Тёмный

TRAORE AMETEKELEZA MIRADI MIKUBWA SANA BURKINA FASO 

UKUU WA MWAFRIKA (IBM)
Подписаться 45 тыс.
Просмотров 27 тыс.
50% 1

Mpenzi mtazamaji wa IBM CHANNEL endelea kutufuatilia kwa ajili ya kupata elimu zaidi ya uzalendo, ukombozi wa kifkira na ukuu wa Mwaafrika hapa hapa. tunakupa pia makala mbalimbali zinazohusiana na ulimwengu tunaoishi na taarifa zetu ni za ukweli na uhakika sio za uongo. karibu tuendelee kuwa pamoja. kama hauja-subscribe tafadhali fanya hivyo ili usipitwe na chochote.

Опубликовано:

 

15 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 64   
@user-bb2hf9jm3s
@user-bb2hf9jm3s 3 месяца назад
Mwalimu muambie Rais wa 🇧🇫 aende kuongoza inchi yangu ya congo awarowe vibaraka wa marekani na wengine
@ramadhanichilumba3610
@ramadhanichilumba3610 3 месяца назад
Traore mwamba sana huyu jamaa
@MusawitsonskanaMusawitso-iy4vh
@MusawitsonskanaMusawitso-iy4vh 2 месяца назад
Hakika mungu niwawote
@emanuelsichone8027
@emanuelsichone8027 3 месяца назад
Afrika hatuna marahisi tuna vilanja wanaotumikia mabwanazao
@DafiMohamed-dz8xk
@DafiMohamed-dz8xk 3 месяца назад
Big up sana Traore Africa lazima tuwe pamoja
@samwelshepa8443
@samwelshepa8443 3 месяца назад
Asante sana mwalimu kutoka mbeya. Nina swali Kama sio ombi na kama hautojali uteletee uchambuzi wa tofauti na ubora wa nyambizi ya Russia iliyokwenda Cuba na ile ya Marekani iliyotia timu Guantanamo. Na mkakati nini hawa miamba wanataka kutuambia.
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche 3 месяца назад
Mimi namjua mwinyi na makufuli na traoré
@BilalMuhammad-jt6sq
@BilalMuhammad-jt6sq 3 месяца назад
Umesema kweli kaka
@SaeedMohammad-sw7jq
@SaeedMohammad-sw7jq 2 месяца назад
Mwinyi katengeneza ajira gani, wafanya kazi anawaleta watanganyika wenzake. Ibrahim huwezi mfananisha na yoyote kwa hawa madikteta wako
@mohamedS-yd9wh
@mohamedS-yd9wh 3 месяца назад
Traore Mwenyezi Mungu akutangulie katika kila hatua yako, huo ndiyo uongozi, uzalendo. Tunakuombea afya njema hekma na busara katika uongozi wako
@salimramadhani740
@salimramadhani740 3 месяца назад
Viva africa Viva 🇧🇫 Burkina faos 🇧🇫🇧🇫🇧🇫💪💪💪👏👏👏❤️❤️❤️
@martinkisha6307
@martinkisha6307 3 месяца назад
Hata hapa aje mtu kama huyo wachukue tu wananchi maisha yetu magumu
@muhala410
@muhala410 3 месяца назад
Traoré kijana mzalendo shujaa mwenye upeo mkubwa ❤❤❤ waafrika tuamke tumelaliwa myaka mingi
@malugukushaha6764
@malugukushaha6764 2 месяца назад
Nikiona anachokifanya Ibrahim Traore kwenye nchi yake, namkumbuka Hayati JPM . R.I.P JPM 😢.😢
@SolomonNyandindi
@SolomonNyandindi 3 месяца назад
Ahsante , umenikimbusha home
@abedysteven4930
@abedysteven4930 2 месяца назад
Asante kwa taarifa nzur nmependa! Kwa kunielimixha
@kitovasaidi6753
@kitovasaidi6753 2 месяца назад
Upuuzi ongelea leo
@luganomwaigomole7441
@luganomwaigomole7441 2 месяца назад
MWAMBA MWAMBA MWAMBA KWELI KWELI..NI CAPTAIN IBRAHIM TRAORE ❤
@krisantmwaipungu1434
@krisantmwaipungu1434 3 месяца назад
Well understand mheshimiwa sana na mchmbuzi mkuu w Ukuu w Mwafrika. Nchi za Africa ya kati mashariki na kusini tuige. Tuache upappet
@Georgeelias105yusuph
@Georgeelias105yusuph 2 месяца назад
Good
@juliusakilimali9424
@juliusakilimali9424 3 месяца назад
Mungu wetu ni mwema!! Atatusaidia tu!!!
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 3 месяца назад
Lini
@user-hv6nc2nm9q
@user-hv6nc2nm9q 3 месяца назад
Ipo siku kaka jipe moyo
@RajabuHussein-to7jz
@RajabuHussein-to7jz 3 месяца назад
Safiiiiiiiiii mwalim
@saidsalum6101
@saidsalum6101 3 месяца назад
Aisee wewe nimtanzania kweli haujui shelia zetu hapa nchini nakuombea mungu akulinde sana na wabaya
@MalengoKai
@MalengoKai 3 месяца назад
Hongera mtalii wa royo
@SilasWanjala-fj9ww
@SilasWanjala-fj9ww 3 месяца назад
Mwalim akuche Kenya kwa mwaka mmoja tu
@hamzafishten9560
@hamzafishten9560 3 месяца назад
Waze kazi kuiba inci yao
@HajiJuma-xw7vh
@HajiJuma-xw7vh 3 месяца назад
Kwakweli tumwambie huyu huyu atatusaidia mm pia nakata kufika huko BNAFASO
@linnusaloyce6559
@linnusaloyce6559 2 месяца назад
Wapatikane wengi kama ibra Africa ili tutoke kwenye shimo la umaskini na uonevu
@reubenbegashe2372
@reubenbegashe2372 3 месяца назад
Story nyiiingiii , Eleza Mambo muhimu ,Utapata wafuatiliaji wengi, acha kuzunguka point Kwa maelezo yanayochosha msikilizaji
@kichenjewillian5720
@kichenjewillian5720 3 месяца назад
Kaz nzuri kaka
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 3 месяца назад
Viongozi wa EA wanamchukia Traole anawaumbua
@DanielyNguja
@DanielyNguja 3 месяца назад
@newbornhaule
@newbornhaule 3 месяца назад
Jamaa aligundua wenye akili ndogo ni makatili na hawana utu akaona ashike kijiti tu
@judicalosika7642
@judicalosika7642 3 месяца назад
Akili ndogo😆😆😆😆
@hamzafishten9560
@hamzafishten9560 3 месяца назад
Mwalimu upo vizuri
@yayananajota5838
@yayananajota5838 3 месяца назад
Kuna mtu anahusia na kifo cha magu, alafu namuona yupo paleeeee anakulla bata😏🙄kisa kanunuliwa
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 3 месяца назад
Ujue huyu rais alichukua mbinu za magufuli ni mtu wa pekee katika upande wa Africa maghalibi wengi wao ni watu corrupt wanapenda utapeli sio kabisa lakini yeye amenyooka kwa hiyo lazima kutokea mambo mazito .fikilia yeye anaweza changia damu kama raisi ndio ujue ni mtu wa sina yake.
@user13375
@user13375 3 месяца назад
Kumsifu mchina nao ni uchawa pia,hakuna mweupe mzuri mbelé ya mwaeusi😮😮😮
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 3 месяца назад
Wambie na viongozi wetu wabadilike EA
@emanuelsichone8027
@emanuelsichone8027 3 месяца назад
Unaupeo mkubwa sana
@Aminmwansile-we8vn
@Aminmwansile-we8vn 2 месяца назад
Huyu mtangazaji ni chawa wa putini na china
@chrispinandrew5067
@chrispinandrew5067 3 месяца назад
Asante kiongozi
@KandidaMtitu
@KandidaMtitu 3 месяца назад
Ilifanywa na wezee wazalendo wakijamaa
@sikowajakobo9005
@sikowajakobo9005 3 месяца назад
Safi sana
@jimmyromani1339
@jimmyromani1339 3 месяца назад
Me kutoka Burundi ila ukinifikisha kwa iblahim traole naweza kuishi maana nampenda mtu mzalendo
@kichenjewillian5720
@kichenjewillian5720 3 месяца назад
Kukhu bengo wazabanga
@mercyzakariah
@mercyzakariah 3 месяца назад
Jembe makonda atakuja kua kama huyo rais WA bokinafaso makonda oeee
@simontamba1285
@simontamba1285 2 месяца назад
Atapitia wapii watamuacha?
@HajiJuma-xw7vh
@HajiJuma-xw7vh 3 месяца назад
Safi
@NshimirimanaSylvain
@NshimirimanaSylvain 3 месяца назад
Mzee kiboko
@Desdelclaudio
@Desdelclaudio 3 месяца назад
Nafikaje bukinafaso
@salimramadhani740
@salimramadhani740 3 месяца назад
Video 📹 please
@PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp
@PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp 3 месяца назад
Amasku gham pont gham michicha
@maase2023
@maase2023 3 месяца назад
Traore ni nguvu ya soda hamna kitu huyu
@swalehemusa4546
@swalehemusa4546 3 месяца назад
Hata ww ni nguvu za soda kakojoe ukalale Africa ginga
@ibrahimabdullah1887
@ibrahimabdullah1887 3 месяца назад
Mwalim hiyo mbuzi huko bei gani
@deusmauka8270
@deusmauka8270 3 месяца назад
Wanasiasa wetu hawaoni aibu?
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 3 месяца назад
KIKWETE
@JajiZakayo-fw9mk
@JajiZakayo-fw9mk 3 месяца назад
Mchina hana roho wa Mungu ndani yake Mungu wake ni pesa subiri uone kitakacho watokea watoto wako na wajukuu zako watachinjwa kama mbuzi huku wakilazimishwa kumkana Bwana Yesu Kiristo
@jotafungo4622
@jotafungo4622 3 месяца назад
Mwl unatufundisha reli?😂
@fadhilramsey8548
@fadhilramsey8548 3 месяца назад
Далее
ЗАБЛУДИЛИСЬ В ТРАВЕ #shorts
00:25
Просмотров 419 тыс.
TRAORE AMEAPA KULIPA KISASI KWA WALIOMUUA SANKARA
12:39