Тёмный
No video :(

UKIWA NA DALILI HIZI UNA JINI LA KICHAWI MWILIN MWAKO 

AN-NAJM TV
Подписаться 31 тыс.
Просмотров 27 тыс.
50% 1

USISAHAU KUSUBSCRIBE LIKE & COMMENT CHANNEL YETU
sharif yussuf
MAWASILIANO
+255 676 457 532
ZANZIBAR

Опубликовано:

 

26 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 42   
@neymarpouzen7032
@neymarpouzen7032 2 года назад
Nilikuwa naitafuta sana hii mada asnte sana na sheikh wangu
@shufaahamza847
@shufaahamza847 Год назад
Wachawi washenzi mm nawachukia ht km ni ndugu yangu namuomba Allah awerejrshee marogo yao wenyewe. Aminn
@ftft8310
@ftft8310 2 года назад
Mashaallah Allah akujazi kheri fidunia wal akhera sheikh sharif Yusuf
@salmamohammed5633
@salmamohammed5633 2 года назад
Shukran sheikh kwa video zako billah nilini download kama zote na wallah zimenisaidia sana mwenyezi mungu akuzidishie na azidi kupa afya
@MamrichorGram
@MamrichorGram 14 дней назад
Sheh mimi nna matatizo hayo yaani sina raha kbsa
@omyhermit-ki1io
@omyhermit-ki1io Год назад
Hawa wanao tufanyia ivi yarabbi wadhalilishe duniani na akhera
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 2 года назад
Mashaalah mungu akuzidishiye
@zuhurazabiir3769
@zuhurazabiir3769 Год назад
Mm na jini wa kichawi ya rabi mungu nisaidie
@jamaldineali3228
@jamaldineali3228 2 года назад
Nakupenda kwaajili ya Allah
@Ibrasii
@Ibrasii 2 года назад
ManshaAllah Baraka'Allah
@ebrubed6040
@ebrubed6040 5 месяцев назад
‎بِسْمِ اللّهِ الرَّحْمَنِ الرَّحِيمِ Bismillahir rahmanir rahim. ‎وَقُل رَّبِّ أَعُوذُ بِكَ مِنْ هَمَزَاتِ الشَّيَاطِينِ Ve kul rabbi euzu bike min hemezatiş şeyatin. ‎وَأَعُوذُ بِكَ رَبِّ أَن يَحْضُرُونِ Ve euzu bike rabbi en yahdurun.
@fayzaabdullah3576
@fayzaabdullah3576 2 года назад
مشاءالله تبارك الله
@sefubin4270
@sefubin4270 2 года назад
Mansh Allah ♥️♥️♥️
@nasirshekhi6070
@nasirshekhi6070 2 года назад
Jazzakka Allahu khyern ❣️🌹❣️🤲
@nadiaalnamaani9603
@nadiaalnamaani9603 Год назад
Mashallah sheikh Yousuf mimi naskiliza ruqya zako mashallah tabaraka Allah Allah akuhifadhi mimi na matatizo
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 2 года назад
Salamghaikum shekhe nangaliya chanali yako mungu akuzidishiye
@sabihaidris9659
@sabihaidris9659 2 года назад
MashaAllah
@JescaPaul-ic4es
@JescaPaul-ic4es 3 месяца назад
Samahani shehe hata mm huwa nawashwa sana na kumchukia mtu niliyekuwa nikimpenda
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 3 месяца назад
Unasema ukweli mtupu yapo hayo sana ktk haya maisha. Lkn ALLAH anawangojelea sana na Adhabu zake ni za kudhalilisha sana.
@saeedsaeed7381
@saeedsaeed7381 2 года назад
Masha Allah Sheikh🙏🙏🙏
@silviaamos-pl5lk
@silviaamos-pl5lk 5 месяцев назад
Salaam aleyku, shekhe naomba unisaidie Mimi kinaninachokifanya kinaharibika naomba unisaidie,nipo Dar kijichi
@zuhurabady9788
@zuhurabady9788 Год назад
Allah akulipe kaka Mimi najikuna sana mbaya zaidi naona kama Kuna kitu kimwkaa kwenye koo
@FadhilaAbrahman
@FadhilaAbrahman Год назад
Du ndio kama mm
@mussafadhilmussa1673
@mussafadhilmussa1673 2 года назад
Ao wananjàa
@khadijaali2173
@khadijaali2173 Год назад
Mimi kusahau ndio umenipatia hata sijuwi Nina Shida Gani mungu anisadie
@HafsaniaKepten-vh5zq
@HafsaniaKepten-vh5zq Год назад
Namba azionekani vizur
@sefukulunge3555
@sefukulunge3555 3 месяца назад
Amina
@kizuryking8448
@kizuryking8448 Год назад
Mashaallah
@user-tb3hi9he5f
@user-tb3hi9he5f 5 месяцев назад
Mimi Nina presha ya hayo mambo lakini sasa Nina afadhali baada ya kusomewa kiukweli yananitesa sana Kila wakati presha Iko juu
@asinahamisi7271
@asinahamisi7271 2 года назад
Mashallah ❤️
@sultan2260
@sultan2260 Год назад
Shukran lakini hio yamufuke hawutwambia
@user-qc1el8qc2x
@user-qc1el8qc2x 6 месяцев назад
Asalaam aleykum
@zukhratymohammed5832
@zukhratymohammed5832 Год назад
Assalamu alaykum Ustadhi mm niko hivyo nahic kama unaniongelea mm allah anisaidie
@AnaRose-qi3vf
@AnaRose-qi3vf 11 месяцев назад
Shekhe me Nina matatizo hayo uloyataja hapo kiukweli nateseka sana Sina raha Sina amani
@maganeyxasan8768
@maganeyxasan8768 Год назад
Shk nakupingi lakini hapokei nikuwa nashida na ww
@khadijaali2173
@khadijaali2173 Год назад
Masha Allah ila mm naiomba mamba mana Mimi ninashida km zote kwenye mambo haya ya sihiri ila ima Niko Omani nafanya kazi za Ndani ili umsaidie naiomba namba yako tafadhali km kuna uwezekano
@zubedarichard2311
@zubedarichard2311 Год назад
Namba zake izo Hapo juu
@zamdamakana2555
@zamdamakana2555 Год назад
🙏🙏🙏🙏🙏
@ashaamina
@ashaamina Год назад
Kwelikabisa
@ashaamina
@ashaamina Год назад
Mimi nikona matatizo shekh
@user-ld3ny3jd5w
@user-ld3ny3jd5w 8 месяцев назад
Tuko wengi yarrab
@zakariasuleiman4113
@zakariasuleiman4113 2 года назад
Ni fusho gani Hilo ustadh ama ni fucho lolote
Далее
SASA JINI MAHABA MKOMESHE ASIKUSUMUE TENA KWANJIAHII NZITO
1:01:31
SIKILIZA SIKU 7 KISOMO HIKI UTAFANIKIWA
27:05
Просмотров 23 тыс.