Тёмный

USIKU WA VITASA: TKO ya Jongo Jongo ‘ilivyodondosha mbuyu’ 

Azam TV
Подписаться 2,7 млн
Просмотров 127 тыс.
50% 1

Shuhudia namna Shaban Jongo maarufu Jongo Jongo ilivyowalipua mashabiki baada ya kumpiga Alphonse Mchumiatumbo kwa TKO.
#Live #AzamSports2HD #Boxing #Vitasa #UsikuWaVitasa #NgumiJiwe #KidukuVsSirimongkhon #LiveAzamSports2HD
#PTASabasaba
Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► bit.ly/2wB6zmR
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: / azamtvtz
►INSTAGRAM: / azamsports2
►TWITTER: / azamtvtz
►FACEBOOK: / azamtvtz
►WEBSITE: www.azamtv.co.tz

Опубликовано:

 

13 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 78   
@malikihashimu9379
@malikihashimu9379 3 года назад
Mnachonkera watangazaj mnapenda kubeza wapganaj bila kujua uwezo wake ...........jongo big up
@is-hakacena78
@is-hakacena78 3 месяца назад
Jongo jongo the best 👊🏿👊🏿👊🏿
@miriamlotti7297
@miriamlotti7297 3 года назад
Good Game, Good JongoJongo
@zephaniaowigo9734
@zephaniaowigo9734 3 года назад
Waoo, ili ni bonge la game. Sijawai kuona game nzuri Kama hii bongo, big up
@mariamibrahim7761
@mariamibrahim7761 3 года назад
Woow safi sana sheby jongojongo upo vizuri sana umetisha sana
@hamoudcreator6343
@hamoudcreator6343 3 года назад
Nomaaaaaaaaaaaa Sanaaaaaaaa Hiiii 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Azamtv Tunashukuru Sanaaaa
@furahambughi4977
@furahambughi4977 3 года назад
Ngumi zimepigwa vizuri sana. Kwa mtu yeyote anayejua mchezo wa ngumi atakubaliana nami kuwa ngumi zilikuwa nzuri sana. Ila watangazaji mnahitajika kuboresha utangazaji wenu kwenye ngumi. Mnatakiwa kutangaza ngumi zinazopigwa. Lakini naona na nyie mnakuwa watazamaji zaidi. Kama mtu anasikiliza anatakiwa aelewe nani anapigwa na kwa namna gani hata bila kuona!
@wamoroboy8963
@wamoroboy8963 3 года назад
Saf kabs👏👏👏
@suleimanomar5956
@suleimanomar5956 3 года назад
Jongo Jongo mtu hatari...Big up Mwamba
@zaharaaissaa5935
@zaharaaissaa5935 3 года назад
Katika game zote hii ilikua nzuri sana
@Mpakauseme
@Mpakauseme 3 года назад
Jongo jongo jongo kiboko
@sissoalfred7259
@sissoalfred7259 3 года назад
Mechi nzuri hiii ndio game sasa
@iddijumangakonda8044
@iddijumangakonda8044 3 года назад
"One love"Mchumiatumbo umeongea kisport!
@djmtengwatz1099
@djmtengwatz1099 3 года назад
Jongo Jongo Kutoka Bagaamoyo💪
@rahiimabduli7525
@rahiimabduli7525 3 года назад
Nakubali home boy
@eventelias3566
@eventelias3566 3 года назад
Jongo Jongo inabidi ajiite "Jongo Jongo the competitor"
@almuhtaramzamil
@almuhtaramzamil 3 года назад
Jongo kama Ken Norton ukipiga yeye anakuja tu,jamaa ni fearless yupo very aggressive..Mchumia Tumbo mzoefu walaakin anaonekana hakupata mazoezi ya kutosha sana.Tukipata Rematch InshaaAllah tutashuhudia pambano zuri zaidi! 👊
@AbdulkadirSoud
@AbdulkadirSoud 3 года назад
Big up kwa Jongo Jongo! Bagamoyo stand up
@renatusrweyemamu6611
@renatusrweyemamu6611 3 года назад
Nimependa ngumi za huyo Jongo jongo
@shaabanramadhan6770
@shaabanramadhan6770 3 года назад
Jongo jongo yupo fiti tatizo umri umeenda lkn km si umri jamaa angekua moto san
@safarimallya4536
@safarimallya4536 3 года назад
Umekuaje umri Mbona yupo mdogo
@frankevaristo6918
@frankevaristo6918 3 года назад
Jamani wadhamini msaidie jongo Ana uwezo binafsi
@najmagudeh203
@najmagudeh203 3 года назад
Big up jongojongo
@nimrodsigulu2053
@nimrodsigulu2053 3 года назад
Huyu jongo atakuja kuua mtu..shauri yenu
@agreyyohana3673
@agreyyohana3673 3 года назад
Hapa ndio nimeburudika sana kuliko pambano la kwanza ongera sana jongo jongo safi sana
@baltazalbusanya8851
@baltazalbusanya8851 3 года назад
Jamani twendeni tusapoti boxing nao tz
@abedimbonde7557
@abedimbonde7557 3 года назад
usiku WA kisasi
@TaniBlatant93
@TaniBlatant93 3 года назад
HAYA MAPAMBANO NGUMI VITASA KM MKIYAWEKA LIVE HUKU RU-vid ITAPENDEZA SII TUPO MBALI TUNAANGALIA KUPITIA AZAM MAX ILA NI SHEEDA TUPU AZAM MAX SIO NZURI HAIKO STABLE KILA MUDA INATOKEA ERROR NAKOSA UHONDO WEKENI RU-vid KAMA TAARIFA YA HABAR MAPAMABANO KM HAYA YA NGUMI.. ERROR YENYEWE NI SOMETHING WENT WRONG TRY AGAIN LATER:170006
@Ram_1893
@Ram_1893 3 года назад
Tafadhali nifahamishe jinsi ya kutumia Azam Max maana Azam TV nimewauliza sana kwenye Facebook naona hawana shida ya pesa
@abelpaul5235
@abelpaul5235 3 года назад
Ahsnt sana Jongo jongo kumpga huyo bonge wa utopolo kaja na mbwe mbwe
@dilipdab3714
@dilipdab3714 3 года назад
Kweli.mchezoo.mzurii
@jongochilumba447
@jongochilumba447 3 года назад
Wajina hatari jongo jongo
@yusuphamani72
@yusuphamani72 3 года назад
Hivi kwa nini ulingon hamuweki mlango, kama mm natoroka kwa kweli
@minskbelarus7255
@minskbelarus7255 3 года назад
Ukijaribu tu kutoroka; mashabiki wanakurudisha au unaitiwa MWIZI
@maikompomongo4902
@maikompomongo4902 3 года назад
Jongo Ni fund
@mohamedhamadi1056
@mohamedhamadi1056 3 года назад
Pambano bora la mwaka....
@emmanuelmasse6219
@emmanuelmasse6219 2 года назад
Hawa majamaa wote Wana nyama za kupigana sio bondia mifupa inaoneka mwili mzima Kama vile kakonda Hawa ndio mabondia Sasa
@abuunyalioto1752
@abuunyalioto1752 3 года назад
Jongo jongo fundi
@rosetenga6979
@rosetenga6979 3 года назад
Jongo jongo hataree
@emanuelmsigwa4735
@emanuelmsigwa4735 3 года назад
Tz mabondia tunao .wafanye mazoezi zaidi halafu watafutiwe mapambano ya nje wako vzr
@tomdee7504
@tomdee7504 3 года назад
Hahahaha noma Sana hili pambano nikali kushinda yote
@dicksoniaidani3822
@dicksoniaidani3822 3 года назад
Kalibuni Sharif boxing gym Bagamoyo
@akilimembe2049
@akilimembe2049 3 года назад
Nimeipenda fair play iliyoonyeshwa baada ya mchezo
@eventelias3566
@eventelias3566 3 года назад
😄😄😄
@salim02tv24
@salim02tv24 3 года назад
Mchumiatumbo ..kwell ni mshindani
@minskbelarus7255
@minskbelarus7255 3 года назад
Ukisikia BLEK....... unasimama😅😅😅😅😅😅😅
@charleskaozya9924
@charleskaozya9924 3 года назад
Yalimtokea hata Antony Joshua hayo😂 mchumia tumbo alichakaa Kama kalewa banana
@mbaroukkhamis7077
@mbaroukkhamis7077 3 года назад
Ukopoa
@salumdaima1672
@salumdaima1672 3 года назад
Huyu jongo jongo anabonda kama tyson migumi yake ana migumi mizito mamaee
@Mpakauseme
@Mpakauseme 3 года назад
Yupo vizur
@AbduRahman-os2vx
@AbduRahman-os2vx 3 года назад
Hizo ndio ngumi mashabiki tunaka kuona.
@abuuayubuassalafiyu3642
@abuuayubuassalafiyu3642 3 года назад
Mwandishi maswali gani hayo??
@eventelias3566
@eventelias3566 3 года назад
😄😄😄
@bekamaujuz
@bekamaujuz 3 года назад
Mchuchumia tumbo kaongea point
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 3 года назад
Wote wavivu kweli mili maji
@bundukitv1322
@bundukitv1322 3 года назад
Zifahamu aina ya PASSWORD ambazo ni rahisi sana kudukuliwa👇👇 www.mrbunduki.com/2020/12/password-5-ambazo-ni-rahisi-kuibiwa-na.html?m=1#more
@hamzahussein4493
@hamzahussein4493 3 года назад
ASANTENI AZAM, Bonge la game
@Shacky-fy4qr
@Shacky-fy4qr 3 года назад
Watangazaji ndo nn sasa ha hahaha
@hamadfungo9740
@hamadfungo9740 3 года назад
Tunaomba pambano lirudiwe
@hamzamoshi8275
@hamzamoshi8275 3 года назад
Mchumia tumbo kapigwa ambakati moja matata amedondoka kama kapigwa mtama😆😆😆😆😆😆
@minskbelarus7255
@minskbelarus7255 3 года назад
Hamzaaaaaa, mshikaji wangu, afadhali ungesema "CHAPATI " kuliko" Ambakati"😂😂😂😂😂 hebu jaribu " UPPERCUT " Tamka na usiandike🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@Ram_1893
@Ram_1893 3 года назад
@@minskbelarus7255 Kama mabondia tu wenyewe hao hapo studio ambao ni wachambuzi wanaita AMBAKATI usitarajie washabiki tukaita UPPERCUT aisee
@salumumkugwa825
@salumumkugwa825 3 года назад
Ngumi hazina mwenyewe lolote linaweza kutokea. Leo Jongojongo mwamba
@alfredmapenza7970
@alfredmapenza7970 3 года назад
Sio Siri jama jongo yupo vizuri hongera Sana,
@hamisikapaya7865
@hamisikapaya7865 3 года назад
Tuko afrikana
@deusmauka9626
@deusmauka9626 3 года назад
Bonge kachoka
@hamzaadrin941
@hamzaadrin941 3 года назад
Boya ww mchumia tumbo anakurudia tena
@flowinkilangira1545
@flowinkilangira1545 3 года назад
😀😀mjomba vipi mbona hasira sasa wakati jamaa kapigwa na wote tumeona??
@hamzaadrin941
@hamzaadrin941 3 года назад
@@flowinkilangira1545 ha ha ha ha kweli ila mchumia yupo mazoezini sasa ivi
@antonyvallerian1718
@antonyvallerian1718 3 года назад
Bonge la game....yaan rahaa
@machinefannatic99
@machinefannatic99 3 года назад
Hii boxing ovyo sana yani nashangaa mbona bongo wanapigana kama kuku yani hakuna talent kabisa
@novahmassawe3630
@novahmassawe3630 3 года назад
Kapigane ww Kama unatalenti
@mpangampanga1609
@mpangampanga1609 3 года назад
@@novahmassawe3630 mwanangu umenifurahisha sana kwa jibu zuri
@fredichaki4868
@fredichaki4868 3 года назад
Aende yeye akapigane anataka. Ngumi zaina gani sasa watu wamepigana vizuri kabisa unaleta maneno maneno
@bosssalum1037
@bosssalum1037 3 года назад
Wakina TMT wenyewe wanakimbiagakimbiaga tu ulingon
@Mpakauseme
@Mpakauseme 3 года назад
Haujui ngumi wewe unapiga makelele na wivu wako wakipumbavu majank wakibongo wengi sikuizi akili hamna
Далее
VITASA | AMIRI MATUMLA VS REAGAN PACHO
38:11
Просмотров 28 тыс.
MIKE TAYSON VS ROY JONES - COMPLETO
31:23
Просмотров 2,5 млн
Сколько стоят роды мечты?
00:59
Просмотров 339 тыс.
Islam Makhachev vs Dustin Poirier | FULL FIGHT
24:40
Ong Bak | Fight Club Scene
15:05
Просмотров 72 млн