Тёмный
No video :(

Unataka kufanikiwa kijana? Msikilize Lamar alivyobadili Maisha ndani ya muda mfupi - Part 2 

LilOmmyTV
Подписаться 546 тыс.
Просмотров 8 тыс.
50% 1

Kama kijana, anagalia interview hii ya Producer mkubwa wa Muziki Bongo, Lamar wa FishCrab jinsi alivyoweza kujishsha kimaisha na kuanzisha biashara za kuosha magari, kuuza chakula, kufungua garage na sasa ujenzi! vitu alivyopitia kufanikiwa!
Tazama full interview hapa!

Опубликовано:

 

24 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 26   
@gerry_macopper3808
@gerry_macopper3808 Год назад
Yaan nimegundua malegend wsnamadini Sana kiukweli, Lamar sijawah kukutana nae ila story za mtaa zinasema anajisikia sana ila kwa busara hizi aisee me napinga, huyu jamaa ni Genius
@gospelvibestv3914
@gospelvibestv3914 Год назад
Lamar miaka ya nyuma alikulia ulaya kwahiyo kiswahili kilikuwa kinampiga chengaa kwahiyoo The way alivyokuwa anaongea anang'ata maneno wanahisii anaringaa😅😅
@ziyandamhlana8776
@ziyandamhlana8776 Год назад
Lamar mzungu sana bahati mbaya kuzaliwa Africa tena Bongo
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 Год назад
Sio bahati mbaya inaweza kuwa blessings pia
@ziyandamhlana8776
@ziyandamhlana8776 Год назад
Dunia noma Eminem kagunduriwa na Snoop na 50 cent kagunduriwa na Eminem ili Apate femu kwa Dre kapelekwa na Snoop that mean life
@CoachHafidh
@CoachHafidh Год назад
Dr. Dre ndo alim discover Em
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 Год назад
Ni kweli uko vizuri
@michongomedia
@michongomedia Год назад
Nakufatilia tu LIL O... me nitakutafta tu... Unanipa insperation sanaaa katika career ya utangazaji... I really like what you've been doin... Ngoja nimalize shule
@andrewmbilo6418
@andrewmbilo6418 Год назад
Madini matupu. 🙏 sana Dj Ommy X Lamar
@protamwenyegzaketv7408
@protamwenyegzaketv7408 Год назад
Amazing very inspirational interview
@njoroboihustla125
@njoroboihustla125 Год назад
Nipo mzigoni (kazini)siwezi kuisikilza hii interview nikifika getto ntaweka bando la 2000 niangalie nakusikiliza pia nimeona mwamba anakitu🧠..........inspiration interview📌📌📌
@LilOmmyTV
@LilOmmyTV Год назад
Lets Go
@njoroboihustla125
@njoroboihustla125 Год назад
@@LilOmmyTV staf likkk dat🔥
@salumuseif3324
@salumuseif3324 Год назад
Fish crab ladies and getelmen awuuuuuuh
@deogratiasyagomba287
@deogratiasyagomba287 Год назад
Kamtaja producer Roy daah ame nikumbusha mbalii
@salumuseif3324
@salumuseif3324 Год назад
Noma G records 2004 2008 apo sio powa
@deogratiasyagomba287
@deogratiasyagomba287 Год назад
@@salumuseif3324 Roy alikuwa na sikio la mziki alafu mixing na mastering ya mziki mzito balaa ngoma nyingi ivi sasa nyepesi mno
@thaniakassim7687
@thaniakassim7687 Год назад
HB🥰👌
@alexkissinga.5883
@alexkissinga.5883 Год назад
IO TARATIBU YAKUPATA VOUCHER YA POST PAID INAPATIKANAJE??
@economistshillajr.1317
@economistshillajr.1317 Год назад
Nenda Duka la Tigo, uwaambie unahitaji hiyo huduma, watakupatia vifurushi kadhaa uchague mfano; postpaid ya 30k, 20k, 15k n.k
@alexkissinga.5883
@alexkissinga.5883 Год назад
@@economistshillajr.1317 SHUKRANI SANA KAKA
@alexkissinga.5883
@alexkissinga.5883 Год назад
@@economistshillajr.1317 NI KWA TIGO TUU??
@barakamalinga
@barakamalinga Год назад
@@alexkissinga.5883 Airtel na voda wanazo
@mchinjanyau9055
@mchinjanyau9055 Год назад
FISHCRAB COOKET
Далее
Cristiano ronaldo VS Tibo Inshape ! 😱😱
00:20
Просмотров 3,7 млн