Тёмный

VITASA | AMIRI MATUMLA VS REAGAN PACHO 

Azam TV
Подписаться 2,8 млн
Просмотров 29 тыс.
50% 1

Bondia Amiri Matumla ameshinda kwa pointi kwenye pambano dhidi ya Reagan Pacho katika pambano la raundi kumi.
#MtataMtatuzi #VitasaNight #UsikuWaVitasa #MwakinyoVsAllotey #GoldenBoyPromotion #Vitasa #Boxing #MtataMtatuziSeason2

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 76   
@ThebestF5dj3981
@ThebestF5dj3981 Месяц назад
Courage ndeko nabiso ya Katia toujours 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@michaelmwamanda8418
@michaelmwamanda8418 4 месяца назад
Amiri kanivutia Sana kusema kweli nitaanza kufuatilia mapambno yake yote😍
@kitwanathabiti
@kitwanathabiti 3 месяца назад
Kacheza vizuri sana
@Lolandmwantona
@Lolandmwantona 4 месяца назад
Mungu amsaidie afike mbali Yuko vizuri
@kapompoto
@kapompoto 4 месяца назад
I think he is the most complete boxer in the country, his foot work,jab and punch......aaah he is everything in the modern boxing.
@husseynomar9523
@husseynomar9523 4 месяца назад
AMIR MATUMLA 🎉❤
@dastopadady2402
@dastopadady2402 4 месяца назад
Wakwanza rk zangu 🎉
@MjumbaMike
@MjumbaMike 2 месяца назад
Ndondi familyi haowote wanajua amir yukofiti mikamamimi namkubali
@AbdallahSalum_dullayo
@AbdallahSalum_dullayo 4 месяца назад
Uyo Amir kapewatu ushindi kama ngumi kufika usoni ndio point basi mkongo kashinda jamaa kapelekasana moto kwaAmir ila mnampambatu wa nyumbani cjapenda Tueni wakweli mana tunaona 😊
@husseynomar9523
@husseynomar9523 4 месяца назад
"Anakwepa kama Nyoka"... Asiisikie Leonard mchekeshaji... shenzi😂😂😂
@MwanahiddNass
@MwanahiddNass 4 месяца назад
Dah kweli hii Ndio Tanzania 😢😢😢 Yani huyo Amiri ajapiga hata ngumi moja sijajuwa kashindwa vipi
@Joekwid960
@Joekwid960 4 месяца назад
Haujui boxing aisee
@patrickmuvendi142
@patrickmuvendi142 4 месяца назад
Amiri yupo vizuri!
@jofreymsomba4652
@jofreymsomba4652 4 месяца назад
Noma sana hii🎉
@JamalDaudlulyeho
@JamalDaudlulyeho 4 месяца назад
Mwakinyo sangp jaman mbona sielew kabisa Leo
@selemanmaganga-le4zg
@selemanmaganga-le4zg 4 месяца назад
Mwakinyo Leo hapigani!.
@LangxSheby
@LangxSheby 4 месяца назад
Eeeh ila uyu mkongo nae nyoko 😅 yuko vizuri
@geofreymongi5403
@geofreymongi5403 4 месяца назад
Amiri anajua
@PuzzleMc-zp2lg
@PuzzleMc-zp2lg 4 месяца назад
Amili yuko vizuri atafika Mbali sana dogo
@mwanzacarpenter
@mwanzacarpenter 4 месяца назад
Amir yupo ki star
@stevenkimaro65
@stevenkimaro65 4 месяца назад
Amiri yupo vizuri sanaa
@eddykatamba1008
@eddykatamba1008 4 месяца назад
amiri upo vizuri sana pambana
@KabudukiMwakatapa
@KabudukiMwakatapa 28 дней назад
Amiri mwmb✊🏿
@MwazoaMwazoa
@MwazoaMwazoa 4 месяца назад
Ni kipaji kizuri sana lkn nimempenda nidhamu na kujishusha hana majigambo na anamuheshimu kila mtu.Namuombea mungu aweze kua na ulengaji makini zaidi kama Ami yake mbwana matumla atafika mbali sana
@matatamwaipopo-rp4vz
@matatamwaipopo-rp4vz 4 месяца назад
Amili hupo vizuri nakukubali
@amosiaswile830
@amosiaswile830 4 месяца назад
For today this is best
@abdulsintoro5797
@abdulsintoro5797 4 месяца назад
Amir yupo vizuri sana…kwa mchezo anao pigana Amiry hata mwakinyo na Twaha wana kaa…
@enoshmhemakapaya
@enoshmhemakapaya 4 месяца назад
Aiseeee huyu matumla nihatari saaaaaaaana,,,,,,,,,,Namuona mbaaaaali saaaana
@HassanNada-e9x
@HassanNada-e9x 3 месяца назад
Jaman huyu mtoto anairudisha matumla family kwenye raman kama umewah kucheza ngumi bas amiri ana art ya ngumi
@jumamfaume507
@jumamfaume507 4 месяца назад
amir fundi sana hizi ndizo ngumi sana
@EfraimMwakanyamale
@EfraimMwakanyamale 4 месяца назад
Ndiomaana mumeamua kusitisha pambano lamwakinyo kwasababu mmesha muandaa mtu ambae anaweza kuburudisha box
@rewardyesse7314
@rewardyesse7314 4 месяца назад
Mnasifia ujinga,,amiri hamna kitu hana target
@robertelifas5229
@robertelifas5229 4 месяца назад
Kwenye screen ni mwendo wa matangazo tu vip Kuna pambano kwel la mwakinyo ?? Maana Hadi mida hii ya saa nane bado kimya
@LangxSheby
@LangxSheby 4 месяца назад
Daaaah umeme ulikata tulia nilimalizie ili pambano tuache utan Dogo matumla asipo kuja kulewa sifa atakuja kuwa ndio namba 1.2.3 hapa tz anapgana vizuri
@SarahMlay-is9ji
@SarahMlay-is9ji 4 месяца назад
Sasa
@MwanahiddNass
@MwanahiddNass 4 месяца назад
Yani dah mshindi Feki
@robertelifas5229
@robertelifas5229 4 месяца назад
Bongo bana et pambano tarifa zinasemekana kuwa mwenye mkanda hapatikani kwenye sm😁😁😁
@ShanelLujija
@ShanelLujija 4 месяца назад
Majaji wanazingua sana
@athumannassoro5073
@athumannassoro5073 4 месяца назад
Tumepigwa halafu tumeshinda hii ni aibuu mii unafiki staki tumepigwa tumebebwa😅😅😅
@husseinshamte7129
@husseinshamte7129 4 месяца назад
New Boxer Anakila kitu kwakweli
@geraldlyimo2859
@geraldlyimo2859 4 месяца назад
Mmebondana vzr km ni hela gawaneni nusu kwa nusu
@AlexChisengo
@AlexChisengo 4 месяца назад
Mwakinyo vp mbna mpka mda huu atuelewi sasa saa 8 hii akuna pambano watuambie kama akuna pambano tukalale ze2 😮
@kennedykassian5269
@kennedykassian5269 4 месяца назад
Wanakera sana wametuhadaha tuu asee
@TwahaYusuph
@TwahaYusuph 4 месяца назад
Mmmmm mwakinyo kulikoni mbona bahada ngum Wana tuletea matangazo
@SudaisAhmed-hw8ww
@SudaisAhmed-hw8ww 4 месяца назад
Hii pambàno si mchezo ila Dua tu kwa wakwetu mwakinyo
@dullamuso6955
@dullamuso6955 4 месяца назад
Hakika namuona Matumla mpya uwanjani, Tuliowahi kumuona Matumla ulingoni tume furahi
@DurahRich
@DurahRich 4 месяца назад
Huyo dogo Amiri anavyomove na kuambush mapigo faster na kwa umakini kajidhihirisha ana uinternational ndani yake. Huyu tumpe miaka mitatu tu ni zaidi ya Hassan Mwakinyo.
@damasmayanja2930
@damasmayanja2930 4 месяца назад
Amir Matumla atakuja kuwa Bingwa wa Dunia ndani ya miaka 5 hii, tunzeni sms hii, tunza afya dogo fanya mazoezi endelea kujifua na kujinoa.
@jaydon3361
@jaydon3361 4 месяца назад
Dogo najua sana akipata connection anafika mbal
@IssaHussen-qb8kz
@IssaHussen-qb8kz 4 месяца назад
Unazingua waandaaji wot Kam mlikua mnamambo yenu mue unawawek watu wazi maan Kwa ivo mnavo Fanya mtakosa hata mashabik wenu ko mnapokua mmehairish mambo yenu mue mnatoa taarifa mapema nasokusubir mpaka watu wamepotez viingilio vyao ndo mnakuja kusem mnavo vijua we unadhan Nan atakuelew etty
@timetravellor5367
@timetravellor5367 4 месяца назад
Tumekaa mpaka sasa ila kimya Mwakinyo vp yaani mumezingua
@ABM1963
@ABM1963 4 месяца назад
Mwakinyo mapambano yake mengi ni figisu tu! Sasa hili la leo aibu ingine.
@Charlespeter-yo2my
@Charlespeter-yo2my 4 месяца назад
Mwamba kwa mwakinyo hakuna pambano
@BarakaMwaikwila
@BarakaMwaikwila 4 месяца назад
Kwa kwely wanazingua mnatukalisha mpaka saa nane alafu pambano linakuwa hamba
@abasmwika3432
@abasmwika3432 4 месяца назад
Sasa Amiri kashindaje hili pambano yani hamna hamna ingekua sare jamaa hajapigwa sio kweli
@Musangoma-n9y
@Musangoma-n9y 3 месяца назад
Kiha lali kapiga
@Akili6heri
@Akili6heri 4 месяца назад
Nyie mnaoandaa mapambano,, muandalieni matumula jr mapambano ya kupigana nje ya nchi achaneni na hao wakongwe washachoka.
@muzhokanta
@muzhokanta 4 месяца назад
Dah hili pambano ni nyoko😂😂l
@MpoiMakka
@MpoiMakka 2 месяца назад
Amili kiboko
@MejaMkorofi
@MejaMkorofi 3 месяца назад
Amirri kafeli laiti hajui kutumia
@absafetymasters
@absafetymasters 4 месяца назад
Amiri akifocus atafika mbali ila anawenge
@Chemba67
@Chemba67 4 месяца назад
MKONGO MMEMDHURUMU......MATUMLA HAKURUSHA PUCH YEYOTE YENYE KUONEKANA WAZI NA KUMDHURU MKONGO
@ShanelLujija
@ShanelLujija 4 месяца назад
Mkongo kashinda ila tz tunazingua
@Joekwid960
@Joekwid960 4 месяца назад
Kashinda njaa
@Chemba67
@Chemba67 4 месяца назад
HUYU MWAMUZI KAZUBAA KAMA SENGA...........KWA KASI YA PAMBANO HILI HUYU REFA HAFAI
@andrew0502
@andrew0502 4 месяца назад
Sasa Mwakinyo anacheza saa nane au, aaah mnaboa,, watu walale saa ngapi sasa. Jitahidini main fight iwe inaanza walau saa sita kamili
@nsajigwamwasumbi4990
@nsajigwamwasumbi4990 4 месяца назад
Amiry kabutuliwa, tumembeba
@JaphetVenance
@JaphetVenance 4 месяца назад
Bola we umesema ukweli huyo matumla hamna kitu anacheza Kwa kujisikia hata hajui
@Joekwid960
@Joekwid960 4 месяца назад
15:33 15:42
@Joekwid960
@Joekwid960 4 месяца назад
18:00
@Joekwid960
@Joekwid960 4 месяца назад
19:15
@jurmainezaidi739
@jurmainezaidi739 4 месяца назад
Hujui ngumi wew😂😂😂
@patrickndelwa8903
@patrickndelwa8903 4 месяца назад
Hapo hakuna refa
@kenedysamwel9863
@kenedysamwel9863 4 месяца назад
Aisee ni kweli
@eliaskisanga2342
@eliaskisanga2342 4 месяца назад
😂😂😂😂
Далее
Слушали бы такое на повторе?
01:00
Тренеруем память physics drop 103 - 104
00:51
When A Gang Leader Confronted Muhammad Ali
11:43
Просмотров 9 млн