Тёмный

TRAORE AMEBARIKIWA NA MUNGU CUBA SASA RASMI KUMSAIDIA KIJESHI IWAPO ATAVAMIWA 

UKUU WA MWAFRIKA (IBM)
Подписаться 45 тыс.
Просмотров 15 тыс.
50% 1

Mpenzi mtazamaji wa IBM CHANNEL endelea kutufuatilia kwa ajili ya kupata elimu zaidi ya uzalendo, ukombozi wa kifkira na ukuu wa Mwaafrika hapa hapa. tunakupa pia makala mbalimbali zinazohusiana na ulimwengu tunaoishi na taarifa zetu ni za ukweli na uhakika sio za uongo. karibu tuendelee kuwa pamoja. kama hauja-subscribe tafadhali fanya hivyo ili usipitwe na chochote.

Опубликовано:

 

15 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 54   
@AkabetWanjala
@AkabetWanjala Месяц назад
Asante sana Asante sana hata Mimi namsupport kwa maombi
@RichardR-xu5xg
@RichardR-xu5xg Месяц назад
Asante sana mkuu kwa kutoa taarifa nzuri kila wakati
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb Месяц назад
Mungu akulinde Taore
@fidelfidel4818
@fidelfidel4818 Месяц назад
Tarifa ya Ibrahim traore ni Amina
@eugeniepongo2886
@eugeniepongo2886 Месяц назад
Ukuu wa Mwafrika Mungu Mbele
@AsimweKaswara
@AsimweKaswara Месяц назад
Asanteni sana ISAYA Benson kwa kutupa habari nzuri za ulimwengu wetu wa afrika
@user-wo6rk4vf2s
@user-wo6rk4vf2s Месяц назад
Tutashinda kwa uweza wa mwenyezi mungu 🌍 🇹🇿
@hamzafishten9560
@hamzafishten9560 Месяц назад
Isaya mungu akulipe kwa habari
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv Месяц назад
Safi mwalimu 💚💚💚
@BakaryBekq
@BakaryBekq 2 дня назад
Good job
@MAKWETHEGREAT
@MAKWETHEGREAT Месяц назад
Unajua sana
@fredybuha6809
@fredybuha6809 Месяц назад
MWAMBA WA AFRICA Baba wa Africa
@hamisdodi-cu7bu
@hamisdodi-cu7bu Месяц назад
Mwamba.wa afrika
@christiankambuga9338
@christiankambuga9338 Месяц назад
Safi
@JackiePaul-sd1jt
@JackiePaul-sd1jt Месяц назад
Mwalim isaya Bwana YESU asifiwe, napenda sana uchambuzi wako lkn mbona hauchambui umoja wote wa Sahel umekuwa ukitaja sana mwamba Ibrahim vip kuhusu hao wenzake tuletee kwa undani pia kuhusu hao jamaa
@salimwanga
@salimwanga Месяц назад
Good news🎉❤🎉
@HafidhKhamis-ph8qg
@HafidhKhamis-ph8qg Месяц назад
Safi kabisa
@tutorialsPlatform
@tutorialsPlatform Месяц назад
Naam naam
@ishmaeljuma7694
@ishmaeljuma7694 Месяц назад
Che guevara na siyo cheko vara
@Kakajambazitv..
@Kakajambazitv.. Месяц назад
MWALIMU LEO UMENI KOSHA SANA KWA UGUMU MNAOUPITIA KUPATA CONTENT ZA IBRAHIM TRORE BUT MMEPOST NYINGI KAMA NLIVYO PENDA 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻 MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU MWALIMU 🎉🎉
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb Месяц назад
Huyu rais castor mwamba sana
@ngendakumanajeanmarrie7490
@ngendakumanajeanmarrie7490 Месяц назад
Yaani hawa viongozi wetu wakiona anaoafanya wananza kusikia wivu amekuja kuaanika wanayoafanya maovu mbona wasifanye kama yeye nawona huu raisi mdogo watammaliza hawa wafisadi wetu ili asiendelee kuavua nguo
@charlesOtieno-lw1ff
@charlesOtieno-lw1ff Месяц назад
Makonda yupo wapi?
@SurprisedDrill-ky9fi
@SurprisedDrill-ky9fi Месяц назад
Nahisi traore atapanda gari nzuri karibuni atapewa zawadi kutoka nchi rafiki
@saidirakozi1809
@saidirakozi1809 Месяц назад
89 likes 1089 views Wekeni likes wapumbafu nyie mnapo tizama habar nzuri za Africa
@saidirakozi1809
@saidirakozi1809 Месяц назад
Asante sana
@pesangwasalim5258
@pesangwasalim5258 Месяц назад
Kuna waafrika wenzetu wanachukia hatari kusikia habari kama hiyo
@godfreyfrugence4176
@godfreyfrugence4176 Месяц назад
Wanachukia ni mashoga
@charlesOtieno-lw1ff
@charlesOtieno-lw1ff Месяц назад
Africa must united
@evancemichael5489
@evancemichael5489 Месяц назад
Kijana mdogo akili kubwa anafaa kuwa kiongozi wa Africa nzima
@Daidizz01chinga
@Daidizz01chinga Месяц назад
Jamaa noma ❤❤🇧🇫🤗🇧🇫🫡🫡
@Visionofeagle9689
@Visionofeagle9689 Месяц назад
Cheers 🥂✊
@ArshavinSungura
@ArshavinSungura Месяц назад
🎉🎉🎉
@abduljuma7807
@abduljuma7807 Месяц назад
Mungu Yuko pamoja na wakweli ndio Maana wadhulumaji wote wanajiwekea ulinzi mkubwa sana mkali kupitia kiasi kama wanapendwa na wananchi uwoga wanini? Tendeni haki Muone ulinzi kutoka Mbinguni unavyo weza kuwasaidia hamtapoteza chochote
@Morine_kn1lt
@Morine_kn1lt Месяц назад
Mturuki simuamiani kabisa kigeugeu yule , usikute katumwa, maana na yeye ni NATO
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 Месяц назад
Hakuna kiongozi mwenye akili nzuri kama IBRAHIM TRAORE katika hii afrika ya leo,waliobaki wote wapuuzi watupu hasa huyu wetu wa tanzania aliyeupata urais kwa promosheni,
@abudoeugenio6903
@abudoeugenio6903 Месяц назад
Apo katika rushwa apo nchi yetu sisi 🇲🇿🇲🇿🇲🇿 inashaka nafasi ya kwanza africa .
@user-hv4et9fx7t
@user-hv4et9fx7t Месяц назад
Miye ni serge nikiwa South Africa mfano tu congo 🇨🇩 yetu tu brother
@hemedisufiani3219
@hemedisufiani3219 Месяц назад
🙏🙏🙏🔥🔥🔥
@SurprisedDrill-ky9fi
@SurprisedDrill-ky9fi Месяц назад
ASANTE MUNGU MIMI NIMEPIGA MAKOFI KUSIKIA HII RIPOTI YA QUBBA NIMEJAZBIKA KAMA NIPO KWENYE HICHO KIKAO CHA MAPOKEZI YA QUBA ZIDI YA TRAORE NEEMA YA AFRIKA INAAIKITISHA TZ MNATAKA KUMUUA MAKONDA LA INAUMAAA NI LANA GANI HIIII
@hajiramadhani2060
@hajiramadhani2060 Месяц назад
NI KAMA MNACHAGUA HABARI SAIVI, KUNA HABARI ZA MASHAMBULIZI TELAVIV , MASHAMBULIZI YA HEZBOLLAH , MBONA MNAKAZANIA HABARI ZA AFRICA TAOURE TAOURE , TUNATAKA HABARI ZA Middle East , MNAKUWA KAMA MNAKWEPA HABARI ZA Middle East NDIO hot ISSUE. , TAORE TAOURE
@rajabusaimon7662
@rajabusaimon7662 Месяц назад
Ushauli wa putini huu nauona viongozi wa aflika mnaopenda maisha ya wananchi wenu amkeini sasa mmechelewa sana msiogope kufa hata mkiogopa kuchukua mamuzi mtakufa tu
@hemedmwipopo780
@hemedmwipopo780 Месяц назад
Magufuli wa pili wa Afrika huyo
@Clever-l8v
@Clever-l8v Месяц назад
Acha uchoko
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 Месяц назад
BABA WA AFRICA TAORE MAMA YUPO TANZANIA ANAULUMA NA WATOTO ZAKE MAMA WA TANZANIA ?????🇹🇿
@CharafimalisalimoAli-qw3hk
@CharafimalisalimoAli-qw3hk Месяц назад
HIVI VIKWAZOVYAOHIVISASA EEEHEEE. WATAJIKUTA WASENGESANA SASAHIVI😂😂😂 MAANA WANAOWEKEWA NIKWAZO WOTE SASA NI MARAFIKI😂😂 NA HAWANA USHENZI.
@hamzafishten9560
@hamzafishten9560 Месяц назад
Wengine inci zao hata shule wetoto wanakaaca cini wetoto zao wapo wanakula bata dubai
@RashidiKuji
@RashidiKuji Месяц назад
Yes vp have 😅😅😅
@HassanRamadhanPashua
@HassanRamadhanPashua Месяц назад
Hii News nmeona mahali nikadhani ni zuga kumbe ni kweli
@hamisramadhan-eb3ie
@hamisramadhan-eb3ie Месяц назад
Mama africa anakwenda kuwamkuu 😂
@ezekielikoribikomeye9474
@ezekielikoribikomeye9474 Месяц назад
🌍🌋✊️🤣🫡
@hajiramadhani2060
@hajiramadhani2060 Месяц назад
HABARI ZA GAZA UMEKATAZWA KUTANGAZAAA???? NAONA UMEBADILIKA , HABARI ZA Middle East HUSEMI, KWA KUWA UMEKATAZWA?? MAANA NDIO HABARI ZINATAWALA , HIZO HABARI ZA IBRAHIM TAOURE , TUNATAKA HABARI ZA Middle East , GAZA , HOUTHI , HEZBOLLAH , NDIO ZINA TREND, HIZO HABARI ZA IBRAHIM TAOURE , HATUZITAKI , NAONA UMEBADILIKA GHAFLA , TUNATAKA HABARI ZA GAZA , NA Middle East
Далее
Ujenzi  Wa Apartments wa Gharama Nafuu
2:51
Просмотров 21 тыс.