Jamani mkishasikia mahubiri ninawakaribisheni mpate wimbo wa injili ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-QJhwWhs-5Pw.html Yesu kristo awe nany
Praise God... Nina Swali kwako mchungaji... Hivi Ukipata kijana a nakupenda na ni mcha mungu na pia hard working but unashindwa kumpenda sababu ya height... Can you still get married and live happily???
Hivi kuapa wakati wa kufunga ndoa imetokana na neno au agizo lipi kwenye Biblia? Kwani ninachofahamu Yesu Kristo alikataza kuapa katika Mathayo 5:34 Lakini mimi nawaambia, msiape kabisa, ama kwa mbingu, kwa sababu ni kiti cha enzi cha Mungu, 35 au kwa ardhi, kwa sababu ndipo mahali pake pa kuwekea miguu, au kwa Yerusalem kwa sababu ndio mji wa Mfalme Mkuu. 36 Msiape kwa vichwa vyenu kwa sababu hamwezi kugeuza hata unywele mmoja kuwa mweupe au mweusi. 37 Ukisema 'Ndiyo' basi iwe 'Ndiyo'; na ukisema 'Hapana' basi iwe 'Hapana'. Lolote zaidi ya haya hutoka kwa yule mwovu. Lakini pia katika Yakobo 5:12 Zaidi ya yote, ndugu zangu, msiape, ama kwa mbingu, au kwa dunia au kwa kiapo kingine chochote. Bali mkisema 'ndiyo' iwe ndiyo, na mkisema 'hapana' hapana.