Тёмный

Unaweza kuzimia! Tazama Mkurugenzi wa Secret Service alivyobananishwa Maswali na Wabunge, inatisha! 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 43 тыс.
50% 1

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 315   
@RajabuLuhendama
@RajabuLuhendama 2 месяца назад
Duh,ogopa sana kazi ya kuajiriwa,yanu huwa ni nzuri endapo unafanya vizuri
@ahz6907
@ahz6907 2 месяца назад
Ndio ukweli wenyewe.
@DavidMwamengo
@DavidMwamengo 2 месяца назад
Thankx for the news, it's really impressive and I think she is just been professional for her job period
@jut1161
@jut1161 2 месяца назад
Sure This is special training of not revealing what was transpired
@matsonmeck7438
@matsonmeck7438 2 месяца назад
Political Question and Intellectual answers by Kimberly kitu kimoja nimejifunza wenzetu mpaka uwajibike ni lazima proceedings zifatwe yana hakuna mambo ya kukurupuka. Calmness ya huyu DG ni ya kiwango cha juu sana 🙌🏻🙌🏻
@PlatnamMogo
@PlatnamMogo 2 месяца назад
wewe unaita political question mkuu wa ulinzi idara ya usalama kwenye kampeni mpiga kura wake mgombea kuuliwa na yeye mwemyewe mgombea kujeruliwa ? au unaongelea political question ipi ?
@matsonmeck7438
@matsonmeck7438 2 месяца назад
@@PlatnamMogo I'm not interesting to answer anything
@felisteronesmo3091
@felisteronesmo3091 2 месяца назад
😂😂 political questions vs intellectual answers..
@ngadupalaamour
@ngadupalaamour 2 месяца назад
The majority of this committee members ukifuatilia wanabackground nzuri ya utumishi kwenye majeshi na masuala mbalimbali ya usalama na uchunguzi so lazima ujue wanajua wanachouliza it's not political question ni intellectual question na expertise questions
@ahz6907
@ahz6907 2 месяца назад
Ni mama ameamua kukomaa wengine huwa wanaachia ngazi
@MegaAbby1010
@MegaAbby1010 2 месяца назад
She's a very intelligent Lady Best suit for her job
@RichJohn-o5m
@RichJohn-o5m 2 месяца назад
Confidence overload!! Namuomba Mungu anipe hiyo confidence wote anaye uliza na anye jibu wana confedence ya hali ya juu!!
@denislodrick
@denislodrick 2 месяца назад
Director Kimberly won. She didn't answer as asked, she answered as she thought won't let herself blocked in an angle. Zero emotion, very rational throughout the interview. She never leaked any information. Strong woman
@PlatnamMogo
@PlatnamMogo 2 месяца назад
wewe unasema she won how ???? kiongozi mkuu wa ulinzi idara ya usalama kwenye kampeni mpiga kura wake mgombea kuuliwa na yeye mwemyewe mgombea kujeruliwa ? au unaongelea "she won" ipi ?
@iam_sami
@iam_sami 2 месяца назад
Kaka unajua kingereza ila akil yko kama matko uyu ni mlinzi na kaz yake ilikua kumlinda trump na trump kapigwa risas unasemaje uyu ni mshindi wakt mteja wake nusura auliwe
@eduardelias4053
@eduardelias4053 2 месяца назад
You're delusional
@PlatnamMogo
@PlatnamMogo 2 месяца назад
@@iam_sami ume tumia lugha kali kumuelewesha jamaa ila naamini atakua tayari amesha elewa.
@AllyMaya-yj3xd
@AllyMaya-yj3xd 2 месяца назад
​@@iam_samiuelewa wako ndio mdogo she won yah kama unasikia kinachoongeleewa wanasiasa wanataka kujibiwa wanavyotaka wao bt huyo ni director wa usalama wa Taifa hawezi kuanika kila jambo hapo kuna mengi nyuma yake wanataka kujua
@FabriceJack-i6q
@FabriceJack-i6q 2 месяца назад
Fredrick, Nchi ya Marekani ilisimama kila mtu alikua na maswali Magumu kutokana na tukio. Kama unavyoona Maswali haya hawajaruhusu Wabunge wa Democratic Party wamuulize Secret Service Director maswali kuhusu tukio. Hili ni hatarishi kwa Taifa la Marekani na Amani kwa ujumla ili wasidhani palikua na mpango mkubwa. Wengi walijiongeza kwamba ni Mpango wa Upande wa Pili kumuua Rais Trump. Kama unavyoona Trump ana bahati nyiingi sana za kuchukua nchi. Return to the Comment: CEO Fredrick Unafanya kazi nzuri sana kutuletea Positive News. You the Best in Tanzania 🇹🇿 #GodBless
@InnocentZamkulu
@InnocentZamkulu 2 месяца назад
Sehemu zote zilimuuliza maswali.
@comics3437
@comics3437 2 месяца назад
Huyo director wa sekretari service ni very intelligent
@PlatnamMogo
@PlatnamMogo 2 месяца назад
@@comics3437 Wewe unasema intelligent how ???? kiongozi mkuu wa ulinzi idara ya usalama kwenye kampeni mpiga kura wake mgombea kuuliwa na yeye mwenyewe mgombea kujeruliwa ? au unaongelea "ni very intelligent" ipi ?
@willykaovela5485
@willykaovela5485 2 месяца назад
Sijakuelewa au umefatilia kingerenza😅
@AllyMaya-yj3xd
@AllyMaya-yj3xd 2 месяца назад
Anavyojibu huezi funguka kila kitu
@PlatnamMogo
@PlatnamMogo 2 месяца назад
@@AllyMaya-yj3xd kwaiyo kazi aliiweza au hakuiweza hiyo siku boss kujeruliwa na kukoswa kuuliwa na mpiga kura wake kuuliwa unasema hawezi kufunga kila kitu au unamanisha waendelee kumtumia kama kiongozi wa ulinzi huko mbeleni ?
@ahz6907
@ahz6907 2 месяца назад
Yupo very intelligent...kuna uwezekano kabisa amekuwa setup.ili ajiuzulu...kuna watu ktk hiyo secret wanaujua huu mchezo
@fatunam7721
@fatunam7721 2 месяца назад
Mmmh! mmmh! That is America for you!! Freedom of speech
@michaelmahenge593
@michaelmahenge593 2 месяца назад
That lady she is very smart and she know the ethics of her job
@Alkebulan-Afrika
@Alkebulan-Afrika 2 месяца назад
Makonda akihoji watu namna hii anaambiwa amevunja haki za binadamu. Magufuli alipokuwa akifanya live interrogation namna hii aliambiwa dikteta
@omarzinga7046
@omarzinga7046 2 месяца назад
Tundu lisu aliwahi kumuhojibmagu maswali magumu magumu bungeni alishia risasi kidogo apoteze maisha.nay wa mitego akichana mambo yenye uhalisia anakamatwa roma alitekwa Tanzania Tanzania
@mohamedallyrajabu8301
@mohamedallyrajabu8301 2 месяца назад
Mungu amlaze mahali pems JPM
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s 2 месяца назад
Tunalaana
@ivankadaudi8161
@ivankadaudi8161 2 месяца назад
Africa wanapenda sana kubebwa bebwa ndio shida
@lovenessvisent9408
@lovenessvisent9408 2 месяца назад
Ndio maana tramp alisema Africa inatakiwa kutawaliwa Tena mkaja juu ubaguzi ubaguzi alisema ukweli
@olomweneabongela1717
@olomweneabongela1717 2 месяца назад
Huyu mama iko sahii kesi bado ipo chini ya upelelezi hawazi kuongea jambo hapo kulingana na viapo vyake.
@PlatnamMogo
@PlatnamMogo 2 месяца назад
Sasa alikubalije kwenda kuhojiwa bungeni kwenye kamati live tena alipewa wito wiki moja kabla ya kujiandaa yeye alikubalije na aliendaje kama hawezi kuweka wazi majibu kulingana na taratibu zao za kazi ?
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 2 месяца назад
Si suala la kesi liko chini ya upelelezi, maswali anayoulizwa ni ya kiutendaji. Mfano, kwa vipi watu waliyokuwepo wapige kelele la tishio kwa mtu aliyekuwa juu ya paa akiwa na silaha, halafu walinzi wa secret service wasione hilo ni tatizo na kulidhibiti kabla ya kupigwa kwa risasi?
@RaymondPaul-bs7su
@RaymondPaul-bs7su 2 месяца назад
Aaha hapo hakuna upelelezi mambo yalikua wazi kabsa, kijana anapanda ukuta halafu anajificha na kulala juu ya paa la nyumba na Hatimaye anafyatua risasi ,raia walikua wanamuona na walitoa taarifa kea hao maafisa usalama lakini hawakuchukua hatua yoyotee sasa uchunguzi wa nini hapooo
@ahz6907
@ahz6907 2 месяца назад
​@@RaymondPaul-bs7susasa sio kosa la mkuu 😂
@matthewm.ntinginya3107
@matthewm.ntinginya3107 2 месяца назад
Nancy's questions alimuuliza ajibu No or Yes lakini majibu yameshindikana!!!!! Guys usiombe ukutwe na mvua kama hii ktk uongozi
@bigowillythomaskayanda7763
@bigowillythomaskayanda7763 2 месяца назад
Aisee 😂😂😂😂😂😂😂😂
@prospersanga7942
@prospersanga7942 2 месяца назад
😂😂😂😂😅 UNAFANYA MCHEZO NN, UNAPEWA TRUE OR FALSE na unajibu I DONO😂😂😂😅
@hamidauhuru813
@hamidauhuru813 2 месяца назад
Kuna muda ili uwe upande salama, ni kukwepa maswali kijanja. Kwangu mimi namuona yuko smart, hakutaka kujiweka ktk complication zaidi maana bado jambo liko katika uchunguzi.
@EdnahKebson
@EdnahKebson 2 месяца назад
Kimberly cheatle kama hajapungua kilo 10 ndan ya masaa 5 basi asiachie ngazi
@FrancisDonald-go9cs
@FrancisDonald-go9cs 2 месяца назад
Elimu zao ni ndogo sana zidi ya huyo mkuu wa secret service
@RonnieBertin
@RonnieBertin 2 месяца назад
Yes. Ndo maana. Inaitwa. Secret. Maana yake ni sili. Sili. Ya nchi hao republican. Wanataka kumtega huyo. Na hyo mama ni smart. Hapo hakuna kulopoka
@sunsetstudioz
@sunsetstudioz 2 месяца назад
Holly fuck, the level of questions and the answering intelligence was at the peak.... aisee its like i was watching a movie ayeee
@eve3894
@eve3894 2 месяца назад
Asante sana SKY.
@colmanlesulie250
@colmanlesulie250 2 месяца назад
Director Kimberly knows well enough to answer
@JansanMokiwa
@JansanMokiwa 2 месяца назад
Sky mkalimani please 😅
@rajabdibwa6415
@rajabdibwa6415 2 месяца назад
Stop singing slim shady "It wasn't me!😂😂
@Xavihernandez-y5y
@Xavihernandez-y5y 2 месяца назад
😂😂😂 Eminem tena
@BarnabaBuhoma
@BarnabaBuhoma 2 месяца назад
Huyu mama amekuwa na siku mbaya sana. Ila kuna kitu cha kujifunza…. Kuna siku mojo Makonda alimwambia mwanamke mmoja aongea vizuri, watu walimjia juu eti hawezi kumdhalilisha mke wa mtu. Huku wengine wakipanga kumuua. Africa bado…
@petronilamtei7470
@petronilamtei7470 2 месяца назад
Yule Engineer alifanya nini
@GideonKweka
@GideonKweka 2 месяца назад
Kwenye ajira mke watu ameingiliwa iyo ni job bongo nyuma siku zote
@GideonKweka
@GideonKweka 2 месяца назад
Ona America vile Kuna freedom
@damianlyimo1011
@damianlyimo1011 2 месяца назад
Vitu viwili tofauti, Maswali ya kisiasa yenye mhemko ndani yake na majibu ya kitaalam yenye Utashi ndani yake.
@PlatnamMogo
@PlatnamMogo 2 месяца назад
Sasa alikubalije kwenda kuhojiwa bungeni kwenye kamati live tena alipewa wito wiki moja kabla ya kujiandaa yeye alikubalije na aliendaje kama hawezi kuweka wazi majibu kulingana na taratibu zao za kazi ?
@ahz6907
@ahz6907 2 месяца назад
​@@PlatnamMogoulitaka asiende?
@PlatnamMogo
@PlatnamMogo 2 месяца назад
@@ahz6907 huja elewa comment yangu mimi ninacho kimaanisha ni huyo boss anatakiwa kuwajibika.
@PlatnamMogo
@PlatnamMogo 2 месяца назад
@@ahz6907 sasa alienda kufanya nini kama ana tetemeka hivyo baada ya kupewa drill ya kutosha zaidi ya masaa ma 3.
@DannyWiston-xo4hx
@DannyWiston-xo4hx 2 месяца назад
Bado hujajibu swali​@@ahz6907
@fzlcomrajabu9514
@fzlcomrajabu9514 2 месяца назад
Daah kweli chanagazi kabananishwa, questions ziko mingi sana
@BigZhumbe
@BigZhumbe 2 месяца назад
Huyu mama asipo resign basi ni mwamba, Kapigwa maswali kwa masaa matano kwenye full questioning video 😢
@SimuliziDhahiri
@SimuliziDhahiri 2 месяца назад
Duuuu
@ProphetDrAivan
@ProphetDrAivan 2 месяца назад
Hatari sana
@ahz6907
@ahz6907 2 месяца назад
Kama wanamwona hafai si wamfukuze😂. Mi nipo upande wa mama tutapambana mpaka mwisho.
@rubbymusa1971
@rubbymusa1971 2 месяца назад
Inawezekana hawezi kuweka wazi kwa taratibu za kazi zao,
@PlatnamMogo
@PlatnamMogo 2 месяца назад
Sasa alikubalije kwenda kuhojiwa bungeni kwenye kamati live tena alipewa wito wiki moja kabla ya kujiandaa yeye alikubalije na aliendaje kama hawezi kuweka wazi majibu kulingana na taratibu zao za kazi ?
@Thatscene2024
@Thatscene2024 2 месяца назад
Mbona amesema kabisa kwamba utafiti unaendelea na awezi kuuharibu kwa kueleza nini kinachoendelea na amekubali kwenda apo kwa maslahi ya wananchi na secret service wenyewe kama kitendo. And she seem very professional akibanwa anakupigia we are still in process 😂😂
@PlatnamMogo
@PlatnamMogo 2 месяца назад
@@Thatscene2024 @Thatscene2024 wewe unaita Professional kiongozi mkuu wa ulinzi idara ya usalama kwenye kampeni mpiga kura wake mgombea kuuliwa na yeye mwemyewe mgombea kujeruliwa ? Au unaongelea professional ipi ?
@PlatnamMogo
@PlatnamMogo 2 месяца назад
​@@Thatscene2024 @Thatscene2024 wewe unaita Professional kiongozi mkuu wa ulinzi idara ya usalama kwenye kampeni mpiga kura wake mgombea kuuliwa na yeye mwemyewe mgombea kujeruliwa ? Au unaongelea professional ipi ?
@PlatnamMogo
@PlatnamMogo 2 месяца назад
​@@Thatscene2024 @Thatscene2024 wewe unaita Professional kiongozi mkuu wa ulinzi idara ya usalama kwenye kampeni mpiga kura wake mgombea kuuliwa na yeye mwemyewe mgombea kujeruliwa ? Au unaongelea professional ipi ?
@frankkitomary3878
@frankkitomary3878 2 месяца назад
Alloo smaa mchuwano mhumu sana apa sio poa kaka maswali magumu utazani uyu mwana mama ndie alie mtuma showta
@TherealJoe_21
@TherealJoe_21 2 месяца назад
Mi naelewa media nyingi haziwezi rusha habari kama hizi na hata zikirusha zinatoa taarifa za uongo hata media kubwa za hapa Tanzania ambazo siwez kuzitaja. Hizo media zinakua zipo under the matrix lakin kwa hapa bongo nawakubali sana (SNS) hampo kwenye mfumo wa matrix kwahiyo mnatoa habar kama zilivyo na mnazichambua. Respect sana na msije mkabukubali kuuza your soul to the matrix. Na mmefanya la maana sana kuwa na SNS web pamoja na twitter, kwa maana RU-vid wenyew ndo wale wale tu wanao support matrix ndomana watu kama wakina Andrew Tate walifungiwa RU-vid. Kama kuna mtu anaona kuna media nyingine hapa bongo inayotoa taarifa za Trump assassination kwa undani zaid aniambie ni media gani kama sio simulizi na sauti 🤐
@RespinaRuben-qi6te
@RespinaRuben-qi6te 2 месяца назад
Ni kuwaombea maana wakuu wakiingilia hapo habari hatuzipati
@justuswaweru1703
@justuswaweru1703 2 месяца назад
hayatuhusu
@ShadowScreamStudio
@ShadowScreamStudio 2 месяца назад
Za bongo zotee zinaishia Moshi Tunadanganywa zinafika mbaliii😂😂.
@TherealJoe_21
@TherealJoe_21 Месяц назад
@@RespinaRuben-qi6te na vitu wanavyo vifanya wakitaka kuingilia afu akakataa, wanafanya vitu vifuatavyo, kwa RU-vid wanakufungia, lakin kama unamiliki platform yako mwenyew, wanakushtaki kwa kosa la kijasusi, thats is how the matrix work
@kleenheart
@kleenheart 2 месяца назад
Professional answers...kudos
@officialgakankara
@officialgakankara 2 месяца назад
Anavyochambwa hapa ndo nakumbuka kua hata Makonda alikua 100% sahihi kumchana yule mkurugenzi😊
@ahz6907
@ahz6907 2 месяца назад
Hapana makonda ile nibdharau na mtesi sana yule hajafikia levo ya hawa jamaa.usifananishe tembo na mbuzi.
@zachariamwita3926
@zachariamwita3926 2 месяца назад
I think it was unfair to ask questions whose answers would compromise the ongoing investigation
@rubbymusa1971
@rubbymusa1971 2 месяца назад
Exactly,
@sekundisiri3618
@sekundisiri3618 2 месяца назад
Hapana hii ya jambo liko mahakamani au police ni huku bongo. Sikiliza anaulizwa maswali ya kimfumo ndio maana unaona majibu yake yanakimbilia FBI but wanamkataa FBI wanaajibu wao na yeye anawajibu wako so anagonga kwenye wajibu wake
@hamisiprinsi5240
@hamisiprinsi5240 2 месяца назад
Dah! Hatari haya ni maswali ya kiumbe kwa kiumbe hali ndio kma hyo vp maswali yatakavykuwa ya Muumba mbingu na Ardhi kwa kiumbe wake??? , Halafu muulizwa maswali alikuwa na subra hyo n mvua ya maswali
@LuckyKussah
@LuckyKussah 2 месяца назад
Litakua baraa ziiito
@faridmnyamike556
@faridmnyamike556 2 месяца назад
Allah ana majibu yote wa tunayotenda na tunayoficha
@dullahboys6154
@dullahboys6154 2 месяца назад
Guys that is not a jokes but remember we need to pick some of the treat and bring it to Africa, you know what leading in African has been very peace of cake We should have pain in our hand we can't dare let thoughts and miss the reality, both side are good enough to listen huyo mama yuko sawa pia waulizaji wako na preparation ya kutosha
@jembelakijiji
@jembelakijiji 2 месяца назад
Ilove nancey mace she's so cute question is simple answers yes or no
@pendongowi3508
@pendongowi3508 2 месяца назад
Halooo, wabunge wa huko wapo straight mpaka raha
@dannysengata2298
@dannysengata2298 2 месяца назад
All in all uongozi sio jambo la mchezo mchezo....ukiona nchi inaendeshwa na imesimama kuna mambo Mengi sana yanaendelea mengine huwezi hata kuyaona...kuna watu hawalali kwa sababu yako n.k aisee sometimes tunapaswa ku appreciate viongozi wetu....😊
@peterilimwa5754
@peterilimwa5754 2 месяца назад
n kweli lkn sio viongozi wa Tanzania
@JokhaSaid-e1c
@JokhaSaid-e1c 2 месяца назад
Naomba majirani I wa one comment yako na wote waliokaa wanauza tomato Kisha wanasema raisi kazi yake kusafiri tu
@breezywhity1462
@breezywhity1462 2 месяца назад
Bongo ukiuliza ivo unajikuta KATAVI NATIONAL PARK WANYAMA Toooop
@husseinkazigo6189
@husseinkazigo6189 2 месяца назад
Ahahahah aisee
@rodgersgregory7198
@rodgersgregory7198 2 месяца назад
SSD amejitahidi sana,Hayo maswali hayakua marahisi kwake.Amejibu kwa code sana
@ttss7716
@ttss7716 2 месяца назад
We kizaza amejaribu sana kujibu mwingine angeanza kulia😂😂😂😂😂😂
@moseskulola6913
@moseskulola6913 2 месяца назад
I thought she's going to resign.. Imiditely in side court room.. She's very strong woman not easy question's Really... For me l couldn't said she's reall defenders he job... Good job Kimberly
@georgedalali3852
@georgedalali3852 2 месяца назад
I don't know why, but I think the Director is one of the best special Agents..
@dianajohnson7268
@dianajohnson7268 2 месяца назад
She is very interigent and na vile alivo calm kujib majibu ya watu wenye hasira
@ammyabeid9574
@ammyabeid9574 2 месяца назад
You are right. She is perfect. She is the Head of secret service. Mean secret. How come they expect straight answer from the head of secret service.
@sadikihamad9770
@sadikihamad9770 2 месяца назад
​@@ammyabeid9574 Head of secrets 😂😂😂
@khalfannyanje8970
@khalfannyanje8970 2 месяца назад
Yote tisa lakini big up kwa madam kimberly alijikaza na hakuttemeka kuyajbu ni mzoefu wa kazi
@PendoNdefisio
@PendoNdefisio 2 месяца назад
Alitegemea hayo maswali yote. Anamajibu yote ila sio wakati sahihi wa kujibu.
@mdl6463
@mdl6463 2 месяца назад
taarifaa taarifa mh speaker 😂😂😂😂😂😂 sijaona
@brother_majesty
@brother_majesty 2 месяца назад
LOOK AT HER AND THE GUYS ON HER RIGHT AND LEFT......KILLER EYES
@ElizabethSamson-qo1pq
@ElizabethSamson-qo1pq 2 месяца назад
Mmm ni hatari sanaaa
@reyrunyoro7972
@reyrunyoro7972 2 месяца назад
Lisa McClain🙌🏽🙌🏽
@mrapple385
@mrapple385 2 месяца назад
Strong woman
@timothykaiza327
@timothykaiza327 2 месяца назад
Kwel hawa wako mbali sana, mtu kawekwa kati. Ingekuwa bongo muda wote Taafifaaa Taarifaa mh. Spika naomba Msukuma afute maneno yake. 😂😂😂
@enockvicentmathias3341
@enockvicentmathias3341 2 месяца назад
Marekani imeoza kabisa katika hili
@paulmbonika2459
@paulmbonika2459 2 месяца назад
Kwaio marekani Mungu kaiacha, alaf Tanzania ndo yuko nayo? 😂😂 aiseee... aya.​@@abdallahalwardi588
@HukerRama
@HukerRama 2 месяца назад
Wanamuonea sana hawana huruma
@thelonewolf4429
@thelonewolf4429 2 месяца назад
Uku kwetu afrika kama africa ukimuoji mkuu wa usalama wa taifa namna hii kesho huwezi julikana ulipo kwajia yote kwa uchawi au kwa nguvu ya dola maana kwetu uku Afrika utaonekana hauna adabu eti scjuwi hauna hekima utaskia mtangazaji hakutumia busara😅😅 kuna mahali waafrika tunazingua ingawa sie ndio binadamu alisi
@mtemiwantobo2967
@mtemiwantobo2967 2 месяца назад
Hiyo Ni Kamat ya Bunge ya usalama ...siyo waandishi wahabari
@rajabdibwa6415
@rajabdibwa6415 2 месяца назад
Tafauti ya Africa na Uzungu😂
@thelonewolf4429
@thelonewolf4429 2 месяца назад
@@mtemiwantobo2967 kivyovyote vile ukukwetu wangeambiwa ooh una namba yake kwanini usinge mpigia umwabie ata waloweka mitandaoni wangechukuliwa hatua kali zakisheria😹 au hujasikiya anavyo bananishwa na hizo questions wakati ni director wa secret service wa marekani ukukwetu afrika watu kesho ungeskia wamepotea hawajulikani walipo😀😀
@ziddyziddy2524
@ziddyziddy2524 2 месяца назад
😅😅😅😅😅😅 utabebwa na watu wasiojulikana
@hassansaul7098
@hassansaul7098 2 месяца назад
Makonda alipomuhoji mwanamke tu hivo alijiwa juu kwa kuwahujumu wanawake😂
@ShabaniSudi-d1x
@ShabaniSudi-d1x 2 месяца назад
Umejifunza nini kuhusu bunge la marekani? Umejifunza nini wanawake wa kizungu wanapo ongelea jambo la msingi?
@StevenTaylorx
@StevenTaylorx 2 месяца назад
God bless America..
@FranckDaniel-cc5rg
@FranckDaniel-cc5rg 2 месяца назад
Huyu mama kweli ni secret service maana anajiamini na ameamua kua mpole ili mambo yaende
@salhawaziri1668
@salhawaziri1668 2 месяца назад
Yani ukifata mihemko ya watu wa dodoma umeisha ni kujikànyaga tu ila angalau kaamua kuwa calm
@ammyabeid9574
@ammyabeid9574 2 месяца назад
@@FranckDaniel-cc5rg yaani anawazoom moyoni anajisemea hamjui mlitendalo. Ila nimeshawasemehe haya Tuendelee.
@geofreymuganyizi3167
@geofreymuganyizi3167 2 месяца назад
Ifike mahari wawakilishi wetu waweze kuhoji kwenye vitu muhimu katika namna ya kujiamini kama hivi
@JohnCage-we6tp
@JohnCage-we6tp 2 месяца назад
Haiwezekan maaan Bunge letu lote ni la Chama kimmoj t , na ukianza kuhoji t unafungiwa kuto huzuria vikao 15
@YusufuAbas
@YusufuAbas 2 месяца назад
Ogopa sana mtu kati ilishanikita mimi hiyi boss mzungu halafu anapiga kwenye mshono.
@ivankadaudi8161
@ivankadaudi8161 2 месяца назад
Hahaha namuonea mpaka huruma amebananishwa haswa, aibu wanajifanyaga wanajilinda hili limewashusha haswa ndio mana wamechaluka Hao.
@maxmiliangunze8931
@maxmiliangunze8931 2 месяца назад
Tunataka katiba na sisi kama hii mfanyakazi wa Umma anatakiwa awajibishwe hivi hivi Kwa nchi yetu.... Tuwe wazi lazma nchi iwajibike haswaaaa sio kuogopana tuuu kwa wakubwa tuuu. Angalia mtu mkubwa kabisa anaadabishwa na bunge....
@AllyMaya-yj3xd
@AllyMaya-yj3xd 2 месяца назад
Huezi jibu maswali ya wanasissa hovyo hovyo sio wataalam
@togetherwecansolve
@togetherwecansolve 2 месяца назад
This is what I love from AMERICAN when it comes to themselves matters, yoooh I watch KIMBERLY CHEATLE in the 🔥🔥🔥 shuuuh!!
@rashidtwaha7699
@rashidtwaha7699 2 месяца назад
Uhuru wa wanahabar upo vizur kwa wenzetu kuwakilisha vizur maswali ya wananchi
@hamadiselemani8665
@hamadiselemani8665 2 месяца назад
Inaitwa VICARIOUSLY LIABILITY
@mamy8220
@mamy8220 2 месяца назад
❤❤❤❤❤
@GSMFAMILY1
@GSMFAMILY1 2 месяца назад
bunge la kwetu mtu akitaka kuhuliza vya maana wanamkatisha ulaya raha
@peterilimwa5754
@peterilimwa5754 2 месяца назад
Tena mbunge anaweza kufungiwa na bungee wenyewe
@ahz6907
@ahz6907 2 месяца назад
Kama yaliyomkuta mpina 😂 Huku africa tuna kanuni zetu za kipekee😂 Uchawa ndio tunaweza
@hezronjoseph405
@hezronjoseph405 2 месяца назад
Tanzania ingekua imesha iyo ,kikubwa ajapigwa bass😂😂
@mamilooutukufu3516
@mamilooutukufu3516 2 месяца назад
😂😂😂na wee udugu wangu weweeee!!! Ingekua imeisha hiyo mbona ajafa
@hezronjoseph405
@hezronjoseph405 2 месяца назад
@@mamilooutukufu3516 😂😂😂mapema mnoo😂😂
@hezronjoseph405
@hezronjoseph405 2 месяца назад
@@mamilooutukufu3516 😂😂😂mapema sana
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 2 месяца назад
"FBI have shared the information with you, you don't to share information with us..."! Kibano kilipozidi anyoosha mikono kwa kusema "I think I'm the best person to leave Secret service now...," Hiki ndicho kiti moto, jamaa hawana mzaha! Hapa ndipo kubananishwa, siyo maswali ya akina Kibajaji!
@josepheriah5977
@josepheriah5977 2 месяца назад
Ajiuzulu
@ericfelician7996
@ericfelician7996 2 месяца назад
Duu ,huku Africa kiongozi anapigwa risasi 20 hata kuhoji usalama bungeni ngumuu,hila mambele hatari
@mndambokilavo2502
@mndambokilavo2502 2 месяца назад
Kama maswali na majibu bungeni yangekuwa hivi tanzania ingekuwa "superpower"
@ShadowScreamStudio
@ShadowScreamStudio 2 месяца назад
Hata kusoma barua aliyoandikiwa na wahojiwa amedanganya😂😂😂😂
@Samwelianaseti
@Samwelianaseti 2 месяца назад
kiukweli bado tuna kazi sana kuja kufikia level kama hizo huku kila kitu ni ndio hakuna wa kuhoji kikubwa tumbo linaenda sawa
@piussogoye
@piussogoye 2 месяца назад
wasela kwa nyumka wanacheka tu badala wasaidie kujibu🤣🤣🤣
@betinvestment3204
@betinvestment3204 2 месяца назад
Kwahaya maswali hadi anafunga viganja vyake kisaikologia inatafsiri kuzidiwa kwa maswali magumu hadi anajiprotect kajikaza sana
@ahz6907
@ahz6907 2 месяца назад
Hapo alivyomaliza itakuwa alienda kulia sana nyumbani.
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 2 месяца назад
Sema huyu mama ni mwamba sana lakini 💪
@mwaminindayishimiye3149
@mwaminindayishimiye3149 2 месяца назад
I fee sorry for her bcs to much questions 😢
@alphoncejohn6308
@alphoncejohn6308 2 месяца назад
Mama yupo siliaz kw maswali
@coolsinare8824
@coolsinare8824 2 месяца назад
kwa kifupi tu ni watu wajue dunia si rafiki na ukweli ni kuwa the enemy of state ni state wenyewe..huo ni mkakati sanasana anavyojibu maswali ndo mbaya zaidi its a naked truth wala huwezi kuufunika uovu kama huu…watu watembee na Mungu serikali kama haina maslai na wewe ni ngumu kukulinda
@tumainielmaruwa3148
@tumainielmaruwa3148 2 месяца назад
USA nimoja ya mataifa mifumo yao ipo mara sana kiasi hata shenanigans hawezi fantastic ushetani
@swalehemusa4546
@swalehemusa4546 2 месяца назад
Haiko imara wala haiko salama
@Bosskubwah4501
@Bosskubwah4501 2 месяца назад
Makonda hapo ataitwa MVUNJAJI WA HAKI ZA KIBINADAMU sasa cheki hao wasiovunja haki wanavyo mshambulia mama wa watu mpka anashindwa kupumua
@MwadawaSaidi
@MwadawaSaidi 2 месяца назад
Mama ameaibika maskini hadi huruma 😂😂😂😢😢😢😢
@samsonsamwel8782
@samsonsamwel8782 2 месяца назад
Ngetaman mpina na bashe wangeulzana hayo maswal hata sukal ingekuw buku bongo,asa angekuf kama wakwe2 hamna hata wakumuuliza
@Zillionking627
@Zillionking627 2 месяца назад
Ingekuwa kwetu wangesema haki za kijinsia🤔🤔😁😁😁
@alembemtende9543
@alembemtende9543 2 месяца назад
Tunajifunza mengi Kuhusu Siasa Afrika atuna hatua hizi.
@valleluoga6258
@valleluoga6258 2 месяца назад
Hizi nyundo kwakweli ni hatari tupuuu, Gongwa nyundo mpaka unatoa mlio wa bati, This is true democracy, Africa tujifunzeni humu...!!
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 2 месяца назад
Wanasiasa siku zote Ni pasua kichwa, hivi unawezaje muhoji mtu wa secret service wakati suala liko kwenye uchunguzi, Hawa jamaa hawaendani na mihemko hata siku moja na hawaogopi kuacha au kuachishwa cheo ili mradi Afanye jambo Kwa Mujibu wa taaluma zao
@RonnieBertin
@RonnieBertin 2 месяца назад
Yes. Bro hakuna watu wapumbavu kama wabunge wanasiasa
@PENTESTING122
@PENTESTING122 2 месяца назад
hii ingekuwa bongo aseee hahahahaha
@ttss7716
@ttss7716 2 месяца назад
To me i say Alhamdulillah he's not a muslim because all the wold knows the truth now they do bad things to defend they're self 😊
@kassimabussa6583
@kassimabussa6583 2 месяца назад
Kweli kabisa
@rashidkapile
@rashidkapile 2 месяца назад
Kaka nimewakubali mnatupa mambo muhum haya maswali uwenamoyo wa utulivu sana
@MikiGermany210
@MikiGermany210 2 месяца назад
Natamani tanzania tufike huku kwa kuulizana kwa uwazi kama hivi
@FadhiliAlly-fy2tx
@FadhiliAlly-fy2tx 2 месяца назад
Braza skay mi mbumbu mmeniacha kabisa leo
@gonga94dotcom
@gonga94dotcom 2 месяца назад
nenda shule oh umande 😂😂😂😂
@shukurumsebaloli
@shukurumsebaloli 2 месяца назад
@@gonga94dotcomacha ujinga
@nickylyanga2139
@nickylyanga2139 2 месяца назад
kwamba hujui hata no au yes?
@bigowillythomaskayanda7763
@bigowillythomaskayanda7763 2 месяца назад
Hivi nyie mbona mnachekesha sana hivyooo🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@husseinkazigo6189
@husseinkazigo6189 2 месяца назад
Ahahaja
@-vw9yz
@-vw9yz 2 месяца назад
Tunajifunza nini kutoka Kwa wengine, watu wazima wanatekwa,watoto wanaibiwa, usalama wa raia ni changamoto. Lini tutafikia kumuuliza maswali anayesimamia yanayofanana kama hayo.
@Kiggy22
@Kiggy22 2 месяца назад
Tanzania mpaka tufikie hawa jamaa sio leo, bdo hatuipendi nchi yetu
@weahfeint3406
@weahfeint3406 2 месяца назад
Hiyo ndiyo maana ya kuwekwa kikaangoni
@inocentlema5574
@inocentlema5574 2 месяца назад
Nadhani iz kaz n connection. Uwezo wa huyu mama akili zake n za kawaida kama mm tu
@olomweneabongela1717
@olomweneabongela1717 2 месяца назад
Hacha hiyo ndugu yangu wanao muliza maswali ni Chama cha Trump na huyu ni kiongozi wa ujasasusi hawezi kuongea juu unamuhuliza maswali kama hayo hadharani .
@annaniasbyarugaba5788
@annaniasbyarugaba5788 Месяц назад
Je wabunge wa Tanzania wanaweza kumuuliza namna hii lets say Waziri wa Fedha/Ulinzi?
@jumamofu9573
@jumamofu9573 2 месяца назад
Tatizo Lugha ingefaa ungekuwa unatutafsiria au uwe unatuweka subtitles za kiswahili maana video km hii hata mm nimetaman kuiangalia LAKINI Lugha siifaham, Tena ingekuwa Kuna mtu anatafsri neno kwa neno Kama hizi movie zinazoangaliwa Azam Tv NAIMANI hiyo inawezekana ikishindikana basi hata subtitles za kiswahili.Ni maoni yangu kaka
@petronyereresaliboko4047
@petronyereresaliboko4047 2 месяца назад
Watu kama hawa Walitakiwa waje pindi kile cha majanga ya lisu
@ezekiambise2595
@ezekiambise2595 2 месяца назад
Conversation was very tough
@lucymtui8680
@lucymtui8680 2 месяца назад
She took some medication to be calm Propranolol inveatable here
@leonarddamian
@leonarddamian 2 месяца назад
She got iron heart
@rashidchimwenda
@rashidchimwenda 2 месяца назад
Hawa wenyewe wamefundishwa kufanyiwa na kuhimili interrogation tena zenye mateso. Hayo mahojiano ya maneno tu ya wana Congress kwake ilikuwa kama Bubble gum. Kijike Cha nguvu 😀
@ramamabinda5063
@ramamabinda5063 2 месяца назад
Duuh aisee
@belyseirakoze5371
@belyseirakoze5371 2 месяца назад
Dj sma tutafutie habari ya Oman tuulikio la watu kupigwa risasi muskitin al Kabir ilikuwa tarehe kati ya 17 hadi 20chanzo kilikua nini
@خسنموس
@خسنموس 2 месяца назад
Mi pia nataka kujua
Далее
Matangazo ya Dira ya Dunia TV Alhamisi 11/07/2024
28:24
Million jamoasi - Amerikaga sayohat
12:37
Просмотров 220 тыс.
Mreža, 15.10.2024.
57:38
Просмотров 2,8 тыс.
Around the World with CIA Director William J. Burns
58:34