Тёмный

UTACHEKA UFE VITUKO VYA MAMA MAWIGI, MAMA MZAZI WA COY MZUNGU, EXCLUSIVE INTERVIEW 

Mbengo Tv
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 10 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

2 фев 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 26   
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 5 месяцев назад
Nampenda sana huyu mwandishi yaani anajua kufanya Mahojiano
@RahimaMct-ik8mr
@RahimaMct-ik8mr 5 месяцев назад
Huyu mdad mie na mpendag san anaongea vizur nasaut mzur mashallah mtangazaj mwenye saut yake
@isackmachiyanshoka6754
@isackmachiyanshoka6754 5 месяцев назад
Huyu mama anabusara sana pia anaenda na wakati vzr❤ Mungu akutunze mom🎉
@lunangabenjamin3121
@lunangabenjamin3121 5 месяцев назад
Huyu mama ana akili nzuri sana ongera sana mama. asili 70% ya wana mama wangekuwa kama wewe dunia ingekuwa pazuri sana.wewe ni jembe kweli kweli.
@benedictinelusambo069
@benedictinelusambo069 5 месяцев назад
Kwamba mtu anamaisha magumu mpaka shetani anayaogopa😂😂😂😂
@husseinbakromar5865
@husseinbakromar5865 4 месяца назад
safi sana mama mawingi umegonga point kweli yako
@abdallahlugendo3221
@abdallahlugendo3221 5 месяцев назад
Huyu mama nampenda sana
@user-be7ux5hd6s
@user-be7ux5hd6s 5 месяцев назад
Huyu mama nimempenda jamani huwa simfatilii ilq kwa hii interview acha nimeshabiki wake
@RakaPk
@RakaPk 5 месяцев назад
Hongera sana mama hongera pia mtangazaji nakupenda alafu kumbe wifi yangu ❤❤🎉🎉
@aminaomary5567
@aminaomary5567 5 месяцев назад
Dada nakupenda sana,kuna siku ile unakuwa koda,unapika kisavu bint anakula kwa watu yaan safi sana na ongera sana.❤❤❤
@user-zr5rg5ul3q
@user-zr5rg5ul3q 5 месяцев назад
Dada ukiuliza swali mara ya kwanza akikujibu usiulize tena unauwa vibes
@obedymwilenga7490
@obedymwilenga7490 5 месяцев назад
Haya mama mawigi
@SelinaMdoe-jv1pu
@SelinaMdoe-jv1pu 5 месяцев назад
Sio kweli mnasifa tu na mnaubaguzi hat a kama mhaya hana anaringa tu kwa uju mla mnasifa sana hata kama hamna ki tu
@arafakiloli749
@arafakiloli749 5 месяцев назад
Wawoooo😘
@aishandayishimiye5127
@aishandayishimiye5127 5 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂 love you mam
@Rai_online_tv
@Rai_online_tv 5 месяцев назад
Ila Bi mkubwa Daah ha ha
@aishaawadhimalokichobu1962
@aishaawadhimalokichobu1962 5 месяцев назад
Mama chanja❤❤❤
@user-ts6fh4si3m
@user-ts6fh4si3m 5 месяцев назад
Kumbe mama yake Coy mzungu
@fatmaally7252
@fatmaally7252 5 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂 mboneke ana balaa na mama ake
@Zainab-sq1tc
@Zainab-sq1tc 5 месяцев назад
Kumbe ni mama ake coy mzung huyu
@bennamush4616
@bennamush4616 5 месяцев назад
Tena wamefanana
@abdallahlugendo3221
@abdallahlugendo3221 5 месяцев назад
Nikaribishe kwako
@aziza9093
@aziza9093 Месяц назад
😂😂😂
@mwanahawamohammed8540
@mwanahawamohammed8540 5 месяцев назад
😂 Chenza ni Clementine kizungu.
@aqmmsm55
@aqmmsm55 5 месяцев назад
chenza nalo linaitwa orange
@meowzna
@meowzna 5 месяцев назад
🤣🤣🤣🤣
Далее
🤯 #funny
00:20
Просмотров 968 тыс.
HOUSE GIRL  EP 37 || love story💞💕
21:32
Просмотров 18 тыс.