Тёмный

UKHTY RAUHIA ~ Ukhty Dida kawaida / Wazanzibar wanaimba kawaida / Sijaolewa / Napenda mtoto..... 

Ibrahim Zancom
Подписаться 310 тыс.
Просмотров 23 тыс.
50% 1

Ni muendelezo wa kipindi chetu pendwa kiitwacho SAFARI YETU, ambapo leo katika safari yetu tumepata bahati ya kutembelewa na msomaji wa Qaswida Maarufu Tanzania anaejuilikana kwa jina la UKHTY RAUHIA.
Hapa utajua mengi usioyajua kuhusiana na maisha ya Msanii huyo pamoja na mchakato mzima wa maisha yake kwa upande wa tasnia ya Qaswaida.
Kwa mawasiliano zaidi, wasiliana nasi kupitia...
Whatsapp. +255772285543
Call. +255772285543

Видеоклипы

Опубликовано:

 

8 окт 2020

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 372   
@fatmakhamis7876
@fatmakhamis7876 3 года назад
Anae mkubalie Diyda kama ni No 1 Tanzani gonga like tutende mbele mkubalie mkatae huyu dada anaroho jamani hivi mkiangalia kuna msanii wa QASWIDA anae mfikia Diyda kweli?
@sabriyasuluh6254
@sabriyasuluh6254 3 года назад
hakun msanii anaemfikia hamfikii adila akampate dida n mwanach ni chako choy t kinakushughulish dada ang n utatesek sana 😀😀😀poleeeeeeeeeee
@zuhrateyn593
@zuhrateyn593 3 года назад
Wapo tele zaid ya ao kwanza uyo dida hawezi kuimba live hata siku moja kama unabisha siku moja ekeni mashindani na watoto wabajomba muone
@mohammadabdallah2147
@mohammadabdallah2147 3 года назад
@@sabriyasuluh6254 0
@hamidbhos8297
@hamidbhos8297 3 года назад
Did a hajui kuimba kapooza sana
@othmanally8401
@othmanally8401 3 года назад
Dida namba 1 tz anaebisha ahame tz nimecheka sn uyo dada anavyo jidai Yani yy watiro tz hii akajifunze sn anafosi kipaji t inaonekana hamjui vizur dida huyo Leo kafeli roho mbaya imemjaa asijidae yy mpemba wapemba hawana roho Kama iyo
@selmealkhatry3915
@selmealkhatry3915 3 года назад
Kama ukhty dida ni wa kawaida vp wewe ? Anaye fanya vizuri husifiwa Team ukhty dida mpooooooooo
@msabahaabdulla7149
@msabahaabdulla7149 3 года назад
Fanyeni mpango mumhoji na dida jmn naamini ana mengi ya kutwambia mashabiki zake nampenda sana ukht dida
@ibrahimzancom
@ibrahimzancom 3 года назад
Usijali tutafanya Insha'Allah...
@aliy3303
@aliy3303 3 года назад
@@ibrahimzancom Akhuy kiukweli rauhia kakosea Jamii yk.na ameongea vibaya bila ya kujitambua yeye ninani ktk dini.. hivyo musifanye mjadala na dida itakayomtoa ktk maadili km rauhia alivyofanya
@allyrashid9108
@allyrashid9108 3 года назад
Kabisa ntakupa soda
@magambhamisi4211
@magambhamisi4211 3 года назад
Dada we tyl ushaanza kuwa star nikushauli tu ukiwa interview usipende kuongea 2much atakama kweli yanakuumiza, ili kulinda jina lako mungu akubarki ufike mbali❤
@hamadhaji1623
@hamadhaji1623 3 года назад
Lijalo linafurahisha dida anasauti na video zake Kali sana anda graundi unafananisha na Star wa Zanzibar didah tunashiba
@mansourissa6084
@mansourissa6084 3 года назад
Zanzibar ukhty dida anaongoza anaimba qaswda zinazoeleweka n hbanii saut hna zogo kiufupi zinatulia qswda zke mpeni hongera yke acha choyo
@lkshmykomar5472
@lkshmykomar5472 3 года назад
Anajeur sana huyu anajikuta malaika wakat apeche alolo
@allybahezwa5426
@allybahezwa5426 3 года назад
Kujishauwa kwingiii dida is my number one
@khamisshehe8634
@khamisshehe8634 3 года назад
Kwanza kabisa ht kuongea hajui pili anajiproud Hana kabisa hadhi ya kumfikia Dida na anajitia kuongea kidhungu na hakijui jiles ndo nn
@muniraahmed2832
@muniraahmed2832 3 года назад
Mwenyeweee anaimbaaaa na pua 😂😂😂😂😂😂jamaniii Dida pekeakeee always smiling an hanaa ubinafsiiii jamaniiii 💕Dida your on top all the way from kenyaa Mombasa 🥰weee dada punguzaaa majisifuuu 🤦🏽‍♀️🤦🏽‍♀️🤦🏽‍♀️🤦🏽‍♀️
@israamossi2460
@israamossi2460 3 года назад
Kujishebeduwa kwingi kaz zenyew sifur maashallah maukhty wote wapo vizur Ila dida yupo juu
@Yussuf.57
@Yussuf.57 3 года назад
Hemu nigaieni hiyo qaswida yake moja ilokuwa nzuri angalahu nipate pakuazia.
@bintiswaleh6361
@bintiswaleh6361 3 года назад
Rau u mzuri BAs jitahidi sura yako iendane na kauli zako kama hupo classic vile unaongea San hulimit wala hufkirii unachokiongea kwahii interview mtu anaweza kukutathmini tabia yako ata kama hakufaham kua unique bs ongea kidog t
@suleiman3823
@suleiman3823 3 года назад
Ma Shaa Allah Ukty Rauhiya Queen of Zanzibar , ukty rauhiya your dream is to be in UK
@ysherahmad652
@ysherahmad652 3 года назад
Mjane ana mdomo huyo na choyo hatari😂😂😂😂 nakufaaa kwa kucheka na hizo comment
@mrs.muhseenjuma4833
@mrs.muhseenjuma4833 3 года назад
Mjane jmni
@khadijatanzania6237
@khadijatanzania6237 3 года назад
Haaaaaa shida kweli huyu anabifu kwenye moyo
@greatamir6494
@greatamir6494 3 года назад
Hili toto Asa halijielewi najuta kuangalia intevie yake..ni sifuri kabisa...😁😁😁😁
@aminaami4936
@aminaami4936 3 года назад
Acha choyo palipo na sifa pape sifa yake kiufupi unfikii dida na hitokuja kumfikiaa acha majisifu mwehu wewe
@zaiiomary8970
@zaiiomary8970 3 года назад
Dida humuwezi hata kidogo
@maisarahnassoro814
@maisarahnassoro814 3 года назад
We Rauhiya Mimi hunifikii kaatu japo sijawahi imba kaswida lakini naamini hunifikii utamfikia ukhti dida natamani mungekua munashindana kusoma Qur'an kwa Tajweed
@juwairiyajuma9816
@juwairiyajuma9816 3 года назад
Dida Saloot.Saloot. Saloot utabaki tuu kupewa saloot yako mwanamke unaejielewa.unaetulia ukitoa kazi zako na kila kazi ukawaiwasilisha kama inavostahiki.Ya huzuni ikatuliza eee ya Furaha tukajimwaga kwa kweli hukosei na wewe Rauhiya ebu kama huna la kusema nyamaza tangu apo hatukujui ukazidi kutokomezwa uko alaa
@MAPETEE
@MAPETEE 3 года назад
Dida ndio kila kituuuuuuuuuuuuuuuu Mm nime fikia kumpenda mpk kumuoa ukht dida
@aliy3303
@aliy3303 3 года назад
Wewe leo umejishusha cv . Yaani nilikukubali but Leo nimekuvua manyota..
@othmanally8401
@othmanally8401 3 года назад
Hanaishu uyo Zanzibar hatumuelewi asa hata kuongea hajui
@stumaiakil1127
@stumaiakil1127 3 года назад
Ma shaa Allah hana unafkii hata anaongea ukweli wake tatizo ukweli uwa unauma sana am form Dar es salaam ila napenda sana Zanzibar qaswida n most n za harusi mpaka nauliza hakuna event yeyote zaidi ya harusi ifike mahali mtupe radha nyingine
@sabrinaomary930
@sabrinaomary930 3 года назад
Yaani kumbe ww ni zero kabisa hivi unajikuta nani hasaa mpaka uongee utopolo., nilikua naanza kukukubali ila ndo nimekushusha kabisaa eti dida yupo kawaida khaaaa....! Kawaida hyo kwiooo
@hasnaaaron5287
@hasnaaaron5287 3 года назад
Kabisa kama hajatulia vile
@hudhaifatabdi5517
@hudhaifatabdi5517 3 года назад
Kawaida yy naona mana ata dida hamkarbii
@mustaqeemarafath8220
@mustaqeemarafath8220 3 года назад
Ana choyo huyu Dada hataki hata kumsifia mwenzake kama anajua yan anaishia kusema kawayda tyu
@mansourissa6084
@mansourissa6084 3 года назад
Wewe hujui kuimba tulia unapiga kelele tu n punguza choyo mpe mtu haki yke uyo arafa hafkii ata kwa mwanacha aje afike kwa dida n uyo mwengine kwa juma fakhi hkun mpinzan kwa mwanaume
@shuweikharashid4175
@shuweikharashid4175 3 года назад
Mashaallh Ila ukth rauu wew siyo mzalendo kumbuka kua mtu anajenga kwako hajengi kwa watu pia thamin chako siyo uthamin Cha watu Kwan Cha mtu mda wwt kinaweza kukutoka but nakusuport katk kaswida zak
@seifjuma3471
@seifjuma3471 3 года назад
Sio mzalendo Kivipi?
@abeidasalum5642
@abeidasalum5642 3 года назад
Mkataa kwao mtumwa
@rubbysaleh4530
@rubbysaleh4530 3 года назад
Uyo mschana hajitambui anachoulizwa na anachojibu ni vitu viwili tofauti
@abeidasalum5642
@abeidasalum5642 3 года назад
Hajui kiswahili wala hajui kujibu maswali
@leylahbillah4876
@leylahbillah4876 3 года назад
Weye mnafki tu haloo daah unavyojiproud yaan ahahaha pole sana kwakwel
@dallasmamlly2391
@dallasmamlly2391 3 года назад
Sura na roho yako ni tofaut sana. Choyo tu ndo kilichokujaaa.
@swabrinamohammed1425
@swabrinamohammed1425 3 года назад
Dida we2 yuko juu Lot of love form kenya
@ziadasleiman876
@ziadasleiman876 3 года назад
Tenaaaa yupo juuuuuuuuuu asa ukhty Dida ten tunampendaaaaaaa ukhty Dida 😘😘😘😘
@maryamaboud8998
@maryamaboud8998 2 года назад
Dida the best humfikii hataa dada pia usijiproud sanaaa...wote mnajua bt dida ndo rais wenuu pigaa keleleeeee kwa dida akeee 🤣🤣
@saadatsayyed1859
@saadatsayyed1859 3 года назад
Mkataa kwao ni mtumwa kwahivyo weye ni mtumwa wa kila kitu wa akili na fikra pia
@suleiman3823
@suleiman3823 3 года назад
Ukty Rauhiya Thank salum for the makeup artist and the makeup is from UK
@sharifahatibu6204
@sharifahatibu6204 3 года назад
Pole sana dida atabakikua dida pole shogaa mmmmmh alaf angalia ukowapi naunaongea nn ovwooooo chefuu na mm mzanzibari ww mwenyeo hufai kuigwa
@lutfiakhamiss1185
@lutfiakhamiss1185 3 года назад
Kabisa
@user-wd7gx9vs8g
@user-wd7gx9vs8g Год назад
Ukhty didah yupo juu mulikuwa wapi mpk didah yuwatamba ndio mwajitokeza na taarabu We love u Ukhty didah
@sabrinaomary930
@sabrinaomary930 3 года назад
Yaani humfikii hata theluthi kaza ssana na upunguze kujiona dogo
@zinbormdan9813
@zinbormdan9813 3 года назад
Nimekukubali ukhty unajibu kwa kujiamini san good
@nasmayussuf6831
@nasmayussuf6831 3 года назад
Weweeeee 👍
@zuleikhakhamis3303
@zuleikhakhamis3303 3 года назад
ukweli unauma Rau kawambia ukweli😀😀😀😀😀
@zinbormdan9813
@zinbormdan9813 3 года назад
@@zuleikhakhamis3303 kabisa anajibu kwa kujiamin
@ashureykhatib1341
@ashureykhatib1341 3 года назад
Kama kasshfa kama unayo uambiwe usijidai huna lolote ktika waimbaji wa kasida zanzbar asa huingiii
@Yussuf.57
@Yussuf.57 3 года назад
Mi nashangaa wakati pamoja na kufatilia sana qaswida lakini ndokwanza namjua tena kwa kuambia na watu kwamba kuna mtu anajiona bora alipohojiwa zancom
@haythanmagushi2656
@haythanmagushi2656 3 года назад
Watu wasema n mzuri mbona con uzuri wa kucfiwa hapa?..jifunze kuheshm kaz za wenzako hata kma dida hawez ila tambua atambulika bara vicwan Mombasa kote wamwelewa
@hanifayussuf736
@hanifayussuf736 3 года назад
Hashuo tuuu halaf anajiona nakwambia kama hanyi kwani wewe umetoka wapi si mzanzibari su hashuo tena sana
@aminaami4936
@aminaami4936 3 года назад
We mwenyewe hujitambui
@aminaami4936
@aminaami4936 3 года назад
We mwenyewe fitna acha jeur ndo kwenu uko mwehu wee
@aminahassanmashaallah8983
@aminahassanmashaallah8983 3 года назад
Mshamba huyo Hana lolote ety kwangu dida kawaida Sanaa nyooooo! Mbinafsi wewe
@abubakarabdallah3136
@abubakarabdallah3136 3 года назад
Kazingua sana Sasa Hawa Tanzania bara wanajifunza qaswida zanziber Ana choyo sana
@sabriyasuluh6254
@sabriyasuluh6254 3 года назад
Kwel
@lkshmykomar5472
@lkshmykomar5472 3 года назад
Anaroho mbaya sana
@lutfiakhamiss1185
@lutfiakhamiss1185 3 года назад
Anaroh mbaya
@latifamatayo3826
@latifamatayo3826 3 года назад
Anaonekana jeuli afu anadharau ivi wewe unaweza kumpata daynaty wewe acha zalau wewe wakawaida sanaaa tyuuu khaaaa chefuuuuu
@SumaiyaEbrahim95
@SumaiyaEbrahim95 3 года назад
1.8 million views ni mtu wa kawaida? Passed by hapa baada ya kuona jina la Dida .. Mungu amuhifadhi kwa hassad za siri na dhahiri
@hamadhaji1623
@hamadhaji1623 3 года назад
Nyimbo na qasdah tofaut ww umesema nyimbo
@user-oy8go8zs7e
@user-oy8go8zs7e 3 года назад
Choyo hichoo ndicho kinacho kusumbua tu huna jengine wy usijifananishee na maukht wetu wa zanzibar ukht dida ukht sau ukht mwanacha hawana wapinzan na wengine pia weye leo umenifurahisha na sizipendi kaswaida zako mbay
@princessafrash8757
@princessafrash8757 3 года назад
Tuende mbele turudi nyuma msanii mchanga Kama wewe rauhiya huwezi kuongea haya kwanza Kuna wengine hatukjui hivyo kumtaja dida tu ndo tukakujua huwezi kujifananisha na dida queen wa qaswda bara na visiwani Mimi naitwa Ukhty Ãfrãsh karibu kutizama qaswda zangu
@rahimasaid3674
@rahimasaid3674 3 года назад
Ukhty dida no 1 hana mpinzani
@MAPETEE
@MAPETEE 3 года назад
Halaf Uyu mwanamke musije kumuhoji Tena hanaadab Kajamb huko
@bxrkeshorts738
@bxrkeshorts738 3 года назад
Kwa mara ya na coment vibaya kwa intavue km hii huyu dada mshamba sana hana mpango
@mariamshabani5938
@mariamshabani5938 3 года назад
Acha roho mbaya dada, Didah sio mwenzio
@baloubebe5920
@baloubebe5920 3 года назад
Daah yan rauhiy ww nimbinafsi sana yan ww wajuz tu umfikie ukhy dida yaan humuingii dida ata kidogo kwanza saut alaf mashaishi humfikii na utaumia sana tuu km hujielew niww t
@KhadijaMussa-rp2mm
@KhadijaMussa-rp2mm Год назад
❤ukhty rau kwakeli umejivunjia heshima dada angu mn ww ni mtu wa Zanzibar lkn unaiponda Zanzibar jp kuwa unaishi daa lkn usipende kupond sehem ulotok na ndy ulioanz maisha yako mpk ukafanikiwa hlf pia habbty ht km mtu unamuon wa kawaid au hajui usipende kuropok ropok kweny mitandao jmb la mitandao halipotei habbty on saaiv vipenz vya ukhty dida tu wamekujib jaalia akiion mwenyew je atajisikiaje pamoj na sisi wazanzibar unaotusema na mtu habbty anajua atokapo sio aendapo ba wala humjui atakae kuzik ni nani na nakup hakib ya maneno bora utu kuliko kitu
@sabraramadhan5420
@sabraramadhan5420 3 года назад
Kwanza unajishauwa ww unaqaswida gn ilofika milioni viewers yako ww🤔🤔 kaangalie qaswida za dida uone😬
@othmanally8401
@othmanally8401 3 года назад
Nakubali sn dida nomba 1 tz
@Salhiya-hr7dy
@Salhiya-hr7dy 3 года назад
Alf ww ety msomi unasema sipendi kuskiliza waimba kasida wa Zanzibar sio Tanzania ss Tanzania na Zanzibar ni wap choyo punguza ndg ubinaadamu hauwendi ivo mpe mwenzako Haki yak ety queen of Zanzibar hun pole kwa ilo ndg vibay ivo choyo ni moja ya fitna na fitna ni uchawi mungu akuongoe
@issasaidmbarouk8275
@issasaidmbarouk8275 3 года назад
Dah htr hyo interview hm
@hamadhaji1623
@hamadhaji1623 3 года назад
Hahahahaha kwenye tunzo umefeli kwazanzibar acha jelas na wazanzibar
@nasrihamad8691
@nasrihamad8691 3 года назад
Jaman kumbe huyu ni muongo anasema hajaolew wakat ameolew na aneshaachika duh ukweli humueka mt huru rau
@MAPETEE
@MAPETEE 3 года назад
Ukhti dida ndio kila Kitu Kwa zanzibar
@sabriyasuluh6254
@sabriyasuluh6254 3 года назад
😀😀😀nimecheka sana jamn huyu anaumwa n wazanzibar😀😀dada ang wazanzibar hamtufikii hata kidogo katik upande wa kaswida n ukhty dida mwanacha adila huwapat hata kidogo pole dada ang wazanzibar hawan tamaa n pesa hata kidog hao ulowataj hat hawajulikan mmm pole dada ang unajelous n una tamaa y pesa cos mtu uciish kitamaa kabisa wanzanzibr hawako ivo pole sanaaa rudi tn znz ukaish n wanzanzbr uwajuwe pole😅😅😅
@zaharahaji1642
@zaharahaji1642 3 года назад
Uyu mwanamke anajiona km kafika mh shida
@hidayabakar6222
@hidayabakar6222 3 года назад
Hajui kuongea kabisa anakurupuka Sana na yoote hii inatokana na kujiona anajua Sana. dada jifunze kuzungumza na sio kupiga makelele Kumbe umuonavyo sivyo Alivyo. Ajifunze kwa wenziwe na aache dharau kwa wenziwe.
@khadijasultan1653
@khadijasultan1653 3 года назад
Wivu mmbaya Sana😂
@shwalehally4400
@shwalehally4400 3 года назад
Wazanzibar wanaume hawakumtaka huyo na wanawake hawakutaka awe wifi yao basi hiyo ndio sababu ya kutowapa tunzo na kuwashusha, mwambie yeye ataje mafanikio yake aliyoyapata kwenye qaswida, kwanz hajui kuimba mie qaswida zake ata sipendi kuzisikiliza na nimezifuta zote
@othmanally8401
@othmanally8401 3 года назад
Uyo dada sio mpemba wapemba hawana roho m'baya inaone kana anachuki sn na wasanii weziwe hanalolote amfate dida akamfundishe kazi dida ndio namba 1
@fatmahbisogo7311
@fatmahbisogo7311 3 года назад
Hajui hata kuongea jaman ,upande wa mchumba apo hahahah duh, hata aeleweki anaongea nn, hana strong point
@fatumainshaallahsalim5433
@fatumainshaallahsalim5433 3 года назад
Masha Allah
@saidkipaji6285
@saidkipaji6285 3 года назад
Jamani mbona munakuwa ivoo nyi nyi wazanzibar.
@leylahbillah4876
@leylahbillah4876 3 года назад
Mtangazaji kazi anayo leo daah interview mbovu hatarr daah
@drayman386
@drayman386 3 года назад
There should be conference kwa waimbaji kaswida kujadili kuikuza tathnia ya kaswida cz kuna vipengele vingi vinakwamisha kaswida zanzibar na ikakosa maslah.
@ibrahimzancom
@ibrahimzancom 3 года назад
Asante...
@sabraramadhan5420
@sabraramadhan5420 3 года назад
Katika interview mbaya hii moja wapo😏😏 ovyo😬😬
@latifamatayo3826
@latifamatayo3826 3 года назад
Yani ovyo sanaaa uchafuuuu uyu dada zalauuu
@fatmaaahmad561
@fatmaaahmad561 3 года назад
Ovyooo nyooo
@salwasuleiman3525
@salwasuleiman3525 3 года назад
Nimeona nicheke
@maryamsalim6285
@maryamsalim6285 3 года назад
Kabisa
@mzeeomyguy6203
@mzeeomyguy6203 3 года назад
Looh ktk interview mbaya kuliko zote ni hii nimeangalia kwa hiari yng mm mwnyw lkn najutia xx kupoteza mda wng
@aishaaisha4695
@aishaaisha4695 3 года назад
Mashaallah
@aminaami4936
@aminaami4936 3 года назад
We dada acha choyo ukhty dida unamfikia wewe????acha choyo humfikiii dida ata theluthi kwa uimbaji gani ulionao???
@mimiadam9156
@mimiadam9156 3 года назад
Uongeaji wako mmbaya sister🚮
@almashaaribububu1214
@almashaaribububu1214 3 года назад
Choyo hakikupeleki popote ww kipaji Cha kaswida kimezaliwa zanzibar utake usitake dida yupo juu Tanzania nzima ww huna mpango wowote choyo kimekujaa makaswida yako yote mabaya mizani zake hazisomeki dida yupo juu tuuu kadhaa. Wazanzibari wote waapo vizuri kikaswida
@shuweikharashid4175
@shuweikharashid4175 3 года назад
Msanii hapondi wasanii wenzak katik mitandao kabsa wakiwa watu wakwenu mamy unajifelsha kwn unasema mabaya kwa wazanzibar wakat umekulia ukuuku jmn ebu zingatia unachokisema. Dah nakusikitikia ujue pole Sana lawama zmekuanguakia walioweng hawajafurahishwa
@momadekeshs9117
@momadekeshs9117 3 года назад
Rauhia ana zarau
@drayman386
@drayman386 3 года назад
👍🏼
@fatumainshaallahsalim5433
@fatumainshaallahsalim5433 3 года назад
Rauhida Hongera
@salmamohd2669
@salmamohd2669 3 года назад
Kwendra ukoo unatuchukia wazanzibar eenh halafu unajiita Queen of zanzibar nenda ukoo😝😝😝😝 Ukty dyda yupo top ata iwejee huingii ww , wasomaji wetu wa zanzibar wapo juu 💖💫 Ww ni msaliti wa zanzibar 🤪🤪🤪 Umeiskama zanzibar heeeee lol 😏
@habibasaleh1934
@habibasaleh1934 3 года назад
Heeee kwa tunzoumezid
@shanishamsi9576
@shanishamsi9576 3 года назад
Mashallah cute
@hajisufi1753
@hajisufi1753 3 года назад
Aloyasema machache yana faida ila mengi yanaonekana anawabaguwa wenzake dida alianza kabla yake naanajuwa kuliko yeye sasa yeye anajisifu kwalipi ndokwanza anaanza safari bado ndefu kaza kamba
@rizikibakari3598
@rizikibakari3598 3 года назад
Kuwa makini mdada nakuogea wapenda wezako 🇧🇭🙆
@nadiasilima6185
@nadiasilima6185 3 года назад
Huna lolotee huwez kumxhind dida kwenda ukoo😋😋😋😋😋😋
@ibrahimmaster7929
@ibrahimmaster7929 3 года назад
Aslykm @Ibrahim zancom unawez kunisaidia jina la Nasheed inayosomwa kabla ya Interview kuanza?I.e RU-vid tunaipata kwa jina Gani!
@ibrahimzancom
@ibrahimzancom 3 года назад
Iyo bado haijatoka....
@ibrahimmaster7929
@ibrahimmaster7929 3 года назад
@@ibrahimzancom Ok Shukran
@zainabsaid2809
@zainabsaid2809 3 года назад
Mwanda wazim ww
@Farida-uz3vr
@Farida-uz3vr 3 года назад
Huyu kweli chizi kazi majisifutu haijiwi nyimbo walakasida puwa kama kufuli anasema znz kwao lakini kunamchukiza kweli huyuchizi
@ismailburhan8622
@ismailburhan8622 3 года назад
Duuuuuuh hatari ukhty
@rayambarouk9972
@rayambarouk9972 3 года назад
Ww so qween wazanziba tunakuona kila siku labda uko bongo kwenye watu wanaopenda kukusifoa ila kwazanziba huna ndomaan hukibalik hem soma kwa wenzako
@ziadasleiman876
@ziadasleiman876 3 года назад
Queen wetu ni ukhty Dida 😘😍
@aminaami4936
@aminaami4936 3 года назад
We mwenyewe undharau
@muhsinnainoabdullah1539
@muhsinnainoabdullah1539 3 года назад
Hahaha uyuu choyo na tamaa ndo kaeka mbele wazanzibar hawako ivyo wazanzibar ni watu wa kusaidiana pesa sio kitu wewe mwehu
@mohammedsalummohammed4357
@mohammedsalummohammed4357 3 года назад
Wewe bado sana kajifunze kwa dida
@kombosaaduni6755
@kombosaaduni6755 3 года назад
Ukisema wanaume wa Zanzibar inakuwa umejumuisha wote ,sema baadhi
@khadijaally7478
@khadijaally7478 3 года назад
Kabisa akumbuke ana mzazi wakiume na ndugu kina kk nakadhalia tuchunge sana ndimi zetu ktk kuongea
@rehemabakali494
@rehemabakali494 3 года назад
Eti unasema ujaolewa duuh wewe dada mpaka hapo umeongopa wewe si umeolewa umeachika tena ata miez mingapi ujamaliza jmn kumbe ndyo maaana umeama zanzibar sasa hivi upo dar kwa hlo wadanganye wengine
@habibasaleh1934
@habibasaleh1934 3 года назад
Akaaaa
@rehemabakali494
@rehemabakali494 3 года назад
@@habibasaleh1934 vp my
@habibasaleh1934
@habibasaleh1934 3 года назад
@@rehemabakali494 kumbe kaolewaa
@rehemabakali494
@rehemabakali494 3 года назад
@@habibasaleh1934 ndyo aliolewa mwaka 2018 na producer wa almadrasatul qadiria yule wa aqaz nilikuwa na mfananisha ila ndyo yy hyu
@halimajuma5515
@halimajuma5515 3 года назад
@@rehemabakali494 simlaumu aliemuacha kw7b hapa kwny mahojiano tu kuna vingi unasoma kupitia tabia zake. Producer n nani kwani???
@MRFLPR
@MRFLPR 3 года назад
NI IVI😀😀😀 ok saw🚶🚶🚶🚶🚶
@aminaami4936
@aminaami4936 3 года назад
We dada acha choyo huna unaemfikia zanzibar acha choyo huyo Arafa husein hajui kuimba kwa kuimba gani??au kwa sauti gani alionayo??sema tu umekupenda dar pengine ushapata bwana dar ndo maana unakufagilia huna lolote kipeleke kwenu uko zanzibar
@queenmamy7970
@queenmamy7970 3 года назад
Kapenda kuja kushangaa maghorofa
@mrs.muhseenjuma4833
@mrs.muhseenjuma4833 3 года назад
Hapna n choyo TU hyo Hana lolote
@nasmayussuf6831
@nasmayussuf6831 3 года назад
Masha Allah my deee Ujuwe Kuna watu umewakera na bd hujawakera my dee wakereee💃 nakukubl San my dear
@zuleikhakhamis3303
@zuleikhakhamis3303 3 года назад
umeona eeeeh apo ndo mwanzo huyu anajua na hana maringo kazi yk anaipenda yuko makini ukimwambia tuu anakutungia vizuri
@mizzainallahwainailalhiraj8576
@mizzainallahwainailalhiraj8576 3 года назад
Hakuna mkamilifu si vizuri kujisifu🤣halafu punguza choyo
@fakihdarusi4385
@fakihdarusi4385 3 года назад
Wee Zanzibar bado hujawafikia wale wadada waimbaji wa Qaswida
@rashidally1149
@rashidally1149 3 года назад
Huyu nimuimbaji mm naona kifikra na mawazo hafai hata kua muitikiaji ww hata usitoe tunzo Ila Zanzibar ipo juu kwa kaswida ww unatungiwa wenzako wanatunga na kusoma acha choyo Kama hujatungiwa huna kaswida
@shanishamsi9576
@shanishamsi9576 3 года назад
Ila sasa hujamfikia dida mama kwa kweli halaf unamapoz sana punguza
Далее
D3 BMW XM LABEL Король.
31:52
Просмотров 488 тыс.
SNAKE BOY | ep 28 | SEASON TWO
40:50
Просмотров 442 тыс.
(Kimasomaso) by ukhty dyda
9:51
Просмотров 1 млн
UKHTY RAUHIA ATOA FUNZO KWA MWARI KABLA YA KUOLEWA.
9:46
Wapeni Njia Warembo
13:06
Просмотров 800 тыс.
지민 (Jimin) 'Who' Official MV
3:28
Просмотров 14 млн
Munisa Rizayeva - Aka makasi (Official Music Video)
6:18
Jaloliddin Ahmadaliyev - Kuydurgi (audio 2024)
3:26
Просмотров 944 тыс.
Malohat
3:35
Просмотров 802 тыс.
MOUNTAINS
3:08
Просмотров 2,3 млн