Тёмный

USIKU WA KISASI || VITASA || TONY RASHID vs BONGANI MAHLANGU - 25/02/2022 

Azam TV
Подписаться 2,7 млн
Просмотров 229 тыс.
50% 1

Bondia wa Tanzania, Tonny Rashid akirudisha mkanda wa African Boxing Championship alioupoteza mwaka jana kwa bondia Bongani Mahlangu.
Pambano la raundi 12 likimalizika kwa tony kushinda kwa pointi.
Tazama matukio muhimu ya "bout" hiyo.

Спорт

Опубликовано:

 

25 фев 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 111   
@maumbakasanga2203
@maumbakasanga2203 2 года назад
Nimependa alichokionyesha Mwakinyoo bigup brother kumpa support jamaa
@hassankisuke5356
@hassankisuke5356 2 года назад
Huyu Bongani ni hatari Sana mwepesi halafu Yuko chap,Hongera Tony umemshinda bondia mgumu sana
@josephlawrence1145
@josephlawrence1145 2 года назад
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. TONY kaupiga mwingi japo sisi wabongo huwa hatupendi ku-suport wa kwetu
@hawangwalima347
@hawangwalima347 2 года назад
Kabissaaaaa
@emmanuelmasse6219
@emmanuelmasse6219 2 года назад
Moja ya kazi ngumu duniani ni hizi Bora hata kulima au kuchunga hii ni moja ya kazi inayokutaka uwe na moyo wa kujitolea kwelikweli maana ukiwa mzembe kidogo tu mwenzio anakulemaza au kukua kabisa Hongera wapiganaji wote kwa uvumilivu
@dblackjafary6644
@dblackjafary6644 2 года назад
Kilakaz na ugumu wake
@hassanparamana2215
@hassanparamana2215 2 года назад
Anaitwa Tony Rashid 🥊💥🇹🇿🇦🇪
@godfreysudi7264
@godfreysudi7264 2 года назад
Safi sana mwakinyo nime penda jinsi ulivyo mpa support tony
@hermanndongolo1550
@hermanndongolo1550 2 года назад
Nimeangalia zaidi ya mara 4 Kama hujui ngumi utasema tony Rashidi amebebwa lakin msouth bondia mzuri sana lakin amepiga ngumi nyingi kwenye gloves hazina point lakin tony amepiga ngumi chache zenye pointi sana ushindi halali kabisa tony hongera kwake
@binhussain3445
@binhussain3445 2 года назад
Upo sahihii
@amourdaty8528
@amourdaty8528 2 года назад
Wewe ndio hujui ngumi unataka kutudanganya na maneno yako ya kitoto. Ungesema2 mcheza kwao hutunzwa ungeeleweka. Sio utake kujifanya unajua ngumu na kuwatoa wenzako ufahamu
@kassimshabanially655
@kassimshabanially655 2 года назад
@@amourdaty8528 hujui mchezo wa boxing 🥊 bora ukojoe ukalale au unahic kila kumi inayo rushwa inahesabika ngumi inahesabika kwa kuangalia imepga sehem gan ya mwili si kila sehem tu inahesabika pia kuna aina na uzito wa ngumi yenyewe na point zake
@graphixmaster6146
@graphixmaster6146 2 года назад
Zilikuwa zinapenya boss
@saheelameir4313
@saheelameir4313 2 года назад
Tony kapigwa
@abubakarnabahani4994
@abubakarnabahani4994 2 года назад
Tony kashinda maana msauz mwenyewe ameonesha kukiri round zilivyoisha kabla ya matokeo ameukubali Mziki wa Tony
@johnsonnade7476
@johnsonnade7476 2 года назад
Hawa majaji hawna tofauti na marefa wa liki kuuu haaaa
@dullywamashairi121
@dullywamashairi121 2 года назад
Mtanzania ameshinda kihalali. Watu wanashindwa kujua kuwa ngumi za point ni zile zinazomfikia mtu usoni. Mpinzani alirusha ngumi nyingi lakini zinaishia katika panch, hivyo hazihesabiwi point lkn yeye amedokonyolewa nyingi usoni... na ndomana amepewa ushindi
@alfredmadoshi7393
@alfredmadoshi7393 2 года назад
The south African guy won the fight, he he got robbed.
@chensigns6748
@chensigns6748 2 года назад
Mahlangu is the real 🏆
@jasperringo8010
@jasperringo8010 2 года назад
Huyu bongani ni bondia mzuri Kilichompa Ton Ushindi,ni uwezo wa kujilinda,kupiga panchi zinazoweza kunwa na majaji wote,Bongani kasoro yake atumii akili ya kuakikisha panch zake zinaonwa n'a majaji wote. Ongera Tonny kwa Ushindi
@abeditono4322
@abeditono4322 2 года назад
Respect kwa mwakinyo kusimama bega kwa bega na Tony mfano mwema
@jumaathumani6807
@jumaathumani6807 2 года назад
Walau wangetoa matokeo ya droo but tony kushinda.kapewa tu
@damianmkuye9579
@damianmkuye9579 2 года назад
Tulibebwa tu hili pambano tulipoteza
@graphixmaster6146
@graphixmaster6146 2 года назад
Sijaona fight nzima so siwezi kujaji, ila kwa muonekano wa Highlights Bongani amefanya zaidi
@costansiavitus3921
@costansiavitus3921 2 года назад
Umenifurahisha sana toni hongera sana mm shabiki wako namba moja hongera sana
@hemedlugagala5905
@hemedlugagala5905 2 года назад
bongani💪 mchezakwao
@osianjaphet9072
@osianjaphet9072 2 года назад
Mgeni kashinda
@OmarMohamed-bp9ix
@OmarMohamed-bp9ix 2 года назад
Hatuna marefa kwenye mpira na ngumu
@TALLUBOY
@TALLUBOY 2 года назад
Kwel Leo kazi imekuwa Ya moto
@ayubumdolo259
@ayubumdolo259 2 года назад
Oyaa tony big up my brother unawezaa
@user-ot2io4cy6w
@user-ot2io4cy6w 2 года назад
Hapa ni Mcheza kwao tu 😁😁😁
@KadabraGadna-xu5ez
@KadabraGadna-xu5ez 6 месяцев назад
Mimi mtanzania lkn majaji wangumi waongo tonny kapigwa sanaaa tunapeana ushindi wa michongo tukifika nje ya nchi hatuwezi kuutetea mana ubondia wenyewe wa mchongo
@salim02tv24
@salim02tv24 2 года назад
Uyu bkngani ni bondia mzr
@Wastara001
@Wastara001 2 года назад
Akipigwa Tony,. Twambiwa ameteleza. Akipigwa Bongani twaambiwa Tony hatari.
@mbwanakiting7180
@mbwanakiting7180 2 года назад
Hivi bNgi bado zinauzwa? Aliyepigwa kashinda...nilijua atashinda maama watangazaji ata akipigwa wanasifia...aibu
@mnanasuly2585
@mnanasuly2585 Год назад
Where do you get these judges?
@mosiuledi4598
@mosiuledi4598 2 года назад
Hongera toni,,,, umejua kupiga yn ngumi zilikuwa zinamfikia,,,,kwl kwl
@nicksonbrown8056
@nicksonbrown8056 2 года назад
Tony kashinda Ila msauz hatari jamani lazima nalo tulikubali
@vicentmayanda3935
@vicentmayanda3935 2 года назад
Bongo ngumi haziwezi endelea jamaa kapigwa kama punching bag
@denispeter9713
@denispeter9713 2 года назад
Azam hongera sana
@azizasuleiman4282
@azizasuleiman4282 2 года назад
Bongani ni hatari lakini ngumi hazina uzito ulioshiba..
@mwanahawa6362
@mwanahawa6362 2 года назад
Mchzi mzuree sana
@abdallahkhamisi1095
@abdallahkhamisi1095 2 года назад
Ah tonny rashid kapewa tu ila huyu msouth kafanya vizur sana
@ayubumdolo259
@ayubumdolo259 2 года назад
Tony ameonyesha uwezo wake na ushindi wake niwa kihalali kabisaaaa
@erickyahaya6784
@erickyahaya6784 2 года назад
TONY kashinda sema angempiga K.O ndo angemaliza maneno ya kila dauti
@godfreylutengano9367
@godfreylutengano9367 2 года назад
Mbona mimi naona Tony kashinda kabisa,nafkili watu hawaelew huu mchezo
@officialvictor2021
@officialvictor2021 2 года назад
Big up
@coolruler6820
@coolruler6820 2 года назад
Shida ya bongo washauri kibao na kuongea bila mpangikio kunakopelekea kumvhanganya bondia asijue cha kufanya
@Officalnaph
@Officalnaph 2 года назад
TON AMESHINDA KWA KIHALALI KABISA
@nuruworldinsight2957
@nuruworldinsight2957 2 года назад
Msameheni Tony Rashid @3;11 labda hakuelewa lugha ya umombo STOP ina maana gani 😂😂
@odhiaodhia9898
@odhiaodhia9898 2 года назад
Droo
@predictioneasyodds2779
@predictioneasyodds2779 2 года назад
Mwakinyo alivyova bana👊
@juliuskandore6138
@juliuskandore6138 2 года назад
Tony anatakiwa arudi class, huyu bongani anatisha
@robertthomas3436
@robertthomas3436 2 года назад
Hii ni aibu sana kwa familia ya mabondia nchini mwetu, Mtu anapigwa wazi kisha majaji kwa makusudi wanaamua kumbeba,kwa mwendo huu kamwe hatuwezi kufika mbali,tutabaki na kubeba wanaspot wenye uwezo duni, ukweli nimeusema siw3zi kuwa adui( mnyonge anyongwe lkn haki yake apewe) Bongoni played well supposed to won.
@salimramadhani5237
@salimramadhani5237 2 года назад
Sasa Tony kashindaje sasa
@abdallaabedi2354
@abdallaabedi2354 2 года назад
Hahahaha acha izo😊
@richardnganya2311
@richardnganya2311 2 года назад
Si yupo kwao !!
@Michaeljacksonpeter-yw5ej
@Michaeljacksonpeter-yw5ej 2 года назад
Naomba mnisaidie ndugu zng ile nyimbo aliyoingia nayo bondia bongan malhangu inaitwaje kama mtu anaijua anisaidie
@hassantabasam6632
@hassantabasam6632 2 года назад
Tony jamaa angekukalisha tena
@rizzyfficialboy.4235
@rizzyfficialboy.4235 2 года назад
Kiukweli Tonny amepigwa bhn ila nyumbani ni nyumbani
@Officalnaph
@Officalnaph 2 года назад
wewe ni mwanamke eeeh
@edwardmihale6579
@edwardmihale6579 2 года назад
Hujui ngumi wewe angalia ngumi zilizomfikia kichwani ama usoni yule msauz kacheza hewa nyingi na point nikichwani tu ndipo wanapohesabu ndiyo maana ukipigwa moja nzuri kichwani wanaita KO haijalishi ulirusha ngumi zaidi je umempiga usoni?nadhani umeelewa hapo jielewe
@directorrey8665
@directorrey8665 2 года назад
Kapigwa huyo waziwazi sema upendeleo was majaji tu
@lama6310
@lama6310 2 года назад
Azam achaa mambo yenuuu😌mm nlikuwepo uwanjan mbna hatuoni sehem Tonny alipigwa
@erastoerasto4561
@erastoerasto4561 2 года назад
Wanaeka nusu
@Jastus100
@Jastus100 2 года назад
Mtanzania kapigwa
@amedeusvmkenda7812
@amedeusvmkenda7812 2 года назад
Maaa
@tumainielkitundu756
@tumainielkitundu756 2 года назад
Champion Tony
@jumaally7021
@jumaally7021 2 года назад
Wote tuna macho lkn msaudhi ndio sawa
@hassantabasam6632
@hassantabasam6632 2 года назад
Mzulu kakazaa kinoma yan
@yusuphswai6851
@yusuphswai6851 2 года назад
Nyie angalien pamban zima ndio mtajua ameshinda ameshindwa sio mnaangali ivi vishort video ambavyo vimekatwa ivi
@shijamakoye6544
@shijamakoye6544 2 года назад
Ningekuwa Mimi hii ngoma droo hakuna mshindi huu ushindi wakupeana kisa uko home ground kwangu usingepata
@davidtseeblessedsound5438
@davidtseeblessedsound5438 2 года назад
I love Tz boxing but this one wasn't fairly decided!Tz boxer lost it!
@jamesmajengo7927
@jamesmajengo7927 2 года назад
Wabongo badosan
@flova7022
@flova7022 2 года назад
Kwamimi hii ni droo
@nikohalotel9750
@nikohalotel9750 2 года назад
Tony juu
@millitarybattalion7515
@millitarybattalion7515 2 года назад
Tony alipigwa ila ninachoona ni upendeleo wa waziwazi .. na nyie watangazaji mlitakiwa mchambue mchezo na sio kumsifia tu TONY mnampoteza Radha ya pambano .. wachambuzi kama hawa hawafai kabisa ndio maana mna mkataa RASHID MATUMLA kwakuwa Hana upendeleo na anachana live
@abuuthauran9933
@abuuthauran9933 2 года назад
Tony umepigwa
@yujinxhing3766
@yujinxhing3766 2 года назад
Hawa si walishacheza hawa!?
@makunja1985
@makunja1985 2 года назад
Tony hili pambano mchezo kwao utunzwa, ushindi sio Wa kihalali huo
@ismailothman8063
@ismailothman8063 2 года назад
hoviyooooo we mtusi so mtanzania
@simonmadiba2053
@simonmadiba2053 2 года назад
Kiukweli ushindi una makandokando
@anabelaalberto5201
@anabelaalberto5201 2 года назад
Chetani anansinguca APA duniani,
@jakalajuma1625
@jakalajuma1625 2 года назад
Tz kwanza.
@yujinxhing3766
@yujinxhing3766 2 года назад
Asa huyu tony kashinfaje hili pambano!?
@eggysulle7988
@eggysulle7988 2 года назад
Walisema kabebwa wanijuze
@abasijuma5055
@abasijuma5055 2 года назад
Hiyo sio kisasi tony alitakiwa apige ko ...bado msauth yuko juu
@mnanasuly2585
@mnanasuly2585 Год назад
Judges from tanzania are always stupied they shouldnt be given chances to rule out . I am tanzanian but they are so disappointing with to much biasness
@davidchihimba9489
@davidchihimba9489 2 года назад
Tony na mwakinyo
@yohanayohanaadamu6483
@yohanayohanaadamu6483 2 года назад
Huyo tony amuna k2 kabisa ha ha ha ha kwel ule msemo wa mcheza kwao hutunzwa hawakukosea
@halfahalfa9728
@halfahalfa9728 2 года назад
Ushindi wa kipumbavu kabisa Jitu limepigwa kama fuko halafu mnampa ushindi eti😃😂😂
@barakajumanne8972
@barakajumanne8972 2 года назад
Dar hongera kwa Rashida
@yusphallyraheem4755
@yusphallyraheem4755 2 года назад
Kudere kapigwaaaa
@innocentmushi3036
@innocentmushi3036 2 года назад
Watangazaji wapuuzi, ukiwa mtangazaji hutakiwi kuwa biased kwa kiasi hiki. 🚮🚮🚮🚮🚮
@salim02tv24
@salim02tv24 2 года назад
Uftili ngum ww ... Lazma wawe upande wa tony ..
@millitarybattalion7515
@millitarybattalion7515 2 года назад
Nakuunga mkono wanapoteza Radha ya mchezo
@jumamohamed7720
@jumamohamed7720 2 года назад
Bongan chali 😂😂😂
@zuberinjiko5463
@zuberinjiko5463 2 года назад
J
@erickwilliam898
@erickwilliam898 2 года назад
Mnatangaza kiushabiki tatzo nyie
@frankmalema5350
@frankmalema5350 2 года назад
Bado sana safari ya mafanikio kwa staili hiitutachelewa sana
@laindaruwesh255
@laindaruwesh255 2 года назад
Tony bana bado hyu jamaa mkal
@Smartboy-wt1es
@Smartboy-wt1es 2 года назад
Mmmh hapa bila shaka tumebebana 🤣tunahitaji VAR lkn sio kama ile ya man city😠
@robertthomas3436
@robertthomas3436 2 года назад
Hii ni aibu sana kwa familia ya mabondia nchini mwetu, Mtu anapigwa wazi kisha majaji kwa makusudi wanaamua kumbeba,kwa mwendo huu kamwe hatuwezi kufika mbali,tutabaki na kubeba wanaspot wenye uwezo duni, ukweli nimeusema siw3zi kuwa adui( mnyonge anyongwe lkn haki yake apewe) Bongoni played well supposed to won.
@richardnganya2311
@richardnganya2311 2 года назад
Ndio maana hatufiki mbali
Далее
💜☀️✨
00:47
Просмотров 509 тыс.
VITASA NIGHT || IDD PAZI  vs ALLY CHUMA - 25/02/2022
15:19
Haidari Mchanjo Vs Said Chino | Full Fight
36:18
Просмотров 26 тыс.
Не надо толкать, надо бить🥊
0:20