Тёмный

UTURUKI KUILINDA NIGER DHIDI YA UVAMIZI WA ECOWAS/MAGAIDI NA UMOJA WA AFRIKA 

UKUU WA MWAFRIKA (IBM)
Подписаться 43 тыс.
Просмотров 9 тыс.
50% 1

Mpenzi mtazamaji wa IBM CHANNEL endelea kutufuatilia kwa ajili ya kupata elimu zaidi ya uzalendo, ukombozi wa kifkira na ukuu wa Mwaafrika hapa hapa. tunakupa pia makala mbalimbali zinazohusiana na ulimwengu tunaoishi na taarifa zetu ni za ukweli na uhakika sio za uongo. karibu tuendelee kuwa pamoja. kama hauja-subscribe tafadhali fanya hivyo ili usipitwe na chochote.

Опубликовано:

 

6 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 51   
@Alex-n8w4d
@Alex-n8w4d Месяц назад
Alex mwakyoma kutoka mbalizi mbeya big up sana kaka kwa uchambuzi bora
@salimfaraj5509
@salimfaraj5509 Месяц назад
Shukran sana mwalimu wetu kwa taarifa yako nzuri
@LuwandAbias
@LuwandAbias 13 дней назад
Brother sawa Niger wawe makini kumbukahawa uturuki niwalewale wazunguwatawagandamiza tu achaneni naobakini na urusi anatosha
@christiankambuga9338
@christiankambuga9338 Месяц назад
Safii mzee
@RBMBAKARI-bv6wn
@RBMBAKARI-bv6wn Месяц назад
Kwakweli umetokea kua mchambuzi Bora sana mwakilembe umetuheshimisha watu wa mbeya ahsante
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv Месяц назад
Big up mwalimu 💚💚💚
@salimfaraj5509
@salimfaraj5509 Месяц назад
Waarabu na WA Africa baba mmoja na mama mmoja.
@mussamuna900
@mussamuna900 Месяц назад
Mwalimu wa neno la Mungu kila habar ukitoa lazima kuview asante kwa taarifa
@sayidabdillah8505
@sayidabdillah8505 Месяц назад
Unajua teacher Tupe elimu Mm Abdullah said from zenji
@francismichael1258
@francismichael1258 Месяц назад
Vibaraka bwana ni shida ndani ya africa yetu cjui lini tutafika safari yetu😊
@ibrahimshabani3544
@ibrahimshabani3544 Месяц назад
mwalimu .Nakushukuru kwa Uchambuzi Nzuri kuhusu mabeberu wanavyo inyonya hili Bara letu la Africa
@user-qc5bp3ph2o
@user-qc5bp3ph2o Месяц назад
Maadui wapo wengi Mwalim,Hata wanaokupinga kimawazo nao ni vibaraka vilevile ,
@yordanyona1234
@yordanyona1234 Месяц назад
Afrika watu wengi wamelaaniwa...Wazee wote waondelewe hawana future na nchi
@RajabuHussein-to7jz
@RajabuHussein-to7jz Месяц назад
Asante mwalimu
@DominickKabutelana-bg6je
@DominickKabutelana-bg6je Месяц назад
Hiyo inatuchanganya. Aliyefukuzwa ni Mfaransa ambaye ni mwanachama Wa NATO. iweje tena Uturuki (mwanachama Wa NATO) aje kulinda... !! Huo ni Ujanja wao. Usalama hautakuwepo
@krisantmwaipungu1434
@krisantmwaipungu1434 Месяц назад
ECOWAS, na AU ni mashoga. AU wa kipindi hiki ni mashoga wanaotumika na Ufaransa na USA
@LuwandAbias
@LuwandAbias 13 дней назад
Jamani msiwakubari hao bakini na putini
@MAKWETHEGREAT
@MAKWETHEGREAT Месяц назад
But one day yataisha tu mkumbozi kutoka lake zone kasha zaliwa the time will tell
@paschalfausitine7108
@paschalfausitine7108 Месяц назад
Asante. I say Benson kwa tarifa
@SadickHamis-vm1qi
@SadickHamis-vm1qi Месяц назад
Tuko pamoja mwalimu
@user-kj7ew7ki5q
@user-kj7ew7ki5q Месяц назад
Mwalimu naomba unianishie sababu ya Yturuki kujiunga na NATO
@user-pd5hl9di2q
@user-pd5hl9di2q Месяц назад
Ufaransa umasikini unamtesa hana pa kuiba
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 Месяц назад
Umoja wa AU wote ni vibaraka wenye wazimu kama ule wa Mobutu kuku wa zabanga,umoja huo hautufai kabisa watu wa Afrika,unawafaa mabeberu kisa vijipesa,starehe,na ubinafsi
@kalengashoppingcenter1108
@kalengashoppingcenter1108 Месяц назад
Kiongoz wetu makonda ajulikani alipo
@bekabakari7394
@bekabakari7394 Месяц назад
Mwakilembe Waulize hao AU na ecowas Walikua wapi ilipo vamiwa libya Hata kikao cha kustisha vita au Mgomo wa kususia baadhi ya mambo hawakuweza Leo ndio wanaongea mbele ya raia bila aibu Shame on you AU leaders
@user-sd2vd8vy6n
@user-sd2vd8vy6n Месяц назад
Morocco, misri, uturuki, na falme za kiarabu ni wanafiki sio watu wazuri
@user-ex6sh1rl4d
@user-ex6sh1rl4d Месяц назад
USA UK Italy spain Germany ni watu wazur sana
@LwinziMohamed
@LwinziMohamed Месяц назад
Sisi waafrika bwana yaan tunajilinda sisi wenyewe na tunataka kujimaliza sisi wenyewe kwa kuendeshwa na wazungu kupitia vibaraka wa kwentu, kwanza nataka nijue makonda yuko wap na mbona hatumusikii na kwenye mitandao ya kijamii tunaona viongozi wanaulizwa wanasema hawajui kweli kiongoz mwenzako katoka ucjue kaenda wap?
@mohammedmdangwe2056
@mohammedmdangwe2056 Месяц назад
naomba no yako tukutimie kidogo
@PamojaMkalu
@PamojaMkalu Месяц назад
Hao hao wanao kuja eti watasaidia kulinda tena hao hao ndo tena watawaua
@oscarmwambwelwa7208
@oscarmwambwelwa7208 Месяц назад
Hawataenda kuvamia itabaki story hivi hivi
@mohammedmdangwe2056
@mohammedmdangwe2056 Месяц назад
huyu mwamba ni kiboko
@user-fr8lg5hj9p
@user-fr8lg5hj9p Месяц назад
MIsaya Mwakilembe, Wewe mtafuati ajabu bwana !
@user-cp8df8ik5h
@user-cp8df8ik5h Месяц назад
AU watatoa wap wanajesh?
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw Месяц назад
Huyu uturuki nae asije akawa kibaraka maana yeye ndio anaeongoza kwa kua na jeshi kubwa nato
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw Месяц назад
Hakuna democrasia kama wanataka uongozi wa kiraia kwani mbona wananchi wamewaridhia viongozi wao kumbe democrsia ni kumuweka kiongozi anae ridhiwa na magharibi na marekani lakini sio kiongozi anaeridhiwa na wanachi kama lengo la democrsia ni kiongozi anaetakiwa na wananchi mbona hawa wananchi wamewakubali viongozi wao kwa nn wao wanataka kuwatoa hapa ndio nimejua kumbe democrsia ni kumuweka kiongozi anaetakwa na marekani na magharibi
@IssaHassani-dg1xy
@IssaHassani-dg1xy Месяц назад
Mataifa yakishoga yanashindwa kukubaliana na matokeo kwamba Dunia haipo upande wao Tena,mambo yamekua magumu kwao Putin keshawainamisha hawana uwezo Tena wa kusumbua mataifa.
@Morine_kn1lt
@Morine_kn1lt Месяц назад
Huzuni kwakweli
@ShekhMufyd-mn9zn
@ShekhMufyd-mn9zn Месяц назад
Angempa urusi
@johnmike6059
@johnmike6059 Месяц назад
Utuluki ni wanafiki wako NATO ao kwa mashoga
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw Месяц назад
Hicho kiwanda alichonunulia hizo drons ni kiwanda cha mmarekani ambacho kipo pale uturuki sasa hata sijui itakua kwa nn asinge wachukua urusi au irani kuwalindia kuliko ututruki siwaamini
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 Месяц назад
Siyo kweli
@user-jn5fq1kz6q
@user-jn5fq1kz6q Месяц назад
Unajuwa turke,,ni malafiki wakubwa wa marekani ?
@coolbz133
@coolbz133 Месяц назад
Kwani nilazima gani kujiunga na ecowas waafrica hizi ni akili mbuzi
@mrheripoza3553
@mrheripoza3553 Месяц назад
Siyo akili mbuzi tu niakili zilizo unguuwa
@coolbz133
@coolbz133 Месяц назад
Bro sijui yani ni nn mungu anaipenda africa ametupa mali zote na sisi twazipeana naujinga mwingi
Далее
ВОТ ЧТО МЫ КУПИЛИ НА ALIEXPRESS
11:28
Просмотров 961 тыс.
НЕДОВОЛЬНА УСЛУГОЙ #shorts
00:27
Просмотров 32 тыс.
TRAORE AMETEKELEZA MIRADI MIKUBWA SANA BURKINA FASO
10:20
ВОТ ЧТО МЫ КУПИЛИ НА ALIEXPRESS
11:28
Просмотров 961 тыс.