa yake mwamwie aje umfundishe kusema na kusoma kaswda yule ukhty Rau
@almashaaribububu1214
@almashaaribububu1214 3 года назад
Mashallah UKHTY sau wasia wangu kwako jitahidi kuitunza tasnia ya kaswida Mana wengine wana haribu kaswida sasaivi
@lkshmykomar5472
@lkshmykomar5472 3 года назад
Shukuran ukty sau nawapenda wote ila ukty DIDA ndo mama lao hongera zote zmfkiye DIDA wetu wa UKWELI 💯💕
@allyrashid9108
@allyrashid9108 3 года назад
Mashaallah ukhty sau kwenye sifa umepipa sifa yake mashaallah hongera Allah akuendeleze kipaji chako
@kapayakabaya3466
@kapayakabaya3466 2 года назад
Mimi namkubali sana sau na dida 😘😘😘
@hibaalfarsi7756
@hibaalfarsi7756 3 года назад
sauti mashllh siyakufoji, mashaallah. Allah. akufanyie wepes ktk maisha yako
@binnahajj496
@binnahajj496 3 года назад
Maa shaa Allah nakkubali sana ukht Sau uko vzuri 👌
@princessafrash8757
@princessafrash8757 3 года назад
Ukhty dida, Ukhty say, Ukhty Azmina, Ukhty mwanancha, Ukhty Asha. Masha Allah nawapenda Sana maukhty msio na viburi Ni wapendwa kwa kila mtu Allah awape kila lenye kher kwenu
@almashaaribububu1214
@almashaaribububu1214 3 года назад
Kaswida zako nzuriii sanaa unafanya kazi vizuriii jitahid biti zako ziwe izo izo usiwaige wanaopiga mabiti ya taraabu
@queenmamy7970
@queenmamy7970 3 года назад
Mda mchache umejibu sahihi ukhty sau hongera
@aminattai2676
@aminattai2676 3 месяца назад
Ma sha Allah ni mrembo sanaaa
@ashurasalum758
@ashurasalum758 3 года назад
Ukhty Sau upo vzr sna ktk kaswida zako😘 Nakupenda sna😍
@leylahbillah4876
@leylahbillah4876 3 года назад
Dada yupo Perfect sana yaan anajielezea vzur sana maashallah
@hajrakeke2029
@hajrakeke2029 3 года назад
mashaaallah kumbe ukhty sau anamtoto mashaaaallah🥰🥰
@rayakhatib4545
@rayakhatib4545 3 года назад
mashaallh ukhty sau. ..sauti original
@rashdarashid5811
@rashdarashid5811 3 года назад
Mashaaallah sau wake 😍😍😍😍😍😍💕💕💕💕💕
@ismailjuma6928
@ismailjuma6928 2 года назад
Nampenda ukht sau namenda miamia sila li kam cjaskilza qasda Zake💯💯
@salimmasoud2221
@salimmasoud2221 3 года назад
Hongera Sana Sau na fanya kazi bila kujali maneno yasiyo na tija kwako
@sabriyasuluh3002
@sabriyasuluh3002 3 года назад
Nakupnda bureeee ukhty sau
@nooraallahuakibarumwenyeez3079
@nooraallahuakibarumwenyeez3079 3 года назад
Mwanamke aliyeolewa au mwanamke wa kiislam haruhusiwi kutangaza mapambo yake jitahidini maukhty zangu mcheni Allah na ww kk unaomhoji mdada wa watu maswali mengine umepitiliza ktk mipaka ya mwiislam din imakataza kutangaza aibuzetu ss kwa nn ww unamhoji maswali yakutangaza aibuzake na huyo nimke wamtu msijisahau sana nduguzanguni
@fathimalathifa8926
@fathimalathifa8926 3 года назад
Mashaallah jazakallah kheir
@nadiasilima6185
@nadiasilima6185 3 года назад
Pend sana ukhty sau allh akuongoz inxhllh
@tauhidakhamis717
@tauhidakhamis717 3 года назад
Kmbe unaitwa siwajibu ,kwnn unajiita sau
@queenmamy7970
@queenmamy7970 3 года назад
Mashallah lzma dyda apewe sifa zke endelea kufata nyayo zke utafika mbli
@allyrashid9108
@allyrashid9108 3 года назад
Queen mumy utapata soda m By Asyara
@nasibmohamed5156
@nasibmohamed5156 3 года назад
Masha Allah ukty Mungu azidi kukupa umri wa heri katika hii dunia..
@hamadviatu3204
@hamadviatu3204 3 года назад
Nakukubali kwa viazi vikuuu
@bintabdul8481
@bintabdul8481 3 года назад
Masha Allah ukht sau hu na choy na unajua kusom kasd vzr sn hufoj saut m nawz Sem ktk wasomaj was kasd kW wnwk BC n ukht sau 2kiach ushbk wa chuki au ktokn na umaruf wa m2 BC ukht sau yuk juu sn
@hemedshaban2989
@hemedshaban2989 3 года назад
U
@nassrasuleiman630
@nassrasuleiman630 3 года назад
Maa shàa Allah penda sana watu ambao hawana majigambo
@ashaissa3746
@ashaissa3746 3 года назад
Jamani nampenda huyu dada achatuu Allah amfanyie wepec katika Mambo yake
@ibrahimzancom
@ibrahimzancom 3 года назад
Ameen...
@lkshmykomar5472
@lkshmykomar5472 3 года назад
Amina
@rabiahaji
@rabiahaji Год назад
Interview hainitosh,, mash Allah honger ukhty sauuu, Huna makubwa mwenyewe 😂❤️💞💖
@saidkipaji6285
@saidkipaji6285 3 года назад
Ukhty Asha uko vizury sana
@aliy3303
@aliy3303 3 года назад
Mtangazaji mufikie lengo zuri la kazi yenu inshlh na masuali yenu yaende kwenye dini sanna koz hao ni waimbaji wa Qaswida zenye mfumo wa dini
@ibrahimzancom
@ibrahimzancom 3 года назад
Insha'Allah kheriii...
@fatmamohd7273
@fatmamohd7273 3 года назад
Mashalla Alla
@ayushiashanty9818
@ayushiashanty9818 3 года назад
Mashaallah pendeza sana
@LatifaLatifa-qj8tz
@LatifaLatifa-qj8tz 3 года назад
Tunakupenda saana sau wetu
@kautharali9731
@kautharali9731 3 года назад
Mashallah ukhty Sau umeitendea haki interview big up
@khairatkhamis3743
@khairatkhamis3743 3 года назад
safi ukhty sau
@ummulbaniinaramadhan6872
@ummulbaniinaramadhan6872 3 года назад
Mashallah nakupend San dada
@mohdalawiychalapes8749
@mohdalawiychalapes8749 3 года назад
Namkubali sana
@aliy3303
@aliy3303 3 года назад
Pongezi pia kwa Okhty Sau. Hakika interview yake ni wazi kua hana majivuno na ni mtu wa watu بنت الناس
@zubedaomar5856
@zubedaomar5856 3 года назад
Mashahallah 😘
@fatumapama9199
@fatumapama9199 3 года назад
Mashaallah dada
@maryamsalim6285
@maryamsalim6285 3 года назад
Masha allah
@rashidally1149
@rashidally1149 3 года назад
Mwenzako alisema Dida sio chochote
@suleymtumwa6374
@suleymtumwa6374 3 года назад
Duh nani uyo alosema ivyo
@allyrashid9108
@allyrashid9108 3 года назад
@@suleymtumwa6374 ukhty rauhia
@nassrasuleiman630
@nassrasuleiman630 3 года назад
Ubinafsi tu umemkaa
@suleimansule5278
@suleimansule5278 3 года назад
Mashallah uko vzuri
@ayshamsanif578
@ayshamsanif578 3 года назад
Mashalllah
@ibrahimmasatu7582
@ibrahimmasatu7582 3 года назад
Mashaallah
@mwanaidikhamis8223
@mwanaidikhamis8223 3 года назад
Mashallah ukty sau
@tatuali1464
@tatuali1464 3 года назад
Mashalha
@mariammganga6607
@mariammganga6607 3 года назад
Mashallha ♥️🙏 I love her 👌♥️🙏🥰🥰
@mtumwamohamed4032
@mtumwamohamed4032 3 года назад
Ukhty sau nampenda cn na kasida zke pia nizipenda cabbu ansoma vzr cn kasida zke nazipenda mno hongera ukhty Sau mungu akuengzee kpji katika Nazi yke
@ibrahimzancom
@ibrahimzancom 3 года назад
@@mtumwamohamed4032 Ameen...
@rashidally1149
@rashidally1149 3 года назад
Ukhty Rauhia alisema hakuna mtu wa kumpa tuzo Zanzibar labda dar wakti anajua kua tasnia ya kaswida ni Zanzibar ndio chimbuko
@suleymtumwa6374
@suleymtumwa6374 3 года назад
😂 duh mgonjwa uyo itkuwa 😂
@user-hm7ng9nw1e
@user-hm7ng9nw1e 3 года назад
Rauhia Kwani unamuana anasoma kasida yy ata atowe pongezi Zanzibar yy anaimba taarabu ety ndio mana amepeleka pongezi zake Dar kwaiyo usimshangae. 😆
@bintichausa4744
@bintichausa4744 3 года назад
MashaAllah 🥰
@sajmaally3105
@sajmaally3105 3 года назад
Tunaomba na interview ya dida
@ibrahimzancom
@ibrahimzancom 3 года назад
Sawa usijal kwa ilooo...
@saidjuma6212
@saidjuma6212 3 года назад
Maashaallah
@vicentealan2684
@vicentealan2684 2 года назад
i know im asking randomly but does anybody know of a tool to log back into an Instagram account? I stupidly forgot my account password. I love any assistance you can offer me
@maximiliancassius6300
@maximiliancassius6300 2 года назад
@Vicente Alan Instablaster =)
@user-xk5le5hw5x
@user-xk5le5hw5x Год назад
I❤ ukhty Sau
@saidkipaji6285
@saidkipaji6285 3 года назад
Nipo mwanza natamani uje ukhty Asha
@ismailjuma6928
@ismailjuma6928 2 года назад
I love you ukhy sau💖💖💖
@mimiadam9156
@mimiadam9156 3 года назад
Nampenda ukhty sau na madrassatul shamsiya mahonda🥰🥰
@shanishamsi9576
@shanishamsi9576 3 года назад
Mashallah
@salmaidrissa8332
@salmaidrissa8332 2 года назад
Mashalla
@user-hm7ng9nw1e
@user-hm7ng9nw1e 3 года назад
Upo vizur ukhty sau hora kwa kutuelewesha kuwa ww ni mwana ndoa
@leylahbillah4876
@leylahbillah4876 3 года назад
Maashallah hzii ndo interview sasa siyo yule sijui rauhia analopoka tu kama mwehuu😅😅😅😅
@zainabkhamis813
@zainabkhamis813 3 года назад
Hmmm!
@user-xk5le5hw5x
@user-xk5le5hw5x Год назад
❤❤❤❤❤
@ebrahimosman5477
@ebrahimosman5477 3 года назад
❤️❤️👍🙏
@hamedabashir9
@hamedabashir9 3 года назад
Unanufurahisha
@sheikhsaid4108
@sheikhsaid4108 3 года назад
Tuletee na ostadh SALEH waqamariya nae yuko vizuri
@ibrahimzancom
@ibrahimzancom 3 года назад
Sawa usijal kwa ilooo...
@queenmamy7970
@queenmamy7970 3 года назад
Mletw nassor el rikesh
@ibrahimzancom
@ibrahimzancom 3 года назад
@@queenmamy7970 Sawa usijal...
@tauhidakhamis717
@tauhidakhamis717 3 года назад
Jmn mabanati wa aqaz nawo wahojiwe
@pilichumu9331
@pilichumu9331 3 года назад
Miye nampenda ukht sau maana wanakuwa wanajiona sana ila huyu na dida wapo vizur ia waliyobakiy wote hawajuw
@zuwenatabu9176
@zuwenatabu9176 3 года назад
Usimsahau JUMA FAKI mbon ni Wa mwanz kwa wanaume
@othmanally8401
@othmanally8401 3 года назад
❤️❤️❤️❤️❤️❤️💯💯💯👊🔥
@rajababdi9688
@rajababdi9688 3 года назад
Ibra tuzogezee ukhty stumai jamanii
@ibrahimzancom
@ibrahimzancom 3 года назад
Sawa usijali
@hemednassour4763
@hemednassour4763 3 года назад
Muko vizuri sana ila mubadilishe location munapowahoji naona sana munatumia maduka ya nguo
@rayambarouk9972
@rayambarouk9972 3 года назад
Napenda jinsi unavojib hadi raha binadam gan aliekuwa hapendi kula 😂
@sadraaly3410
@sadraaly3410 3 года назад
Eti msanii mwenzangu, kumbe ni wasanii mnajijua sio maukht
@hamadhaji1623
@hamadhaji1623 3 года назад
Hongera zako mtangazaji kwanza zapili zifike kwake ukht sau hongera napia tunaomba hizi interview uzifanye wew mana uko vizuri kuliko wote wa Ibrahim zanko tuleteni dyda
@ibrahimzancom
@ibrahimzancom 3 года назад
Sawa usijali...
@yusufumalela7517
@yusufumalela7517 3 года назад
Umlete bhana dyda uyo
@AmadKAly-gs8or
@AmadKAly-gs8or 2 года назад
Mahallah
@husnaabdallah9767
@husnaabdallah9767 3 года назад
Next interview plz tunaomba ukhty Dida
@kautharali8134
@kautharali8134 3 года назад
Una fanya kz nzr kubw mashaallah
@yusufumalela7517
@yusufumalela7517 3 года назад
Nakukubali mno .yaani unapokuwa stejin tu nilijua hauna majivuno nikakupenda buree wala hauna mashauz na kingine unavojiweka simple co kujipodoo mpaka kero.mama rama from mtwara
@masoudkhamis5626
@masoudkhamis5626 3 года назад
Mmmmhhhhh
@nurdinsalimu9219
@nurdinsalimu9219 3 года назад
Mm nampenda sau ntak nimuoe nimempnda Sana'a mfikishie salamu
@ibrahimzancom
@ibrahimzancom 3 года назад
Ukiskiliza Interview yote kasema tayar ashaolewa na ana mtoto 1...
@mtumwamohamed4032
@mtumwamohamed4032 3 года назад
@@ibrahimzancom vp
@ibrahimzancom
@ibrahimzancom 3 года назад
@@mtumwamohamed4032 Safi
@nurdinsalimu9219
@nurdinsalimu9219 3 года назад
Nlkua sjaskilza ytee nilimuelewaaa mpe hongeraa zakeee
@ibrahimzancom
@ibrahimzancom 3 года назад
@@nurdinsalimu9219 Sawa...
@mjombaamadodo9808
@mjombaamadodo9808 3 года назад
Kaka unamaswali du!!
@BakariSilima-jy3ss
@BakariSilima-jy3ss 3 месяца назад
Si vyema kwa mwanaadamu au msanii kjjitukuza nafsi yake nawe kwa hilo halipo
@timesaid5504
@timesaid5504 Год назад
Ukhty sau mm napenda kusoma kaswida ila sijawahi kusoma kaswida za vinanda ilachuoni nasoma hadi maulidi makubwa vp nikikufuata utanikubali nipo Pemba
@KhadijaAli-cj7gn
@KhadijaAli-cj7gn Год назад
Mm nahitaj kufanya kaz na ww ukhty
@zuwenatabu9176
@zuwenatabu9176 3 года назад
MtanGazaj unaboa ssana maswali gani hayo hayan hatta mssimso
@queenmamy7970
@queenmamy7970 3 года назад
Mashallah nkupenda bure ukhty sau hauna choyo n huna hian mashallah
@allyrashid9108
@allyrashid9108 3 года назад
Kabisa queen mumy 😍😍
@queenmamy7970
@queenmamy7970 3 года назад
Yeah kajib kwa haki n alie n haki yke kapewa
@queenmamy7970
@queenmamy7970 3 года назад
Skuzote lzma mtu umpe sifa yke tu htkm iweje
@queenmamy7970
@queenmamy7970 3 года назад
@@allyrashid9108 watake wasitake dyda ndo jemedar wa mabanat
@allyrashid9108
@allyrashid9108 3 года назад
Kabisa iko love kwa sau
@suleymtumwa6374
@suleymtumwa6374 3 года назад
Kasda zake ukhty sau zinapatikana channel gani?
@mamymully4823
@mamymully4823 3 года назад
Direct onet
@user-hm7ng9nw1e
@user-hm7ng9nw1e 3 года назад
Tuleteeni na ukhty Dida
@ibrahimzancom
@ibrahimzancom 3 года назад
Usijali kaa tyr soon
@user-hm7ng9nw1e
@user-hm7ng9nw1e 3 года назад
Inshallah
@jedunajeduna1806
@jedunajeduna1806 2 года назад
Tureteeni dida jamani
@zanmedia5225
@zanmedia5225 3 года назад
Mtangazaji ajikaze kidoogo ila naimani atakaa sawa huu ni mwenzo tu, na ukht Sau nae bado kidogo hajakua mwenye kujielezea vizuri
@ibrahimzancom
@ibrahimzancom 3 года назад
Sawa Asante kwa ushauri...
@zanmedia5225
@zanmedia5225 3 года назад
@@bintabdul8481 hujui unachokiongea ndo mana ila ucjali 🤙
@hamadhaji1623
@hamadhaji1623 3 года назад
Skiliza wew ujue kama wazanzibar hawako na shobo za kamera kwaiyo kitu kigeni hicho hofu lazima mtangazaji uko sawa sana tunakuelewa
@khalidhassan906
@khalidhassan906 3 года назад
Co ukhty sau shida muandishi mwenyewe hayupo vzr ktk kuulz maswal
@khalidhassan906
@khalidhassan906 3 года назад
Kwel
@fatmakhamis7876
@fatmakhamis7876 3 года назад
Siku mkimuhoji Diyda tuwekeeni chart za live
@ibrahimzancom
@ibrahimzancom 3 года назад
Sawa usijali
@haysam8910
@haysam8910 3 года назад
Upon vzr
@suleymtumwa6374
@suleymtumwa6374 3 года назад
Hiyo kasda ya udhalilishaji naipataje?
@mamymully4823
@mamymully4823 3 года назад
Chanel direct onet
@aziziabdallah5064
@aziziabdallah5064 3 года назад
Kama hajaolewa mm namtaka nije kuoa
@khadijahali4837
@khadijahali4837 3 года назад
Ukhty Sau hauna majigambo 👌👌, tuleteeni Aqaz wanawake
@ibrahimzancom
@ibrahimzancom 3 года назад
Usijal watakujaa...
@khadijahali4837
@khadijahali4837 3 года назад
@@ibrahimzancom in shaa Allah
@ayoubali6149
@ayoubali6149 3 года назад
Mashaallah
@saidamiry820
@saidamiry820 2 года назад
Mashaallah
Далее
KUNA MANENO (TWAWAJUA)
10:11
Просмотров 349 тыс.
Munisa Rizayeva - Aka makasi (Official Music Video)
6:18
MOUNTAINS
3:08
Просмотров 2,1 млн
MACAN - Я хочу с тобой  feat SCIRENA
3:18
Просмотров 162 тыс.
Stray Kids "Chk Chk Boom" M/V
3:26
Просмотров 31 млн