Mashaallah. Sie wengine si wasikilizaji kitu kilo tiwa miziki. Ila kaka Allah kakupeni vipaji vya kusoma vizuri pia munamashairi mazuri mashaallah. Mungu wazidishie. Ushauri wangu ningefanya kama nashidi ingependeza. Pia wale wenyemakasida ya magoma wasingepata chakusingizia. Maaana wanafanya utombe halafu ushahidi wao inakuwa nyie. Kwamba mbona nyie mnafanya na sisi hatusemi.
Wakati nina koment nipo ktka usafiri nina enda chake lkn kwa nina rud nimeitazama tena hassad watu nilio kaa nao siti moja wame furahaii sana broo kaza buti sana tena sana
Masha Allah jaman hongera sana umeimba vizur sana kiukwel Allah akupe umri mrefu akuhifadh uzid kuelimisha jamii uzid kutufunza mazur hongera sana kaka juma
Mashaallah wewe nimwalimu wakweli tena mwalimu mzuri sautiyo ni asali zidi kwenye mashairi wengi tunakukubali kwakutujaza sururi allah akujazenuri namengi yalo mazuri
Yan kwa mara ya kwanza nacomment kupitia RU-vid mashallah hii kaz imebeba ujumbe mzito sana wenye kuendana na wakat kila pande za dunia #juma faki kaka allah akupe kher kubwa sana uzid kuelimisha jamii
Mashallah mashallah mungu akuzidishie kaka juma Nakupendaa sana wew kaka mungu akuzidishie inshaallah wew unaimba sana jamanii👍🌹💝 hassadi ni mbaya sana ☝ aah mashallah
ماشاء الله بصراحة صوتك رائع اخي جمعة حفظك الله وزادك من فضله لم افهم كثير من الكلمات لكن صوتك مميز فوق اللغة . استمعت لاكثر من وصلة بصوتك الله يبارك فيك