Тёмный

VIASHIRIA VYA NABII WA UONGO NA WA KWELI (Part 1) 

Emes Tv
Подписаться 3,9 тыс.
Просмотров 7 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 апр 2019

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 30   
@alphoncealmack9240
@alphoncealmack9240 Год назад
🤲👍👍nice halleluyaa tunapenda mahubiri ya neno la MUNGU yasiyogoshiwa namna hii barikiwa sana mtumishi wa MUNGU
@user-do1ut4gb1e
@user-do1ut4gb1e 9 месяцев назад
Na furahi Pro.Kadewelle Rev.M.Abel-Ukerewe ,uko sawa.Amen
@hosianakazaula342
@hosianakazaula342 5 лет назад
Mbarikiwe somo zuri maana saiv manabii wauongo wamejaa kila kona pasipo mafundsho yakweli kama haya roho nyng ztapotea,,Mungu awabariki kwahuduma nzuri yakutujenga .
@EmesTvgospelonline
@EmesTvgospelonline 5 лет назад
Amina ubarikiwe pia, zaidi utuombee ili Roho mtakatifu aendelee kutusaidia nakutupa mafunuo.
@amandusmashobe9133
@amandusmashobe9133 3 года назад
Amen barikiwa mtumishi wa Bwana
@neemamakundi6407
@neemamakundi6407 3 года назад
Amen mtumishi barikiwa
@valentinanduku8718
@valentinanduku8718 2 года назад
Amen
@sirilashirima6207
@sirilashirima6207 5 лет назад
Ameen Mwl Proo speak out all truth
@lauraingosi1428
@lauraingosi1428 3 года назад
kweli mungu anainua watumishi wake kwa viwango tofauti
@EzekielSMeijo
@EzekielSMeijo 5 лет назад
Ubarikiwe Mwalimu proo, it is time unmask the faces of the foxes clothed by the skin of the sheeps
@devidamasian5477
@devidamasian5477 2 года назад
Kweli kabisa
@lilianluhasi5053
@lilianluhasi5053 4 года назад
Kweli Mtumishi wa Mungu katika jina la Yesu Kristo
@abuii7741
@abuii7741 5 лет назад
Ubarikiwe sanaa
@chalesnguyaine9991
@chalesnguyaine9991 4 года назад
nabii musa alikuwa ni mtu mkuu na elia na samueli
@ngwanafabian9668
@ngwanafabian9668 3 года назад
Ni kweli alikuwa mkuu ila yeye mwenyewe hakuna sehemu katika biblia alipouongelea ukuu wake.
@michaelmedard5709
@michaelmedard5709 4 года назад
Mbarikiwe sana
@sophietabz4714
@sophietabz4714 5 лет назад
Baba MUNGU Aliye Hai awabarik sana watumishi wake.
@EmesTvgospelonline
@EmesTvgospelonline 5 лет назад
Amen nawe pia ubarikiwe, usiache kufuatilia yajayo yanafurahisha
@user-ox8pc5wu7u
@user-ox8pc5wu7u 10 месяцев назад
Pumbafu na wewe ni muongo hakuna manabii kwa zama tilizokuwa nazo hao manabii wamepewa na nani manabii wa mungu wanavitabu vyao
@chalesnguyaine9991
@chalesnguyaine9991 4 года назад
Patatokea waalimu wa uongo wanaotumia ujanja na elimu yao kupotosha watu xax me nawauliza watu walijuaje nabii samuel alikuwa mkuu wa manabii kama sio samweli mwenyew ndye aliewaambia?saa ingine mtu kujiita mkuu anapata idhini kutoka kwa Mungu mwenyew kwa ni kadri Mungu apendavyo Mwenyew ,na kumbuka wakati wa samuel Mungu hajaongea na watu eti kuwaambia sas mujue kuwa samueli ni mkuu wa manabii bali aliongea na samwel na samuel akafikisha kwa watu kua Mungu ameniweka kua mkuu ,
@seferadasey975
@seferadasey975 4 года назад
Mbona manabii2 mbona kuna kundi la walimu wa uwongo, makrsto wa uwongo nk
@mateosiwale1897
@mateosiwale1897 4 года назад
Ubarikiwe mtumishi wa mungu
@lilianluhasi5053
@lilianluhasi5053 4 года назад
Naomba namba yako Mtumishi wa Mungu katika jina la Yesu Kristo
@lidyazacharia8072
@lidyazacharia8072 2 года назад
Naomba namba yko mtumishi ww n mtumishi kamili nae tfta mm
@chalesnguyaine9991
@chalesnguyaine9991 4 года назад
Je waalimu wa uongo tutawatambuaje
@EmesTvgospelonline
@EmesTvgospelonline 4 года назад
Endelea kufuatilia Chanel hii utapata majibu sahihi
@wiza2309
@wiza2309 4 года назад
Umenwna Kweli Mtumishi. Jina la Bwana libarikiwe
@eliamkayange4014
@eliamkayange4014 5 лет назад
Amen
@seferadasey975
@seferadasey975 4 года назад
Mbona manabii2 mbona kuna kundi la walimu wa uwongo, makrsto wa uwongo nk
@jumamohamedi5044
@jumamohamedi5044 3 года назад
hawa wanatafuta umaarufu kwanini yeye asifundishe neno lakweli aanze kuwasema wengine yeye atuambie atuambie aliyo tumwa na mungu ili tumfuate
Далее
SIRI ZA UONGO WA NABII AZIWEKA WAZI HUYU KAKA
11:17
Просмотров 76 тыс.
Faith Steve Medical Appeal
53:06
Просмотров 209
A Muslim Man Enters a Church - They Laughed
39:53
Просмотров 1,4 млн
WOKOVU NI NINI 2
24:21
Просмотров 19