Тёмный

DK SURE ALIVYO ITA MAJINI LIVE, WANASEMA MIMI NI MCHAWI KISA MAJINI 

Mbengo Tv
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 71 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

30 май 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 489   
@muhsinkimaro4283
@muhsinkimaro4283 Месяц назад
Shekh tunakusikiliz sana, kwa mgen ndo atakuw hakuelew, Allah anasema hakufanyen marafik wa kijin na mashaitwan ila kwa waliopotea
@SAULINDINADYO
@SAULINDINADYO 21 день назад
mwenyezi MUNGU ndiye anaye watibu na kuwaponya wanadamu! Walimwengu jahadharini na elimu zisizomtukuza MUNGU! ALLAH SUB HANAL WATAAL atujaalie Toba jamani
@papawillieseismicentertain3119
@papawillieseismicentertain3119 Месяц назад
Ndiyo kuna majini ma wazuri, na kunao wabaya. Lakini sio lazima kushirikiana nao ata kama ni wazuri. Wapo na dunia yao, na sisi tuna dunia yetu ijapokuwa sote tunaishi pamoja ulimwenguni. Na Allah S.W.T alituuambia tusihirikiane nao ata kama ni wazuri. Quran ndo tiba na shifaa ya kila kitu. Mwenyezi Mungu atuepushe katika hizi mitihani zote
@YusufMwalimu-nu4no
@YusufMwalimu-nu4no 21 день назад
Msikilizen huku Mzee kwa makini jamani sioni kama anapotosha wallah Imani imetujaa kiasi ya kua wajinga na tunateseka tukisema inshallah kesho ntapata den leo tunalala njaa
@RojaKhaan
@RojaKhaan 13 дней назад
Site tuna akili zetu piya tumesom tulicho Soma niuliz hivi hakuna sehem mtume kaongea nao ? Pig uwa jibu nikwamb nimara kibao amezungumza nao Sasa swali hapo mtume hajashirikian nao? Tumludie mungu tusimkandamize mtu ety kisa ww sjui ni answari mhabi sjui ni Nani site tufuate haQi
@user-su2is7kv3y
@user-su2is7kv3y 12 дней назад
sura ya 6 mstali wa 128 annam. Na ile Siku atapo wakusanya wote awaambie: Enyi makundi ya majini! Hakika nyinyi mmechukua wafuasi wengi katika wanaadamu. Na marafiki zao katika wanaadamu waseme: Mola Mlezi wetu! Tulinufaishana sisi na wao. Na tumefikia ukomo wetu ulio tuwekea. Basi Mwenyezi Mungu atasema: Moto ndio makaazi yenu, mtadumu humo, ila apendavyo Mwenyezi Mungu. Hakika Mola wako Mlezi ni Mwenye hikima, na Mwenye kujua
@ismailsoud3634
@ismailsoud3634 Месяц назад
Dr. Sulke, katika imani ndani ya uislamu muombwa na moaji nie Mwenyezi Mungu tu pekeyake, hivyo ukitumia majini wakuletee riziki hiyo ni fitina unamfitini Mwenyezi Mungu asijulikane. Tunaita USHIRIKINA HUO.
@salimali-rf9er
@salimali-rf9er Месяц назад
Nenda kasome bado elim yako ni ndogo
@marianaduncan6330
@marianaduncan6330 26 дней назад
Majini wote ni wabaya hakuna jini mzuri Kwa wanadamu wote ni waasi mbele za Mungu,kazi Yao ni Moja,kuchinja,kuua,na kuharibu,YESU KRISTO ni BWANA na mwokozi njoo Kwa YESU KRISTO upate okolewa kabla haujachelewa
@user-ot4rx2bl2j
@user-ot4rx2bl2j 23 дня назад
Mimi ni mwislamu lakini Hawa mashekhe wa siku hizi hapana kwakweli. Majini wote ni wazuri kwa wao kwa wao si wazuri kwa binadamu
@kudraabdul7257
@kudraabdul7257 19 дней назад
Ww ndio mtu hafai kuongea mbele zawatu ukisema hakuna jini mzuri akuna kafiri mwenye alimu nyamanza kabisa
@kudraabdul7257
@kudraabdul7257 19 дней назад
​@@user-ot4rx2bl2jkitu kama hauna elimu nacho nyamanza usiongeyi chochote sule yuko sahihi wengi masheikh wanapinga haya sule anayo yaongea zababu wameanza kutafuta mashabiki
@petromachanga5538
@petromachanga5538 15 дней назад
Jini nijini tu
@sammarley1413
@sammarley1413 12 дней назад
Maria mie napinga majini Ila pia yesu hawawezi alishindwa na mwanadan Hadi akasulubiwa kwa majini sindio atakufa kabisaaa wala hatofufuka tena
@AhmedShkeli
@AhmedShkeli 29 дней назад
Kipato kina hadaa sana watu wallah, Allah amuongoe huyu Shekh.
@faridseilan4400
@faridseilan4400 Месяц назад
Assalamu aleikum warahmatullahi wabarakatu mandugu na madada Mtume Saallallahu Aleihi Wasallam alituhimizia tusi waamini wasomaji wa ma nyota hata kama maneno yao ni kweli tafadhalini tuji chunge sana na mitandao na tusome saana dini yetu ya kiskamu kwa ma sheikh walio julikana na wana ma dalili kutoka kwa vitabu vya swahih ,wanadamu wengi sana wana utajiri bila ma jini wala ma pete tusi danganyeni khwasa madada zetu na ma mama zetu wengi huigia kwa hizi mitego Allah atuongoze na atuhifadhi soote
@faridseilan4400
@faridseilan4400 Месяц назад
Naomba awa fasirie surrat Bagara 101 to 102
@Abdallahmohamed72
@Abdallahmohamed72 Месяц назад
Huyu c sheikh ni mrongo sana sio waislamu wote wanaoshiriki mambo ya majini huyu ni mtu wa maslahi
@azizihfarijala5307
@azizihfarijala5307 Месяц назад
mimi baba yangu pia alikuwa anafundisha majini
@danielkamau2987
@danielkamau2987 Месяц назад
Kwani majini wa Africa wako slow, ama ni wazuzu hawana teknolojia..really Dr!!
@neemariziki4731
@neemariziki4731 15 дней назад
I wonder
@chachalameck3451
@chachalameck3451 29 дней назад
kama kweli wewe unaimani na mungu ni kwa Nini unaamini majini yanaweza kulko mungu
@YusufMwalimu-nu4no
@YusufMwalimu-nu4no 21 день назад
Kila kitu hutokea na sababu ndio maana husema mtoto huletwa na mungu lakini lazma ushiriki tendo Jamaa mueleweni huyu Mzee anakitu flani ajab sana
@allykiba3626
@allykiba3626 28 дней назад
Mpeyane sapoti ila siku ya maesabu ndo mujuwe kujiteteya vizuri kuusu ayo munayo pongeza na hamjuwi munalo lipongeza
@hakizimanashabani8776
@hakizimanashabani8776 Месяц назад
Kama kuna watu wanao potosha wa islam katika imani ya ki islam viyongozi wadini tanzania mnatisha
@user-it4uh7vu5c
@user-it4uh7vu5c 29 дней назад
Uislamu na ushirikina ni kama samaki na maji
@YusufMwalimu-nu4no
@YusufMwalimu-nu4no 21 день назад
Hamna elimu na mkiletewa mnakaaa kusoma
@YusufMwalimu-nu4no
@YusufMwalimu-nu4no 21 день назад
Mnaopishana na huyu Mzee nawaomba tu mjarinu kuangalia movie za kijini za kiafrika. Utaona wanakita katika kuumiza maskini na kuwafanya wagonjwa Hadi kufa..ila za wazungu zinawapa mafanikio na mamlaka ya juu na kuishi vizuri katika Dunia hii... NA UTAMBUE MOVIE NI UHALISIA WA MAISHA YA MWANADAMU HUSIKA KATIKA MAENEO YAKE...
@pammymoraamoraa6702
@pammymoraamoraa6702 Месяц назад
Huyu amejitangaza tu kua yeye ni mshirikina , atajuaaje hayo yote kama atendi, vipindi zake mingi yeye husema yeyote anayetaka kufanikiwa amtafute Kando, mkenya aliempa gari alisema alimsaidia sana kwa kazi yake ndio akamzawadi, hapo amejitamblisha 100%, kwa raha zake , anaedelea kujitangaza tu hapate wateja wale wanamuelewa😅😅
@mahadhikawia3610
@mahadhikawia3610 Месяц назад
Mganga kama mganga Kwa maneno ya ujanja atakuzunguushaa,lakini hatimae atajitoa kwenye wajibu wa Hilo jukumu na kukuwacha wewe mteja wake ukibakia na matumaini hewa Kwa jini hewa .lakini ' Jini ' wake atakuwa kesha mpelekea mzigo wake kutoka kwako. Yaani kabla hujapewa hiyo Pete lazima upigwe kirungu
@mahadhikawia3610
@mahadhikawia3610 Месяц назад
Kwani anamaanisha Nini anaposema ,majini wake wanakuondolea vizuizi Isipokuwa iwe Qadari ya mungu . Anapigaje hapo ? au ndio Ile nenda Rudi Kwa aliyepigwa kirungu na hakufanikiwa ?
@moxasaidi3398
@moxasaidi3398 Месяц назад
Sule anaeteswa na jini anasaidia kwasababu anafasaidiwa na majini kuna maradhi ambayo sule na majini hawawezi ila wale wabaochezewa kishirikina sule anaweza kusaidia
@user-hs1sq1sv8o
@user-hs1sq1sv8o 29 дней назад
Mm naona ameongea point sehemu nyingi ikiwemo katika technology na mambo ya white magic na black magic, Lakini nilishindwa kuelewa katika uvaaji wa hizo Pete za bahati kuhusiana na kinga kwamba inaweza kuzuia, fitna na kukwamishwa kunakotokana na ushirikina, ama majini wabaya isipokuwa chochote kitachoamuriwa na Mwenyezi Mungu...Basi tunarudi pale pale kuwa Mungu ndio nguvu pekee na kimbilio pekee hakuna wa kumzuia ama kumshinda yeye....basi Tumrejee Mungu pekee, tumuombe yeye na kumtumainia yeye...hakuna haja ya pete wala msaada wa majini....Ni hayo tu kwa mtizamo wangu...vinginevyo ameeleza vizuri sana na ufafanuzi mzuri wa mada nyingi. ASANTENI.
@irenengina4350
@irenengina4350 25 дней назад
Hamuamini allah wenu anawezai kuwapee maarifa ya kuunda jambo kubwa ispokua majin ...ndege ni Mungu alipee muznduzi wa ndege hio ujuz sio majin
@YusufMwalimu-nu4no
@YusufMwalimu-nu4no 21 день назад
Hata mapasta hawaamini mungu aneza wapa ndio maana wanaishi maisha mazuri kwa Sadaka za waumini wao na waumini wakiishi maisha duni wakiamini kua mungu na wao atawapa kwa kumpa pasta hela kwa kigezo Cha Sadaka
@irenengina4350
@irenengina4350 20 дней назад
@@YusufMwalimu-nu4no unalinganisha wachukuao sadaka na waamini wa majin ,,dah,,,tena kwa hii mjadala hatupo mashindano huyu sheikh kaleta ya majin
@user-pb4fr3lg6l
@user-pb4fr3lg6l Месяц назад
Unajua mpk unakera sheikh
@mrokay1time958
@mrokay1time958 15 дней назад
Nyiee mnaoo kataaaa kataenii tuuuu ila huwooo ndiooo ukweliii tuulizenii sisiiii Dr sulee yukoo sahihiii
@AliAli-lu7or
@AliAli-lu7or Месяц назад
Kwahakika ameathirika na dunia na ladha ya maishayake yenyekumalizika kuliko pepo na ridhwaan (ilmulkalam imewapoteza wengi kablayako mche alwah )wacha hawaa
@user-su2is7kv3y
@user-su2is7kv3y 12 дней назад
Na ile Siku atapo wakusanya wote awaambie: Enyi makundi ya majini! Hakika nyinyi mmechukua wafuasi wengi katika wanaadamu. Na marafiki zao katika wanaadamu waseme: Mola Mlezi wetu! Tulinufaishana sisi na wao. Na tumefikia ukomo wetu ulio tuwekea. Basi Mwenyezi Mungu atasema: Moto ndio makaazi yenu, mtadumu humo, ila apendavyo Mwenyezi Mungu. Hakika Mola wako Mlezi ni Mwenye hikima, na Mwenye kujua
@markazswalihinal-islamymom2745
RR😮ersqae❤❤❤❤❤aaa*😮😮xd😮sadatdssss
@MohamedKambarera
@MohamedKambarera 13 дней назад
Allah amesema wamakafa sulaymana walakina shayatwina kafaraa
@HatibuWage-dh9nj
@HatibuWage-dh9nj Месяц назад
shekh kwa kweli uma wa ki isilamu unakutegemea sana lkn hii njia unayofuata sasa huku ni kupotea yaan umekua boga
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Месяц назад
hahahaha ndo ukweli huo Anafichua
@deathrow8004
@deathrow8004 Месяц назад
Hatuwezi kumtegema huyu jamaa kashakufuru
@sharfumbarouk6168
@sharfumbarouk6168 Месяц назад
​@@deathrow8004amekufuru kweli kweli live kabisaaa
@FridayMwassa
@FridayMwassa 24 дня назад
​@@deathrow8004Ameongea usichokipenda
@jafaribori5428
@jafaribori5428 Месяц назад
😂😂😂😂 kaka umenichekesha sana ( tengeneza sanamu lako la udongo halafu tuone !!! ) swali lilikuwa gumu sana kwa mtangazaji wako
@user-cd9nk8yz2h
@user-cd9nk8yz2h Месяц назад
Binadamu kama hukupa mtihani wa kuuguwa majini au mashetani basi ni vigumu kuelewa binadamu wengine.washukuru mungu sana tena sana
@PiliSobo
@PiliSobo Месяц назад
Huu ni ushirikina wa wazi, Mungu anapokataza ushirikina anajua kuwa jini kampa uwezo tofauti na mwanadam, hivyo unachopaswa ni kumuabudu Mungu ILI tuupinge uwezo wa majini ILI ujue HUYU jini na huyu Mungu
@GwodwiniPaulo
@GwodwiniPaulo 24 дня назад
Professor dr sule M/Mungu akupe umri mrefu sana
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 Месяц назад
AKUNA JINI MZURI SHEIKH JINI KAMA NYOKA WOTE NYOKA WABAYA KWASABABU UNAWATUMA KULETA CHUMA ULETE NDIO WAZURI KWAKO
@MrRavini
@MrRavini Месяц назад
Mimi sna majibu siwez kumuhukumu maana ALLAH ndie mjuzi anajua moyoni kwa kila mtu
@user-pu7br7sh5d
@user-pu7br7sh5d Месяц назад
Wee shekhe waamini majini kuliko mungu
@Zaituni-us8ke
@Zaituni-us8ke Месяц назад
Jamaani tumutegemee muumba wetu umodjatu Tuachane nakutegemea viumbe vyake😢
@IsaKinyonga
@IsaKinyonga Месяц назад
Jamaa anapenda dunia si mtu wa dini
@user-vq9xw3qr7k
@user-vq9xw3qr7k Месяц назад
Sasa nime juwa sababu unakosa uherewa na kuhusu juu ya mambo ya Mungu
@user-vq9xw3qr7k
@user-vq9xw3qr7k 28 дней назад
I don't know if your doing because you wana draw people's attention? Kama Mungu mwenyewe kajiweka wazi kuwa yeye nimsada wetu kwenye mda wama tatitizo yetu,sasa wewe, sasa kama unamiya viumbe vilivyo fungiwa na Mungu, uwo siyo ukosefu? Maneno matakatifu yanasema kuwa Tuwombe kwa Mungu kupitia Jina la Yesu kwa wa khristu alafu tutajibiwa, sasa kama unatumikisha viwumbe vingine apo apatakiwi Mungu na wala mnamuamini yeye, Ulisema kwamba kila mtu anajitakia story ili aweze kupokewa na watu ukasema Paul akaona atunge story, nduguyangu hapo ndo umefeli kabisa, kwasababu Imani nikitu ambacho au amini kwasababu umekiwona, lakini unatanguliza imani baadae matokeyo yanafwata, akuna mtu aliyo Mungu navilevile maneno matakatifu yanasema akuna ambae atamuona Mungu na akawa, kwahio Musa alipata nehema mbere za bwana akaona utukufu, nahamini kwenyu kuruan maneno hayo yapo, sasa Paul alisema Yesu ndo alimtokea siyo Mungu, sasa ukiwa unahanza hoja ka na lengo laku ponya watu siyo kukosowa bibila au ukhristu ata wa khristu nawo wasikosowe dini kwasababu Mungu ndo anamufahamisha mtu njia, binadamu ana nguvu hio, yeye kwake niku hubili vingine niva mwenyezi Mungu mwenyewe kutenda
@ChidySuleiman
@ChidySuleiman 26 дней назад
Mnafki sisi atutaki utuchafurie dina yetu taja huyo mwanachuoni aliesema anaesema kua inaswiiiiiiiiiiiii yan huyu mshirikina anachafua dini wallah lakn allah anayaona haya wallah allah anayaona haya ww aribu tu dini kisa thaman ndogo ya dunia
@FridayMwassa
@FridayMwassa 24 дня назад
Huyo shehe amekuzidi sana kwenye ufahamu,majini ni ndugu zenu waislam na yalisilimishwa na Muhammad
@bakarikaoneka1080
@bakarikaoneka1080 Месяц назад
NI AIBU SANA. Achana na mambo ya ajabu na ya aibu kama hayo. Mnafedhehesha uislamu
@bakarimwakabebe9649
@bakarimwakabebe9649 23 дня назад
Exactly ni aibu kujiita muhadhiri ilhal unapotosha waislam. Akuna anaepaswa kuabudiwa kwa haki pasipo Allah na Qur'an ndio muongozo Wetu waislam na maisha au Sunnah za mtukufu wa daraja Mtume Wetu Muhammad S.A.W.. ukikosa kufuata ii upo nje au kwenye wanafik
@neemariziki4731
@neemariziki4731 15 дней назад
😂😂😂😂 Nafa kucheka
@rehemaomar4924
@rehemaomar4924 Месяц назад
Uko sawa Shekh umenifungua masikio .Acha wabishi wabishe 😂😂😂
@nizigiyimanabaruani4590
@nizigiyimanabaruani4590 Месяц назад
Dokta Sule umefunguka akili pia umeingia undani wa elimu na kuizungumzia haujawa na makosa yoyote endelea hivyo na utaelimisha wengine wengi na wafunguwe akili zao, ndo maana Leo hii unakuta wengi wao wanjidai kuwa Wana elimu ila hawana hata ujuzi wa kutengeneza hata kiberiti. Endelea hivyo hivyo na mengi utagunduwa. Hongera sana kwa elimu hiyo. Nakuunga mkono kwa Hilo.
@saidaamourali8590
@saidaamourali8590 Месяц назад
Huyu haja kufungua akili ndio kakuziba akili haswa maana science hajui hata kidogo.duuuh anamini zile chips za semiconductor ni za kijini siku akija kupa Tesla car za auto driving atasema jini ndio anaendesha na lile gari ni la kijini maana mule muna automation za kufa mtu
@kassamalishabani
@kassamalishabani Месяц назад
Kweli dokta sule amefungua akili ya watu
@kassamalishabani
@kassamalishabani Месяц назад
Hapo kuna elimu kubwa sana
@user-zs8ru9lt2x
@user-zs8ru9lt2x Месяц назад
Aya ipi inasema kwa uwazi inasema ambayo Allaah amehalalisha tutumie majin. Wakati Allah anasema kwa waja wake tukimwomba chochote anatujibu kwa mujibu wa qurani
@kassamalishabani
@kassamalishabani Месяц назад
Ww kwakutaka aya ndio mnyewe
@kassamalishabani
@kassamalishabani Месяц назад
Soma suratul jini paka mwisho utajua aya ipi unataka aya tu usomi Quran
@amneally4135
@amneally4135 7 дней назад
Mzee Haydar tuseme hyu ni babu yetu alikua c mshirikina anapenda kusoma Quran siku hio ya alhamis na ndani ya mskit hua pekee yakd na baada ya magharib kuna kisomo mskt
@officialmubytz1076
@officialmubytz1076 6 дней назад
Kwa hapa shehe anataka sema mungu aliumba malaika Bina damu Na majini kwa nyakati tofauti?
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche Месяц назад
Sule,kwa fani ya majini akuna kitu.nalikua najuliza uyu shekhe mbona ana nuru.
@asaphmwinukaministry33
@asaphmwinukaministry33 22 дня назад
IPO siku mtamuelewa Huyu mtu,,,Mark my word's
@stephanosospeter1709
@stephanosospeter1709 Месяц назад
Acha kuaminisha, watu ushetani wako, ewe mwana wa ibilisi, umekaa apo kumtukuza shetani, ushindwe kwa jina la YESU KRISTO. Bibilia inasema siku za mwisho marifa yataongezeka, mwamini YESU UWOKOKE
@user-sv6zy3hc8o
@user-sv6zy3hc8o Месяц назад
Hata nyie yesu alisema mtapotea kwa kukosa maarifa
@MrRavini
@MrRavini Месяц назад
Mhu omba usife Hali yakuwa ni mkristo utaingia motoni
@stephanosospeter1709
@stephanosospeter1709 Месяц назад
Poleni sana ndugu zangu kwa kupotea, laiti mngejua kweli ya Mungu, mngetubu na kugeuka, lakni ata sasa bado amjachelewa, msifanye tu mioyo yenu kuwa migumu, mkubali I Yesu msamehewe dhambi, nyie wenyewe mnajua kuwa Yesu ni alama ya kiama
@sharfumbarouk6168
@sharfumbarouk6168 Месяц назад
​@@stephanosospeter1709Huyo jamaa ndio amepotea peke yake sio sisi - nyinyi wakristo ndio mmepotea Tena upotevu wa mbali maana mmeacha kuabudu Aliyewaumba mnaabudu mwanadamu mwenzenu.... Tafakarini mmepewa akili
@stephanosospeter1709
@stephanosospeter1709 Месяц назад
@@sharfumbarouk6168 Sawa, ila kama mnamwamini, Isa bini mariam kuwa ni mtume wa Mungu mbona amumuamini alivyo sema,
@muhsinkimaro4283
@muhsinkimaro4283 Месяц назад
Muogope Allah shekh, hata gar utasema lina majin ndo maana linatembea
@savesadgeneration
@savesadgeneration Месяц назад
Wewe hvi saudia wanataka kuunda neom city....whose plan,? knowledge is power... listen
@RamadhaniMohamedi-de2vc
@RamadhaniMohamedi-de2vc Месяц назад
Nikulize swali kwanini ww autaki kutengeneza ndege au gali mm namini majini wamepewa uwezo mukubwa na mungu
@KhamisRajab-kf5ve
@KhamisRajab-kf5ve Месяц назад
Khamis Rajab: Hata hivyo Allah swt amesema: Laa taabudu Sheitwan, Usimuabudu Sheitwan,, wala kumfanya Rafiki.. kwanza hana wema hata umfanyie wema ipo siku atakuuwa tu ! Sheikh enedelea kufahamisha watu! lakini msifuge majini mfugaji akija kufa mnawapa taabu watoto wenu.,..
@theogeorge3773
@theogeorge3773 Месяц назад
kazi kweli msafi hafu anaenda kudhuru
@Ismail-db5oj
@Ismail-db5oj Месяц назад
Mbona haulekezi Shida zako kwa Allah mbadala kutumia majini kutekeleza maitaji zako
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 Месяц назад
Allah sii jini mkuu mwenyewe
@Ismail-db5oj
@Ismail-db5oj Месяц назад
@@whatisthetruth.8793 Kwa hivyo Jini ana fanya haraka zaidi ya Allah Kukidhi maitaji ya binadamu?Innalilahi Wainaileyrajuun
@muhsinkimaro4283
@muhsinkimaro4283 Месяц назад
Unaomba msaada wa majin halaf unasema sio ushirikina
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Месяц назад
siyo mshirikina maana Mtume alitumia majini na yapo msikiti alikozikwa hiyo ipo mtandaoni
@user-vq9xw3qr7k
@user-vq9xw3qr7k Месяц назад
Bwana technology aija tokea kwajiri ya majini, uwo niuwonga mtupu, kitu chochote ambacho mtu unatengeneza kinatakiwa program, sematu uyo anaye kuhoja ana uherevu, sim siyo nguvu ya majini, mimi ninacho herewa nikwamba kila kitu ukikifanya kwa utafiki haswa, elewa ata binadam amefanyiwa program na mungu kuhanzia utotoni na mpaka anapokuwa
@HatibuWage-dh9nj
@HatibuWage-dh9nj Месяц назад
shekh njaa iyache ibaki tumboni usiipeleke kichwani
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Месяц назад
mmmh
@neemariziki4731
@neemariziki4731 15 дней назад
😂😂😂😂 eti amepeleka njaa wapi?
@raiswamaraishalisi8426
@raiswamaraishalisi8426 9 дней назад
Mzee wewe nakukubaligi sana Apo tulipoingiya mpaka kwenye tecnology nikubali sana mzee
@daudigabriel9860
@daudigabriel9860 Месяц назад
Mwamini Yesu ndg
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 Месяц назад
Teina wewe ulikua hadhiri mkubwa sasa unamshirikisha M'mungu.
@IsaKinyonga
@IsaKinyonga Месяц назад
Wanao kuunga mkono washilikina wezio
@neemariziki4731
@neemariziki4731 15 дней назад
Mwaniua kucheka waislamu jameni
@jameschumbula7351
@jameschumbula7351 26 дней назад
Jin n jin too wee jitetee jiteteavyo hakuna jin mwema wote niwachafu
@user-ot4rx2bl2j
@user-ot4rx2bl2j 23 дня назад
Unapotosha umma. Tumeagizwa Kumtaka Mungu msaada na si kiumbe awaye yeyote yule. Wewe unapotosha watu kwa manufaa yako
@AbdulkarimNissa
@AbdulkarimNissa 22 дня назад
Muogope Allah ndug yangu utaja juta katka haya na andaa majibu kwa Allah
@user-ib7kx9dc5m
@user-ib7kx9dc5m Месяц назад
Umesema kweli handeni Kuna mganga miaka ya nyumba alikuwa akifukuza majini yakufugwa akili kamatwa tu aka weka dawa una ona liondongo lililo finyangwa finyangwa
@user-qj7xp7wo1v
@user-qj7xp7wo1v Месяц назад
Umtumie jin kupata mali kwahiyo sheikh wewe huamin allah anaweza kukujaalia mali?
@hilaryarande-gs8ht
@hilaryarande-gs8ht Месяц назад
Sule lenye najua mungu ndio upanga maisha ya mtu ,tuweke Imani yetu Kwa mungu ,ndio mwenye kupeana riziki,sio majini na Pete,
@abuumaryam1922
@abuumaryam1922 Месяц назад
Dr Sule Ufahamu wako upo chin sanaaa
@RamadhaniMohamedi-de2vc
@RamadhaniMohamedi-de2vc Месяц назад
Ww ndio uwelewa wako mdog niambie tunaipataje sindano kwenye vitabu.
@hassanjuma3703
@hassanjuma3703 4 дня назад
Abu tueleze ufahamu wako tujue ukweli
@abubakarmuhammadsaid3244
@abubakarmuhammadsaid3244 Месяц назад
Ni hatari sana kwa mtu asiekuwa na Tawheed kumsikiliza mtu huyu. Wenye kumuamini mtu huyu ni wasiokuwa na elimu ya dini au asiokuwa na aqiyda sahihi.
@user-sh8rj8fy5b
@user-sh8rj8fy5b Месяц назад
Nabii Suleiman pia alitumikisha majini
@pascal49060
@pascal49060 28 дней назад
Wa islaam funguweni macho mutoke kwenye imani yamajini. Mume jua ukweli.
@beatman401
@beatman401 29 дней назад
Kama nikweli jini ana guvu na uwezo, Mbona hajuii Futur ya mwana damu?😂😂From #Comoros
@uwimanadady6563
@uwimanadady6563 Месяц назад
Mimi naona sijuwi kama elimu yangu ni ndogo uyu anafanya bya shara yake jini ni mapepo alafu mapepo ya takuwa mazuri kivipi?na wamelaaniwa?akuna jini nzuri ata kidogo yote mashetani
@kudraabdul7257
@kudraabdul7257 19 дней назад
Pepo sio jini ww musa na elia wali mtokea yesu mlimani walimtokea kama pepo ama kama jini?
@experiusmrefu1003
@experiusmrefu1003 Месяц назад
Huyu Jamaa....sio Dr...labda ni Daktar
@user-ib7kx9dc5m
@user-ib7kx9dc5m Месяц назад
Shekhe sule wata kuelewa tu hii itafanya watu wa some ili wajue
@abdallahjuma2608
@abdallahjuma2608 Месяц назад
Uyu sheikh anatukanisha dini
@fatmaabdallah-sg1rk
@fatmaabdallah-sg1rk 25 дней назад
Yes sio mungu siku moja mtakuja fahamu ilo
@qerysir4410
@qerysir4410 25 дней назад
Ni means wa Mungu! Mwana wa Mungu ni Mungu!
@SafariJournals
@SafariJournals Месяц назад
Huyu anaya tukuza sana Majini, MAKOSA hii
@mbarakfadhil-bc3ed
@mbarakfadhil-bc3ed 12 дней назад
Nice brother mashallah
@OmarMohamed-bs2hf
@OmarMohamed-bs2hf 23 дня назад
Majini Wana makabila wapo wema wapo waovu na inafikia steji muovu pia usilimi ilmu ya majini kikweli ni elimu kubwa sana
@rezikomer9552
@rezikomer9552 29 дней назад
Ni hawo hawo makafiri watumishi washeitwani kupingana na dini ya kisilamu alimuradi waisilamu wanasema au wanafanya
@KS-iw7qv
@KS-iw7qv Месяц назад
Kuishi kwingi kuona mengi....... Wata-trend kisha watapotea.....
@karimmveyange2558
@karimmveyange2558 24 дня назад
KAZA UZI DR.USITISHIKE. HAO WAPO NA WATAENDELEA KUWEPO HADI KIAMA
@SAULINDINADYO
@SAULINDINADYO 21 день назад
Mtu yeyote asikudanganye Kila jini ni baya sanana athari zake ni mbaya! Mimi nimesoma elimi ya majini naijeria miaka SITA! Sidanganywi
@jamesmwandu9295
@jamesmwandu9295 День назад
YESU ni jibu bado hamjachelewa mpkeeni YESU muachane na mambo ya kishetani Jini yoyote ni kiumbe kilicholaaniwa ni shetani
@ado_mushi
@ado_mushi Месяц назад
kupata malinkwa njia ya pili kwa kafara ya wanayma ni haramu...?
@abasingaruka1872
@abasingaruka1872 24 дня назад
Dr Sule wewe mwenyewe ndio unajieleza uthamani wà mjini, na kuisaliti dini ya kuiislamu Kama wanashirikiana na majini,
@TRIPLE.3Rs
@TRIPLE.3Rs Месяц назад
Next interview atuonyeshe ikhtilafu kwa vitabu gani?
@mohammadswaleh6900
@mohammadswaleh6900 Месяц назад
Huyu Maongezi yake tu ni Mshirikina,hufai hata kuswali nyuma yake
@jumawaziri8501
@jumawaziri8501 Месяц назад
huyo mtangtazaji ni mtoto wa Dr sulle ama ??????
@focusernest5610
@focusernest5610 Месяц назад
Hapn kwanz huyo bint mzanzibar
@inspirationquote005
@inspirationquote005 25 дней назад
Sheikh,,🦾ur on point!! Not technology is not using majini.
@djbonfire4683
@djbonfire4683 Месяц назад
Programming languages Ndio zinatumika kaka katika marobot
@kassamalishabani
@kassamalishabani Месяц назад
Nabi suleimani alitumia nini
@erickagwe8841
@erickagwe8841 29 дней назад
Kama ni hivyo waarabu ndio wangekuwa wanasayansi wakuu w Dunia
@MohamedKambarera
@MohamedKambarera 13 дней назад
Ásalam alaykum warahmatullah wabarakatuh. Sisi haifai kufanya kazi anayofanya huyu sule huo ni ushirikina
@emmanuelmlekwangano9991
@emmanuelmlekwangano9991 Месяц назад
Mna kazi kwelikweli
@user-ut9kc7uq2r
@user-ut9kc7uq2r Месяц назад
We Baki tu kwenye mdahalo mambo mengine km huna dalili za elimu (Hadith nabsunnah) c utulie tu
@user-pu7br7sh5d
@user-pu7br7sh5d Месяц назад
Ni nyakat za mwisho manabii wauongo na wa kweli akili mwako kichwani ,ndugiangu mtegemee allha ndo anajua kilak2 ukiskiza v2 vya mitandaoni vitakupeleka pabaya Maana hujui uskize yupi uache yupi yoote muachie allha Nyinyi kama mwasukumana sisi tulio silim juz tufanye nn tumwamini allha na kumjua allha kilaki2 mungu ndo anajua
@GoodluckLesilwa-kq2ln
@GoodluckLesilwa-kq2ln Месяц назад
Ndo ujutie maamuzi Yako mabovu..mbivu na mbichi zinajifunua
@awadhsuleiman8469
@awadhsuleiman8469 Месяц назад
Sisi waislamu tumefundishwa kufanya adhkari za kujikinga dhidi ya shari zote na ndio maana Mtume alayhisswalaatu wassalaam. Hakutaka watu wategemee vitu wamtegemee Muumba wao. Tukifungua huu mlango basi hata hirizi watazitetea kama wewe unavyosema. Irejee tauhidi ambayo ndio kazi ya Kila Mtume aliyetumwa na Allaah utagundua upotevu wa huyu Jamaa!
@shadoringo4701
@shadoringo4701 15 дней назад
Ata Sim ni herizi tatizo apo ni elimu tuu
@RojaKhaan
@RojaKhaan 15 дней назад
العبد لا ينجو بشيطان Sasa ukimwambia huyu shekhe anakosea ww ndy unakosea kikubha elewa shaitwaan ninani
@furahinimrutu3085
@furahinimrutu3085 13 дней назад
​@@RojaKhaanuisilam ni majini ukikataa njoo kwenye ukristo
@furahinimrutu3085
@furahinimrutu3085 13 дней назад
​@@RojaKhaanuisilam ni majini ukikataa njoo kwenye ukristo
@taifaramadhan8684
@taifaramadhan8684 4 дня назад
Katika wooote walo changia hapa naona we ndo umeongea pointi muhimu kabisa na ya msingi kuliko wote humu. hasa hapo uliposema kuhusu TAUHID maana mitume wote ukisoma QUR,AN TUKUFU walikua wanasema wamtegemee Allah pekee na kumuomba yeye tu na kutaka msaada kwake katika kila kitu nk. na si kutegemea eti msaada wa Viumbe Majini na maroboti nk.
@lizmwangi6583
@lizmwangi6583 Месяц назад
Hakuna jini mzuri na jini mbaya....wote ni majini...kujeni kwa Yesu muokolewe.
@abubakarmuhammadsaid3244
@abubakarmuhammadsaid3244 Месяц назад
Sisi Waislamu tunaokolewa na Mungu sio Yesu
@mtindikoja8837
@mtindikoja8837 Месяц назад
Ubishi nimbishi sana selemani Ila wewe nimchawi tu
@selemanimngoya1970
@selemanimngoya1970 4 дня назад
Majina ni kama binadamu, kuna wabaya na wema. Ila miongoni mwao kuna MASHETANI ambao ndiyo majini wabaya.
@kudraabdul7257
@kudraabdul7257 19 дней назад
Nimegunduwa watanzania masikiyo yao yako mfukoni maana yani watu wameshindwa kumuelewa wakati sule yuko wazi anacho kiongea kinaeleweka watu mnao mdadisi vibaya mnaelewa nini kweli surely
@maisaramanangaabedi7175
@maisaramanangaabedi7175 21 день назад
Nauliza surat djini aya ya 26 Mwenyezi anasema mambo ya siri Mungu ndjo anadjuwa nauliza iyi aya inasema wongo
@bonifasiemanueli21
@bonifasiemanueli21 Месяц назад
🎉 Haa haa roboti kumbe ni jini chukua :5:😅😅😅😅😅 Kumbe waafrika tulichelewa sana
@bonifasiemanueli21
@bonifasiemanueli21 Месяц назад
Hapo kwenye roboti nimegonga 🎉 Japo wengi hawajui
@issaosman7397
@issaosman7397 23 дня назад
Majini ni aina mbili wazuri na wabaya
@godfreydavid6847
@godfreydavid6847 Месяц назад
Kwani majini yanaleta ridhiki Kwa uwezo wa Mungu au wao wenyewe? Kama ni Kwa uwezo wa Mungu basi sio ushirikina!!
@user-hp1rs4ly8u
@user-hp1rs4ly8u Месяц назад
Pole sana ndugu
@HappyBorderCollie-ig7vb
@HappyBorderCollie-ig7vb 27 дней назад
Na wewe majini unawapata wapi?
@user-mu8ue6wg4c
@user-mu8ue6wg4c 21 день назад
Inaa LILAH waina ilah raaji'uun
@user-ed1cf9nq5w
@user-ed1cf9nq5w Месяц назад
Huyu ni kuhani wa kichawi
@user-ib7kx9dc5m
@user-ib7kx9dc5m Месяц назад
Kuna majini waisilam na Kuna majini makafiri hili lipo wazi
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Месяц назад
hakuna majini wakristo Yesu aliwatupia baharini
@fundimau2379
@fundimau2379 23 дня назад
Yote haya mmeshindwa kujua nini maana ya huo Uislam ndio maana mnasema kuna Majini Waislam lakini mkijua Uislam hamuwezi kuunga mkono haya pia hamjui huo uzuri mnapo sema majini wabaya na majini wazuri, kwani ukisema nyoka huyu ni mzuri hapo umemuhamisha kuwa sio nyoka au hawezi kudhuru, acheni hayo mambo.
Далее
HISTORIA YA MAJJINI // SHEIKH OTHMAN MAALIM
1:04:48
Просмотров 44 тыс.