Nimependa sana ongea yako dada, huna madoido ya kuchangamya kingreza na Swahili kama wengine na kati unajua kuongea English fluently. Big up bby girl, I like u naturally.
Ndio hapo tuone tofauti ya sisi binadam. Wasanii wengi ambao walikuwa hata hawajui neno 1 la kingereza basi wakijua kidogo ni shida mpaka msikilizaji unaboreka!! Maana wanapoteza hata maana ya interview! Tujivumie lugha yetu!!
Kwa mara ya kwanza, nisamehe wasanii wengine, but , I think, I respect Vanesa! I dont know you, but, I think you are a great lady! Wow! Proud of young Tanzanian girl!
Jux ameniboa sana kuachana na vanexa maana namkubal sana vee money wachina hao hawana inshu bhna big up madam vee lningekuw na uwez ningemuoa madam vee nikamuepush na mabalaa ya kina diamond
Kwakweli kuhusu VMoney kuongea kiswahili Mtangazaji umesema kweli kwasababu hata Sporah alishawahi kumwambia Vanessa the same thing and so the fans have always felt the same way. Anaongea kiswahili flani ambacho sio broken but still kinafanya mtu ujisikie kuendelea kumsikiliza
kwa kwel mungu tunaitaj huruma yko watoto wa kike mapenz yatatuua jmn kwanin sisi tunawachulie wenzetu siriasly wakat wao dakika mbili mbele hawapo kabisa wako upande mwingine kabisa na furaa yko inakuwa palepale l hte mens jmn uuuuwii l real hate u mens l hate u
Katika Maisha Yangu huwaga najuwa hakuna MTU mwenyeamani ya moyo kama vanesa ila nilicho kisikia kutoka kwako kimeniumiza sana yani nimejikuta natoa machozi kwaajili ya vanesa na nilitamani niwe naye kalibu nimwambie yeye ni mwanamke jasili sana nakupenda vanessa i wish ungekuwa dadaangu
Love you you keep it real you are an inspirational lady that your peers and other young people needs to pay attention to you the best wishing all God blessings showers you
Vee is hardworking ,ametoka mbali na anaenda ata mbali sana..You can tell she has such great vision for herself,.On the other hand Jux ni Slay King..Anafurahishwa na Udiva,sidhani ata anataka kua the best musician in Africa let alone Tanzania..Vitu zinafurahisha Jux ni kuslay pale Instagram,ndio aweze kupata fame tu na wanawake.What does he even have in common with the Asian chic?.Dame mwenyewe ata Kiingereza ni shida..You can tell they both want fame(Jux and the Asian chic).Wataachana tu na Jux atapata kengine kale kako fashion.Vanessa will heal with time,makosa ni roho haichagui inayopenda.Vanessa was always too good for Jux.Fullstop!!!!!
vee money real loves jux trust me love is crazy thing just look at the jealous over that Asian lady.sometime its so hard ather people to understand feelings.
Dada mzuri kama walivyo wazur wapare na wachaga wengine kama kawaida yenu,,Shida pale ule mdhaifu mkubwaaaaaaa wa pale kati na ndo sababu.M/mungu housing aliwapa ila kuna kitu alinyofoa kawapa wazaramo mngepewa vyote mngesumbua