Тёмный

Ukweli Kuhusu Kamati Maalum Ya Sheikh Wa Mkoa Wa Dar -Es- Salaam / Sheikh Walid Alhad Omar 

DARSA TV
Подписаться 97 тыс.
Просмотров 1,3 тыс.
50% 1

Ukweli Kuhusu Kamati Maalum Ya Sheikh Wa Mkoa Wa Dar Es Salaam / Sheikh Walid Alhad Omar
Mashaa Allah Sheikh Walid Bin Sheikh Alhad Omar akielezea kwa uzuri na ubora wa hali ya juu Ya Ukweli Kuhusu Kamati Maalum Ya Sheikh Wa Mkoa Wa Dar Es Salaam / Sheikh Walid Alhad Omar
usisahau kutu support kwa subscribe channel yetu na kutu follow kwenye social media zetu inshaallah support yako ni muhimu sana
Support us DARSA TV
M-PESA +255 765100906
Airtel Money +255782466586
Paypal 👇👇👇👇
paypal.me/DarsaTv?locale.x=en_US
Get MORE of DARSA TV:
► WATCH MORE: • Swala za Mtume Zinazop... ​
► FOLLOW DARSA TV on Instagram: / ​
► LIKE DARSA TV on Facebook: / ​
Subscribe
Comment
Like
And
Thanks
Tu follow katika social media zetu
Facebook @Darsa tv
Instagram @Darsatv
RU-vid @Darsa tv
TikTok @Darsa tV

Развлечения

Опубликовано:

 

1 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 8   
@BofuMlanzi
@BofuMlanzi 13 дней назад
Alhamdulillah. Shekh jitihada zako zinadhihirika, upeo wako unathibitika, elimu yako inasifika, hekima yako haijafikika. Inshallah twataraji Allah atakulipa mema kwa hakika.
@user-tw4nf6bv8b
@user-tw4nf6bv8b 14 дней назад
Alhamdullilah ndipo utajua Sheikh Walid hao watendaji unaowasema zaidi ya 3600 je ni watendaji au ni namba tu Allah awafanyie wepesi
@KhalidJamada
@KhalidJamada 14 дней назад
Sheikh naomba uwanzishe masmo ya fiqih utusomeshe umejaliwa nuru ya elimu tunakupenda sana sheikh
@MuadhamSharif
@MuadhamSharif 14 дней назад
Allah akuhifadhi uzidi hekima na busara
@hidayakhamis936
@hidayakhamis936 14 дней назад
Shekh Walid Alhad znz tunakupenda sana ❤
@hovsback1405
@hovsback1405 14 дней назад
Huyu sheikh napenda kumsikiliza mawaidha yake sana
@SaidBaraka-ti2sv
@SaidBaraka-ti2sv 14 дней назад
Shekhe nataka nije kusoma kwako
@DarsaTV.
@DarsaTV. 14 дней назад
karibu
Далее
Что нового в 11.2?
58:32
Просмотров 68 тыс.
Joy and Anxiety Mood (Inside Out Animation)
00:13
Просмотров 1,1 млн
Nyie Masheikh mnatisha tisha watu Tushawachoka
6:03
Поймал редкий кадр🤨
0:22
Просмотров 6 млн