Leonard kaza mwaya ata ao wengine walianza km ww yan mi nimecheka sana upigi mikelele mifujo kutembea mimwendo flan mara kuruka mara kukaa kifup hutumii nguvu tucheke km uyo....kila la kher na Mungu akupiganie sana
Hakuna sehem mnayo boa kamakwenye sauti ya jingo ya cheka tu kubwa lakini sauti ya mic mnazotumia hovyo kabisa sauti mnasikika kwa mbali kelele tupu mnaboa bwana kampuni kubwa ila mnazingua sana
Mm leonardo nishabik wko wakwanza yaan km siww nisingepoteza mda kuwaangalia awo wengne nakukubali sana yaan sichoshwi na vitu vyako dah Allah azid kukusimamia kaza but uzid zaid nakukubal sn
*NDUGU ZANGU KWA HESHIMA NA TAADHIMA NAOMBA MUANGALIE VIDEO YA WIMBO UITWAO JE UTAVUMILIA KWA KUBOFYA PICHA YANGU APO PEMBENI NAAMINI MTAUPENDA 💥🇹🇿🇰🇪💥*
Tatizo storylines za standup comedians wetu huwa sio consistent. Mambo mengi wakati mmoja, vitu kibao wakati mmoja bila muunganiko. Kuchekesha kunawezekana kwenye story moja tu yenye vituko vingi ndani yake...
Anafel kuish na attention za watu, a real comedian , every step every move is a laughter pia ni unpredictable wapi utacheka, but ana fail ku maintain interval iko very regular audience washamsoma wapi watacheka wapi hawatocheka, kimsingi anaenda kuboa, ajifunze kwa Mpoki au Basket Mouth..All in all ako na something extra.. akizingatia ni mtu hatari sana coz comedy yake imekomaa sio ya kitoto
@@einsteinmandilindi7396 ni kwa mtazamo wangu tu, alianza vizur katikati akapoa kisha naona akamaliza pia vizur... Ila kwenye mashindano jamaa alikuwa anakiwasha mwanzo mwisho ni vibe tu, na ukitaka kuamini kuwa alipoa angalia tu watazamaji kama nao walikuwa wametulia ila yote kwa yote mwamba ni mkali, na he deserve hongera zote
Hongera sana Kaka ila ningekushauri kutokuwa unaliza ulimi kwenye Microphone kisha kumaliza kusema jambo kwakuwa iko inasikilikana vibaya kwenye sikio.asante.
😢HAKUNA MUNGU WA DUNIAN ACHA KUPOTOSHA WATU WAZIMA. SOMA DINI KIJANA. MUNGU NI MMOJA TUUUUU HANA MSHIRIKA ,HAJAZAA NA WALA HAJAZALIWA NA HAFANANI NA KITU WALA KIUMBE CHOCHOTE.