Huyu mama ni mwerevu sanaa na ana upeo mpana sanaa wakuona mbali angekua mzazi mwingine angetaka mwanae akachez simba sababu ya ile kufika robo maranying mfululizo lakini yeye akasema hapana Kwa aina ya uchezaji wa mwanangu inatakiwa aonekane na falsafa ya yanga ndio itakayo mfanya mwanangu aonekane hakika mama umefanya vema sana Kwa kipaji cha mwanao Aziz k Kwa ubora alio nao ofa nyingine nyingi zita kuja🎉
Kweli yangu ni klabu kubwa kumbe inaushawishi mkubwa sana Afrika mimi pia napenda sana mpira wa yanga nimzuri wakisasa pasi nzuri yaani nimeshindwa kujizuia kwa maelezo haya ya mama ki hii yanga inakwenda kua daraja kubwa la kuwavusha wachezaji wa Afrika kwenda kwenye ligi kubwa duniani hongereni viongozi wa yangu mungu azidi kuwasimamia ila engineer mungu kakupa kipaji kikubwa unafanya kaz kubwa sana wengi wanajifanya hawaoni ili wajifunze kwako tutafika mbali
Makolo wakiona hii wanabaki kusonya tu. Aziz ki alichagua sehemu sahihi. Style ya uchezaji ya makolo hamna kitu, ni timu inayokuzwa na media tu ila uwanjani ni kawaida sana
Thank you mama, we are very proud of you and Azizi in general, your son has been powerful weapon in our team...you & Aziz have made yanga's fans to be happy always... May God bless you all with full of his mercy and groly.
Thanks so much aziz ki for choosing our team we love u so much wananchiiiiiii 🙏🙏🙏🙏🙏 am very proud of you magician left footer you helped as alot last season when I remember the hard time against club african but master key did it iam very happy this season we make it again no one is perfect
Hakika, mpira wa Tanzania unaunguruma kwa nguvu, na mpira wa YANGA unavutia MAGWIJI WANAOJUA MPIRA, iko wazi Masterkey aliguswa na namna Yanga inavyocheza na haya SIO MANENO YANGU weka Like Mwananchi.
Mama tunashukuru kwa kutuletea Aziz KI hapa dunian sisi kama Yanga tunasema hatuna cha kukulipa Mwenyeez mungu akupe umri mrefu ili uenjoy matunda ya mwanao
In kiswahili they say messi mweusi but for me n my team YANGA HE IS MORE THAN MESSI I CAN SAY WOW WOW WOW WE YANAG FAN THANK U FOR ALLOWING HIM TO PLAY FOR YANGA
Sasa naona umuhimu wa kuwa na shule zenye mkondo wa michezo ziwe nyingi kila nchi watoto hawataacha shule maana watapata like wanachokipenda na wakati huohuo wanapata elimu .