Huyo mdudu ni kweli yupo na nilimkanyaga kipindi cha nyuma sana nikiwa naenda kazini, nilipapita na kuzunguka bila kupaona kwa masaa mawili baadaye nikakutana na mtu akanishitua ndio akili ikarudi
Mambo zenu wana steve comedy paoja na nyie marafiki mnao fuatilia steve mweusi hivi mwajua kama saiz 🇯🇲 hamna mpinzani kwenye anamweza steve wakupinga apinge tu ila mimi kama khan namkubali steven mwanzo mpaka mwisho🇳🇦🔥🔥🔥